CCM YATUMA MAKOMBORA MAZITO KWA JUSSA"MANSURI MJINGA SHIKA ADABU YAKO NA JUSSA LAIN TU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 115

  • @KhalidAmour
    @KhalidAmour 5 месяцев назад +2

    SubhanaAllah,, Kuna watu wanafata mkumbo t maskini,, Anatajwa muislam mwenzao,, kisa siasa t mnamlaani,, kutafta elimu ya dini ni muhimu Sana,, awo waliolaani km laana haistahik inawarudia wenyewe.. Tusomeni dini yetu jamn

  • @muslihpandu6
    @muslihpandu6 2 месяца назад +2

    Mbon wew ndo unaonekan lain 😂

  • @FahmatFarmat
    @FahmatFarmat 5 месяцев назад +8

    Hamna Sera jibun hoja choko nyinyi tumewachoka zanzibar

  • @islambinomar8716
    @islambinomar8716 5 месяцев назад +5

    Aibu hao ndio Wana siasa wetu ivi ndio mnavyo nadi sera mpaka kumtuka na kumdhalilisha mtu hayaishii duniani tu uwe na ushahidi mbele ya Allah utaulizwa

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 5 месяцев назад +11

    Muna ustarabu gani nyinyi ni mijizii tu

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 3 месяца назад

      Kiongozi yoyote aliepitia Chama hicho Mwizi wengine wanaiba then wanaama Chama na kujifanya wana Uchungu wa Zanzibar

  • @habibhamed1587
    @habibhamed1587 3 месяца назад +1

    Kweli wazanziba wa CCM hawajitambui

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 5 месяцев назад +5

    WEWE M CCM ZUNGUMZIA NCHIYAKO ZANZIBA ,HUNA AIBU KUMSIFIA MAGUFURI MNAUZA NCHI BILA AIBU KWELI HAZIWATOSHI .

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 5 месяцев назад +5

    Ndio maaana zanzibar inakufa kwa viongoz kama hawa wanaowapa vipao mbele watu wasiomaana na kuwangalia matumbo yao

  • @OmarJuma-og4kd
    @OmarJuma-og4kd 5 месяцев назад +1

    CCM ili wakukubali uwe tayari kuwazalilisha watu na kuwatukana apo ndio itakuwa unafaa kwenye uwongozi wao Ila kumbukeni kuwa Kuna maisha baada ya kufa awo wanakutia mshawasha mpaka ukawa unatukana na kusema watu walaain ukimanisha ni msenge mbele ya Mungu utaenda toa ushuhuda ni Bora kukaa kimya kuliko kutumika vibaya pole Sana

  • @BakarHamad-jy7ji
    @BakarHamad-jy7ji 5 месяцев назад +3

    Ushahid mpaka mbele ya Allah unao?

  • @BakarHamad-jy7ji
    @BakarHamad-jy7ji 5 месяцев назад +3

    Subhanallah. Marehem tena. Lakin anaijua maana ya marehem huyu?

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 4 месяца назад +1

    Inalilah. Wainailah. Rajiun. Kasome. Dini. Mjombaaa

  • @AllyFaki-mr3bj
    @AllyFaki-mr3bj 5 месяцев назад +7

    acheni ujinga kafiri haombewi duwa

  • @wardadvaz
    @wardadvaz 5 месяцев назад +4

    Ccm hamna jipya

  • @hasinabukheiti
    @hasinabukheiti 4 месяца назад +1

    Yani ukiwa umeishiwa unakimbilia ccm hawa

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 4 месяца назад +1

    Sio hoja shida utatuzi wa wanzanzibari kwenda mbele hiyo ya kuuza nyumba na kaburi sio sulisho la wanzanzibari kutatua matatizo yao ya kiuchumi

  • @masoudkhamisthaiboxing1011
    @masoudkhamisthaiboxing1011 5 месяцев назад +2

    ccm hawamini kushinda kura hata kama wataekewa jiwe ndioana kwenye uchaguzi huu bado wanamuombea kura mgombea wao ccm imechokwa imechoka ni wakati wa kupumzika la sivyo 2025 tutakipumzisha kwa njia yeyote ile watakayo chagua wao Insha Allah

  • @hasinabukheiti
    @hasinabukheiti 4 месяца назад +1

    Na ww sio laini

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 5 месяцев назад +4

    Sasa kafiri alazwe viip pahali pema mbona munajiebisha

  • @HemedAli-h9b
    @HemedAli-h9b 5 месяцев назад +1

    kwanz uislam hauruhusu kumuombea dua km hiyo asiyekuwa muisla km ulitk kuombea ulikuwa utamke maneno haya (ALLAH AMUEKE PANAPO STAHIKI) pili ulikuwa ujib hoja na uiyongeleee nchi yko co matusi ktk majukwaaaa

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 5 месяцев назад +4

    Kiufupi jibuni hoja zote za ACT wazalendo sio mipasho

  • @HassanMohd-cx5rv
    @HassanMohd-cx5rv 5 месяцев назад +1

    Kweli ccm hamna kitu nilijua anajibu hoja zawapizani zakukithiri kwa rushwa nadala yake kaja namipasho yamepitwa nawakati

  • @allykhatib660
    @allykhatib660 5 месяцев назад +2

    Hivi ww unawaambia wenzio sio maneno ya ustarabu na silka ya mzanzibari je hayo uloyasema ndio yanafaa
    Alafu kwa dini yetu mtu aliekufa kwenye ukirsto haifai kwa Allah humuombea pepo au pahala pema inafaa kusema Allah amueke panapo stahili makafir pepo yao ni hapa duniani tu kwa Allah ni moto tu km hawajaslim

  • @zaneco
    @zaneco 5 месяцев назад +1

    Sisi wengine hatumo ktk siasa , lakini sidhani kama ni wakati wa kuendeleza maneno kama haya , hayatusaidii , yanachochea mgawanyiko , ni muhimu viongozi wachunge kauli zao

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад +3

    yanii ccm km mnafatilia asaa hii mitandao ya kijami alaf mkasoma hizi comment bas mtajua km mmechokwa na wazanzibar

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 месяца назад +1

    Na hayo makaburi ya wazee wenu nyiye mlokuwa hamjayauza mnajuwa yako wapi au kusema wenzenu tuu.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 4 месяца назад +1

    Kwa kweli huyu jamaa hajui hata anafanya nini masikini dah yaani

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi 4 месяца назад +1

    Kubwa. Jinga

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 5 месяцев назад +2

    Ataenda yeye kumlaza peponi ama Mwenyezi Mungu hakubali kwa alilokwisha kulikanusha ila kwa atakae rejea kwake

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 5 месяцев назад +1

    Ww huna hoja ya mcng .ebu TOA hoja ya maaendeleo .apo umeongea nn Cha maana yaani dah wazanzibar hatujielrwi jamani .watu Kama Hawa ndo wanaokula Ela za wananch bila kuztolea jasho

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 5 месяцев назад +1

    Kweli ccm niwajinga

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 5 месяцев назад +4

    Magufuli alikua mjinga mkubwa

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 5 месяцев назад +1

    AIBU KUBWA KUBWA LOTE HILI HALIJUI DINI YAKE
    INNAA LI LLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJIUUN

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 5 месяцев назад +1

    Mbele yake Allah hakuna pepo ya kulala pema kwa Kafiri aliyeishi hata miaka 100 akafa Kafir.

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 4 месяца назад +1

    Ww ccm huna akili

  • @kassim1262
    @kassim1262 5 месяцев назад +1

    Aaah subutu hkuna msomi mjinga😂😂😂😂😂 umesomaa au umepita skuli tu muko tyr znzb kuitwa mkoa kweli et msomi wsomi wote wnaitetea znzbr isikaliwe natanganyik

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 месяцев назад +2

    Hamna jipya muchapitwa na wakt

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 месяца назад +1

    MPUMBAVU AKIWAPUMBAZA WAPUMBAVU WENZAKE🤣🤣🤣

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 4 месяца назад +1

    Na ww pia mjinga na baba ako mzazi

  • @Time-ev3dw
    @Time-ev3dw 4 месяца назад +1

    CCM wote ni majahil maana njaa kali ajira hamna bado mnapigishwa jua pia ujue mansoor hana njaa

    • @maryamhabib8027
      @maryamhabib8027 4 месяца назад

      Kasome

    • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
      @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 4 месяца назад

      Viongozi karibia wote walioitumikia SMZ basi ni mafisadi na Lao linakua Moja me naisi wakitaka kukomesha Ufisaid Zanzibar basi warudi Nyuma baada ya Mzee Karume waanze na Maraisi waliopita na Mawaziri wao Mbaka kuifikia sasa Wachimbue Makaburi kuna Mawaziri waliopora Viwanja vya wanyonge kuna waliojenga Ma Hotels hapo ndo kukomesha ufisadi

  • @MwigaAdam
    @MwigaAdam 5 месяцев назад +4

    Jibuni hoja sio matusi

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 5 месяцев назад +3

      yule si marehemu yule ni hayati kafiri hawezi kuwa marehemu na mwislamu kumuombea dua kafiri ni dhambi sasa kazi kwako pumbavu Yule jahili kweli sasa wewe kesho mbele ya Mwenyezi Mungu nenda kamtetee sema na njaa yako

  • @IdirisaKhamis
    @IdirisaKhamis 5 месяцев назад +1

    Duhh hawa jamaa hawapo kwenye dira

  • @VillaBoy-fv2zw
    @VillaBoy-fv2zw 4 месяца назад +1

    Ccm wot kwel wajing badal ya kujib hoja kaz yao poronj tu

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 5 месяцев назад +1

    ww hauna hata akili mkiristo unamuombea alazwe mahala pema huko mbinguni ulipeleka kitanda fala ww mkiristo wamuita marehem sanda ya kijani ww

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul 5 месяцев назад +1

    Tumbo kama beni 😂😅Kwa riba

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem 5 месяцев назад +1

    Siasa za kizamani izooo achaneni nazo leteni hoja za kisasa

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx 5 месяцев назад +1

    Kwan mwashindana na vyama vipi vya siasa apa ila mbona sisikii sera za chama kwanin

  • @rahmaomar9137
    @rahmaomar9137 5 месяцев назад +1

    Huu ni ujinga na ushapitwa na wakati, watu wanaongelea hoja sio matusi

  • @bakarhamadhassan4484
    @bakarhamadhassan4484 4 месяца назад +1

    Ikiwa ww ni muislamu umeikosea dini.7bu yeyote alikuahakufuata UISLAM amepotea na kupotea ndio ujinga. ALLAH SWT amewaita wajinga unamlaumu Mansoor.
    Basi mlaumu ALLAH ndie alieanza kuwaita makafiri wajinga.
    USOME UISLAM. WAKO Ndio msaada wako leo na kesho.

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 5 месяцев назад +1

    Kwaiyo Mavunja jungu ya CCM hapo ndo umejibu hoja za muhimu zilizoelezwa na ACT kuhusu wizi ilokithiri unaendelea ktk uongezi wenu ??? Amma nyie hakili hamna 😂

    • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
      @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 4 месяца назад

      Me naisi kuiweka sawa Zanzibar kwenye ufisadi basi waanzie baada ya kifo cha Karume Maraisi na Mawaziri wao wote walioiongoza Zanzibar kuanzia hapo mbaka sasa Wachunguzwe na walioiba Viwanja vya watu na wengine kujenga ma Hotels basi wote warejeshe na ingelikua ndo Mwisho wa Ufisadi Zanzibar

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 5 месяцев назад +2

    Na hizi siasa za matusi si hilka za wazanzibar

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 месяцев назад +1

      Uwaambie na wale wengine waelewe hili

  • @HassanMohd-cx5rv
    @HassanMohd-cx5rv 5 месяцев назад +1

    Wewe ndo bamia kabisa mana ulichozungumza kinathibitisha wewe mrenda ovyo kabisa nyumba yake wewe imekuhusu nini ulikuwa unaitaka wewe hana hiana angekupa ,magufuli ni dikteta wakutupwa alicheza namungu sasa atajua kama atasimamia malaika au atapata kile kinachomstahiki kama wamaana kwakowewe usilazimishe watu

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 5 месяцев назад +1

    WEWE JAAHIL KWELIKWELI
    UNATAMKA MAGUFULI MUNGU AMREHEMU
    ASTAGHAFIRU LLAAHI
    JAMANI KIUKWELI NDANI SIASA UKAFIRI NI MWINGI MNOOO

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 5 месяцев назад +2

    Mara nyingi mtu akiwa hana hoja, huishia kutukana.

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 5 месяцев назад +1

    tunategemea majibu yako jusa huyu kenge tujibie aadabike

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 5 месяцев назад +1

    Yani nyinyi kutukana tu jamna hoja nyinyi

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 4 месяца назад

    Yote ya nini jmn mbona CCM wenzangu Zanzibar kushutumiana km watuuu wasengee mabarazuri imeshikaa kasii hizi ndo siasa jamani weee umesoma nae kwa hiyoo wee ulikua basha ama vipi ulimjuaje Lain kwa maana Msenge ulimjuaje au na wee umoo maana huweziii kudhibitisha ukasema kwenye kadamnas km hivi si sawa mbona Mh Rais Hussein mwinyi humsikii kutukana wala Mh Othman au Hemed

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar 5 месяцев назад +2

    CCM tushachok blaa blaa zenu

  • @khadijasalum5666
    @khadijasalum5666 5 месяцев назад

    Safi comrade! Wakimwaga ugali unamwaga mboga 😂😂😂😊😊

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад +1

      ingependeza wangejibu hojaa ilaa kwa matusi hayo ni dhahir ccm mmeishiwa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 месяцев назад +1

      ​@@fahmysaid-zw4npkwani wale wengine hawatukani?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад

      @@jumakapilima7295 wewe ni wa wapi?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад

      Tatizo la wanachama wa CCM Zanzibar ni watu wa mihemko!na miongoni mwao Vaasa ya kustaafu ktk kuwatumikia Watanganyika ndio huamka na kuwa wapinzani kwa Kiki’s a maslahi!maana CCM hukutumia wakimaliza haja zao wanakiacha na mji uhangaike nao!mifano ipo mingi sana na ndio AMANI KARUME aliwaamba wana akili za Samaki

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад

      Na Ugali mbona umemwagwa muda tu!tokea Salmini Amour alipoondolewa kuwa Makamo wa Rais wa Muungano!sasa ugali upi na mbogo?yaani nyie ni Mababa na Mamama wa Wajinga musiojitambua kwa kuendekeza njaa na kupewa shibe mbwa na kusahau watoto wenu

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 5 месяцев назад

    Jussa laini laini ss tuliosoma cuba tushaelewa duuh sio poa 😂

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 5 месяцев назад

    Washindani wa kisiasa wasipende sana kumsema vibaya hayati JPM. Kwa i kawakosea nini? Makosa yake ni kupambana na wala rushwa? Kujenga barabara? Kufuta watumishi hewa? Kutoenda ulaya? Kutoa elimu bure? Alikuwa shujaa yule marehemu

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 5 месяцев назад +1

    tukutane nao 2025

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 5 месяцев назад +1

    Jibu hoja mpuuzi

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 5 месяцев назад +1

    Mazezeta 😂

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 5 месяцев назад +6

    Magufuli nikafiri hafai kuombewa dua punda ww

  • @RashidAhmed-h7t
    @RashidAhmed-h7t 5 месяцев назад

    I'm not mtanzania but umenishangaza sana because nafuatilia sana siaza za tz kina ambacho nakiona watu wa Tanzania hawampendi huyo raisi ambaye ametoka kwenu huko yaani kifiatilia watu wanamtukana matusi mabaya sana kushinda hilo ambalo limekuuma la ujinga so mi naona wewe pia ni Abuu jahili yaani umeshindwa kuumia kumiia kutusia kwa ndugu yako muislamu(Samia)umeumia kutusia mkiristo tena hayupo tena duniani huwo ni ujinga wa mwisho and end me nawaombea dua Allah awalaze same place with Magufuli akhera you and all they said ammin

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 месяцев назад +1

    Kura hatumpi labda kula

  • @KhalidAbubakri
    @KhalidAbubakri 5 месяцев назад +2

    Nilidhani wanajibu hoja kumbe mioasho

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад +2

      kujibu hoja mchezo unadhani wataishia kutukana ivyo ivyo mana jussa anawanyoosha

    • @TatuKhatib-f1u
      @TatuKhatib-f1u 3 месяца назад

      Yeye mwenyewe animatusi kuliko hayo

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 4 месяца назад

    Tumezisikia sera na mgombea kaombewa kura. Hahaahahahahahahahahahahaa

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro 5 месяцев назад +1

    Jibuni hoja

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 5 месяцев назад +1

    Huyu jamaa ajifanya anajua,maana ya jahil asema ni mjinga. Nafikiri wajinga wako wengi.Toa hoja wacha kutukana watu chini ya mkeka.

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB 5 месяцев назад +2

    Njaa inakusumbua

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh 5 месяцев назад +1

    Kaimbe tarabu ww

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 4 месяца назад +1

    😂😂😂 Wajinga wako wengi. Eti sasa hivi anamtetea Magufuli baada ya kufa.

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад +1

    Sasa Kura mutapata Kwa upuuzi wa mipasho na matusi!

    • @adnanidarous3117
      @adnanidarous3117 5 месяцев назад

      Ccm itashinda to ata wcpo piga kura 🎉

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 4 месяца назад

    Nyie wa Zanzibar hamuna akili

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад +2

    hhhhhhh ccm hamna seraaa mnaishia kutukana tuh kumbe ilikumeni bwana wenu magufuli kuitwa jahil

    • @AllyFaki-mr3bj
      @AllyFaki-mr3bj 5 месяцев назад +1

      et imewauma bc nawaende wakamueke wawo apo pahala Pema

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад

      Sera wanazo si ndio hizo za mitusiii!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 месяцев назад

      Hawa watu kweli Wana akili za samaki!sababu ipi ya wao kumsifia Makufuli?yaani hawana kabisa na uchungu na Zanzibar!ni Makufuli hule alipokuwa Rais akachagua Baraza la Mawaziri la Serikali ya Muungano bila ya kumuweka hata Naibu Waziri kutoka Zanzibar!je hili wao wanafurahia!wendawazimu Hawa?

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад

      @@AliSalim-yu4mo si ndo wachumia tumbo hao lazima wamshukuru magu mana aliwaletea jesh zanzibar likauwa watu chungu nzima lazima warejesh fadhila

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 5 месяцев назад +1

    Hata wewe ni mjinga na hao wanao kushangilia hamjui mlifanyalo huwezi kumrehemu asiyekua muislam nendeni madarasa mkafute ujinga

  • @wardadvaz
    @wardadvaz 5 месяцев назад

    Ccm wenzangu jipya

  • @MwigaAdam
    @MwigaAdam 5 месяцев назад +2

    Mipasho aoooooo mumekataliwa

  • @khadijasalum5666
    @khadijasalum5666 5 месяцев назад

    Wanavotaka tunataka! Wakitukana wanatukanwa hamna kuwaacha! Wakija na hoja tunajibu hoja, mkuki kwa nguruwe....

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 5 месяцев назад

      hawakutukana tuh na wao walitoa na hojaa mbona hamjajib mmeishia kutukan

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 5 месяцев назад

    Khamiss Pele oyeeee😂😂😂😂😂

  • @DalilaAbeid
    @DalilaAbeid 5 месяцев назад +1

    Wambie hao A C T wamezowes

  • @VuaiVuai-l7q
    @VuaiVuai-l7q 5 месяцев назад

    Makaburi nyumba za kurithi katika mikutano kusemwa havi saidii kitu mjomba

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq 5 месяцев назад

    Mbon camera hacienda kwa hadhira

  • @WadyShaibumohammed
    @WadyShaibumohammed 5 месяцев назад

    Ccm oyeeeeeeee

    • @allykhatib660
      @allykhatib660 5 месяцев назад

      Jibuni hoja zilozotolewa sio matusi
      Mpaka leo sijaona aliepanda kiriri cha ccm akajibu hoja kielimu wala kutoa hoja itakayo mfanya mwananchi kuifikiria
      Si mwanachama wa upande wwt ila nikiskiliza naona upizani wanaongea kitu kinacho waumiza wananchi ila chama tawala porojo tu tafteni wanasiasa wakuongea kwenye viriri sio watoa matusi ili tuvutiwe na chama

  • @VuaiVuai-l7q
    @VuaiVuai-l7q 5 месяцев назад

    Sasa maneno hayo yatatusaidia katika kuliza uchumi wetu

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 4 месяца назад

    Kafiri ameombewa duwa😂😂😂😂

  • @AminiMuhammed-pi6dx
    @AminiMuhammed-pi6dx 5 месяцев назад

    Hahahahaha znz bwana

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 5 месяцев назад +1

    Kilupi na wewe umoooo

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 5 месяцев назад +5

    Kweli ccm niwajinga