VICTORIA AONGEA KWA UCHUNGU WOSIA ALIO ACHIWA NA MARCO WA ZABRON SINGERS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 71

  • @joyceMutai-x6f
    @joyceMutai-x6f 5 месяцев назад +11

    Poleni poleni sana. Sio rahisi lakini Mungu atawafariji. Kutoka 🇰🇪

  • @estheremmanuel8674
    @estheremmanuel8674 5 месяцев назад +9

    Ila waandishi wa habari jamn hamuwahurumii kila siku mnawahoji mnaona ni fashion au hadi mnaboa yaan. Watu wanamachungu kila wakati maswali hayo hayo duuu. Polen sana Zabron family Mungu awatie nguvu awape faraja.. pia tunamuombea MARCO APUMZIKE KWA AMANI🙏🙏🙏

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 5 месяцев назад +3

    Mwandishi mmbea sana huyu,umeshajibiwa na Japhet maswali hayo,umeenda kwa kaka wa Marcos, kaka kajieleza vizuuuuuri,lkn bado unauliza mwaswali yaleyale.Pole kaka mwaya,Mwenyezi MUNGU akupe neema ya kuwa na kiasi.

  • @RumiSimkanga
    @RumiSimkanga 5 месяцев назад +1

    Hakika inauma sana jaman, bora Marco amefaliki akiwa mikononi mwa mungu hata mim nataman hvyo jaman

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 5 месяцев назад +29

    Si muwapumzishe hawa watu jaman mmewahoji vya kutosha au ndio kufa kufaana😏😏😏

    • @MacrinaCaesar
      @MacrinaCaesar 5 месяцев назад +2

      Yaani wanakera sana.msibani mahojiano saa nzima😢

    • @JackieJacky-u2b
      @JackieJacky-u2b 5 месяцев назад +1

      Aky ni ukweli unaumwa unaojiwa amna rohoo 😢😢😢

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 5 месяцев назад +1

      Halafu anamwambia HESHIMA yako,ndo ajibuje jamani? Kwani ukimsalimia shikamoo au habari za saivi unapungukiwa na Nini?!😢

    • @frankmlalila1705
      @frankmlalila1705 5 месяцев назад +1

      😢😢😢😢😢

    • @qatatvip5451
      @qatatvip5451 5 месяцев назад +1

      Wana habari wajinga wanaudhi😢😢

  • @hellenochieng7008
    @hellenochieng7008 5 месяцев назад

    Poleni sana zabron mungu atawafariji

  • @MaikoPaul-z8m
    @MaikoPaul-z8m 5 месяцев назад

    @maikopaul🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 dah pole San ndugu zangu mungu atawa mkono❤❤❤mbele etu nyuma yake

  • @LucyElirehema
    @LucyElirehema 5 месяцев назад

    Mungu awapiganie sana nafasi lliyobaki mungu awalinde maombi yangu ninayo muomba mungu kwa ajili yenu🙏🙏🙏

  • @LilianKila-br2md
    @LilianKila-br2md 5 месяцев назад +1

    Kwanza poleni sana,,kiukweli inaonekana ni kana kwamba si viziri kuwahoji kwa wakati huu lakini kwangu mm nivizuri ndio waongee yalio miyoni mwao ndio iweze kuwatoka maana hakula siku nyingine watapata nafasi hiyo .tena poleni sana ,, Lilian kutoka kenya

  • @LevinaLevina-dj5ye
    @LevinaLevina-dj5ye 5 месяцев назад +1

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki familiy kiujumra mungu awatie nguvu

  • @WityJosephat
    @WityJosephat 5 месяцев назад

    Polen Sanaa ,M/Mungu awatie ngv jmniii inaumaaaa sanaaaaa sanaaaaa

  • @JeniphaDonard
    @JeniphaDonard 5 месяцев назад

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu wa marko

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 5 месяцев назад +5

    Vichwa vya habari nivyauongo na maswali ni yaleyale na majibu yake mnayajua sasa sijui kwann muwasumbue watu hivi.

  • @AngelKayagiro
    @AngelKayagiro 5 месяцев назад

    Watumishi WA mungu mtambuwe kuwa hawasitahili kudumu sana ulimwenguni maana wanaweza kukengeuka badae

  • @PendoSimonBulashiPendosimon
    @PendoSimonBulashiPendosimon 5 месяцев назад

    Jaman Dunia gwalide juzi kwa zabron kwesho kwet je 2tavumilia maswali,?

  • @LoipllOnhye.Mama.Claudi
    @LoipllOnhye.Mama.Claudi 5 месяцев назад

    Ila wandishi Mungu anamuona😢😢😢😢masaa yote munawahoji maswal tu hamujui kuwa munawaumiza😢😢😢

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 5 месяцев назад

    Rest in heaven Marco. 🇨🇩

  • @KibasoJosua
    @KibasoJosua 5 месяцев назад

    Jamani poleni sana MUNGU awatie nguvu

  • @nancykemunto3893
    @nancykemunto3893 5 месяцев назад +4

    Pole sana dadangu

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 5 месяцев назад

    Jamani hivi wewe mwandishi unapata wapi ujasiri wapi wakuendelea kumhoji huyodada ..EBU muache apumzike jmani😭😭😭

  • @MorisSinyinza-ee1ux
    @MorisSinyinza-ee1ux 5 месяцев назад

    Polen sana mungu awatie nguvu

  • @qatatvip5451
    @qatatvip5451 5 месяцев назад

    Hamna utu wana habari😢😢😢mtaulizia kila mtu kwa jamii😢😢si muwape mda watulie Kwanza😢😢

  • @AlfredNanga
    @AlfredNanga 5 месяцев назад

    Pole sana sister Mungu hawafariji

  • @GloryAlex-o5s
    @GloryAlex-o5s 5 месяцев назад +2

    Yan waandishi wahabar bwana mnachosha kwakwel hiv nanyie mkifiwa mtaweza kuvumilia hayo maswali yenu yasiokuw nautofaut maana mnajibiwa jibu moja lakin hamuelew sasa amekwambia wewe hivo namwengine ameambiwa hivohivo wengine si mjiongeze mjuet mkienda majibu nihayo hayo hayo achen ujinga mda mwengine bwana dada hawez hata kuongea lakin humuachi ndo nin sasa

  • @rehemawilondja1543
    @rehemawilondja1543 5 месяцев назад +1

    Mnachosha nakuwaoji jamani, ningekuwa mwanafamilia ningewafukuza wote

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 5 месяцев назад

    Pole maman Aki awa wana habali kwer😢😢😢😢

  • @LinahAyubu
    @LinahAyubu 5 месяцев назад

    Jamani poleni Sana wezenu timepita hum0 lakini mungu mwenyewe awatunze

  • @Benjaminkakamasha662
    @Benjaminkakamasha662 5 месяцев назад

    Pole sana zabron

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 5 месяцев назад +3

    Hivi ninyi waandishi wahabari hamuwezi kuchukua taarifa kwa wandishi wenzenu hadi kila saa kuwahoji ikiwa wtu wanamachungu nabado kitu mnachokihoji nikimoja ty😢 hebu tumieni busara basi just emagine kama niww ndio unauchungu nakila saa macamera yanafuata.

  • @carolinerubeya7817
    @carolinerubeya7817 5 месяцев назад

    Haya maandishi ya habari haya 😮wapimzisheni khaa

  • @Trizahskydah
    @Trizahskydah 5 месяцев назад

    Kwa kwel ni uchungu sana kw wanafamilia na wote tunaonmchua 😢😢

  • @dorika-br7gm
    @dorika-br7gm 5 месяцев назад

    Poleni sana mungu awatienguvu

  • @shamimsianga1852
    @shamimsianga1852 5 месяцев назад

    Mmh! Huyu dada amehojiwa sana jaman mpumzishen sasa

  • @fransiscamboya3140
    @fransiscamboya3140 5 месяцев назад

    Jamani wapumzisheni wafiwa,,, acheni kufatilia Sana. Arudi tena. Tuliandikiwa na mugu kufa hakika tutakufa....ata wewe mwandishi unakifo chako nyuma ya mgongo wako.

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 месяцев назад

    Achaneni na Hawa wafiwa wajipange upya

  • @anifermhando4847
    @anifermhando4847 5 месяцев назад +6

    Hv nyie waandsh mnajua maumiv y msiba Kila saa mnamuhoj mtu kitu kimoja tu mnaboa😢😭

    • @milkerndunya1538
      @milkerndunya1538 5 месяцев назад

      Sijui hawasomi comments za watu, yaani unakomaa na mtu anakwambia umuache kwanza wamsitiri mwenzao hafu unauliza kitu kingine du!!

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 5 месяцев назад

    Jamani,wewe mwandishi umehamia Kahama kwa ajili ya hela,loooh! Ibada ya faraja inaendelea wewe unahoji wafiwa,kweeeeeli??????? Haya! Nakuombea neema ya kujitambua na neema ya kuwa na HEKIMA ya Ki MUNGU zaidi.

  • @VeronicaRaphael-s5k
    @VeronicaRaphael-s5k 5 месяцев назад

    Jaman waandishi Hadi mnakela hata hamuna huruma au ndo ile kufa kufaana watu Wana majonsi nyie mda wote mnahoji Nini mnakela bhana

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 5 месяцев назад +1

    Mbona mtumishi anahubiri mambo ya ngono kwenye msiba jamani?! 😭😭

    • @aliciaprojestus2336
      @aliciaprojestus2336 5 месяцев назад

      Mwenzangu badala yakutoa neno la faraja, kutomdhurumu mjane n.k yanayohusu msiba

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 5 месяцев назад

      @@aliciaprojestus2336 yani,watumishi wa siku hizi hakika wanahitaji sana semina elekezi.

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 5 месяцев назад

    Poleni sana

  • @254xlo
    @254xlo 5 месяцев назад

    Huyo anaongea tendo la ndoa mara kujamiiana ..hizi topic ganii wakati huu mgumu hivi...halafu mwapumzishe😢😢😢😢 sasa..

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 5 месяцев назад

    kama ingekua mimi ningekataa kuhojiwa kila saa

  • @aliciaprojestus2336
    @aliciaprojestus2336 5 месяцев назад

    Waache wawahoji wazidi kulia wapunguze uchungu wasikae na Machozi

  • @Roseline-ld8ed
    @Roseline-ld8ed 5 месяцев назад

    Jameni muwape nafasi waombeleze sio Kila wakati kuwahoji

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 5 месяцев назад +1

    Mwandishi acha kujiona myoto heshima yko unamaanisha nin??aitikie marahaba au??😊

  • @RoseGarwis-n7g
    @RoseGarwis-n7g 5 месяцев назад

    Jamani nyie mnao waoji hao wafiwa embu wapumsheni maana amuoni walivyo na maumivu makali

  • @AngelinaThomasi
    @AngelinaThomasi 5 месяцев назад

    Ani huyo muhubiri kanikela anahubiria mambo ya doa kweri

  • @LinxBujii
    @LinxBujii 5 месяцев назад

    Kwel ianakua sio pw huo n mxiba xio xhereh au hamjui maumiv ya mxib achen bhan

  • @AnjelaKihonja
    @AnjelaKihonja 5 месяцев назад

    Wanakera hao. Waandishi. Wanaonqeza. Machunqu

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 5 месяцев назад

    Kwakweli wanawaumiza mno jamani toka kutokea msiba munahoji tu ili iweje?

  • @MeresianaNgeleja-ic4zk
    @MeresianaNgeleja-ic4zk 5 месяцев назад

    Pole sana

  • @philomenamueni30
    @philomenamueni30 5 месяцев назад

    Hii ni ujiga.mtu atasikiza ngani sasa?kuna muhubili kuna muojaji

  • @MadgalenaNgowi
    @MadgalenaNgowi 5 месяцев назад

    Waandishi wa habari tumieni busara ata kidogo tuu Kila saa kuwaoji wafiwa kama aliyemuoji mke wa marehemu kanikera kama vile ndio mimi

  • @NuruFungo
    @NuruFungo 5 месяцев назад

    Poleni sana mungu awatie nguvu

  • @MercyMugalitsa
    @MercyMugalitsa 5 месяцев назад

    Poleni sana

  • @EnthusiasticCardinal-tw4lo
    @EnthusiasticCardinal-tw4lo 5 месяцев назад

    Pole sana

  • @ChariteKambale-z7m
    @ChariteKambale-z7m 4 месяца назад

    Pole Sana