"ELIMU YA DARASA LA SABA NIMEBADILISHA MENGI! WANAOTAKA NITOKE BUNGENI, MIMI SITOKI" -MUSUKUMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 49

  • @frankchami4503
    @frankchami4503 Год назад +6

    Hakika unatupa moyo wenye darasa la saba ili tukaze kumbe inawezekana kutoboa maisha na lasaba langu asante mungu akusaidie kwenye uongozi wako

  • @mariamusaulo4429
    @mariamusaulo4429 Год назад +8

    Nakukubali sana Msukumaaaa akili kubwaaa

  • @HansLubuva
    @HansLubuva Год назад +2

    I'm proud of you msukuma Kuna kitu nilijifunza KUTOKa kwako now naona matunda yake

  • @gobilyjames566
    @gobilyjames566 Год назад +20

    Msukuma mm hapa nina degree tangu 2015 lakn nilishaweka pemben na nikaanza kupambana kuanzia chin machimbon hadi leo huku mozambique na nilipo namshukuru Mung. Namuelewa msukuma vjana to chukuen lisk kutoboa ni inawezekana.

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 Год назад +1

      Risk - Lisk
      Degŕee holder 2015 😂

    • @jamesnyakia-um7iu
      @jamesnyakia-um7iu Год назад

      Wewe uelewa wako uko kwenye Kiingereza kukosoa kaongea Kiingereza cha namna gani badala ya kutazama mafanikio yake. Kiingereza kukijua sio kufanikiwa, badilika

    • @canisiusibrahim9856
      @canisiusibrahim9856 Год назад +1

      ​@@swafiirbulbul819😂😂😂 Lisiki

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Год назад

      @@jamesnyakia-um7iu na ndo shida una elimu ya juu inakujengea dharau kwa walio na elimu ya chini yako,tuangalie mafanikio ya kuishi maisha yenye maendeleo

    • @snetiengineeringltd8246
      @snetiengineeringltd8246 Год назад

      Degree na lisk kweli aaaa tushusheni

  • @DapwayeniramadhanMuya-fc1xs
    @DapwayeniramadhanMuya-fc1xs Год назад

    Wewe tuseme na kutusahau tunafurahi kaka yetu kwa maisha ya zamani

  • @DamianMazengo
    @DamianMazengo Год назад

    Nakuerewa sana

  • @davidngowi1534
    @davidngowi1534 Год назад

    Nakuelewa sana ngosha

  • @ThomasEmmanuel-lm3uh
    @ThomasEmmanuel-lm3uh Год назад

    Big up Msukuma

  • @Sadickiabdi27
    @Sadickiabdi27 Год назад +2

    Natamani kuwa kama wewe kaka hakili nyingi na hakili ya utaftaji

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 6 месяцев назад

    Daa dimamu Kwa mzeeh shosi manunfu apooo

  • @elishamwalongo3010
    @elishamwalongo3010 Год назад

    Naombaa msaada niongee na huyu mzee jamn

  • @leonardwluchagula9818
    @leonardwluchagula9818 Год назад +2

    Manen Yako yaelimixha sana

  • @NathanielPeter-wv3wg
    @NathanielPeter-wv3wg 8 месяцев назад

    Good

  • @petermushi4986
    @petermushi4986 Год назад

    Clouds mmefanya lamahn sn lkn mpangilio sio mzr kbx na vyombo ni vibovu sijui kuweni mkn asant

  • @RaphaelyDaniely
    @RaphaelyDaniely Год назад

    Namkubali sana jamam

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Год назад

    Big up sana

  • @zingiberofficinale9843
    @zingiberofficinale9843 Год назад +1

    🐄😄😄😄😄"wotee mlimaliza ng'ombeeee za wazazii "

  • @SamuJohn-u5b
    @SamuJohn-u5b Год назад

    Kiukweli nafatulia sana history ya msekuma

  • @Jackylmariam-qy6qe
    @Jackylmariam-qy6qe Год назад

    Acha kuongelea darasa la Saba unaweza kusababisha watoto waache shule kisa wewe kusoma lazima mshukuru Mungu kwenye maisha Kuna watu automatically wanaakl akiwepo wewe ila mtu akiishia la Saba wachache Sana wenye akl iliyochangamka

  • @LoxloxJuma
    @LoxloxJuma Год назад +1

    Nikweli asilimia 90 mabosi wa tz nidarasa la 7 au hawajasoma kabisa nanimabosi

  • @awesomeaugustine
    @awesomeaugustine Год назад

    Kaka Seema Elimu muhimu Elimu IPO mbele Africa tuna Elimu bado 1970 chaina au America washavuka hivoooo

  • @leonardwluchagula9818
    @leonardwluchagula9818 Год назад

    Ni kwel kabixa kaka mim binafsi nakufatilia sana

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 6 месяцев назад

    Huyu jamaa Ni hatari

  • @maase2023
    @maase2023 Год назад

    Ila mjomba unakoroga maneno sana

  • @awesomeaugustine
    @awesomeaugustine Год назад

    Big up jah bress you nakwaminia mchapa kazi

  • @MathiasLumenya
    @MathiasLumenya Год назад

    Kweli unaelim yamaisha halis

  • @JacobNikolaus-oy2ld
    @JacobNikolaus-oy2ld 8 месяцев назад

    💪

  • @amanijolam4140
    @amanijolam4140 Год назад

    💪🏾fact

  • @tigalo2284
    @tigalo2284 Год назад

    Vunja bei mbona kasoma

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Год назад

    Mimi uliniudhi eti unapigia upatu bandari wakati mikataba ni kichaa Tu anaweza kusaini

  • @vadoxwakiafricatz
    @vadoxwakiafricatz Год назад

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @emmanuelwambura2293
    @emmanuelwambura2293 Год назад

    Tupe ushauri

  • @ramakazina170
    @ramakazina170 Год назад

    Ml 300 kontena mbili za ngano jamani hiyo ngano ilikua inauzwa bei gani?.