AKIDA by Zabron Singers (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @ceciliamurevi1987
    @ceciliamurevi1987 Месяц назад +185

    kipande cha Marco 💔💔💔😭😭😭😭,asandeni kwa kuweka hiyo part,Marco kipenzi cha wote endelea kuimbia na malaika,siku moja tutakutana tule wote mezani na yesu tucheze tufurahie na kilio kitatoweka milele 😭🕊️🕊️.

  • @mgandikadesire
    @mgandikadesire Месяц назад +339

    Waliofurahia kwa walichokifanya zabron singers kumuweka kwenye video Marko Joseph mugonge like🎉🎉🎉🎉

  • @jentrixadema508
    @jentrixadema508 Месяц назад +249

    Wakenya hoye 😊 venye tulikuwa tumengoja hiii wimbo mbaya ❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PittermwitaMwita-h1h
    @PittermwitaMwita-h1h Месяц назад +73

    Tanzania tuko chini kwa like
    Sijapenda sana
    Love zabron from kahama

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula Месяц назад +391

    Jaman tulio umia kwa kipande cha Marko tujuane😭😭

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 Месяц назад +90

    Kenyans we are happy seeing you getting strong again team Zebron, Mungu aendelee kuwatia nguvu 🙏. Kenyans wapi likes ya ndugu zetu

  • @FiderisMwende
    @FiderisMwende Месяц назад +428

    If you are a Kenyan and you love zabron singers pita ma like tukisonga 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @EstherMongare-re7dj
    @EstherMongare-re7dj Месяц назад +73

    If you're a Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪please let's gather here .....2024 shida zetu sitakomea huku in Jesus name 🙏🙏🙏

  • @JescaMensa
    @JescaMensa Месяц назад +137

    Tuna barikiwa na nyimbo ya Akida tujuane apa.Mweny unasoma comment hii mungu akuvushe mwaka salama🙏🙏🙏🙏

  • @justinchengo4748
    @justinchengo4748 Месяц назад +20

    Nani kama Akida Bwana ukisema neno tu😢...hapa nilipo shida zangu zitakoma....more love from 🇰🇪.

  • @chebi5704
    @chebi5704 Месяц назад +538

    Wakenya mningongee hii tukisubiri bwana aliye tubeba January atusaidie kumaliza mwaka salama✅

    • @ZabronSingers
      @ZabronSingers  Месяц назад +40

      Tunawapenda sana

    • @LUCYOSIDE-sv5ld
      @LUCYOSIDE-sv5ld Месяц назад +7

      Wakenya tupo tele, what a lifting song...be blessed zabrons

    • @chebi5704
      @chebi5704 Месяц назад +7

      @@ZabronSingers Asanteni mungu awainue viwango vya juu zaidi 🙏

    • @lucylinekendimugambi5
      @lucylinekendimugambi5 Месяц назад +4

      ❤❤❤tunawapenda sana​@@ZabronSingers

    • @TeresaNunda-z6t
      @TeresaNunda-z6t Месяц назад +2

      Amen 🙏

  • @kelvinbill5266
    @kelvinbill5266 Месяц назад +77

    Watching from Kenya 🇰🇪 thanks zabron for adding our brother MARCO...😭😭... We miss you Marco🕊️ 🤍🕊️🤍🕊️

  • @duke_maosa60
    @duke_maosa60 Месяц назад +109

    Wacha tuimbe itutoke..... Let's go 😂😂😂I love it more🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PrincessDeeSultan-o4r
    @PrincessDeeSultan-o4r Месяц назад +80

    Wakwanza kutoka kenya , tunawapenda sana zablon singers, Continue resting in peace Marco 😢

  • @limymasele21
    @limymasele21 Месяц назад +27

    Namtafuta Bwana yule yule wa ushindi mi ndo pekee najuwa ni wapi alikonitoa Nina historia uzoefu wa ushindi kwa macho nimeona Mungu alivyo nibeba from zero to hero from nothing to something Nami Leo ni mtu katikati ya watu. kazi nzuri sana

    • @ZabronSingers
      @ZabronSingers  Месяц назад

      Yes

    • @MajaliwaYusuph-qb1xp
      @MajaliwaYusuph-qb1xp Месяц назад

      Hakika hawa ni watu wa mungu.wamenifariji sana

    • @Migapogospel678
      @Migapogospel678 Месяц назад +2

      @@limymasele21 watu noma dakika hiii umeshakalili beti la kwanza🤗🤗

    • @limymasele21
      @limymasele21 Месяц назад

      @@Migapogospel678 balaa sana

    • @limymasele21
      @limymasele21 Месяц назад +1

      @ZabronSingers nafarijika na nyimbo zenu

  • @lyn254
    @lyn254 Месяц назад +39

    The ladies are glowing with natural beauty , head covering and modest dressing , they are all beautiful be blessed Zabron singers Kenya we love youuuu🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤

  • @GetrudeMadandanye
    @GetrudeMadandanye Месяц назад +16

    Nani anarudia rudia kuutazama huu wimbo kama Mimi nilisikia kasauti ka Marco hapo najaa na furaha nilikua nikiwaza nani ataingia hapo pa Marco KAZI zuri hiyo tuna waombea mungu awabariki awape kibali zaidi Wana zabron👏👏👏👏👏👏nimeupenda wimbo huo hata Mimi shida zangu zitakoma amen

  • @amosspaul6912
    @amosspaul6912 Месяц назад +45

    Nimekuwa nikiungoja kwa hamu huu wimbo na mim kupitia Luka 7:1-10 shida zangu zikakome.
    R.I.P MARCO 😭😭

  • @gaudenciaredwin2154
    @gaudenciaredwin2154 Месяц назад +13

    Marcos part hits so hard😢 I remember Japheth akinukuu maneno ya Marcos; "nitapona nije turekodi Akida" ila Mungu akajibu vile ilimpendeza,keep resting Marco,we are praying for Mrs Joan the kids and family of zabron singers 🙏🏽🇰🇪🇰🇪

  • @RaheemaMosa
    @RaheemaMosa Месяц назад +21

    Yani kama wapo mbinguni vile ila tukienda mbinguni tuta pendeza jamni❤❤

  • @violetjoel8493
    @violetjoel8493 Месяц назад +40

    From zero to hero from nothing to something may his name be glorified love you Zablon singers from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @STEVENANGWENYIMOGAKAE
    @STEVENANGWENYIMOGAKAE Месяц назад +30

    Waited for this Akida song🎶...It reminds me of marco💯, his verse "hakuna kama mungu, hii dunia,alitamka ikawa, ikatokea🎉....Forever in our hearts marco you blessed me with your amazing voice and songs. We will love you forever mwalimu/mwenyekiti MARCO JOSEPH BUKULU ❤❤✨🎉.

  • @michaelimseyi9425
    @michaelimseyi9425 25 дней назад +6

    Nyimbo Kali sana from zabron choir we love them and their work be blessed

  • @JosephineKutwa
    @JosephineKutwa Месяц назад +46

    MARCO jamaniiiii😢😢😢
    This is lit🔥🔥🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 Go Go Go Zabron singers
    Nawapenda Sanaaaaa❤❤❤❤

    • @ZabronSingers
      @ZabronSingers  Месяц назад +3

      asante sana

    • @Edna0906
      @Edna0906 Месяц назад

      Zabron mbarikiwe tu Sana🙏🙏

    • @MalisianaMashiku
      @MalisianaMashiku Месяц назад

      ​@@ZabronSingers nawapenda sana from sengerema mwanza magili...

  • @WinfridaSengasu
    @WinfridaSengasu Месяц назад +12

    Uyo dada wa "akida aliishi na mtu alimpenda..." Next time aimbe verse ndefu kdg 🥰 so amazing mbarikiwe

  • @naomkemuma2259
    @naomkemuma2259 Месяц назад +15

    Mungu ni mwema .Mungu awepe nguvu kwa kazi yake ata baada ya kumpoteza mpendwe wenu

  • @JanethJulius-l4f
    @JanethJulius-l4f 29 дней назад +7

    Nami kama akida Yesu ukisema neno tu.. shida zangu zitakoma, tamka neno juu ya maisha yangu Yesu😭🙏🏽

  • @PrincessDeeSultan-o4r
    @PrincessDeeSultan-o4r Месяц назад +20

    First from kenya naombeni likes jamani

  • @faithimani1
    @faithimani1 Месяц назад +15

    Wimbo mzuri wa kufunga mwaka. Bwana ata tamka neno katika kila Hali unayopitia. Usikufe moyo

  • @sarahauma3103
    @sarahauma3103 Месяц назад +12

    Nimependa kanakwamba hamukutoa sauti ya ndugu Marco,wimbo huu ni wa
    baraka

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb Месяц назад +8

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ hongera Sana Zablon singers Kwa wimbo mzuri kabisa

  • @ElsianaDaniel-n1q
    @ElsianaDaniel-n1q Месяц назад +63

    Hakika mbarikiwe Sana napia nimefurahi kipande Marco mmemtendea haki Sana na siku moja tutakutana nae kuimba pamoja mbinguni RIP Kipenz chetu Marco

  • @LameckMnkande
    @LameckMnkande День назад

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu zabron singers,zinanifariji
    Pindi ninapo anguka.MUNGU awabariki sana.

  • @Bobooofficial254
    @Bobooofficial254 Месяц назад +33

    This song is a banger i love it ❤🎉 from kenya 🇰🇪 wapi likes 👍

  • @MercyVugusta
    @MercyVugusta 18 дней назад +1

    Hapa nilipo shida zangu zitakomaaa zitakoma na huu mwaka amen amen zabron singers mbarikiwe🙏🙏🥰🥰🔥🔥🔥nawapenda

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Месяц назад +7

    Napenda:
    Message
    Vocals
    Dress code
    Video
    Mungu azidi kuwatumia

  • @dorahmghase
    @dorahmghase 16 дней назад +1

    Mungu awabariki sana,tumefurahi kwa memory hii ,Mungu aendelee kuwabariki ktk viwango vya juu

  • @aimeeamini615
    @aimeeamini615 Месяц назад +6

    Kongomani DRCongo tupo hapa, nyimbo la kutu sisitisha tuwe na Imani katika Kristo Yesu! Gongeni tupo sisi wa DRCongo

  • @johnpatrick2936
    @johnpatrick2936 Месяц назад +35

    Nimekuwa wa kwanza ku Vwe na ku Like😊

  • @JeremiahThomasObadi
    @JeremiahThomasObadi Месяц назад +12

    Nimeona KIPANDE alichoimba Marco nimeumia sana 🕊️😭💔

    • @glory4454
      @glory4454 Месяц назад

      Acha tu ndgu yangu marco anauma

  • @DeOgo-89
    @DeOgo-89 Месяц назад +11

    Hakika nawaambia sasa hivi wakenya watatuchukulia zabron singers wetu haya wa 🇹🇿 🇹🇿 like hapa. By the way hii video ndio nilikuwa naisubiria inakila kitu ujumbe mavazi mpangilio kila kitu mbarikiwe sana

  • @edwardrotich661
    @edwardrotich661 25 дней назад +1

    Jambo la maana sana kuweka kipande chake Marco Joseph, nawapenda zabron singers tuzidi kumtanguliza Mungu kwa vyote

  • @LiberathaBenjamin
    @LiberathaBenjamin Месяц назад +6

    Huo mstar wa marehem unagusa sana jamn😢😢

  • @nahumjohn6835
    @nahumjohn6835 25 дней назад +1

    Zabron singers asante kwa kupata nguvu tena.mungu awafunike na damu ya yesu.loving the song❤

  • @ruthnyambeki-k4h
    @ruthnyambeki-k4h Месяц назад +6

    I swear this has made my heart accept it happened
    Mungu awape nguvu ya kuhubiri injili
    Nice song be blessed Zabron singers

  • @SaSs-m7t
    @SaSs-m7t 28 дней назад +1

    Sema neno bwana hapa nilipo shida zangu zitakoma in Jesus name Amen Amen Amen what a beautiful song of ending this year mungu tumeona mkona yako ❤

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd Месяц назад +5

    Amen .. Nawapenda kutoka 🇰🇪🇰🇪 Mungu azidi kuwatia nguvu mschoke kumtumikia 🎉🎉🎉

  • @shiimwaniki2536
    @shiimwaniki2536 22 дня назад +1

    Ooooh my every Catholic knows this is the favourite part while receiving the Holy Eucharist , Lord, I'm not worth to receive you but just say a word and my soul shall be healed. Thanks Zabron

  • @Roseokongo355
    @Roseokongo355 Месяц назад +5

    Hapa nilipo shida zangu zitakoma,we thank God for the blessed song,be blessed zabron singers.

  • @Annastaciandungekamila-u1d
    @Annastaciandungekamila-u1d 8 дней назад

    Niko kutoka Kenya May Almighty bless them wanatufariji sana

  • @East_baby-i1z
    @East_baby-i1z Месяц назад +5

    Bwana tamka neno juu yangu❤. Tunawapendasan Kenya

  • @BoniphaceWambura-v6t
    @BoniphaceWambura-v6t 29 дней назад +2

    "Hakuna kama Mungu hii dunia, alitamka ikawa ikatokea, umbali tumefika, ni huyo yesu, asingekuwa Mungu nisingefka apa❤❤💘 R.I.P Bro Michael

  • @VitalisBasso
    @VitalisBasso Месяц назад +4

    Hazina yetu wenyewe 🇹🇿,
    Congratulations

  • @cynthiabrieannah8787
    @cynthiabrieannah8787 Месяц назад +2

    Wimbo mzuri sana..Tunawapenda sana huku Kenya❤🇰🇪❤️

  • @chadrackkayumba476
    @chadrackkayumba476 Месяц назад +5

    Nawapenda sana kutoka DRC na Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Marco 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @cheao2544
    @cheao2544 Месяц назад +2

    Nimerudia kwa mara ya tano huu wimbo.Kweli hapa nilipo shida zangu zitakoma.Tunawapenda kutoka huku Kenya🇰🇪

  • @LucasBraytony
    @LucasBraytony Месяц назад +5

    Aya tunagonga like apa special Kwa zabron singers na marco

  • @FloraObiero
    @FloraObiero 18 дней назад +1

    Mbarikiwe saana Zabron tunabarikiwa sana kupitia ninyi❤❤

  • @Lily-i1b
    @Lily-i1b Месяц назад +4

    Pongezi sana kwa kuweka marco mungu awabariki ❤❤❤

  • @KennyDarcyNSENGIYUMVA
    @KennyDarcyNSENGIYUMVA Месяц назад +2

    Ukisema neno Hapa nilipo shida zangu zitakoma .Amen

  • @Daicytoorop1
    @Daicytoorop1 Месяц назад +5

    Wow zabron singers ❤️
    Nilisubiria sana 🎉
    Nlidhani ntakua wakwanza jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤
    Kenyans🇰🇪 mko wapi

  • @SemeniNdunguru
    @SemeniNdunguru 20 дней назад

    congatulation zabron singers wimbo mzuri, Marco pmz kwa amn mtumish

  • @Migapogospel678
    @Migapogospel678 Месяц назад +4

    Waooh hakika mungu ametenda hii wimbo tumeisubili kwa mda mrefu n
    . Na Leo mungu ametenda jina la yesu libalikiwe
    #zabron singers nawependa mungu awatunze

  • @janeruchuiya6677
    @janeruchuiya6677 Месяц назад +2

    Hongera,picha imeshtua,mlienda Holy Land of Israel, blessed group

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula Месяц назад +4

    Waooo na me nimekuwa moja ya watu tuliowahi kuuangalia ule wimbo uliosubiliwa na watu kwa muda mrefu ❤❤❤ kwa Zabron Singers

  • @LucyEmojong
    @LucyEmojong 28 дней назад

    Kipande alichoimba Marco.....nimeumia..tuendelee kumuombea dada yetu Joan na watoto....

  • @WITINESSALUPHONCE-fz4ux
    @WITINESSALUPHONCE-fz4ux Месяц назад +4

    kupitua huu wimbo shidaa Zang zikakome kupitia jina la YESU kristo,, balikiweni zabron singers wote kwa kazi nzuriiii na yakupendezaa,, neno Moja tyuuuu marco endelea kupumzika bro takumiss Sanaa 🙏

  • @arnoldBenjamin-j8v
    @arnoldBenjamin-j8v 14 дней назад

    Hongereni Sana wadogo zangu Jeremiah,Noela,Eliza Nabarikiwa nanyi.

  • @Princess-Margie
    @Princess-Margie Месяц назад +5

    1:02 😢😢😢...May God bless you zabron singers🙏🙏

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 дней назад

    Wakenya tuko pamoja.Sisi ni ndugu.Mungu dumisha uhusiano wetu na waKenya siku zote .Wakoloni walitugawa.Tuendelee kuwa pamoja ndungu zanguni.Ninawapenda sana.Mimi nimesoma na Wakenya huko ughaibuni kwangu mimi ni kaka na dada zangu.❤Remain blessed my dear Kenyans🎉

  • @theburningspearfootballana1416
    @theburningspearfootballana1416 Месяц назад +8

    Thank you for preserving Marco verse...... i real love this song 🥰🥰🥰 and it`s blessing song to my soul

  • @RoselineOndieki-g8d
    @RoselineOndieki-g8d Месяц назад +2

    Hakika umbali tumefika ni Mungu tu.Tamka neno na shida zangu zitakoma bwana.Tuwe na uzoefu wa kuwa na Imani kama Akida.Mungu awabariki na awazidishie na ajaze pengo lililoachws na ndugu Marco Joseph🙏🙏❤️❤️

  • @NiccaSaua
    @NiccaSaua Месяц назад +3

    Oooh mungu awatunze daima Wimbo mzuri snaaa🎉🎉❤

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o Месяц назад +1

    Huu wimbo umenitoa machozi hasa nikikumbuka kifo cha zabron nakumuacha mke na watoto wangali wanamuhitaji. Mungu amlaze pahala pema peponi Ameen

  • @brianobaga3506
    @brianobaga3506 Месяц назад +7

    Kwa mimi kama mkisii msininyime likes kuna uwezo wiki haishi kama hatufiki 1million likes 👍

  • @Zenakitundu
    @Zenakitundu Месяц назад +2

    Asante Yehova wewe ndio kimbilio letu Mbarikiwe sanaaq nazidi kubarikiwa wimbo unaujumbe mzuri

  • @deborajacob3598
    @deborajacob3598 Месяц назад +7

    Tuliorudia mara mbili gonga like apa

  • @suzyzephania7770
    @suzyzephania7770 Месяц назад +1

    Amen. Hapa nilipo shida zangu zitakoma🙌

  • @FurahaGirl-f3m
    @FurahaGirl-f3m Месяц назад +3

    Wow Mungu awainue zaidi na zaidi

  • @EdnaTwara1
    @EdnaTwara1 Месяц назад +2

    Bwana Yesu, sema neno kwa maisha yangu. Shida zangu zitakoma.

  • @kaindifaith3927
    @kaindifaith3927 21 день назад +3

    Whenever I listen to Zabron Singers,I get this satisfying feeling:a feeling of contentment, happiness,my heart just blossoms. My mood gets elevated.
    Your music ministers to me in ways I just can't explain❤❤

  • @FurahiniSendongo-u1x
    @FurahiniSendongo-u1x 2 дня назад

    Kila kitu hapa nimependa hayo mavazi mmekuwa wabunifu hongreni sana

  • @karenkiogora9179
    @karenkiogora9179 Месяц назад +10

    From zero to hero ... Even if you feel like giving up just know thr is God how is in heaven... He see whatever you are going through .. it's just a test it shall come to pass... He's our everlasting God .... Take heart 2024 is still young to God he can make the impossible possible .. just be strong don't loose hope

  • @RaissaMoraNISHIMWE-qu3sr
    @RaissaMoraNISHIMWE-qu3sr 20 дней назад

    Asante sana kwa kazi nzuli Marco kaimba kwenye akida
    Marco endelea kupumzika kwa amani ya bwana yesu christo

  • @ElizabethMathiassalu
    @ElizabethMathiassalu Месяц назад +5

    Huu wimbo hakika unabaliki nilikuwa nawaza kwenye sauti ya Marcos nani ataoneka akiimba mungu mwema mumeweke vile mlivyo kuwa Kenya mungu awabaliki sana hakika mmemtendea haki Marcos ❤❤Amina sana

  • @LadisSamwel
    @LadisSamwel 15 дней назад

    Hongereni sana Wajoli wa Bwana, nabarikiwa naona Usajili umekamilika, hongerni kwa kupata wanachama wapya

  • @TabithaMiddle
    @TabithaMiddle Месяц назад +6

    Am a ugandan naye the way I love this zarbron singers.only still hurt without that missing person 💓💓 💓 🥂 🥂 May God bless the team 🙏🏽😊and provide you all with health and blessings 💞 💞 🙏🏽😊🙏🏽

  • @JepoitNgetich
    @JepoitNgetich 16 дней назад +1

    OMG! The out fit, the scenery and the message, ohhhh shida zangu zitakoma❤❤❤ Zabron all the way.

  • @veronicamahenge7256
    @veronicamahenge7256 Месяц назад +10

    Hayo mavazi yamewapendeza sanaa❤❤❤❤

  • @maryedson8097
    @maryedson8097 21 день назад

    Mungu akuinue zaidi mwanangu mzuri umenisuprise mama nilisahau kama huu nao niliimba pamoja na ww Yesu akutambulishe vyema kwa kadri ya utukufu wake mkuu nenda kafanikiwe nakupenda

  • @RoseMuya-l9r
    @RoseMuya-l9r Месяц назад +7

    JESUS sema tu neno moja l will be healed in Jesus name AMEN

  • @brightonmokua
    @brightonmokua Месяц назад +1

    Kwa kweli inaniumiza sana ninapoxikia iyo sauti ya Marco hki,,but nothing we can do,,continue shining

  • @MichaelAdonis-x4h
    @MichaelAdonis-x4h Месяц назад +4

    Mtafanya niende binguni
    Nikitaka kufanya dhambi mnatoa wimbo inaguza moyo😊❤

  • @irenemumbua2206
    @irenemumbua2206 Месяц назад +1

    Jamani Marco 😢huu ndio wimbo uliopendelea kushoot historia yako ya mziki itabaki kukumbukwa ....much love zabron singers🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @filaminenjeri2725
    @filaminenjeri2725 Месяц назад +14

    From Kenya ...who is here for marco😢😢 good song, am happy marco's part was still there...jamani marco endelea kupumzika

  • @elifarajajosephat8605
    @elifarajajosephat8605 18 дней назад +1

    Mungu azidi kuwainua watumishi❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ValentineWanyama-l1m
    @ValentineWanyama-l1m Месяц назад +16

    My marco😢😢😢 nakumiss,,,, thanks Kwa kuweka hio kipande cha marco

  • @florenceokullo6049
    @florenceokullo6049 Месяц назад

    Mbarikiwe sana nyinyi ni barua tosha ,,waimbaji sansana wanawake wanafaa waige mifano yenu ya kuvaa nawaheshimu sana hata mavazi yenu inaheshimu sana jina la Mungu❤❤

  • @Odila-de2ls
    @Odila-de2ls 19 дней назад +3

    Yani kama Akida bwana ukisema neno tu hapa nilipo shida zangu zitakoma....😢😢😢😢

  • @eunitahobegi9089
    @eunitahobegi9089 Месяц назад +1

    Kenya 🇰🇪 tunawapenda Sana ,hii wimbo unatubariki sana tunapovuka mwaka kwa neema za Mungu 🥰🥰