Nita drive by Zabron Singers (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2023
  • (c) MKONO WA BWANA
    Zabron Singers songs OUT WORLD WIDE ON MAJOR DIGITAL STORES
    onerpm.link/Ukosingle-Zabrons...
    Written by japhet zabron
    Follow zabron singers on
    zabronsingers?i...
    m. story.php?stor...
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 870

  • @chizapatient
    @chizapatient 6 месяцев назад +123

    Zabron tunawapenda DRC sana... Hakuna wakuwapinga East Afrika yote.
    Wanayo kubaliyana nami muniwekeye like 💪

  • @beldineayuma4545
    @beldineayuma4545 6 месяцев назад +388

    Amazing❤❤,on behalf of my fellow Kenyans,we love you very much,keep up the good work!❤️💖🙏🙏

    • @ZabronSingers
      @ZabronSingers  6 месяцев назад +40

      We also love kenyans

    • @beldineayuma4545
      @beldineayuma4545 6 месяцев назад +11

      @@ZabronSingers Asanteni sana!💖❤️🙏🙏

    • @vdjommy
      @vdjommy 6 месяцев назад +9

      @@ZabronSingers karibu kenya mombasa tuwaskie pia sisi

    • @antoniogangulagangula2948
      @antoniogangulagangula2948 6 месяцев назад +5

      Amém 🙏🙏

    • @sylviakissamunyole764
      @sylviakissamunyole764 6 месяцев назад +6

      And on behalf of Ugandans🇺🇬🇺🇬🇺🇬👏👏👏🙏🙏

  • @nickiemwenda
    @nickiemwenda 2 месяца назад +15

    Struggling very hard to make it but leaving this comment in 2024 believing one day i shall reread it when have made it🤲Grace upon my life🙏

  • @IvanMatingo
    @IvanMatingo 20 дней назад +1

    Huu wimbo hakika ni wa baraka katika maisha yangu first time niliusikiza mara kumi indeed you are just blessed the zabron singers🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉

  • @LorraineOchollah
    @LorraineOchollah Месяц назад +2

    Nitadrive kwa jina Lake Yesu....👏

  • @poullettebutuk7499
    @poullettebutuk7499 2 месяца назад +4

    The pain am passing through may Lord see me through 😢it isn't easy the song is a blessing 🙏

  • @dhuluufiklihassan537
    @dhuluufiklihassan537 6 месяцев назад +97

    As a Muslim am proud to say this song has blessed me because my new Prado TX will be arriving at the port on Tuesday next week....for sure nitadrive,,,,glory be to God

  • @nellyne4623
    @nellyne4623 6 месяцев назад +26

    Am writing this comment so that in five years l'll come and say this song was my manifestation 😊...... l'll drive, good life 😊.... don't keep quiet say it, claim it in Jesus name 🙏

  • @johnshimuda8331
    @johnshimuda8331 6 месяцев назад +9

    Wow wow wow sweet song nice video kama huu wimbo umeunda kwa %100 gonga like hata moja tuuuh kwa ajili ya wimbo mtam na waimbaji wenye quality ya juu

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 6 месяцев назад +16

    Hata mie Mungu baba nina ombi leo hii. Moyo umeumia na shida zimenisonga. Leo nakwambia shida zangu. Yabadilishe maisha yangu, nibariki na kanyumba kangu, kagari kangu, kiwanja cha kwangu niende benki nihesabu pesa zangu na niishi maisha mazuri❤

  • @pray_for_your_future_marriage.
    @pray_for_your_future_marriage. 6 месяцев назад +55

    Kenyans are the greatest supporters of Gospel music mostly in East Africa... They are the first ones to comment.. And it's a blessing 🙏

  • @vickymichael5059
    @vickymichael5059 6 месяцев назад +9

    mbarikiwee na Bwanaa🙏🏼🧎🏻‍♀️ nita drive na mm kabla mwaka huu kuisha 😊

  • @thearosisdiaries
    @thearosisdiaries 6 месяцев назад +2

    I will drive in the name of Jesus, hata vipesa vyangu nitavihesabu, Amina, wapi likes aki

  • @franksystem6779
    @franksystem6779 6 месяцев назад +13

    Hakika tumebarikiwa mnooo Mungu awatunze awalinde na azd kuwatumia nyimbo zenu zinatuponya zinatuinua zinatubariki nimefurahi kwann niume moyo wkt yesu upo nitafagia kanyumba kangu nitaesabu vipesa vyangu 😊😊😊 so powerful I receive it in Jesus name AMEN

  • @user-de9jn6np4z
    @user-de9jn6np4z 6 месяцев назад

    Nitadrive,nifagie na kanyumba kangu,niende benki nihesabu na vipesa vyangu.God here my prayers

  • @angelinechris
    @angelinechris 16 дней назад +1

    A Spirit filled choir indeed!❤.
    Can't stop listening, God bless you all.❤

  • @josephkaruga5495
    @josephkaruga5495 6 месяцев назад +30

    Wow what an amazing song... nitasema yote kwako Yesu be it my relationship, be it my life, be it blessings I.e nitadrive, nifagie kanyumba kangu, familia bibi mrembo na watoto finest, pesa nazo Kwa account God nakuaminia 🙏🏾🙏🏾

    • @cynthiabirech9365
      @cynthiabirech9365 6 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂it's Nini mrembo for me 😂😂she will come from God

    • @josephkaruga5495
      @josephkaruga5495 6 месяцев назад

      @@cynthiabirech9365 Nasiukue huyo mrembo 😂😂😂😂😂

    • @cynthiabirech9365
      @cynthiabirech9365 6 месяцев назад

      @@josephkaruga5495 😂😂😂😂😂😂

    • @josephkaruga5495
      @josephkaruga5495 6 месяцев назад

      @@cynthiabirech9365 😂😂😂😂

  • @katungwamwania8036
    @katungwamwania8036 6 месяцев назад

    Wow...wow...wow
    Hakuna kunyamaza tena....
    Kama batimayo nitaongea sijali watakalosema watu....
    Nitadrive...nitafagia kanyumba kangu....nitahesabu hela zangu...Amen.
    Kazi nzuri hapo. Mungu azidi kuwainua

  • @alphonsekiptoo9278
    @alphonsekiptoo9278 6 месяцев назад +7

    sending love from kenya, mimi nitadrive katika jina la Yesu

  • @edvangabriel7354
    @edvangabriel7354 6 месяцев назад +11

    Kuna vitu vingii NITADRIVE imebeba well done zabron singers Kwa kitu cha kutufanya tumwambie yeu haja zetu. I hope Kwa neno la Bwana soon NITADRIVE💪💪🙏

  • @zennqmwile
    @zennqmwile 2 месяца назад +1

    Mungu awe pamja nanyi tunawapenda sana janiiiii

  • @christinenyakio-bp1ke
    @christinenyakio-bp1ke Месяц назад

    Indeed ipo siku: nitadrive,,nifagie nyumba yangu,nihesabu vipesa vyangu....Mungu yupo❤. Be blessed zabron

  • @RosebellahNambiro-gf5ot
    @RosebellahNambiro-gf5ot 6 месяцев назад +1

    Nmependezwa vile mumevaa kishago😊kwanza wewe Victoria na huyo wa boda hongera sana na wengine wote

  • @eliadaroswe5025
    @eliadaroswe5025 6 месяцев назад +2

    Mshakoswa Cha kuimba nyie, rudini kwenye msingi acheni kuwa wahuni . Make siku hizi mnaimba vinyinbo vya ovyo kweli kama wasanii tu yaani. Au msajiliwe tu kwenye bongo fleva.

  • @janemwaka5917
    @janemwaka5917 6 месяцев назад +27

    Kenyans, let's gather here 🎉🎉🎉, this is a banger ❤

    • @janemwaka5917
      @janemwaka5917 6 месяцев назад +1

      Lazima tu drive 🎉🎉🎉
      Amen

  • @jacksonmagosha2621
    @jacksonmagosha2621 6 месяцев назад +4

    Wamerudi tena....kwaya yangu pendwa 😊😊😊

  • @godshealermukiteofficial4976
    @godshealermukiteofficial4976 6 месяцев назад +1

    Pia natumai siku moja mungu atatenda nipige na nyi collabo mi pia ni msaani wa nyimbo za injili 😢

  • @laurenciakulwa8529
    @laurenciakulwa8529 6 месяцев назад

    Yanini niumie moyo hata ucjal❤️❤️❤️❤️wakati yesu upo🙏🙏🙏🙏Naamini we upo❤️🙏❤️🙏

  • @YohanaTanika-ff2vf
    @YohanaTanika-ff2vf 4 месяца назад

    Hongereni sanaaaa kwa wimbo mzuri, MUNGU awabariki,, napenda nyimbo zenu maana nyingi zinanigusa sana ikiwemo na za japhet zabron

  • @carolmmamatugi7515
    @carolmmamatugi7515 6 месяцев назад +7

    I dedicate this song to all kadama's working in gulf much love❤❤❤❤❤❤ tutadrive na tutafagia manyumba yetu tutaenda mabank na tuhesabu mapesa yetu shout out a big Amen.

  • @florencenjeri4246
    @florencenjeri4246 6 месяцев назад +55

    On behalf of Kenyans..this is pure talent,.. great music❤❤❤

  • @ruthwairimu9592
    @ruthwairimu9592 6 месяцев назад

    Amen Amen nitanunua kashamba mwanxo ndio ni drive badae in Jesus NAME

  • @user-kt4bm2xj1c
    @user-kt4bm2xj1c 2 месяца назад +1

    Mungu azidi kuwajalia afya njema❤❤

  • @user-mw9pr3gv1f
    @user-mw9pr3gv1f 6 месяцев назад

    Nitadrive, nifagie na ka nyumba kangu, niende bank nihesabu na vipesa vyangu in Jesus name Amen🙏

  • @GloryJohn-ll3no
    @GloryJohn-ll3no 5 месяцев назад

    Yanini niumie moyo wakati yesu upo
    Good songs ,mbarikiwe wapendwa

  • @matengapaul762
    @matengapaul762 6 месяцев назад

    Hakika munajuwa kubariki mpaka uvunguni mwa mioyo ya watu hakika mungu ni mkuu na mnajuwa kuvaa uhusika
    Shikamooo
    Shinyanga

  • @wilkistermongare9914
    @wilkistermongare9914 6 месяцев назад +18

    Nitadrive na kufagia kanyumba kangu in Jesus name
    Be blessed guys for the encouraging song

  • @Roseokongo355
    @Roseokongo355 6 месяцев назад +89

    Amen,I will drive in Jesus Name,glory be to God,thanks Zabron for the encouraging song.

    • @SMAamimo
      @SMAamimo 6 месяцев назад

      ruclips.net/video/HsVfkj4MLwc/видео.html

    • @ViviankwambokaMogoa-gt8dj
      @ViviankwambokaMogoa-gt8dj 6 месяцев назад

      Kweli I don't know what to say but mumenitia moyo.sana thanks for the nice song love you more

    • @daisywangila6285
      @daisywangila6285 5 месяцев назад

      T5

  • @patrickalvin4537
    @patrickalvin4537 Месяц назад

    Mungu awabariki wapendwa katika christo tunawapenda sana hapa Zambia

  • @loycejames
    @loycejames Месяц назад

    Nita drive,niende benki na na nijeenge kanyumba kangu,kwa jina la yesu🙏

  • @annnkirote3006
    @annnkirote3006 19 дней назад

    I manifest in Jesus Name 🙏. Amen . Great, happy life is my portion.

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 6 месяцев назад +7

    The creativity behind this video is remarkable 🙌🏽🙌🏽🙌🏽💯❤️
    Mmeonesha ualisia wa mangaiko ya wengi ya kila siku.
    Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri
    Tunawapenda sana ❤️🇨🇩🇨🇩🇺🇸

  • @LizyPaulo-no7yq
    @LizyPaulo-no7yq 6 месяцев назад +2

    #wakt Mather mwaipaj anaomba kufundishwa kunyamaza cc uku hatutanyamazaaaa and we all praying the same God

  • @salomekibugi3721
    @salomekibugi3721 6 месяцев назад +3

    Amina 🙏 Nitadrive katika jina la Yesu, upendo kutoka Kenya 🇰🇪

  • @user-rf2rp3vq3k
    @user-rf2rp3vq3k 6 месяцев назад

    The song amazes me with the point it says that 'ya nini niumiee moyo wakati Yesu upo'

  • @paulynmmost3625
    @paulynmmost3625 4 месяца назад +3

    I proclain time like now next year i will be here driving my very own
    Sinyamazi ntaongea
    From kenya much love

  • @malifedhamachimu4882
    @malifedhamachimu4882 6 месяцев назад

    Mungu awabariki watumishi wa bwana Mungu huwapa vitu vzr hamnaga kazi mbovu... ushauri lekebisheni kidgo kwenye digatl yaani wimbo ukitok tu immediately ufike kila konaa

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr 3 месяца назад

    Kwanini Niumiy nawewe MuNGu upo naamini Iposiku MUNGU Atayafuta machozi ❤❤❤❤❤yangu 🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️

  • @eastermuhange9154
    @eastermuhange9154 6 месяцев назад

    Sichok kuisikiliza hii nyimbo Kila siku naipenda sana inaujumbe mzur mno Mbarikiwe sana

  • @kennykibzofficial
    @kennykibzofficial 6 месяцев назад

    Mambo makubwa Ambayo Mungu anaenda kunitendea ni makubwa ...
    Nitadrive, nijenge ghorofa, nipate vipesa niweke bank

  • @bimenyimanaelyse370
    @bimenyimanaelyse370 6 месяцев назад +5

    I'm th First to watch it. Be blessed my beloved choir

  • @danrappergangamaa1190
    @danrappergangamaa1190 6 месяцев назад +2

    Dk chache imenivutia zaidi kusikiliza na kichwa cha wimbo, mmeenda na vile muda unavyotaka.

  • @faidafatuma
    @faidafatuma 6 месяцев назад +3

    Yesu upo me sijali ya wanadamu, barikiwa sana kabisa.

  • @muungwanafelix2462
    @muungwanafelix2462 6 месяцев назад +2

    🙏Sitanyamaz kumweleza YESU
    chukuen maua yenu zabron singers💯

  • @batildamahundiofficial9400
    @batildamahundiofficial9400 6 месяцев назад +3

    Ubalikiwe kamanda wa yesu ubalikiwe sana mpaka ushangaee kazi Yako njema sana

  • @helenoneya
    @helenoneya 6 месяцев назад +4

    This is a good and inspiring song.nitadrive in Jesus Name nitafagia nyumba yangu sio za wengine in Jesus Name

  • @HoseaSasuma-bz2wd
    @HoseaSasuma-bz2wd 6 месяцев назад +3

    Nazid barikiwa Sana hasa na Dada angu Lea Thomas hakiwa hapa mmoja wa kwaya

  • @user-ip4gy3td7z
    @user-ip4gy3td7z 3 месяца назад

    Kwanini niteseke na Yesu yupo, thank you Zabron singers.

  • @andrewsifuna5673
    @andrewsifuna5673 6 месяцев назад +15

    Hallelujah:wimbo huu ni nzuri Sana Mungu azidi kuwapa nguvu
    Hata Mimi naamini Nita drive in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🇰🇪

  • @maryk938
    @maryk938 6 месяцев назад +28

    New anthem in this tough times. Thank you Lord.

  • @shiftinggrades
    @shiftinggrades 6 месяцев назад +4

    From Kenya.... Wapi likes lovers of Zablon Singers❤❤

  • @fridamsuva4945
    @fridamsuva4945 6 месяцев назад

    Waoooooo amazing song mzidi kubarikiwa wana wa Mungu naipenda sanaaaaaa huduma yenu

  • @evodiadominicpaul5006
    @evodiadominicpaul5006 6 месяцев назад

    Mazingira safi sana,, ya kazi za watu wengi,
    Mbarikiwe sana Zabron singers

  • @danielonkware5209
    @danielonkware5209 6 месяцев назад

    Najua hamjaambiwa Shusho anakuja Kenya you guys should tag along. You really bless me😊

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 6 месяцев назад +3

    Wimbo mzuri.barikiwa sana Mr zabron na group lako

  • @Josedozzycomedy1032
    @Josedozzycomedy1032 6 месяцев назад +2

    Wapi likes zangu wadau , this song is incouraging

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 5 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤ Amen watumishi wa mungu hongereni sàna 🇰🇪

  • @carolineomori1032
    @carolineomori1032 6 месяцев назад

    Amen amen. Nitaseka kwa Yesu shida zangu zote

  • @user-gd7yr5gr9n
    @user-gd7yr5gr9n 2 месяца назад +1

    Kwa nini niumue moyo, nichekwe, na kudharauliwa wakati yesu upo. Naamini na mimi mwaka huu nitadrive kwa uwezo wako yesu wangu

  • @Map111T
    @Map111T 6 месяцев назад +3

    Surely what a wonderful song.Aki hii imewahi.lazima ishike ... 👌👌👌👌👍

  • @mariammaregesi3886
    @mariammaregesi3886 6 месяцев назад +1

    Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya tofauti. Nimebarikiwa na ujumbe mzur

  • @jentrixjuma131
    @jentrixjuma131 6 месяцев назад +1

    Nitadrive na nifagie kanyumba kangu,niende benki nihesabu pesa zangu.Amina

  • @shadikarocho6450
    @shadikarocho6450 6 месяцев назад +6

    Niko hapa kuwakilisha batimayo wa leo💪💪💪 nipewe like

  • @RisikiMsinga-lm1xv
    @RisikiMsinga-lm1xv 6 месяцев назад

    Napenda nyimbo zenu keep up the good work Mungu awaongezee

  • @jacintanekesa4843
    @jacintanekesa4843 6 месяцев назад

    Yes,yes nita drive,nitajenga nitaenda benki nihesabu na pesa zangu🙏🙏🙏

  • @NteguzaFanny-zf7qm
    @NteguzaFanny-zf7qm 2 месяца назад +1

    ❤❤❤ all Rwandan we love zabron too much!

  • @printcity7004
    @printcity7004 6 месяцев назад +1

    hiii nyimbo imenisisimua sana kwa kweli.. Mungu awalinde mzidi kutuokoa na tujue mtetezi wetu yupo hai kupitia nyimbo zenu...

  • @audacenibaruta.
    @audacenibaruta. 6 месяцев назад +1

    Vipesa vyangu benkini nivihesabu 😂❤ nami.Yesu hunitakia maisha mazuli.

  • @philbertniyokwizera3208
    @philbertniyokwizera3208 6 месяцев назад +31

    In Burundi we are following the very good gospel messages from Zabron singers. May God bless you. I will also drive in the name of Jesus Christ.

  • @shamimkamamms4001
    @shamimkamamms4001 6 месяцев назад +2

    Revelation of my life,i ll drive and have all good things, good health happiness,peace ,joy and soft life in the mighty name of God amina🙏

  • @glorykamenya2543
    @glorykamenya2543 6 месяцев назад +2

    Amen kubwa , barikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @fredkikanai-ox4qe
    @fredkikanai-ox4qe 5 месяцев назад +9

    As a Maasai We are Much proud of you May God Continue Grant you Favour and keep glowing 🙏🙏

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta 2 месяца назад

    Hiii ni nzuri mno hapo kwenye kufagia na kanyumba kangu mmeweza sana big up ticher kwa kufikiria

  • @mussespm5612
    @mussespm5612 6 месяцев назад

    Jmn wimbo umenibariki sana😊😊😊😊 nawapenda zabron singers Mungu azidi kuwainua daima

  • @salomewamboi3150
    @salomewamboi3150 6 месяцев назад +4

    Utunzi mzuri sana, wimbo mtamu sana, Mungu awabariki sana mdrive nyote kila mmoja na gari lake,mpate hata ndege🚙🚚🚗🚁✈️🚀🛫 Kenya tunawapenda❤❤

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 6 месяцев назад +1

    Mungu awabariki sana nawafatilia kutoka Dubai Bwana awabariki sana

    • @witnesssitta6722
      @witnesssitta6722 6 месяцев назад

      Seba amsungulile lubango baba ba ng'wamulungu namtogilwe nonono!!!.

  • @nancykendi9418
    @nancykendi9418 6 месяцев назад +23

    Zabron singers never disappoint.Thanking God for you.From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love.

  • @perpetuadalei2405
    @perpetuadalei2405 6 месяцев назад

    Woooow ya nini niteseke wakati Yesu yupo jamaniiiii🎉❤

  • @godshealermukiteofficial4976
    @godshealermukiteofficial4976 6 месяцев назад +1

    Amen 🙏,zabron singers , nyimbo zenu huniiinua sana ki Imani wakati mwingine napitia mengi natamani kukata tamaa ,lakn nyimbo zenu hunipa nguvu 😢

  • @samuelnjoroge2571
    @samuelnjoroge2571 5 месяцев назад

    Nita drive...naamini nita drive ❤❤. Wimbo mzuri huu

  • @agasarorahma7100
    @agasarorahma7100 6 месяцев назад +5

    Zabron singers nawapenda sana!! I am from Rwanda

  • @peterkkalongo3756
    @peterkkalongo3756 6 месяцев назад +50

    Kenyans gather here and support this ministry ❤🎉

  • @user-hl6uf8id1v
    @user-hl6uf8id1v 5 месяцев назад +2

    My prayers 2024 in Jesus.You really bless us.God see you through

  • @maureencheptoo6633
    @maureencheptoo6633 5 месяцев назад +9

    My new favorite song it reminds me that no situation is permanent.We'll get there with prayers and persistence ❤

  • @aminafrancismwandu5789
    @aminafrancismwandu5789 5 дней назад

    Wimbo Mzuri ✍️ Hongera
    Sana mtunzi Wa Shairilenye falaja ya mafanikio 💯🔥🔥

  • @gaspardmukombo1827
    @gaspardmukombo1827 4 месяца назад

    Lubumbashi, drc tuna jengwa n'a nyimbo izi

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 6 месяцев назад +3

    Nawapenda sana Zebron's family,ata na mimi nita-drive,nifagie nakanyumba kangu,niende banki nihesabu navipesa vyangu🎉🎉🎉your songs make me happy everyday❤❤❤❤

  • @user-nd9gk6ed6m
    @user-nd9gk6ed6m 2 месяца назад

    Nita drive na kufagia kanyumba kangu ii mwaka kwa jina la mungu

  • @queenwere1
    @queenwere1 6 месяцев назад +1

    Nita drive na nihesabu vipesa vyangu. Nifagie linyumba langu 😅😅😅

  • @user-cq7oi2xv6i
    @user-cq7oi2xv6i 4 месяца назад +1

    Ni kweli ukimya wakati mwingine ni kikwazo, unabaki unaumia moyoni😢balikiwa na wimbo huu...