Mansour Himid awashukia CCM, asema hata wakisema wanawawe si raia, mapambano bado yataendelea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024
  • "Hatutanii tunasema tunaitaka nchi yetu, hatupumui mpaka tuhakikishe tunakizika Chama cha Mapinduzi"
    Mansour Yussuf Himid
    Mjumbe wa Kamati Kuu @ACTwazalendo

Комментарии • 5

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 4 месяца назад +1

    Ndio baba tunakupenda sana kiongozi wetu mansur

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 месяца назад +1

    kaka ulikula Hela chafu sana kule ccM na leo unajifanya kusahau lakini badi tupo hatujasahau

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 5 месяцев назад +1

    Duh uchaguz ujao una shida

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 месяца назад

    Ni kweli kauza nyumba na kaburi la Baba yake jamani?

  • @hamadmaliki0029
    @hamadmaliki0029 5 месяцев назад

    Uyu jamaa kafanana sana na Almarkhuum, tunaomba uyu jamaa asimamishwe 2025, pls