Wafahamu Zabron Singers, Mkono wa Bwana' ilipuuzwa na redio nyingi, Haya ni maajabu yaliyotokea
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Japhen Zabron ambaye ni muimbaji mkuu na mtunzi wa nyimbo za kundi la Zabron Singers anaelezea historia ya kundi hilo na mafanikio yao ikiwemo wimbo wao maarufu, Mkono wa Bwana
Kama unapenda Zabron singers gonga LIKE hapa...
Nawapend san
I love the songs
Brother japhet Asante kazi nzuri kabisa ya uimbaji unayoifanya ,nawaombea Mungu wetu aongoze vyema kikundi chenu.zidi kumtegemea Mungu kwa kila Jambo na tendo manake yeye ni mwema.
Hata sisi tulicheza sana hiyo wimbo mkono wa bwana kumshukuru Mungu kwa kumponya mama wetu kutoka mautini
From Kenya
Tulitumia wimbo wa Sweetie sweetie kwa harusi yetu Dec 2020. Weue! it was another story. It became a new sensation in the locality! Thanks Zabron, it was such a blessing and came so timely!!! People were so touched, I could see it later in the wedding videos... And of course they kept asking about the song later!!! May God use you more and more for his glory.
From Kenya hi zabron singers kazi yenye mnafanya ni ya maana sana mbalikiwe sasa sana tena sana
Huyu jamaa hanichoshi kumsikiliza napenda kumsikiliza akiongea na akiimba yaani ni fireeeeeee
Nashukuru kuwafahamu. Mungu awabariki kwa kazi mnayo itenda.
Ni Mchungaji Marcelin Magala kutoka D.R.Congo SDA Bukavu
Karibu tz
Waimba gospel wanasemaga hela wanazoingiza Waz Waz ,,wangekuwa ndugu zetu wa Nymbo za gizani ,ungeskia ,,""Tuliingiza pesa nyingi sana,,,siwez kuongelea"" ,
Hahaha
Yes napenda Sana nyimbo zake Zabron kila Siku husikiliza hizo nyimbo may God bless you guys Watching from Qatar 🇶🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
All zablon singers songs are touching songs.. Ilove all songs, am from Kenya we love you all♥️♥️
sweetie sweetie jameni wimbo umejawa na mafunzo mengi katika familia na ndoa.Likes sipo wapi
Bado uku mnasemaje sweetie sweet 😅😅 penda sana
Namuenzi sana Mzee Zabron...Miaka ya Tisi alikuja nchini Kenya na Choir ya Mungano,nashukuru nilizungumza naye kipindi hicho.Mungu awabariki wanae The Zabrons singers. Japheth ni mzungumzaji mtaratibu kama baba yao tena ana kipaji kama baba yao.
This song brought my girl back to life. She was paralysed when she heard the song she immediately rose up to dance
Japheti Unaongeya Vizuri 🕓📇🥛💝 Unasauti nzuri nanyi
Mbonzuri sana Tena sana NAMUNGU Akubariki🇹🇿
Mkono wa bwana ni nyimbo nzuri sana naipenda🇰🇪
Hongera sana Zabron singers kwa nyimbo nzuri zenye message nzuri za kiroho. Nakumbuka siku ya Kwanza niliposikia mkono wa Bwana , nilivutiwa sana na kuanza kutafuta kujua ni kina nani na wanatoka wapi, Japhet na Victoria sauti zenu zinasisimua sana,sichoki kuzisikia. Napenda nyimbo zenu zote,hata nakutuma wimbo,hujanitenga, Navumilia, Mungu azidi kuwawezesha katika kuitenda kazi yake.
Nawapenda sana sana zablon singers.nyinyi mmegusa wengi nikiwemo mimi.sichoki kusikiliza na kutazama nyimbi zenu.nyinyi ni baraka kubwa.Mungu mwenyenzi azidi kuwapanilia mipaka na kuwatenda mema kila siku iitwapo Leo amen
I like all your songs,Zabron.Always I enjoy listening to your voice,more and more interested in listening to Victoria's Voice.Just want to say I really love her and her voice.Watching you from Burundi.May the Almighty God continue to lead you.
Afu ni mimi nlicomment mbona RUclips hawaweki trending😂😂😍...kumbe ilikufurahisha asante
Mungu akubariki
Nilliona hiyo comment brother 😂
@@japhetzabron1881 hngera sana
You're very talented, blessed and gifted bro, I watched and listen to your group all the time, your songs lifts and feeds my soul with your gospel messages, you are all highly favored and blessed with Angel voices, love you all dearly
Nimeona sweety sweety kwa status za watu ikabisi niingie youtube nijionee congrats nyimbo nzuri sana. From kenya
God bless you all.
Kuna siku mungu atanipa mume hata kama itachukua mda,switie switie will be my wedding song....much love from kenya
May GOD hear ur prayers 🙏🙏
Imefika leo
Aminaa sana namm Naomba hivyo mpendwa
Inabidi tuwe tunachat ambao tuko single maana tunamaono yetu makubwa jaman
@@angelamarlow510 hello angel, praise our great Lord Jesus Christ,
Kaz kuipenda .jamaa anaenjoy Sana kuwa mwimbaji.na nimependa anavojibu Yuko smat sana .barikiwa Sana zabron singers .mungu awabariki
Mimi ni mkenya napenda nyimbo za zabron ,Ellen singer's Sana'a.
I've been looking for this man's story. Their music now makes a lot of sense. Thanks for creating this story and all the best with your great work Japheth!
Sweetie sweetie ni bonge la wimbo, nawapongeza
Nakutuma Wimbo is also a hit song!
This is one of the best and educative songs in the world today. God bless you Zabron singers.
Mkono wa Bwana imenibariki sana na nitazidi kuwafuata, Mungu awabariki from Kenya 🇰🇪
Great choirmaster, great tracks and an amazing movement thumbs up men you are touching alot of souls 👍👍♥️🇰🇪🇰🇪
I still listen to "mkono wa bwana"....love from kenya
Mkono wa bwana ,sweety sweety nakutuma wimbo nyimbo zenu ziko juu
From Kenya, giving glory to God for Zabron Singers..May the Almighty continue to be lifted up thro u. All the best in Jesus name!
Thumb up zabron singers this song is dope
God can use anyone to lift n bless his people. Mkono wa bwana was made very popular in Kenya by a comedy skit.. Love Zabron singers music🇰🇪
Nakutuma wimbo is the best of best in zabron songs,,God bless them
In Kenya "Mkono wa Bwana" karibu ikue National anthem haha
🤣🤣🤣
😂😂😂 we
😂😂😂😊
Indeed it was like our national anthem 🎉🎉
Ahsante sana Zablon Singers,keep up the spirit of family choir.....by the way mkono wa bwana inachezwa huku kenya kama national anthem......tumebarikiwa sana na nyimbo zenu...jueni kwamba mungu katika udhaifu wenu anajiinua....msijisifu kwa lolote au uimbaji huo mbali mjisifu kua mmemjua mungu awapaye nguvu hizo
Great Testimony. Mungu aitwe mungu. He has his ways. Mkono wa Bwana .... imetubariki sana sana huku Kenya. Asanteni. Endeleeni Kuimbia bwana.
Enyewe japhet kipaji unacho kweli, naomba mungu akuongezee tena zaidi uende Lee kutupikia nyimbo tamu kweli nafurahia na hizi nyimbo, mkono wa bwana, sweet sweetie sio sio Bure kwa yesu ni faida♥️♥️♥️♥️
Amen
Mungu aendelee kukubariki japheth pamoja na kikundi. Chako nzima.... Nyimbo zenu zinaguza moyo sana,,#Kenya
Mimi napenda nyimbo zenu sana zenye upako zinanibariki Mungu awabariki kwa uduma nzuri
Thank you God for this group of zabron singers, may God bless you. The way you lead the song with the other lady i thought that she was your wife,,to my surprise i have known that she is your sister. May God bless you as a family and as you continue to serve him 🙏❤
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri mnayoifanya
You people nawapenda sana nyimbo zenu ziko nywee👍...ongezea sweetie sweetie weeeuwee,God bless you abundantly🙏🙏.
Nawakubali Sana, hasa hii mpya ya sweet sweet
Marvelous songs, do touch souls. Keep it up Zablon singers.
I love your voices Zabron singers, Japhet you got a brother in Kenya Paul Mwai... and you still bless people like he does... your work is a blessed mungu akuwezeshe kufanya kazi kama hizi na zaidi ni mweza wa yote
Kweli wanafanana sana
Barikiwa sana, napenda nyimbo zenu, Mungu na awape nguvu zakuendelea na kazi yake
mimi Joshua juma kutoka Kenya seem ya kibwezi na penda nyimbo sa zabron hongera muendelee kuenesa jina la mungu hasa kwa kisazi Cha Sasa kipate kupatilika
Hapa Kenya tunawapenda Sana jamani
Mungu awasimamie Zablon Singers na mfike mbaali... I love this.. huwa ninapenda sana uimbaji pia tokea mdogo. One day I think it will be exposed
Hakika najivunia kuwa moja ya watu waliosaidia kuinua hili kundi nikiwa redioni kahama katika kipindi cha ZABIBU ZA INJIRI(kahama fm)Japhet you remember.
Hi Herieth
you're remembered
Very true,Nakumbuka tulianza pamoja hapo Kahama fm
💞💞💞💞wow huu upendo ya familia ni very strong God bless you all🙏
I love all zabron singers songs ❤❤❤❤❤ from Kenya
Sweetie sweetie ❤❤familia ya Mungu hujaa upendo
Wema kwa ndugu wote wa pande zote tutapendwa na wote hata na Mungu🙏🙏🙏
a
♥️
Nyimbo zako kiboko.Hongera sana
Nawapenda sana zabron singers na nyimbo zao naskiliza kila mara 🇰🇪
17:57 - 19:57
Shukrani halisi kutoka moyoni ndio maana nyimbo imeenda viral kwa wakati wa Mungu.
Hongera sana familia ya Zabron.
Mungu awabaliki Zabron singers me huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Ndo maana nilikuwa najiuliza mbona hawa watu wanafanana kumbeeee. Mbarikiwe sana
Fredrik Bundala umetisha. Hongera Zabron.
Amina...Hata Mimi nitatumiwa mwaka huu...katika jina la yesu
From kenya God bless you
Sauti nzuri God bless you zablon singers
Hiwiii! Zablon singers. Umeeleza vinzuri sana .
Nyimbo zao nzuri Sana
Zabron singers, mungu ni mwema. Hongera
RUclips wanastahili kuweka nyimbo zenu trending .It uplift us then simplicity and respectful dressing
Muda utafika zitaingia
I second you 👍
Hongera Mzee Zabron kutuletea vipaji hivi
I went the same secondary school with Japhet and his brother Emmanuel , these guys are genuine and very humble since way back, they believe in gospel since those days
Amen
@@japhetzabron1881 OMG am so much in love with the sweetie song, much ❤️ from 🇬🇭
Mungu awabariki sana
Nyimbo zenu zinanibariki sana hongereni sana
Hongereni sana mmejaariwa sauti nautunzi mzuri.pia ujumbe mzuri.sana
Nawapenda zabron singer's Mungu awabariki katika kazi za mikono yenu na Kiroho ili mwisho wa siku Mbingun mkaimbe 💚💛💖💙
This is the only gospel I have in my phone,mkono wa bwana
Vizuri xana watumish mungu awape nguvu
Good job zabron singers
Nikajua tuu kwamba nyie ni ndugu I mean familiar maana sio kwakufanana huko
Zabron singers blessed forever
Amen najua ata mimi ipo siku Nitafika uko
utafika Vikta Mungu ni mwema, unacho kipaji broo
jamaa ni mnyenyekevu sana atafika mbali
Mungu awatangulie zabron nawapenda sana
Congratulation Broo Bwana awapiganie
Jamaa ni hatri anaimba mpka vilivyo sana big up kwake
Wewe kwa kweli una kipaji Mungu akuzidishie
Tunawapenda zabron singers from Kenya.
Sweetie sweetie sweetie haikiwa rahisi....
Nakutuma wimbo uende kwa Yule ukambariki nendaa...
Your songs are really good continue singing
Hongera sana
Mkono wabwana niwimbo unaowezakusikilizwa na lugha yoyote hapa duniani nakupendwa nakilamtu wimbohuo umeahadi continentilala Asia ncihini chinasiyo nchi za ulayana Malekanitu.
MAY OUR LIVING
GOD CONTINUE GUIDING YOU
I love that song genuinely. Kindly,when you go to manchester don't forget to go with the young manchester fan who God used to make the song popular
😁
Hongereni sana
The swahili gospel song ever listened to. Kenya
Amen zabron good job 254👌
Pole sana japhet kwa kumpoteza ndugu Marco😢
Kaka interview zako ni kali sana Mkuu
Jamaa ana akili sana huyu.Safi sana kazeni sana...msirudi nyuma wala msipotee na msibweteke
Brother Barikiwa sana
@@japhetzabron1881 naomba unicheki 0753464836 tufanye kazi
Guys I love you so much♥️ @ zabron singers !! mko juu🙋♂️
Mko juu! God bless you
Wengin ni vijijin wengine mjin ndipo tulipo zaliw naupenda sana kweny kolasi
Hapa tz majungu hatuna mshikamano
Jamani nawapenda sana Hawa watuu