Yan hii story kama mv ila m kama mm nimetoka nakitu kiukwel dah maisha Yana safari ndef kama iv japo hatuwez kuwa level moja ila na believe siku yang namm ipo
Honorable Msukuma, tunakuamini sana tena Wewe utakuwa president of the country one day . We believe that President Magufuli has thought a lot . Continue to work hard for the people of tanzania 🇹🇿
Msukuma unaweza kulaumu sana wasomi, au kulaumu wataftaji wengine kwa kuona kama wazembe lakini ukweli wa katika MAISHA KUNA KITU KINAITWA BAHATI, KIlam mmoja ana BAHATI yake katika maisha. Hata uliotafta nao maisha sio kila mmoja kayapata kama wewe, hata wasomi unao waona kama wazembe ni kwa vile wamepita njia hiyo ya utaftaji, wewe mwenyewe ungesoma ungekuwa miongoni mwao. Katika maisha kuna kutafta ndio, kuna hursal lakini suala la KUPATA utajiri lina BAHATI ndani yake. Natajiri wengi ambao hawajasoma wanao wasomi ni wazembe na wavivu lakini wanasahau kuwa ndio Diversity yenyewe ya maisha katika Jamii. Wapo ambao hawajasoma, wametafta kwa nguvu lakini hawakupata, na wapo waliosoma na bado wamekuwa matajiri.
@@GivenTobagoBahati ipo ndiyo maana watu wote sio matajiri wa mamali mafedha,matajiri ni wachache na watu wa kawaida ni wengi zaidi na watu wengi wanapambana sana sana kuliko hata huyo Msukuma lakini mafanikio hakuna.
Siamini katika bahati, Katika utafutaji wengi tunashindwa kuthubutu pia kubwa kukaa katika kitu kimoja,pia kutokimbia changamoto,ninahistolia katika utafutaji wangu Hadi hapa nilipo
Msukuma nini kimekudanganya umekula Hela za bandari kwani umepungukiwa nini walah utakufa Kama mafisadi wengine tu huna maana kabisa mkataba wa bandari
Kwenye biashara ya viatu anasema alipata mauzo ya million 400 kwa siku3 pale korogwe najiuliza hata kama ni mnada lkn hayo mapato ni mengi kwa mji kama ule
Mzee wangu uko makin sana kwa kwer sisi vijana tuna jifunza kitu baba mm najifunza zahidi natamani nikutafute unipe elimu ya akiri ninamna gan naweza kufait ningize pesa baba
Msukuma nakuchukia na viongozi wote mliounga mkataba wa hovyo ipitishwe sisi chama chetu CMM lakin hatuna viongozi ni mandunduka tuu bendera fuata upepo akiongea mmoja hata hoja ya hovyo yote yanaunga mkono yote tunawaachukia mno
huyu jamaa nilikuwa namkubali Sana ila kanikela kwenye ishu ya bandari kahongwa pesa maana tundu lisu kaisha sema ukiona mtu anaushabikia huo mkataba ujuwe hana akili ama kahongwa
Hakuna mkataba wa ovyo ila hamna ufahamu kuna mikataba mingapi ya ovyo lkn sijasikia kelele hata ulaya serikali yetu ikiingiya mikataba na nchi za asia basi wanachukia
Msukuma hongera Mungu akupe maisha marefu na vijana tunajifunza k2
Nimejifunza katika maisha hakuna kukata tamaa, JPM from tax driver to president, hard work , uadilifu, nidhamu,
kbsa yan daaah hata mm naptia changamoto sasa ila nmepata faraja sana kwa haya
❤❤❤❤😅qqqqqq
❤
Kuna kitu nimekipata kutoka kwake jamaaa ni genius sana
King msukuma namkubali sana
One of the best educative interview i have once met in my life
Upo vizuri sana baba angu hujadanganya historia yako
Msukuma hana moyo wa uchoyo juu ya mapito yake, na ni elimu kubwa kwa watanzaniya
ماشاء الله
Tatizo wanao host hawapo sereous tungeyajua mengi....
Msukuma kwa kweli una moyoo wa kazi
Kaka wew umetisha
Wee ni kiongozi wa kweli hongera
This man Msukuma 🔥🔥
King just keep moving to the highest position we trust you baba
Yan hii story kama mv ila m kama mm nimetoka nakitu kiukwel dah maisha Yana safari ndef kama iv japo hatuwez kuwa level moja ila na believe siku yang namm ipo
Kwa kweli mheshimiwa congratulations yako umepabana sana sio kazi rahisi
Ushuhuda makini, Dr Msukuma anafaa kuongoza nchi miaka kadhaa ijayo
Kabisa me timu yake
Yeah, jamaa km vijana tutamdikiliza na kujifunza kwake ni inspiration tosha
Msukuma bg up..na wazee wa clouds..maiki kubwa..itamchosha..
Safi sana king
Nilicheka sana wakati anasema alitoroka na shuka la hospitali
Nomaa
Angekuwa hai ungekubali kusema kamagufuli kakaja pale
Me sio mwasiasa lakini nawapenda Wazalendo, Mjomba Msukuma nakukubali, Simon Uriyo Capetown SA
Huyu mheshimiwa msukuma history ya mapito ya maisha yana funzo ni elimu kwetu
Tatizo hatoi nafasi kuwasikiliza wanahabari yeye Yuko SAWA tofauti na mbunge wetu
Tena wew chawa amwache mzee wetu apumzike kwa amani
Honorable Msukuma, tunakuamini sana tena Wewe utakuwa president of the country one day . We believe that President Magufuli has thought a lot . Continue to work hard for the people of tanzania 🇹🇿
🔥🔥🔥🙌
Haitakuja kutokea, Kwa Katiba tu ya sasa, ni lazima uwe na Degree, sio hizo honorable, ya darasani, kwa miaka ua mbele itakuwa masters 😄
@@mugapro si tunabadili tu
Msukuma unaweza kulaumu sana wasomi, au kulaumu wataftaji wengine kwa kuona kama wazembe lakini ukweli wa katika MAISHA KUNA KITU KINAITWA BAHATI, KIlam mmoja ana BAHATI yake katika maisha.
Hata uliotafta nao maisha sio kila mmoja kayapata kama wewe, hata wasomi unao waona kama wazembe ni kwa vile wamepita njia hiyo ya utaftaji, wewe mwenyewe ungesoma ungekuwa miongoni mwao.
Katika maisha kuna kutafta ndio, kuna hursal lakini suala la KUPATA utajiri lina BAHATI ndani yake.
Natajiri wengi ambao hawajasoma wanao wasomi ni wazembe na wavivu lakini wanasahau kuwa ndio Diversity yenyewe ya maisha katika Jamii.
Wapo ambao hawajasoma, wametafta kwa nguvu lakini hawakupata, na wapo waliosoma na bado wamekuwa matajiri.
siamini bahati work the fuck hard bro
@@GivenTobagoBahati ipo ndiyo maana watu wote sio matajiri wa mamali mafedha,matajiri ni wachache na watu wa kawaida ni wengi zaidi na watu wengi wanapambana sana sana kuliko hata huyo Msukuma lakini mafanikio hakuna.
Siamini katika bahati,
Katika utafutaji wengi tunashindwa kuthubutu pia kubwa kukaa katika kitu kimoja,pia kutokimbia changamoto,ninahistolia katika utafutaji wangu Hadi hapa nilipo
Sahihi sana
Tafuta pesa hbr za bahat tupa kule
Safi sana....nimejifunza mengi sana
Msukuma mi nakupenda Sana naomba kukuona!!
Uko poa sana king msukuma
Never give up one day back to comment 💪
Weka Nuktaaaa
King msukuma.mpambanaji sana
Kumbe Masunga John aendelee Kuwa dereva Taxi Japan Tokyo.
Kumbee😮😮
Msukuma 🔥
Nilichogundua kutoka kwa Mh Dkt Joseph Kasheku Musukuma kuwa Ni Mtu asiyekubali kushindwa Kirahis
msukuma up vzr kaka
muandishi unambana MH
Nakuelewa sana msukuma
Mimi nimepanga kwake
Jamani niunganishe nae🤣🤣
msukuma ni mkweli namkubali sana
Story tamu hii
🎉🎉
Uyu jama ni master kwel kwel ni mwanajesh halis watoto wamama waskilize
Jaman mnaweza kuniunganisha na msukuma jaman please
Walikufukuza ila ukawa Mwenyekiti CCM Mkoa hapo ndipo ulipo wakaangia
UNAWEZA KUNIPA MUDA KIDOGO? (MSUKUMA VOICE)
Maji ni uhai ukizama baharini hauponi,ila ukiwa na kiu usinywe maji,ila kufa kwa maji baharini ni umandazi,.zakuambiwa changanya na zako
Msukuma anaweza ata kuwa rais uraisi siyo elimu niuwezo wa kutawala, nimbuge nae tamani kukutana nae macho kwa macho, siyo muongo
Nadhani sheria eti uwe na degree japo moja kugombea uraisi lol
Hakuna binadamu asie kuw muongo ila inategemea unadangany vp?📲 htr xana hii
Msukuma nini kimekudanganya umekula Hela za bandari kwani umepungukiwa nini walah utakufa Kama mafisadi wengine tu huna maana kabisa mkataba wa bandari
Tupe ushahidi kama kahongwa...imagine upo court na hakimu anskuuliza ushahidi...acheni roho mbaya
Kwenye biashara ya viatu anasema alipata mauzo ya million 400 kwa siku3 pale korogwe najiuliza hata kama ni mnada lkn hayo mapato ni mengi kwa mji kama ule
Na kwa kiaka hiyo ya 90 kweli kuna cha kujiuliza, M.400 siku 3 miaka ya 90 kwa korogwe?????
Sasa kama kamaliza lori tatu ya viatu , hesabu zinaendana
Huyu anaitwa king! Mwenyekiti wa waganga wa kienyeji!( Msimshangae ! Apo mzizi %mia)
Hiyo redio😂
Siku unanyosha GGM ndpo nipokukubali nilikuwepo geita
Mbunge wa ndiyo hajui chochote kaziyake ndiyooooo
10:52 katika watu wasiokuwa akili wewe namba moja unasema hakuna watu bandalini ni mitambo tu harafu unasema ajila zitaongezeka hatukuelewi masanja😅
musukuma unajua sn father Kwa sbb unauongozi flani hivi kama wa marehemu magu nakuona unakuja kuwa kiongozi mkubwa sn
Msukuma unajua kuogelea 😂
Masud unamzuia mtu asiongee unakera bhana unapapara Sana alafu uyo bonge mkao gani uwo
Nipo tayari bandle liishe nikimsikiliza king maana huwa ni content tu huzungumza
Lazima watu wazungumze wapumue....
Huyu ni mwarabu Sasa
kweli waliofanikiwa wote walipambana kwa nguvu zote natamani huyu jamaa na hayati magufuli wawe kwenye njiapanda cku 1 watupe madini chuma
Atakuaje na magufuli ambae ameshafariki.
Kwa nn asitoe kabla
eti kamagufuli 😂😂😂😂
Msukuma binafsi nakukubari sana.
Wajina
Genius Mr minds
Namkubali Sana huyu kiongozi
Muongo huyu amekua diwani wa CCM kabla ya miaka hiyo.
😅😅😅😅😅 kamakufuli
Role model msukuma namkubali sana
Afu havimbi wala nini
Suala la kudogodesha mtu ni kiswahili cha bara hata si waha tunatumia mfano ka magufuli
Profesa Msukuma mmoja katika Watanganyika wachache wenye akili haogopi rangi ya mtu kabila la mtu wala dini ya mtu
Hajalogwa huyoo😅
Siwezi wala sipendi kujifunza chochote kwa huyu IWE utajiri au umaarufu . Mbwembwe , masifa na kujiona abaki nayo yeye ni halali yake .
😅😅😅😅.watoto.wanaluka.luka2.wananunua.voki
We ni mwamba
Huyu kipanya ananiuzi anavyomzuiya Mh 😒
WOTE NIMEWAKUBALI MNAINGEA VTU VYA MDING
Hapana chezea mwanasiasa
Kumbe jamaa kaanzia korogwe nyumbani
Uskumani amnaga mtoto wa mama Wala wezi ni kazi tu..
Yani kweli
Ni kweli
Maisha yanasiri san
Exactly bro, that's why there is day and night
Uwakika xana 😢😢
Mzee wangu uko makin sana kwa kwer sisi vijana tuna jifunza kitu baba mm najifunza zahidi natamani nikutafute unipe elimu ya akiri ninamna gan naweza kufait ningize pesa baba
Piga kazi
Umeshakula pesa za bandari Sasa unapiga domo, kwendraaa
Jpm
Huyu mwamba sana
Mzee baba ml 500 kwenye kiloba mh tena za kuuza viatu jamani?. Unajua ml ambazo sio mpya ni zigonhasa.
Huyu mjanja mjanja tu
Hawa watoto akina marioo wanaruka ruka tu wananunua gar
Tanzania ukiwa fisadi na kichwani zero unakuwa staa, huyu sawa na Haji Manara!
Msukuma nakuchukia na viongozi wote mliounga mkataba wa hovyo ipitishwe sisi chama chetu CMM lakin hatuna viongozi ni mandunduka tuu bendera fuata upepo akiongea mmoja hata hoja ya hovyo yote yanaunga mkono yote tunawaachukia mno
nikweli hata mimi nimelichukia sana
Masudi try to contro your hands,huyo ni mheshimiwa mbunge
Umelipwa Kiasi gani ile Trip ya Dubai???
manaake DP world wamekupa hela umejiharishia! Tulidhania Una Uzalendo lakini Bure kabisa
Duh..!?
Mumeuza bandari zetu
Siasa majitaka ,takataka,
Nimuhimu kujifunzakwako
Yuda
Mbona unazurumu watu
Ww kakuzulumu ngapi
Ww ni mbwaaaaa tu mjinga sana ww
We boya kweli ya chukie maisha yako yakimasikini ujipate
huyu jamaa nilikuwa namkubali Sana ila kanikela kwenye ishu ya bandari kahongwa pesa maana tundu lisu kaisha sema ukiona mtu anaushabikia huo mkataba ujuwe hana akili ama kahongwa
Mpende tu,unahakika kahongwa??¿
Hakuna mkataba wa ovyo ila hamna ufahamu kuna mikataba mingapi ya ovyo lkn sijasikia kelele hata ulaya serikali yetu ikiingiya mikataba na nchi za asia basi wanachukia