Baada ya kusubiri Kwa Muda mrefu... Sasa Kwa Utukufu wa Mungu... Ubarikiwe na video hii ya wimbo wetu pendwa wa #Nakutegemea baba... Usisahau ku #subscribe chanel yetu pia ku #share# na ku #like... Ili wengine wabarikiwe pia... Nawapenda katika Kristo
Hello Chilola I love you brother You have a great gospel songs I have here one of gospel singer like you wants collaboration I hope you two artist when meet, there must be wonderful 👍👍 songs that in Jesus name it can spread out all over the world
the love I have for this song on tiktok,,,imefanya nije kuisikiza yote na niidownload iwe my ringtone,,,,thanks God for this songwriter,,,Nakushukuru wewe Mungu,,,,you've gained a follower today
Thanks our brother chilolo,May God bless you for me and others who blessed by your songs. This song and all your song really refresh my mind when I listen them.
Baada ya kusubiri Kwa Muda mrefu... Sasa Kwa Utukufu wa Mungu... Ubarikiwe na video hii ya wimbo wetu pendwa wa #Nakutegemea baba... Usisahau ku #subscribe chanel yetu pia ku #share# na ku #like... Ili wengine wabarikiwe pia... Nawapenda katika Kristo
Good work ❤❤❤ congratulations 👏👏👏👏 much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 more grace be upon you always God protect you and guide your steps 🧎🧎🧎🙏🙏
Conguration Cuzoo so nice
Waauuu! God Bless you, this song do real Blessed me🙏🙏🙏
@@KarenKetura Amen and Amen, I'm Blessed my Rev🙏🙏🙏
@@janeatjaneat6599 thenks for your support my queen ♥️♥️ sikutaka ubaki nyuma nakumiss i will give you a call kiu iishe ♥️ ♥️
Wimbo nzuri sana unabeba ujumbe muhimu.
Asante Sana
Nakubali
Barikiwa sana mtumishi
Wau, ❤️ nice kazi nzuri ndugu yangu Chilolo Mungu akuzidishie Neema ndugu yangu ni Emmanuel Tsuma kutoka Mombasa Kenya.❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Ameen 🙏🙏🙏
Hongera mtumishi wa Mungu.
Naomba no mtu aliyekufanyoa video tafadhali,, naishi Arusha.
Nataka nifanye video ,ASANTE
0714373636 vendeko
Hallelujah huu ni wimbo mzuri sana🔥. Wapi like za wakenya.
Ndio na sikiza leo 9/5/2024 wapi likes za mchungaji
Kazi nzur mkuu utafika mbali sana mungu akubles mtumishi wa mungu### good job good 👍🔥🔥🔥
Ikosawa💕
Mtoto wetu anapenda mdogo anapenda wimbo yako
Nice song wapi likes from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Brother saf
Amina. Mungu akupandishe viwango vya juu hunduma nzuri sana
Amen nashukuru sana
Nakupenda sana ❤❤❤
More anointing
Hii wimbo naipenda sana ,Inaendea Madui zangu kazi nzuri mchungaji
Barikiwaaa sana kaka
Powerful massage barikiwa Sana mtumishi
Ameen
Ana sauti kama Munishi
Nimekuja hapa kutoka E.f.m masanja kaicheza leoi hii nyimbo ni nzr sana
Ameen❤
Unabariki sana moyo wangu
Mfunangu mulungu yakudime sinyimbosako sikuning'a faraja, Kwimage mndugusangu ani mndugusake wa Daudy Andason ayo mgambo.
Ameimba aisee.....daaah!!!
Hii song na Nyumbani kwetu ilifanya nkujuwe bro ur on fire may God bless you🙏🙏💖💖
Ameen
Hi wimbo imenifundisha jambo
Pga kazi ya bwana ubariki sana mwaha
Amene Mungu akubariki
Wow wow wow wimbo nzuri ya kutia watu mioyo barikiwa sana kaka na uzidi kutoa na kuhubiri neno la Mungu
Mungu hakubariki
Ningependa niimbe na wewe wimbo zako zinanibariki sana
Mimi ni muisilam lakini nimependa huu wimbo Mungu akubariki
Wapi likes za mtumishi chilolo. Jameni👍👍 share na rafiki zenu..
Ubarikiwe sana
@@yonachiloloofficial amen 🙌 mtumishi 🙏🙏
🙏
Nice job keep it up
@@yonachiloloofficial mungu amufikishe mbali Sana ...hii wimbo inanibariki sana
Wimbo super kwelikweli
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙏
Si wimbo tu pali ni maubiri ndani mwake
Nyimbo nzuri sana naipenda❤❤
Yani wimbo huu ndo chai yangu ya asubuhi, ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Ameen
Ubarikiwe Sana umenibariki nimeutafuta huu wimbo mpaka nimeupata bariki mtumishi wa Mungu
Wimbo tamu much love
Good song my brother
Hello Chilola I love you brother
You have a great gospel songs
I have here one of gospel singer like you wants collaboration
I hope you two artist when meet, there must be wonderful 👍👍 songs that in Jesus name it can spread out all over the world
Ishafika🇰🇪. Barikiwa sana mtumishi
Ñzuri sana
More blessings brother @Chilolo🙏🙏🙏and keep going.mbele kwema
Kazi Safi sana brother ❤
Huu wimbo umenitua moyo Be blessed bro
Barikiwa sana bro
Amina mtumishi chilolo❤❤,yaani huu wimbo unanitia nguvu,maana Kuna 😂😂,kipindi nilipitia machungu,lkn mungu Nimshindi🙏🙏🙏
Yes mokozi wangu I depend on you🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏 napenda nyimbo zako ziko na message nzuri barikiwa❤️❤️❤️❤️❤️
Ameen
Hii imeenda 🔥🔥🔥🔥 👍👍
Hallelujah wimbo mazuri sanaaa mungu azidi kukutunza ❤❤❤
Ameen
🔥🔥🔥
What a song!! Inspiring and blessing. May the Lord bless your ministry
Ubarikiwe naupendasan huu wimb unanibarik
Ameen
Yani kuna kanisa moja nilienda kusali nikakukuta vijana wanacheza sana nyimbo zako ndipo nilipo kujua hapa kaka umebarikiwa na mungu 🙏🙏❤
Ameen
hallelujah,wimbo nzuri sana wakuimiza moyo,be blessed bro from another mother, much love❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😊😊😊😊
Hongera mdogo wangu
Safi snaa Chilolo.
Director Hongera nyingi Snaa.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Vendeko hujawahi kufeli
Asante sana
Ubarikiwe mtumishi hii nyimbo imeniguza sana
So napenda nyimbo zako aki✌✌✌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe sana
❤❤❤❤❤❤❤❤, wow such a heart touching song, be blessed akiii😢😢
Nyse job
the love I have for this song on tiktok,,,imefanya nije kuisikiza yote na niidownload iwe my ringtone,,,,thanks God for this songwriter,,,Nakushukuru wewe Mungu,,,,you've gained a follower today
Ameen
Me too
Amen!Nipiganie Mungu wangu.
Wimbo mzuri sana barikiwa
Nice song....
I like it so much and more grace...
From Kenya
Ameen
ubalikiwa mungu akupemaixha malefu
What amazing song is this may the lord protect you sir of God
Wimbo mzuri sana kijanawangu Hali bilakutazama wimbo huu kazi nzuri
Am blessed with the song akii may God bless you.
Ameen
wonderful massage
Naupenda sana huu wimbo
Uinuliwe na Mungu
Mziki Mzuri, mashairi mazuri, video nzuri and good personality Congrats Chilolo & Vendeko
Asante sana
Asante Sana
@@yonachiloloofficial mungu akubaliki mno
@@nellymichael7705 Ameen
From tiktok to here
Karibu
I just like this song and listen to it every day
Nice songs mungu Ananibariki nikiona
Ameen
Can't get enough of this song nakutengemea wew Baba🙏🙏🙏🙏
Mtumishi ubarikiwe sana
Mungu amzidishie Neema hiyo
You really made my day May the Almighty bless you
Ubarikiwe baba❤❤❤❤❤
This is absolutely wonderful, may the good Lord expand your territories to reach many souls just like you sang UONGO.
Asante Sana
Mdogo wangu mimi dada ako nipo daa safi sana mungu akutie nguvu
Ameen
Am blessed from Likoni,Mombasa county nchini Kenya
Ameen
The song of the year❤
It's a nice song
Yeeeeeedh nitamu sana wakened wooooyeeeeer😮😮😮😮
Thanks our brother chilolo,May God bless you for me and others who blessed by your songs. This song and all your song really refresh my mind when I listen them.
Ameen
Ubarikiwe sana kwa wimbo zuri
Go on my brother.a good song i always pray it each day
Aneen
Bg up ,wmbo nzuri
First Kenyan to show ❤
Waooooo 🔥🔥🔥
Bariki wa mnoo
Ameen
Asante mungu na mimi naamini ipo nitarikiwa magari na nitawapa lift wote wanaonipita tena wengine ni majirani 😢😢😢😢
Amen
Good song pro n mungu tu
Ameen
Inspiring and blessed song ever
Hongera sana🎉
Asante sana
Amen God is always great
❤❤❤ kumbe huyu ndo kaimba hu nilikua naupiga tu
❤❤
My Song of the Year ,So Amazing.
Nilikuwa nautafuta nimeupata ubarikiwe
I love this song ❤❤❤❤❤❤be blessed
❤😂nibarikiwa sana
Ameen