MOTO BARAZAN WAPEMBA WAJA JUU DK KHALID PEMBA MNALETA INGINIA WABOVU ROHO IMEUMBWA NA CHOYO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 май 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Комментарии • 93

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim Месяц назад +10

    Wapuuzi sana Hawa,kwanza uyu nadir ni mpuuzi kushinda ao wapuuzi wenzake ,kazi yake porojo, kwani sikweli Pemba munakuangusha kusudi hamuna lolote, kazi ufisadi

    • @user-xy5sj7fm7h
      @user-xy5sj7fm7h 9 дней назад

      Ni chakula cha wakubwa uyo nadiri ndio maan anaongea bila woga msege uyo alafu n naibu waziri kisha mpaguzi

  • @user-xw9id5td6p
    @user-xw9id5td6p Месяц назад +11

    Wapemba tunazarauliwa sana na smz

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 29 дней назад +4

    Sisi wapemba tuna mungu atatulipa endelezeni zulma zenu mulizoziasisi tokea mwanzo

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 Месяц назад +4

    Utawala ulioko madarakani hawako tayari kuiyona pemba inaimarika kiuchumi na wanaogopa kutengeneza miundombinu ya Pemba mana kutakuwa kwakupiga mfano afrika nzima

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 23 дня назад +1

    Tikiendelea kubaguana iiiiiiiii titakuwa na Wazanzibari, Wazanzibara na Wadanganyika 🤣😂 😂😂🤣👎🦴 jifunzeni toka Danganyika 🙏 mbona huku tuna makabila zaidi ya 120 bado tu kitu kimoja 🤔 lkn tarafa wanaumana, wanabaguana, wanachukiana 🤣🤣 chetu ni chenu 😭 chenu ni chenu Kwa nn 😭 Kadiba mmmaa 👍👍👍

  • @komboali8203
    @komboali8203 Месяц назад +5

    Pemba haithaminiwi Kwa chochote Kwa lolote, Kila kitu kinajengwa unguja, maendeleo yote yanafanywa unguja, unguja mabara bara kibao tena mazuri, Pemba hakuna Jambo

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Месяц назад +4

    Pema inatuuma kwli ila mungu anatupenda tukikosa kw serekali tutapata kw mungu pemba tunakushana kodi kuliko unguja ila maendeleo hatuna

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 23 дня назад +1

    Huyu anafaa kua rais wa Zanzibar 😊

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 Месяц назад +4

    Nilienda Pemba january 2024 mara ya mwisho nilienda 2019
    Sikujua nilipita barabara mpya nikapita mzambarauni yaani nilijua gari ya rafiki yangu nimeazima itavunjika
    Ni mahandaki
    Kufika wete ndio ndugu zangu wakaniambia pitia barabara inayoenda konde upite pandani
    Nilipotea kifogo lakini hio barabara ni nzuri
    Mkoani chakechake barabara ni balaaa

  • @FatmaAbdulhalim
    @FatmaAbdulhalim Месяц назад +3

    Pemba kweli shidaa Allah atainusuru

  • @SalamaM-jv9lf
    @SalamaM-jv9lf 26 дней назад +1

    Baba Asante nakuunga mkono

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Месяц назад +5

    Hawa hawana haja na Wapemba hawataki kabisa Wapemba kwanza ni Wapinzani ndio maana hawayaleti Pemba Maendeleo

  • @user-qo8uj1ym4m
    @user-qo8uj1ym4m 29 дней назад +2

    Ujumbe umefika waache wajenge unguja tu pemba wameifanya mkia wa n,gombe,ilaipo ck inshallah hakuna lisilo na mwisho😮

  • @Pemba680
    @Pemba680 Месяц назад +2

    Nakupa mauwa Yako ndugu yangu

  • @tiijuma795
    @tiijuma795 Месяц назад +1

    Mmh. Mie napita tu ,🏃🏃sina ata mia ya kumpa wakili

  • @musr931
    @musr931 29 дней назад

    Happy that they've started to realize the truth, that for long deny!

  • @Pemba680
    @Pemba680 Месяц назад +1

    Kweli kbsaa

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Месяц назад +2

    Sisi wapemba tunadharaulika kwkweli tumekosa Bahati ss unguja uzi nilienda yani kunamaendeleo sna

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 25 дней назад +1

    Daah yan huyu jamaa kanikata mbavu 😂😂😂

  • @ashajoj5786
    @ashajoj5786 25 дней назад

    hongera muheshimiwa

  • @kitosio
    @kitosio 18 дней назад

    Barabara Pia ni hayo2. Meko na mawasiliano ndio wajengaji. Haya mambo tunamuomba Raisi atusaidie mwenyewe kusimamia. Yeye ndio ana uwezo wa kudhibiti ubora. Vingenevo mtihani

  • @mrok284
    @mrok284 Месяц назад +1

    Hahahaaaa. Sema weye Bora.

  • @MasoudSaid-md3cq
    @MasoudSaid-md3cq 17 дней назад

    Hakuna 🎉 tena kufta

  • @user-um5xx5ct7q
    @user-um5xx5ct7q Месяц назад +3

    Huyu mjumbe musijali anatoka chama kipi mpene kura m kwa mara nyingine

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад +1

    Kutokana na ugumu wa usafiri,wafanya biashara wanagharamika kwa kiwango kikubwa,na mwishoe bei za bidhaa zinakuwa juu sana mpaka wanunuzi wanashindwa.

  • @komboali8203
    @komboali8203 Месяц назад +3

    Kiufupi kauli iliyokuwa Sawa Sawa ni kwamba Pemba inatengwa haithaminiwi Kwa chochote Kwa lolote

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Месяц назад +1

    Sas km pemba ni wapizanj ndio kabisa tutazidi kua wapizani maana km yule mke km hutimizi sidhani km atakusamini uliza kujenga mijengo mazur sisi wanamchi tunadhalilika km ssi ni haki zetu wananchi wakwanza mm sisamehee

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 24 дня назад

    Mwakilishi hongera
    2025 tutakuchagua tena In Shaa Allah

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 23 дня назад

    Hongra sana

  • @arkamkhamis781
    @arkamkhamis781 Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂 yan hd raha 😂😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 24 дня назад

    Safi sana jamaa kaongea

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 26 дней назад

    Apo sasa umefanya jambo la msingi kuliko kuhubiri siasa na muungano wakati wenzenu kile kilichopo mnachokiona kidogo wanakitumia kujinufaisha wao kwanza

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Месяц назад +1

    Wana tudharau sana

  • @khamisjuma2947
    @khamisjuma2947 29 дней назад

    Hao watu wa unguja hawapo tayari kutengeneza pemba ni maneno tu mpaka mtu anamaliza muda wake basi ahadi tu ni ahadi tu

  • @MeniJr
    @MeniJr Месяц назад +1

    Abaa nkweli watudharao nno

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Месяц назад

    Kwa mecco kweli hakuna kitu mwenyewe nimepita juz chake wete wameshindwa kweki

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 26 дней назад

    Viongozi wengi hawana uadilifu kuwaunganisha watu kwa porojo na kuwagawa kwa vitend ndo kipao mbele chao

  • @user-mm9qr7em8k
    @user-mm9qr7em8k 28 дней назад

    Ipo siku .pemba .tutagawa. mbao.

  • @user-kp5mo1cr1y
    @user-kp5mo1cr1y 27 дней назад

    Good

  • @TunauzaSimu-fn2ff
    @TunauzaSimu-fn2ff 28 дней назад +3

    Tunajenga huku unguja ndo mliko

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 26 дней назад

      Acha ujinga ww hakuna anayependa aondoke kwao, kwan mungelijenga miundo mbinu mizur kule angelikuja mtu huku? ila kinachoonekana saiv ni ubabaishaji tu

    • @user-mm5zq7sf1h
      @user-mm5zq7sf1h 18 дней назад

      Kwan hakuna waunguja waliojenga dar au na kila kitu kifanywe dar Zanzibar isifanyiwe kitu kwa7bu dar watu ni weng kuliko Zanzibar kwaiyo sehem ikiwa na watu kidog haitak maendeleo na miundo mbinu mizur kwa7bu watu ni wachache ukisema hivyo unatukosea sana wapemba na mbna zao la karafuu linazalishwa sana pemba kuliko unguja au umesahau kama pemba ndio kwenye raslima nyie watu wa unguja ni wabaguz sana huu ubaguz ulikua ufanywe na watanganyika na sio mzanzibar kumfanyia mzanzibar mwenziwe

  • @alimau7939
    @alimau7939 27 дней назад

    Wapemba watakiwa kwa kodi kubwa tu na ikifika kipindi cha uchafuzi wauliwe hakuna jengine Alhaji Goya alisema hali ya pemba inasikitisha

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 23 дня назад

    Wapemba wanatuzarau sana

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 12 дней назад

    HUO USAWA UNAOMBA ANZA NA WEWE. KABLA HUJAMALIZA MIAKA 5 OMBA MKUTANO MMOJA KIJACHO CHA BAJETI KIFONYIKE PEMBA. HUWEZI HATA SIKU MOJA KUSEMA UTABAKIA PEMBA KWETU NA UNGUJA KWETU . HAPA UNGUJA HIZO SEMI TRAILER ZINAZOBEBA CONTAINER HAZINA ESCORT VEHICLE WALA TAA ZA KIMURIMURI ZA TAHADHARI KUWA MKWELI

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid Месяц назад +1

    Bandari tumejengewa njia za miguu watu watatu mukifuwatna muna pigan vikumbo 😊

  • @alimau7939
    @alimau7939 27 дней назад

    Wakilishi wapemba wengi ni vilaza

  • @user-yx7bn3hb5x
    @user-yx7bn3hb5x 23 дня назад

    makamo wa pili huna lolote unashindwa kutupigania wapemba wenzako unawakumbatia hao wabaguzi ss tuko tiar kujitenga

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 Месяц назад +1

    Maneno matamu Asante mwakilishi 😁😁😁

  • @user-xt3pq4hb2r
    @user-xt3pq4hb2r 29 дней назад

    Gari liliinqia paka hahahaaaaaa

  • @user-yx7bn3hb5x
    @user-yx7bn3hb5x 23 дня назад

    Alaf eti makamo wa pili yupo haoni

  • @salyali7807
    @salyali7807 Месяц назад +1

    🤣🤣🤣

  • @RashidiHassani-in9rb
    @RashidiHassani-in9rb 26 дней назад

    Huo ukweli usiofichika kazi kinachoendelea ubaguz tu

  • @MasoudSaid-md3cq
    @MasoudSaid-md3cq 17 дней назад

    Hakuna tena kofta

  • @user-vh6hh6ul2h
    @user-vh6hh6ul2h 24 дня назад

    Jamaa anafaa kuw rais uyuu

  • @EdiMchubila-kn9ks
    @EdiMchubila-kn9ks 21 день назад

    Nadir ww mwnyw umemekimbia lndia uko wachen ubaguzi uo

  • @ahmedalbalushi6239
    @ahmedalbalushi6239 Месяц назад +1

    Mimi nimezaliwa chakechake
    Jengine ni kwanini hivi videge vyetu vikafuta safari za pemba kwenda tanga

    • @ahmedalbalushi6239
      @ahmedalbalushi6239 14 дней назад +1

      Mada ni usafiri sio kujenga
      Pemba ya 1990 ni sawa na ya 2024 ? Umeenda kuiona

  • @user-xv4tl8iv4l
    @user-xv4tl8iv4l 12 дней назад

    KWA TAKWIMU ZA MHE. NADRI CONTAINER 188 TEU KWA MWEZI SAWA NA 2250 TEU KWA MWAKA ZA MCHELE KWELI BANDARI HIYO ITALIPA KWELI?

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 2 дня назад

      We msenge kwli kwan hiyo sio nchi moja iyo pemba lazma ijengwe

  • @khamisali9845
    @khamisali9845 26 дней назад

    Hata sijui wanaenda kuzungumza nini. Haya hayo mambo ya Pemba peremba ndio yatasaidia nini? Yaani sijui tusemeje

  • @user-kt2pd2vz8v
    @user-kt2pd2vz8v 25 дней назад

    Wapemba mnatubagua. pemba mmekufanya vutuni huku

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Месяц назад +2

    Chukueni karafuu zao mupate pesa za kigeni Wapemba ni wajinga wao

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k Месяц назад

      Kweli ndugu, wajinga ndio waliwaoo

    • @user-mm5zq7sf1h
      @user-mm5zq7sf1h 18 дней назад

      Wamesahau ya kwamba pemba ndio kwenye maslahi ya serikal tukiamua kusema karafuu tuuze nje ya jiran ni rahis kuliko unguja na tutapata faida kubwa sana ila wanasahau awa mahashuo wa unguja kama bila wapemba hawal ndiz wala cha shamban

  • @user-yx7bn3hb5x
    @user-yx7bn3hb5x 23 дня назад +1

    wapemba tujitenge unguja kwao na sisi kwetu kilammja kwao

    • @user-kq7mp8qz9e
      @user-kq7mp8qz9e 23 дня назад

      Mutaweza naona nyote mupo unguja au baniani mbaya kiatu chake dawa

    • @user-mm5zq7sf1h
      @user-mm5zq7sf1h 18 дней назад

      ​@@user-kq7mp8qz9ealaf tukisema wapemba tukae kwetu unahis uko unguja kuna muunguja halis asilimia ngap maana asilimia 70 unguja ni wapemba sasa iyo asilimia 30 kwenye 70 inakaaje nyinyi mnaojifanya watu wa unguja munadharau sana wapemba wakat pemba ndio inawalisha nyau ww😂

    • @user-kq7mp8qz9e
      @user-kq7mp8qz9e 17 дней назад

      @@user-mm5zq7sf1h ndugu jielewe wanao tamka kujitenga ninyny wapemba xyo sisi waunguja ndio maana tunakuulizeni mutaweza nanyny hamutulishi anaetulisha niallah

    • @user-kq7mp8qz9e
      @user-kq7mp8qz9e 17 дней назад

      @@user-mm5zq7sf1h mtu hajifaharishi kwenye mijiyawatu anajifagharisha kwao hv kwnn pemba mnapakimbia hebu itikezee kweli mujitenge ndio tunaomba ilimzizi wafitna ukatike

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 28 дней назад

    Hautatuacha salama...kuna maneno julius aliyasema

    • @IbnuAlly-wm8il
      @IbnuAlly-wm8il 26 дней назад

      Ni ukabila unaotengenezwa na viongozi wao kwa kuwafanya hawa bora kuliko wale au hapa bora kuliko pale km fir'aun alivyowagawa watu wake

  • @utaani1
    @utaani1 21 день назад +1

    Nyie wenyewe wapemba munajidharau maana nyote munajenga Unguja na dar es salaam. Jengeni Pemba hata matajiri wasilete biashara zao Pemba

    • @ahmedalbalushi6239
      @ahmedalbalushi6239 14 дней назад

      Umeenda chakechake ukaiona tulivoijenga , usafiri wa ndege tuulete sisi watu wa pemba , kuwa unguja sio kosa

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 26 дней назад

    Nyinyi pemba mnakimbia nn atengeneza.

    • @hajiharoub8125
      @hajiharoub8125 25 дней назад

      Kukimbia kwetu haimaanishi kuwa hakuishi watu mbwa weeee

    • @user-mm5zq7sf1h
      @user-mm5zq7sf1h 18 дней назад

      Alaf uwe na adab ww paka

  • @user-wr3jp6tg4p
    @user-wr3jp6tg4p Месяц назад +1

    Sele mkweli

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il 26 дней назад

    Apo sasa umefanya jambo la msingi kuliko kuhubiri siasa na muungano wakati wenzenu kile kilichopo mnachokiona kidogo wanakitumia kujinufaisha wao kwanza