Part-2 MHE. JOSEPH MUSUKUMA AKISHUSHA NONDO NDANI YA Clouds360 ON SATURDAY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 106

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 6 лет назад +3

    Binafsi maneno ya Msukuma yananifurahisha sana endelea ivyo ivyo kamanda

  • @derickdmaliganya4441
    @derickdmaliganya4441 3 года назад

    Ww nakubali saana

  • @yasinjumahamis6267
    @yasinjumahamis6267 Год назад

    Nakubar sana msukuma

  • @lameckzacharia4489
    @lameckzacharia4489 7 лет назад +3

    Musukuma nisha sema ni meja anakipaji kuliko hata wanao jiita wanamadegree,wengi wanajikomba hawawezi kujibu hoja moto moto papo kwa papo big up sana musukuma,wanao kusemea vibaya kwa nje rohon wanaumia kwa nn wao hawakua km ww wanafki wakubwa et wasomi,mabwege tuu

  • @katungenyanda6177
    @katungenyanda6177 7 лет назад +7

    Musukuma uko vizuri kichwani bigup sana. Musukuma mmoja sawa na wabunge 30 Wa chadema wenye digrii za kutisha

  • @neltone
    @neltone Год назад

    Ana miak 64,hazeeki

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 лет назад

    nakukubali bana kwa kushusha nondo we noma ubarikiwe

  • @wilsonluhaga1860
    @wilsonluhaga1860 2 месяца назад

    Msukuma nomaa

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 7 лет назад +2

    Msukuma pongezi , unakipaji hali ta kutosha

  • @ngusarobert7013
    @ngusarobert7013 7 лет назад +2

    Safi sana ujumbe umewafikia

  • @yahayamussa3788
    @yahayamussa3788 3 года назад

    Big up musukuma

  • @andrewmsungu2535
    @andrewmsungu2535 7 лет назад +2

    Huyu jamaa ni kichwa sana aisee! Hana unafiki yaani

  • @josephmarosha3002
    @josephmarosha3002 6 лет назад +1

    King msukuma oyeeeeeeee

  • @vicentchilangwa3697
    @vicentchilangwa3697 4 года назад

    Nakuelewa xn

  • @eliaserasto506
    @eliaserasto506 6 лет назад +1

    Msukuma nomaa kama kweli huna elimu bac unakipaji maan una content san

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 4 года назад

    Ama kweli ulijuaje!

  • @barakakafurike5907
    @barakakafurike5907 7 лет назад +1

    safi sana msukuma uko vzr

  • @mosesmangasin8416
    @mosesmangasin8416 6 лет назад

    nimefurahi sana msukuna yuko vzur

  • @fraviusgozbert6445
    @fraviusgozbert6445 6 лет назад

    msukuma niatali sana

  • @silastiven642
    @silastiven642 7 лет назад +4

    musukuma noma

  • @emmaenkwabi9268
    @emmaenkwabi9268 7 лет назад +1

    Jamaaa anaakili nyingi sana

  • @frankp.alkado2938
    @frankp.alkado2938 6 лет назад

    Uko vizuri Musukuma

  • @ommarysaid7391
    @ommarysaid7391 7 лет назад +2

    Jamaa ana Akili nyingi Sana

  • @salehewaziri3172
    @salehewaziri3172 7 лет назад +1

    kwangumumu Musukuma namba1

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 лет назад +1

    ni mchangamfu sana na Mwenye kujibu maswali kwa weledi Mno Kiasi ya kwamba naona kama anatudanganya Kuwa Yeye ni STD seven ingawa sipendi chama chake

  • @shijamadede4394
    @shijamadede4394 2 года назад

    Musukuma chapa kaz

  • @kitalalarobert956
    @kitalalarobert956 7 лет назад +4

    Natamani nifanyenae kazi huyu msukuma anajua..

  • @mudangakija5359
    @mudangakija5359 7 лет назад +1

    Msukuma Yuko vizur Sana kiuelewa

  • @mamawinn1559
    @mamawinn1559 7 лет назад +3

    yaani huyu jamaa huwa ananifuraishaga sana.

  • @harunaabdallah309
    @harunaabdallah309 6 лет назад

    Mwenye njaa hachagui chakula

  • @eliaserasto506
    @eliaserasto506 6 лет назад

    Kabxaa msukuma anahoja nzul xn

  • @zeblufingo8361
    @zeblufingo8361 7 лет назад +7

    MSUKUMA SEMA UKWELI, SIAMINI KWAMBA NI DARASA LA SABA!HUYU NI MSOMI ANAYEJISHUSHA KAMA IDENTINT YAKE.

  • @rulangayakobo7669
    @rulangayakobo7669 7 лет назад +2

    La saba Hatariii

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 года назад

    MSUKUMA SAFARI HII KWENYE JIMBO LAKO LABDA UIBE KURA. HAWAKUTAKI MAANA UMESHAKUWA TAJIRI. WANAMTAKA KIJANA WA CHADEMA NAE AKATAJIRIKE.

  • @naomisanga148
    @naomisanga148 6 лет назад

    Msukuma I'm in love with you!

    • @bahishaalexander3641
      @bahishaalexander3641 6 лет назад

      Ninadhani huyu uwezo wake umevuka mipaka.ana hadhi ya kuitwa proffesor bila hata ya makaratasi ya mavyeti.

  • @katelengumasolwa571
    @katelengumasolwa571 7 лет назад

    Tupeni part 3

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 7 лет назад +1

    Rafiki Yangu Huyoo Namjua, Kwa Elimu ya Bongo Mtapata Shida Kumtengenezea Maswali Nbure

  • @selemanikassim7018
    @selemanikassim7018 7 лет назад +3

    Huyu jamaa anafaa kuwa waziri..

    • @armanmsemo7739
      @armanmsemo7739 6 лет назад

      Anachoniuzi anaugonjwa wa kichama akisema kiongozi ni alieko ccm tu inamaana ccm ni mbinguni mpaka iwe ukiingia tu huko hatakama ni mbovu unakua mzuri jirekebishe broo

    • @mosesmashishanga285
      @mosesmashishanga285 6 лет назад

      Selemani Kassim weeeeee

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 лет назад +1

    Msukuma ni mzalendo, mkweli, muwazi ana hekima na Maarifa. Hapendi kufunika uchafu hata km uko kwa chama chake. Anapenda maendeleo ya kweli ya wananchi. Ana uwezo pande zote kwani ukija na jeuri atakuonyesha jeuri zaidi. Ukija sawasawa unakwenda nae sawasawa. Anafaa kutetea wananchi akipewa uwaziri atafungika kwa namna moja au nyingine. Ila kwenye chama tunaweza kumpa UENEZI.

  • @koradjulius6881
    @koradjulius6881 7 лет назад +1

    msukuma ni kiboko

  • @derickdmaliganya4441
    @derickdmaliganya4441 3 года назад

    Huyu ni magufuli wa pili

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 7 лет назад +3

    elimu haionyeshi uwezo wa kutafakari mambo huyu msukuma anatmia maarifa na anajua mambo.

  • @katelengumasolwa571
    @katelengumasolwa571 7 лет назад +6

    Musukuma la saba lakini anakontenti.

  • @kamgishakaganda5506
    @kamgishakaganda5506 6 лет назад +1

    Tatzo la huyu msukuma,anakitetea chama,huku akilalamikia huduma mbovu zinazotolewa na serikali yachama chake.mfano wizi unafanyika migodini,huduma mbovu za kirahia jimboni kwake,Afya,Elimu nk.kama chama chake kikomakini iweje haya yatokee?.

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 лет назад +1

    uko sawa musukuma wenye akili wanakuelewa

  • @jumanguru670
    @jumanguru670 7 лет назад

    elikopita iko wp sasa?

  • @ibrahimbutera8157
    @ibrahimbutera8157 7 лет назад +13

    MSUKUMA afanyiwe UHAKIKI mimi siamini kama ana CHETI cha kumaliza d la SABA pekee yake, ukimsikiliza kwa umakini jinsi avyojibu maswali na jinsi anavyojieleza utagungua moja kwa moja kama huyu jamaa ni kichwa sana tena kuliko wale wanaojiita eti ni WASOMI

    • @mkamabrown9011
      @mkamabrown9011 7 лет назад

      da msukuma anatisha sana elimu ya jamii.mhimu san.umeona anaongea kama wa chuo kikuu

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 лет назад

      Ibrahim Butera hahahahaha yaaaaani tangu asubuhi nilikuwa sijacheka, umenivunja mbavu.kwa hiyo ikibainika ana degree afunguliwe mashtaka kwa kùudanganya umma.

    • @selemanikassim7018
      @selemanikassim7018 7 лет назад

      Msukuma anafaa sana kuwa mbunge tena wa idara kama madini au mifugo tunatamani sana kupata waziri std 7 kama huyu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 7 лет назад +5

    kiukweli msukuma nimtu asie penda sifa kabisa huyu jamaa kwanza anauwelewa mpana sana

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 лет назад +2

    Angefika university angekuwaje

  • @meshakmnyagwer7853
    @meshakmnyagwer7853 6 лет назад

    Msukuma ni shida kabisa agombee urais maguful cha mtoto kwa utendaji kaziii jamanii

  • @zainurirashidi3029
    @zainurirashidi3029 6 лет назад

    Msukuma mkumbuke mwanao bumbuli kipimbindikile unauza mitumba

  • @elibarikimasawe9659
    @elibarikimasawe9659 7 лет назад

    mheshmiwa msukuma ana sema demokrasia inatakiwa ikue jimboni kwako swali langu kwake mbona wakina lema waki itisha mikutano yao ndani ya arusha wana kamatwa? bila sababu? naomba anijibu plz

    • @rakiburashid7720
      @rakiburashid7720 7 лет назад

      elibariki masawe hawahuwaga hawafanyi siasa ila huwa sana Fanya kashifa kwa selikali ndiyo maana sana kamatwa

  • @yusuphaman3449
    @yusuphaman3449 6 лет назад

    Ivi kwa nini Raisi asikupe uwaziri

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 7 лет назад +4

    wambie msukuma najuwa wengi wanakuchukia ila upo pouw bgp.

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 7 лет назад

    ulinunua lini hyo elkopta

  • @mamahustru
    @mamahustru 7 лет назад +1

    Msukuma hataree tupu.

  • @nyandahilali5713
    @nyandahilali5713 6 лет назад

    Mh naomba tuwasiliane kwa 0766596120 nipate elim ya ujasilia mali

  • @mudangakija5359
    @mudangakija5359 7 лет назад +1

    Lowassa hakuwahi kuwa rafik ako

  • @psterinishayo4270
    @psterinishayo4270 7 лет назад +3

    Kama elimu yako ni ndogo lazima utumie maarifa ya ziada ili ujikwamue

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 7 лет назад +1

    With high IQ

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 6 лет назад

    Uyu jamaa ni mshirikina.....

  • @nolascomwinuka8080
    @nolascomwinuka8080 6 лет назад

    Saf

  • @mahonakatani4830
    @mahonakatani4830 7 лет назад

    kuhusu demokrasia mzee haina uhai,,labda uwe wa ccm

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 5 лет назад

    Huyu jamaa std 7 ila anajibu maswali kama PhD holder

  • @elibarikimasawe9659
    @elibarikimasawe9659 7 лет назад

    msukuma anasema demokrasia inatakiwa ikue jimboni mwako mbona godbless lema na wenzake wa chadema waki itisha mkutano kwenye majimbo yao wana kamatwa bila sababu

    • @selemanikassim7018
      @selemanikassim7018 7 лет назад

      Wamekuwa wakiwajenga wananchi ki siasa na chuki kuliko kazi wafanye siasa za faida kwanza.. Yaan siasa kazi sio upinzani usio na faida zaid ya malumbano...

    • @michaelmpanduji7952
      @michaelmpanduji7952 7 лет назад

      Uko sawa msukuma wetu tuwakilishe unajua tunaonekana wana nzengo wakati wasomi wote ni wasukuma

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 7 лет назад +1

    Amejitahidi ila tafsir ya demokrasia kajibu hovyo. Hofu imemtawala

  • @alexmeshili4784
    @alexmeshili4784 7 лет назад

    Huyo anayesema lowassa asiende huko at hamtaki utabaki hivyo hivyo tu hayo ni maongezi yako lowassa mbele baki na usukuma wako

  • @aaronmabondo6263
    @aaronmabondo6263 7 лет назад

    aaache uwongo huyo alikuwa anamsapoti lowasa na clip zake akitoa speech tumeziona aache kudanganya watu

  • @davidmahelela5629
    @davidmahelela5629 7 лет назад

    Hugo no bonge la mnafki looo

  • @kevinjeremiah6972
    @kevinjeremiah6972 7 лет назад

    pumba tu

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 лет назад

      Msukuma akili yake inalingana na darasa la saba, sababu anaongea kiubaguzi. Msomi haongelei miguuni pake, anaongeza hatua mbilibele Kisha anarudi nyuma hatua moja. Hatumii akili naaarifa anaropoka tu!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 лет назад

      Halafu ni kweli hawezi kuwa rafiki wa Lowasa sababu marafiki wa Lowasa ni class ya juu, na siyo dizaini yake. Lowasa hana Leseni za maguta!

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 лет назад

      Siamini kama Msukuma anaweza ongea chochote kuhusu chama tawala, maana yupo upande huo atatetea tu hata iweje . Huyu siyo mbunge wa Taifa Ni mbunge wa CC M .

    • @estaanthony8797
      @estaanthony8797 6 лет назад

      Hao wanaompinga msukuma ni wachaga wenzie na rowasa hawana lolote

  • @cosmasbagamba3662
    @cosmasbagamba3662 7 лет назад +1

    Li nafiki hilo, ulikua swaiba mkubwa wa lowasa wewe, njaa zinawasumbuaga wanasiasa wa bongo wengi wana shida..eti huamini ka ni kiongozi, wakati alikua waziri wako mkuu na kwa yeye haijawi kutokea waziri aliesmamia mambo kama lowassa, labda kwa sasa majaliwa ndo anaelekea, mpuuzi huyo

    • @naomisanga148
      @naomisanga148 6 лет назад

      COSMAS BAGAMBA msukuma anaongea anachokiamini halafu huyo hana njaa mjue vizuri sio kuponda tu

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 6 лет назад

      COSMAS BAGAMBA unaota ww msukuma ananjaa fuatilia huyu jamaa utagundua unachoongea sio sahh

  • @cosmasbagamba3662
    @cosmasbagamba3662 7 лет назад +1

    Li nafiki hilo, ulikua swaiba mkubwa wa lowasa wewe, njaa zinawasumbuaga wanasiasa wa bongo wengi wana shida..eti huamini ka ni kiongozi, wakati alikua waziri wako mkuu na kwa yeye haijawi kutokea waziri aliesmamia mambo kama lowassa, labda kwa sasa majaliwa ndo anaelekea, mpuuzi huyo

    • @juliuschipungu1237
      @juliuschipungu1237 5 лет назад

      big up kwa msukuma upeo wako haufanani na wabunge wengi kwani huna ubaya na mtu

    • @greenjoseph3551
      @greenjoseph3551 5 лет назад

      Msukuma nakwaminia Sana katika mazungumzo yako oku vizuri Sana mhe