Heeeeee fire 🔥 Mimi ni yule mtoto wa Mungu, anaye pendwa na Mungu, uki ni gusa uta pigwa na Mungu, chini juu katuleta Mungu.Akika 😍 Mbarikiwe Wapendwa 🇨🇩
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN Just bumped into this wonderful Mkono wa Bwana arangement - ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
Kwa kweli Sauti yako Marco inakosekana...ni ngumu kumeza na kuamini..ila Yohana 14:14 itutie nguvu...wana Zabron mna kipaji kikubwa na kipindi hiki neema ya Mungu ikawatoshe sasa na kuendelea.
Hakika! mimi ni yule amependwa na Mungu!!! Baba zidi kunibariki, nitendee wema na miujiza kila siku,hata katika mwaka mpya 2024 nitazidi kukutumainia, 🙏 Amen!
Nmehitimu udaktari wiki uliopita na kwa sasa niko katika harakati ya kutafuta kazi,,,wimbo huu pamoja na video imenikuza na kunipa hisia ni kana kwamba ni mimi napitia haya.Hata hivyo ninaamini baraka za Mungu ziko pamoja nami na mimi ndio yule.... 🎉🎉🎉🎉,wimbo nzuri sana inanibariki kwa kweli❤❤❤
This is my Theme Song for 2024♥️♥️ What a beautiful song ! May the Lord Almighty continue using you in a mighty way to uplift souls and Praise Him. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN Just bumped into this wonderful Mkono wa Bwana arangement - ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
Hakika na kweli kabisa, ss ndio wale watoto wa Mungu, hichi kipaji Mungu akikuze daima na milele , Zabron singers mmebarikwa sana na mnatubariki pia na sisi kwa jumbe zinazogusa mioyo yetu. Yesu awatunze daima. ❤❤❤❤
Heeey. This one is a good one. Zabron Singers have my best team over the past year and this year is no different. I would like to big up to the second soloist in verse 1❤...though simjui jina... Victoria, Japheet, Marco, pamoja na wengine Mungu awabariki sana, aki nawapendaaaa...
This song is my favorite. I am playing on repeat. Sending you immense love from Kenya. You are the best choir from south of Limpopo to North of Sahara. God bless you so much.
One does not need to understand Swahili to appreciate the beautiful music produced by Zabron singers. I first came across a you tube clip of theirs, a couple of months ago when they were performing in Kenya. Although I do not speak the language the three words Bwana, Asante, and Mungu was enough to let me know they were singing about God. I've been listening to and enjoying their music on Spotify, Sound Cloud, and you tube eversince.@@VerahMwamburi5569
God has abundantly blessed you people with this talent!!! I love your songs very much 😍😍❤️. They don't follow the normal flow of SDA type of a song. Barikiwa mpaka mshangae. Let the name of the LORD be praised.
I continue to shed tears for the repose of my friend in Christ, even though I didn't understand the language. Yet the music lifts my spirit. May God receive you and show you mercy. Amen
Kenyans!!🇰🇪🇰🇪lets gather over here and show the world that we love and appreciate such amazing content❤🎉🎉🎉
Baraka tena MUNGU AZIDI KUWATENDA MEMA ZABRON SINGERS
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=YNHPo3oE1jsll8KN
Ofcourse. We worship one God. In spirit
❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True
Any Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 in the house, please don't pass without liking my comment 😁😁
Zabron you are amazing!!! Where are the songs of the Old zabron that you use to sing at the church those days
Here from Tz ningependa tuungane East africa nzima🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇧🇮 kuwapa pole ndugu zetu Zabron singers kwa kumpoteza mpendwa wao Rip Marco joseph
From Kenya our condolences dears. Take heart...
Poleni san😢😢😢 from 🇧🇮
From Kenya poleni sana ,zabron singers
From Kenya my condolences ❤
Amen
Who is here after passing on or Marco😢 Continue resting well brother.
im here too
Here too
Zabron uwa mnanibaliki sana nikisikia wimbo mpya najua nyie mafundi sana nipe like za zabron hapa zote 🎉🎉🎉🎉 from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni kweli hiyo
❤🎉
Jamaniii huuu wimbo baraaaa, mzur kuliko yoooote mlowah imba❤️❤️❤️❤️, Mungu awainue zaid
😅😊😊😊
Let me leave this like her so when someone likes I be reminded of this masterpiece GOD bless u all
Hakuna Mungu kama wewe... Eeh eeh. Glory be to God 🎉🎉
Zabron more lifting in Jesus Name 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mimi ni muislam lakini Hawa waimbagi nawapenda sana napenda ngoma zao zote Allah awazidishie miala mingi love from Kenya 🇰🇪🇰🇪X🇹🇿🇹🇿
Waimbagi😮😮
Karibu ukiristo dada
Chai🎉 what a master piece 🎉❤hakika tunapendwa na MUNGU 🇰🇪💕🇰🇪🇰🇪💕
Heeeeee fire 🔥 Mimi ni yule mtoto wa
Mungu, anaye pendwa na Mungu, uki ni gusa uta pigwa na Mungu, chini juu katuleta Mungu.Akika 😍 Mbarikiwe Wapendwa 🇨🇩
😊😊
I love ❤ the way Zabron sing with passion and humility is just amazing. With lots of love from Kenya🇰🇪 in diaspora US🇺🇸 AMEN 🙏🙌
I love how Kenyans 🇰🇪 support our Music. Be it secular or Gospel...
we support when the music is good kama hii
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
Just bumped into this wonderful Mkono wa Bwana arangement -
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
Kenya tumeokoka siku hizi
E🎉@@michaelongoro855
ruclips.net/video/1pmcn4lQL6s/видео.htmlsi=laLLbpIHlQA6q_gU
A Beautiful "Mkono Wa Bwana" arrangement by Angazisha Performing Arts
Alafu for the longest time nimekuwa jobless 😮and Leo asubui was going for an interview..na lemme tell nimeona mkono wa mungu😢
God's grace, ❤
Mtoto wa Mungu
Amen
Amen
.... ukitugusa utapigwa na Mungu! Chini juu katuleta Mungu, sio mchezo kupendwa na huyu Mungu.
Congratulations zabron Singer am much blessed
Kwa kweli Sauti yako Marco inakosekana...ni ngumu kumeza na kuamini..ila Yohana 14:14 itutie nguvu...wana Zabron mna kipaji kikubwa na kipindi hiki neema ya Mungu ikawatoshe sasa na kuendelea.
WooW! Our favourite team jesus from Tz sending ❤from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love the message sio mchezo kupendwa na Mungu ,
Apart from kuimba ,ona vile ni warembo,,,na wanajua kuvaa nguo za heshima,God bless you Z,singers.
Wana wa Mungu
❤❤great music napenda tuh ambavyo sabato yangu imeanza
Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu
Na hapa tulipo katuweka Mungu
Hakuna Mungu kama huyu Wetu
Love from North Carolina USA, from Tanzanie 🇹🇿.Nawapenda sana
Yeeeeees from kenya machakos sending BLESSINGS TO YOU tz brothers and siters@ZABRON WE LOVE YOU
❤❤❤ when you touch me you will be beaten by God
I'm bless by this Gospel song. From Nigeria 🇳🇬
Ameen, hakika Mungu anatupenda. Ahsante sana kwa ujumbe, Mungu awabariki watumishi.
Hakika! mimi ni yule amependwa na Mungu!!! Baba zidi kunibariki, nitendee wema na miujiza kila siku,hata katika mwaka mpya 2024 nitazidi kukutumainia, 🙏 Amen!
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤we love ❤️ the content
Nmehitimu udaktari wiki uliopita na kwa sasa niko katika harakati ya kutafuta kazi,,,wimbo huu pamoja na video imenikuza na kunipa hisia ni kana kwamba ni mimi napitia haya.Hata hivyo ninaamini baraka za Mungu ziko pamoja nami na mimi ndio yule....
🎉🎉🎉🎉,wimbo nzuri sana inanibariki kwa kweli❤❤❤
Sisi ndio wale
Watoto wa mungu like 1000 🙏
Sisi ni wale watoto wa Mungu ukitugusa utapigwa na Mungu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nawapenda sana wandugu toka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮Japhet you make me happy for your voice❤❤❤❤❤
Pole kwa familia ,wanazabron ,Tanzania nzima na hata sisi hapa .Mungu awe nanyi
Wajomba wangu never disappoints,,, sisi ni wale tuliopendwa na Mungu...
Upendo na baraka tele wajomba
Much love from Kenya
Be blessed zabron we love you guys much love from Kenya
Waaaaaaaaaaaw Zabron Singers! Kila wakati mwaubariki sana moyo wangu. Twawapenda sana huku Kenya, enendeni wanetu wana Zabron, kazi nzuri sana
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=YNHPo3oE1jsll8KN
Am Kenyan. This is the best composition of the decade. Big up Zabron singers!
As an orphan I relate it kabisa ...Mimi Ni yule mtoto wa Mungu...Ni mboni la jicho lake.
This song should be a hit. As Kenyans we always say, 'Ni God manze'.
I pray for you zabloon singers always u sing until the end
..protection and long life.
This is my Theme Song for 2024♥️♥️
What a beautiful song !
May the Lord Almighty continue using you in a mighty way to uplift souls and Praise Him.
Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Me too
ruclips.net/video/1pmcn4lQL6s/видео.htmlsi=laLLbpIHlQA6q_gU
A Beautiful "Mkono Wa Bwana" arrangement by Angazisha Performing Arts
Congratulations my best choir ever all the way from spain 2:35 🎉🎉🎉
We ,the Kenyan team ,own you people in our hearts❤.Powerful ministering.🎉
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
Just bumped into this wonderful Mkono wa Bwana arangement -
ruclips.net/video/d3dMe3sA6qg/видео.htmlsi=tA8DqaWJqsVkBgrN
ruclips.net/video/1pmcn4lQL6s/видео.htmlsi=laLLbpIHlQA6q_gU
A Beautiful "Mkono Wa Bwana" arrangement by Angazisha Performing Arts
Hakika na kweli kabisa, ss ndio wale watoto wa Mungu, hichi kipaji Mungu akikuze daima na milele , Zabron singers mmebarikwa sana na mnatubariki pia na sisi kwa jumbe zinazogusa mioyo yetu. Yesu awatunze daima. ❤❤❤❤
Hawa ni wale marafiki. We are always blessed by their great praise. What a declaration, ati hakuna Mungu kama wewe 👏👏👏🇰🇪
Daaah mpak rah et ,mbarikiw san Zabron singers kwa kuiwakrisha East Africa vyema,kwel na Mungu azdi kuwalinda vpaj vyen vispotee
Tunapendwa sana❤naye trop de love pour toi mon sauveur
I play this song over n over n over ! Mazuri ya huyu yesu... Tunalindwa tunapendwa !❤❤❤❤❤
Heeey. This one is a good one. Zabron Singers have my best team over the past year and this year is no different.
I would like to big up to the second soloist in verse 1❤...though simjui jina...
Victoria, Japheet, Marco, pamoja na wengine Mungu awabariki sana, aki nawapendaaaa...
Sio mchezo kupendwa na huyu Mungu ❤ ❤❤
Ugandans,!let us gather likes for this beautiful, blessing,and healing chior of Zebrons singers 💃💃💃🔥👏🇺🇬🙏🙏🙏❤❤❤
Congratulations once again Zabron
This song is my favorite. I am playing on repeat. Sending you immense love from Kenya. You are the best choir from south of Limpopo to North of Sahara. God bless you so much.
Jamani sijawahi kupata hata like 1 kwa zabron singers naacha comment hapo
What do u mean please
Umeimba Wewe?
Barikiwa❤
😂😂😂@@elishakayagwa9371
😂😂@@elishakayagwa9371
You people are blessed
Poleni Sana.till nimekuja kutafuta nyimbo zenu.ooo yu are great choir.
May God console yu
Let's come here, Kenyans 🇰🇪 🇰🇪 ....sisi ndo wale watoto wa Mungu, na mtu akituguza atapigwa na Mungu😊
Guys let's gather here and appreciate this great choir for this amazing piece of song🎉🎉
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=YNHPo3oE1jsll8KN
Nice
This guy was battling heart problem in silence...his pple did not understand why he liked singing about the healing of the heart
From Nigeria ❤
How do you understand swahili
One does not need to understand Swahili to appreciate the beautiful music produced by Zabron singers. I first came across a you tube clip of theirs, a couple of months ago when they were performing in Kenya. Although I do not speak the language the three words Bwana, Asante, and Mungu was enough to let me know they were singing about God. I've been listening to and enjoying their music on Spotify, Sound Cloud, and you tube eversince.@@VerahMwamburi5569
Sisi ndio wale tuliobarikiwa na Mungu, in other versions. Well done. Wapi likes za +254
It's a good song. Congratulations zabron singers keep it up. We love you❤❤❤
Wow,good song be blessed zabron singers
Irember this family left in California.their house and property.amen nothing like the salvation and faith of Jesus Christ.❤❤❤❤❤❤
Hongera sana zabron singers mungu azid kuwabariki na kuwainua viwango vya juu nawapenda sana❤msichoke kutumikia kazi ya MUNGU 🙏
Amen,we are loved by God,Glory be to God,thanks zabron singers for the touching song to us,be blessed brothers and sisters.Amen.
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=YNHPo3oE1jsll8KN
God has abundantly blessed you people with this talent!!! I love your songs very much 😍😍❤️. They don't follow the normal flow of SDA type of a song. Barikiwa mpaka mshangae. Let the name of the LORD be praised.
My best choir in East Africa love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼
Hapo kweny hakuna mungu kama wew madame na japheee mmeuwa🙌🙌🙌
Deus seja louvado e Ele continue abençoando esse abençoado grupo de louvor!!!!!! (Bahia-Brasil).
ruclips.net/video/tYkF9rno8wM/видео.htmlsi=YNHPo3oE1jsll8KN
Love from Rwanda-Kigali
A Nigerian 🇳🇬 watching always. I love them.
I continue to shed tears for the repose of my friend in Christ, even though I didn't understand the language. Yet the music lifts my spirit. May God receive you and show you mercy. Amen
Lakini kwa kusema ukweli tu watanzania hatari kwa gospel walai 🙌🏾🔥💯🇰🇪🇰🇪
My favorite choir from tz always, be blessed my choir
Always the best,Zabron singers congratulations 🎉🎉👏.God bless 🙏 Amen 🙏
What a song to listen to this morning. Thank you Zabron for always uplifting souls out here. Blessings ❤❤❤❤
Jmn jmn Mungu awaweke maisha marefu nyimbo zinabariki mnooo 😊😊😊
yap yap another hit song in the city, 💪🔥🖐️ congratulations to you zabron singers
Waooh so talented Ride on Zabron Singers ,bless u.
Congratulations..keep going zabron singer's 🎉
Me what makes me wonder ni views kuwa mingi more than the likes,,,let's like the song please for many people to be reached by the aong
Beautiful song.....God bless you my sister's n brothers
Haleluya. Bwana aendelee kuwatumia katika hii ministry ya uimbaji kwa ajili ya utukufu wake...
Poleni kwa msiba,nyimbo zenu ni nzuri kiukwel mna kipaji ❤❤❤
I love Zabron Singers. Nimeona mkono wa Bwana, my zikiza tune
This choir wow they are 🔥, if u find them live singing 🎶 weee you can enjoy alot ooooh am lucky i met them at kiambu 2017❤❤❤
Did somebody hurriedly steal this content and published as own????
God bless you ambassadors of Jesus
iwe ni shida na magonjwa mr Marco ❤ more
When deeds in sabato is uphold see with zabron Singer s it's with it's nature souls healing
Waaaapi yule binti mdogo? Aliyewai kuimba katika NAKUTUMA WIMBO....I miss her...this is a good song. Congratulations team Zabron ❤
Mhhh muulize japhet kashampiga na kitu kizito
Much love from Kenya . Tanzanian are just too good in music. Kiswahili kitukuzwe.
Sisi ndio wale twapendwa n Mungu🙏🙏🙏Zabron Singers u guys mumebarikiwa sana and ur amazing 2 ❤❤🥰🥰 much love from kenya🫰🫰
Much appreciated, much love from Jerusalem
He always sing about moyo as if he knew what will kill him💔😥 goodnight Marco till next life 🕊️ from Kenya 🇰🇪 team zabron may the lord strengthen u
I wonder .. alafu parts zote alizoimba ni kama zina relate kabisa na moyo💔💔. Apumzike kwa amani
Mbarikiwe sana ndugu zangu, kazi yenu njema.
Continue resting in God's hands Marcos 🕊️it's 20th Dec who is here with me
Here in Zimbabwe we are singing hakuna mungu kama wewe❤
Listening and watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I like and enjoy this song .Wonderful message.Keep it up Zabron Singer’s