MUSUKUMA MBELE YA WANAHABARI, ACHUKIZWA KUMDHIHAKI HAYATI MAGUFULI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @NoorAhmed-lg8xr
    @NoorAhmed-lg8xr 3 года назад +116

    Inatakiwa vichwa kama hivi viongezeke. Musukuma uko vizuri mungu akuongoze katika maisha yako

  • @stevensimtowe4511
    @stevensimtowe4511 3 года назад +76

    Najidai Sana kuishi kwenye uongozi wa JPM commando 🙏🇹🇿

  • @samwelzakayo3596
    @samwelzakayo3596 3 года назад +90

    Mzeee maguful hata wamseme vipi sisi tulimwelewa sana hawawezi kututolea hili kichwani mwetu mungu ampumzishe kwa aman tulimpenda sana ila mungu alimpenda zaid

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 3 года назад +1

      👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 года назад +2

      Hachafuliki

    • @pauloqaymo8925
      @pauloqaymo8925 3 года назад +3

      Wanajisumbua tu kumchafua hawataweza

    • @izodnice3659
      @izodnice3659 3 года назад +3

      ...mwanangu natoamachozi babuu. Kuna Watu na Viatu babuu!. Dah! No Way R.I.P JPM for real recognize real.

    • @magrethgeorge9253
      @magrethgeorge9253 3 года назад +1

      😘😘😘😘

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 года назад +51

    Mh msukuma Safi Sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @jamesshao538
    @jamesshao538 3 года назад +58

    Well said Mr.Msukuma,sema Baba

  • @stanfordshombe1379
    @stanfordshombe1379 3 года назад +38

    Safi sana Msukuma watu wanakuamini.

  • @mattyhappy1581
    @mattyhappy1581 3 года назад +57

    Uko sawa Msukuma wew ,,mzalendo

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 года назад +174

    Hapo ndio wazalendo imekuwa too much sisi Magufuli Soldiers tuko nyuma yako yeyote akimgusa JPM tunalala naye mbele Viva JPM

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 года назад +114

    JPM TUTAMKUMBUKA DAIMA

    • @lydiadotto3380
      @lydiadotto3380 3 года назад

      Usmga

    • @lydiadotto3380
      @lydiadotto3380 3 года назад

      Yanga

    • @salmaomar9251
      @salmaomar9251 3 года назад

      SSI tunamkumbuka kwa kuleta vifaru na kuuwa watu zanzibar ili ccm watawale

    • @hamzalyawa7981
      @hamzalyawa7981 3 года назад

      @@salmaomar9251 kuma wee unawashwa mtako

    • @saidnassoro9562
      @saidnassoro9562 3 года назад

      Hata wewe ulikuwa timu Lowasa kabla hajaamia Chadema.Usijikombe kuwa ni mweeema sana.Diallo kakosea lakini na wewe huna jipya.Unakumbuka ulivyoenda na Helicopter Arusha wakati Lowasa alivyoenda kutangaza nia?

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 3 года назад +15

    R.I.P. JPM 😭😭! .... Asante Sana mheshimiwa msukuma 🙏🙏 .

  • @mussaramadhani5976
    @mussaramadhani5976 3 года назад +25

    aaaaaaah!,safi sana.Uzuri wa mh. msukuma yaaan huwaga hapepesi macho,darasa la saba lake alilimaliza vizuri hakutoroka darasani kwenda kuiba mapera aiseeee!!.

  • @paullameck592
    @paullameck592 3 года назад +38

    Nakukubalii saaana mheshimiwa msukuma!

    • @barakasegugu5494
      @barakasegugu5494 3 года назад +2

      Nakukubali msukuma huyu anaemponda mangufuli mama samia amfanyie kazi ili asichafue chama asafishe msukuma endelea nakazi wakilisha wananchi

  • @michaelthadeo8318
    @michaelthadeo8318 3 года назад +4

    Good my daddy msukuma very big up ,,,,,,if God wish iwill come to meet with you very congratuation🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @goodluckmboya6264
    @goodluckmboya6264 3 года назад +41

    Ahaaaa naamini kweli wasomi hakuna kitu
    Waanajamba alafu wanawashafeni

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 3 года назад +130

    Fukuza Dialo , hafai, na Mwanza hatufai, kwanza kamdhalilisha pia Mama Janet Magufuli

    • @jumanguru8455
      @jumanguru8455 3 года назад

      Kwan kosa lake lip????

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 года назад +2

      @@jumanguru8455 kujamba

    • @canibalgazaboy8325
      @canibalgazaboy8325 3 года назад +2

      Kamdhalilisha kweli kwamba mama janeth alikuwa anaishi na kichaa siku zote na hakuwahi kujua mbona hajawai sema kama kaolewa na kichaa huu ni upuuz

    • @saidyande
      @saidyande 3 года назад

      ccm kiapo cha mwanachama ni kusema kweli daima dialo kasema kweli

    • @hawashayo5526
      @hawashayo5526 3 года назад +2

      Angekua kichaa tusinge mkumbuka sasa

  • @shabankiwesi8826
    @shabankiwesi8826 3 года назад +88

    Upo vzr kaka mwambie mzee huyo hajielewi

    • @mabeyainvestment5485
      @mabeyainvestment5485 3 года назад

      Yule mzee kwa kweli hajiheshimuu kbs na ni kichaaaaa mkubwaa

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +112

    Nyoko zake huyo Diarro pumbavu zake hakuwa analipa kodi

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 3 года назад +4

    ###Huyu mzee ni master zaidi ya proffesser yaani mungu amekujalia kipaji mzee wangu msukuma...##

  • @sarahmwansile6007
    @sarahmwansile6007 3 года назад +82

    Pumbavu sana dialo ,nyoko kabisa ,achana magufuri wetu apumzike kwa amani

  • @nedytheboy5579
    @nedytheboy5579 3 года назад +37

    Magufuli hatosahaurika kwa ushujaa wake,upendo,uzalendo wa kwelii na mengne mengi mazurii Hakuna Mwanadam asiye na Mapungufu yoyote..Dialo kazngua Sana Na n Mnafki Sanaa uyu jamaa Hafai kuwa Kiongoz anatuangusha wasomi..Msukuma Bigup Sanaa we N jembeeee

  • @elidarweyemamu5144
    @elidarweyemamu5144 3 года назад +16

    Tutamtetea mzee wetu hata kama ni kwa message,walifikiri akuna wa kumtetea tupo wengi Pumzika kwa amani JPM I will never forget you in my life ❤ 💙

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 3 года назад

      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @fredkyara3278
      @fredkyara3278 3 года назад +1

      Mamilion ya watanzania tuna uchunguu tunaugulia kwa kifo cha mkombozi wetu mtetezi wetu na shujaa wetu kipenzi yaaaani heeeee hamjui tu tulivyo tokea kumshuba babayetu hayati Magufuli. Yeyote atakae jipendekeza kumsema Magufulu vibaya haaaa ajiandae kuchukiwa kuporomoka kisiasa na laana ya kumwandama had umauti wake mfano ni huyu chizi mr. Mibangi dialo

    • @basilisamsaka8469
      @basilisamsaka8469 3 года назад +1

      Haswaaaaaaaaaaa

    • @pauloqaymo8925
      @pauloqaymo8925 3 года назад +1

      Kweli kabisa

    • @izodnice3659
      @izodnice3659 3 года назад

      Lov Lov Jah bless dead bodies

  • @hbdina
    @hbdina 3 года назад +9

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Dr.John Pombe Magufuli❤️❤️❤️ umetukomboa na tunafuata nyayo zako

    • @izodnice3659
      @izodnice3659 3 года назад

      Tusonge na Tunasonga. Kwa mwendo wa Farasi .

  • @celestinemahande5168
    @celestinemahande5168 3 года назад +47

    Safi sana msukuma inatuuma sana naomba atupishe tu uenyeketi wa chama

    • @thomaskwibonelwa9240
      @thomaskwibonelwa9240 3 года назад

      Mwenyekiti wa chama asiruhusu kina dialo kuendeleza kauli za kipumbavu Kama hizi. Atoke hadharani na kuzikemea.

  • @augustinejohn1835
    @augustinejohn1835 3 года назад +41

    Dah, inauma sana Diallo anajabu kuleta unafiki kwa Marehemu. Sio vizuri kabisa. Huu sio uanaume na haswa eti Mwenyekiti wa Chama wa Mwanza. CCM liangalieni hili nii upuuziii sana

  • @jumamglecs7684
    @jumamglecs7684 3 года назад +87

    Magufuli tutamtetea akiwa kaburini na kesho kiama.

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 3 года назад +57

    Tunajuwa dialo ni mwizi.....

  • @ananiachelesi1486
    @ananiachelesi1486 3 года назад +58

    Musukuma tunakushukuru umetusemea ssi tusio na sauti ya kuwafikia hao weu

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 3 года назад +11

    Hongera sana msukuma watanzania tunataka vichwa kama hivi pumzika hayati JPM tutakukumbuka daimaa

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 3 года назад +5

    You are very Wise. Tunakuelewa dear
    Kweli napenda busara yako kaka. Mungu akibariki zaidi. Kijana mdogo mwema mzalendo na akili mingi, safi sana🤝.

  • @augustinejohn1835
    @augustinejohn1835 3 года назад +31

    Thanks a lot Mhe Msukuma

  • @williamsonwilson7350
    @williamsonwilson7350 3 года назад +17

    Nakukubari mkuu💪💪💪💪

  • @ferdinandchilumba9887
    @ferdinandchilumba9887 3 года назад +89

    Pamoja msukuma nipo msumbiji lakini nakupata

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 3 года назад +78

    Mzee baba tutamkumbuka saizi wezi wameanza wengine wamekuja kupitia vilabu jizi Hilo halikuwa linalipa kodi

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 года назад +2

      Yani TUNAMKUMBUKA hadi afya zetu zinazo rota angekuwepo hata karia koo anefanyabinu ya kuwa futa jasho ange enda pale sokoni na kuwa uliza hitaji lenu kwadakika za haraka ni Nini wendemwambia hm RAIS TUNAOMBA HIFAZI YA MUDA KISHA MAGUFULI ANGE FANYA MAMUZI MAGUMU MAWILI LA KWANZA ANGECHANGISHA MCHANGO WA LAZIMA KAMA KAWAIDA YAKE JAFO TOA LAKI KITILA TOA LAKO AL HAJI LAKI BODY GANI LAKI MAMA JANETH LAKI KISHA ANGESEMA IMEFIKA NGAPI NA YY ANGEONGEZA KISHA ANGE WAMBIA WA HANGA MJIHESABU NIWAGAWIENI PESA KISHA ANGESEMA KWANZIA LEO KWAKUA MAJENGO YOTE YAME JENGWA NA KODI ZA WANA NCHI BASI MAJENGO MWILI YA SERIKALI YA HAPA K KOO NAPA WAHASILIKA WAFANYE BIASHARA HUKO HADI UCHUNGUZI WA SOKO KUU UTAKAPO KAMILIKA KISHA WATU WANGE FURAHI MAGUFULI KISHA ANASEMA ASANTENI WA TANZANIA MUNGU AWA BARIKI EE MUNGU WALA HATUJA ELEWA DADDY KALALAJE GHAFULA

    • @saromejusto9587
      @saromejusto9587 3 года назад

      Dialo ni moja ya washenz walokuwa wahujum uchum amwache mzee wetu apumzike Tena akome

  • @salsoandreas5147
    @salsoandreas5147 3 года назад +60

    Safi msukuma mnyooshe huyo Fala mdomo mkubwa kichaaa Yeye huyo diallo

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 года назад +5

      Makoful.hachafuliki kabis kabis amwtutoa mbal amepand mbegu kwa watanzani ambayo haifutik

    • @prisillahmasherema8564
      @prisillahmasherema8564 3 года назад +1

      @@happymrema6728 sanaaaaaaaaa

  • @kudisalashija9823
    @kudisalashija9823 3 года назад +13

    Ahsante sana kwa kupaza sauti mhe Musukuma. Dialo katuaibisha sana wana Mwanza.

  • @ismailmasagasimjilima3319
    @ismailmasagasimjilima3319 3 года назад +44

    Mimi wakwanza ilawalio furah mjomba magufuli kufariki mungu anawaona na anawalani

    • @hadijamatola5230
      @hadijamatola5230 3 года назад +2

      Ivi ss binaadamu tuna feel wapi binaadam mwenzia akipatashida ndio anafurahia mpk na kumshukuru kifo cha mwenzio utasema yeye anaishi milele jamani ALLAH atusamehe na atupe mwisho mwema

    • @magrethgeorge9253
      @magrethgeorge9253 3 года назад

      Nawao wanalio frahi wajue nimarehem watalajiwa

    • @winifridakasibu2900
      @winifridakasibu2900 3 года назад

      Huyo Diaro ni mnafiki mkubwa alaniwe nani Kama magufuri

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 3 года назад +56

    MH Msukuma Uko sahihi Dialo ametukwaza NI VYEMA ajihudhuru amepwaya

  • @magnusdominicus8214
    @magnusdominicus8214 3 года назад +7

    Diallo ametuumiza sana sisi watanzania hajui maumivu tulionayo juu ya kifo cha Mpendwa wetu Magufuli.

  • @ombenhezron144
    @ombenhezron144 3 года назад +13

    Polee Baba Msukuma unaumia Kama ninavoumia kwasababu likitajwa jina la jpm tofauti Nasikia kuumwa Nataman kukata mtu makof,,Asantee Mkuu kututetea pia nimependa sanaa mtu akifa faili Lake limefungwa wanataka kututofautisha sanaa

  • @allysaid3443
    @allysaid3443 3 года назад +21

    Safi sana msukuma

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 3 года назад +36

    Dialo hufai kuwa mwenyekiti wa ccm Mkoa wa mwanza ujiuzuru

  • @charlesnassary6689
    @charlesnassary6689 3 года назад +13

    😭😭 Dialo ni mbwa ameshalaaniwa ametuumiza sana Watanzania wengi

    • @allyiddi5866
      @allyiddi5866 3 года назад

      Kakuumiza wewe kenge mpenda klelewa mlaum mzazi wako aliyekuzoesha na kukulea na vya kuiba

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 3 года назад +5

    Watuachie Rais wetu apumzike kwa amani 🙏😭

  • @festokillingo8912
    @festokillingo8912 3 года назад +1

    Pole Sana mama janeth ,kwa haya ambayo majitu majinga yanaongea kuusu hayati Magufuli,, inaumiza Sana,

  • @salsoandreas5147
    @salsoandreas5147 3 года назад +46

    Kambi ya membe wote mafisadi fyuuuuuuu

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 года назад +13

    Nakukubali SANAAAAA Msukuma

    • @rahabujohn739
      @rahabujohn739 3 года назад

      Ondoka usemwe c aliwafunga mdomo Acha diaro aseme msukuma we ndo mbweha tu

  • @ayubmohamed6620
    @ayubmohamed6620 3 года назад +43

    Dialo in mjinga sana MTU akifariki asiongelewe kwa mabaya. Dialo ndiye kichaa

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 3 года назад +5

    Mungu akujalie msukuma wallah unafanya kazi kubwa

  • @laipazergy7938
    @laipazergy7938 3 года назад +47

    Dialo hajielewi, hana ushawishi na hata halijui kuongea. Namchukia basi tu.

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 года назад +2

      Lijinga sana

    • @sabinashabani1165
      @sabinashabani1165 3 года назад

      Nilipumbavu hilo lizee nilakuchapa makofi lizee lisenge sana lilizoea kuiba pumbavu sana. Hata familia yake yote yalisha lazwa milembe jinga sana

    • @jumaabdalla3374
      @jumaabdalla3374 3 года назад

      Diolo hafai ksbisa hayati msgu kazi sloifanya hakuna kiongozi yyte aloifikia

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 года назад +108

    Msukuma mvueni gwanda la CCM huyo mzee diallo, hatumwitaji tena.

  • @joniijovin3559
    @joniijovin3559 3 года назад +40

    Mzee mwenye elimu ya kuzaliwa

    • @KopakopaTv
      @KopakopaTv 3 года назад +1

      Alizaliwa na phd huyu fala

  • @augustinejohnnyakatoma8591
    @augustinejohnnyakatoma8591 3 года назад +2

    Nimependa Sana hotuba Yako Mhe Msukuma. Umebadilisha mtazamo wangu na SASA nataka kuwa kama wewe.
    Ni kweli elimu haina uhusiano na hekima. Wewe una akili na hekima kubwa Sana. Nakupenda Sana, napenda msimamo wako. Ubarikiwe. Diallo ni kweli yote uliyomsema ametuudhi sana hafai hata kuwa mwanachama wa CCM achilia mbali uenyekiti wa mkoa

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 3 года назад +17

    Msukuma afadhali umeliongelea hili, Diallo n mpumbavu na alaaniwe maisha yake yote 😭😭😭

    • @gervinangowi5696
      @gervinangowi5696 3 года назад +1

      Mungu wa mbinguni mpe pumziko la milele magufuri wetu tutakukumbuka daima magufuri huyu dialo ni mjinga sana

    • @winifridakasibu2900
      @winifridakasibu2900 3 года назад +1

      Diaro olifa kubi adi nimeandika kiruga kwa uchungu nilionao wa kumpoteza baba yetu jembe ,pumzika baba

    • @richardboaz-mashagospel2346
      @richardboaz-mashagospel2346 2 года назад +1

      Laana anaipata yeye dialo, watoto wake, na ndugu zake woooote

  • @geopolitics94
    @geopolitics94 3 года назад +3

    Asante sana Mhe Musukuma kwa kulisemea hili

  • @steventilubuza9247
    @steventilubuza9247 3 года назад +37

    Na alaaniwe mtu yeyote amneneaye maneno mabaya...Jembe letu, tingatinga, kamanda JPM..vizazi vitapita bila kupata mtu wa calibre ya JPM.
    Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na utendaji wa JPM.
    Dialo kwa unafiki wako hutakaa ushibe.

    • @hawamabira1499
      @hawamabira1499 3 года назад

      👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

    • @leocadiaonesmo2614
      @leocadiaonesmo2614 3 года назад

      Kabsa

    • @theresiamushi1619
      @theresiamushi1619 3 года назад

      Mlaaniwe nyie mlio furahia udhalimu wa magufuli

    • @petermusa4745
      @petermusa4745 3 года назад +2

      @@theresiamushi1619 tunawajua mliokuwa na vyeti feki mtampenda vipi wakati mlizoea vyabure polesana maana naona unaumia sana

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 3 года назад

      @@theresiamushi1619 mtanyooka mnajifanya mmesoma kumbe hamna mnatumbuliwa mnapiga kelele

  • @happykimaya2762
    @happykimaya2762 3 года назад +66

    Dialo kwa nini ulifungiwa? Lzm kulikua na matatizo au ulikua ulipi kodi, na hayati Hakua mchezo kwenye kazi. Hata hivo Dialo huna hata chembe ya busara. R I P JPM

    • @barrymichael9221
      @barrymichael9221 3 года назад

      Alikua ana daiwa kodi huyo boya

    • @hawashayo5526
      @hawashayo5526 3 года назад

      Kabisa

    • @jipozeonline3983
      @jipozeonline3983 3 года назад

      Sasa alifunguliwa kwa vigezo gani ndio ujinga na upumbavu wa awamu ya tano kama kweli alikuwa anadaiwa kodi je alilipa? Maana huyu msukuma anasema yeye ndio aliyemsaidia akafunguliwa kwa kifupi utawala uliopita ulikuwa wa upendeleo na ubaguzi

  • @casmirygregory4990
    @casmirygregory4990 3 года назад +20

    Ni kwel Msukuma ila sio kila msomi ana Akili

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 года назад +1

    Upo vizuri sana sana Mh.Musukums nakukubali sana.

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 3 года назад +10

    True man! Rest in peace JPM

  • @yohannesngalla7481
    @yohannesngalla7481 3 года назад

    Yohannes Ngala big up Msukuma,you are right what you have said.

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 3 года назад +14

    Ilikua vigumu saana kuangalia clip ya Diallo ama kweli niliumia😭😭😭

  • @charleskagaruki8849
    @charleskagaruki8849 3 года назад

    Mhe Rais nakipongeza kwa juhudi ulizonazo kwa watanzania! Nakuomba Sana kwa jina la Bwn ,kwamba utuondolee uwanja wa ndege katikati ya mji wa Bukoba, ulipanuliwa na viongozi wababe wakaleta msongamano kamji kadogo nakuomba uupeleke nje ya mji vijana wa taxi na bodaboda wafanyakazi!!! Natanguliza shukrani! Bwn akubariki!!!

  • @leonardshilatu399
    @leonardshilatu399 3 года назад +31

    Hivi majirani zangu tarime kwann mmempatia bangi diallo?

  • @rajabumsofe3045
    @rajabumsofe3045 3 года назад +16

    dialo aachie ngazi kwa kumshutumu magufuli. msukuma na kuunga mkono

  • @godfreyntambi7763
    @godfreyntambi7763 3 года назад +44

    Nina mashaka na huo udokita wake,,Dialo

    • @salsoandreas5147
      @salsoandreas5147 3 года назад +2

      Dr wa kienyeji huyo Fala harafu sio msukuma Mchunguze sanaki

    • @zengomikomangwa9969
      @zengomikomangwa9969 3 года назад

      Diallo hana Doctorate. Kama anayo atupe thesis yake. Hana hekima, hana ushawishi. Ni mkwepa Kodi nk

    • @sondanzingulasondasam4029
      @sondanzingulasondasam4029 3 года назад

      Point huyu Dr uchwala tu anaonekana

  • @severinebagenyi4745
    @severinebagenyi4745 3 года назад +27

    CCM jitafakarini sana, yaani huyo Diallo kwanini mpaka sahizi bado ni mwenyekiti? Anaudhi sana kusema Magufuli alikuwa kichaa!!! Huyo ni mpumbavu, mnafiki na mpigani tu.

  • @pascalkirway832
    @pascalkirway832 3 года назад +5

    Nasikitika sana nchi yangu imejaa wanasiasa wanafiki kuliko wazalendo, hayati Magufuli amefanya mambo mazuri mno wakati wa uhai wake.

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 3 года назад

    Asante sana Msukuma kwa kusema...yaani Ametutukana Wananchi wote . ..Kumtukana JPM ambaye amefanya kazi ya miaka 6 ni kama imefanyika kwa miaka 60 sasa anatukana Taifa LA Tanzania

  • @fabiansaid6847
    @fabiansaid6847 3 года назад +3

    Fact sana kiongozi,diallo yampasa atambue nafasi aliyo nayo akumbuke kuwa anaetoa mamlaka ni mungu kwa mwendo huo hawezi kudumu.

  • @zachariajustine873
    @zachariajustine873 3 года назад +41

    Akijamba huku hanafeni,atafanyaje. .bug up msukuma, Dialo bangi zinamsumbua

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 года назад +39

    Dialo kumanyoko zake mbwa huyo

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 3 года назад

    Hyo diallo n msenge tyuuu magufuli daima ttamkumbka maisha yetu yote magufuli hakna kama yy

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 3 года назад +15

    😆😆huyu ndio Musukuma bwanahanaga kuremba..kwann asipewe uwazir huyu jamaa namkubali Sana huyu jamaa kwa KUTOKUA mnafiki..

    • @izodnice3659
      @izodnice3659 3 года назад

      Sikupingi ila hiyo position nayo anakandamiza ki weledi Kama Askari Polisi Trafki Ashirafu. Ni Fire!!.

  • @jamesselemani4562
    @jamesselemani4562 3 года назад +1

    Big up sana msukuma ,,,,,..... dialo anajifanya kidume baada JPM kufariki,, kwann asingeombia kipind mwanaume akiwa hai........pumbavu sana huyu dialo tena akafie mbele

  • @abelmipwa9854
    @abelmipwa9854 3 года назад +12

    Huyo diallo hafai kbs

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 3 года назад +2

    Hongera sana nakupenda sana baba

  • @msenegal.3933
    @msenegal.3933 3 года назад +17

    Mzalendo pekee nae mtambua ktk hii nchii msomi mwenye akir ya kuzaliwa,,,sio hawa washezi wenye elimu na hawana akir pumbavu kbx.

  • @andreamakalla6000
    @andreamakalla6000 3 года назад +2

    Uko vizuri

  • @janetmichael5611
    @janetmichael5611 3 года назад +24

    waache wabaya wale nchi, kwani wataishi milele? tutakutana mbele ya haki, watapokua kitandan wakifa watajua laana iliyopo juu yao

  • @subawaba2321
    @subawaba2321 3 года назад

    Safi mzee msemakweli._jpm. jembe daima hawawezi. kutupoteza kamwe jpm R.I.P baba amir jeshi mkuu. tuna kukumbuka "tuko nawachawi wanatuwangia. watashindwa kwa uwezo mungu amen

  • @sansisansi3686
    @sansisansi3686 3 года назад +22

    haha ety kapiga faru joni ama konyagi haha mpe makavu msukumu nakuelewa sana watu wengeni ovyo sana shenzi sana

  • @anuarymadili6341
    @anuarymadili6341 3 года назад +1

    Umesema vizuri safi gete 👍

  • @samsonmkengi6972
    @samsonmkengi6972 3 года назад +39

    Kaka msukuma usihangaike na mtu mpumbavu rofa mkubwa ,

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 3 года назад +3

      Ni aibu sana kuwa na Mwenyekiti wa ccm kama huyu. Mimi nimekuwa mwanachama wa ccm tangu tarehe 18/08/1977 kadi Na. A 377845.
      Nimekitumikia chama zaidi ya miaka20 katika ngazi mbali mbali sijawahi kuona kituko kama hiki.Kama mwenyekiti huyu bado ana mawazo na rafiki yake, amfuate huko ACT wazalendo, badala ya kuwa ndumila kuwili Adui wa ndani ni mbaya zaidi kuliko adui wa nje. Kama yeye alikuwa na akili timamu, mbona alipewa uwaziri wizara ya Mali asili na utalii ukamshinda akatimuliwa?Nakuomba Katibu Mkuu wa CCM usiwe mzito kujibu upuuzi kama huu Unapotokea. Kwa kuwa sisi wanachama tunakutegemea sana kama mtendaji Mkuu kukihami chama wakati wote na mamuluki. .Hongera sana Mheshimiwa Musukuma.umetusemea tunakupenda Sana.

    • @enockboidy7829
      @enockboidy7829 3 года назад

      Katba moya ndio suluhuuu 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gervaswmigayo386
      @gervaswmigayo386 3 года назад

      asante sana msukuma hilo,nijizi mafisad,makubwa linajifanya liwe lishauli la rais

  • @magrethpoulpoul8585
    @magrethpoulpoul8585 3 года назад +2

    Jpm 💔❤lala raha magufuli from Iraq

  • @Davidsamson-o9r
    @Davidsamson-o9r 3 года назад +31

    Kanda ya ziwa hatutaki viongozi wanafiki,uko sahihi msukuma

    • @kahwarwosile7831
      @kahwarwosile7831 3 года назад

      Dialo safi wala usingeomba msamaha uliongea ukweli ulivyo msukuma alishafilizika ndo maana anajiongelesha upuuzi sijui wanakupa ubunge wakoje mwendazake hakuwaa sawa

  • @Usxznt
    @Usxznt 3 года назад +1

    Upo sahihi Mh. Msukuma 👏👏👏

  • @kanaanimpya2340
    @kanaanimpya2340 3 года назад +3

    Safi sana msukuma,umenena vyema

  • @shadrackdavid7721
    @shadrackdavid7721 3 года назад +1

    Msukuma nakubali kutoka nyanda za juu kusini 💪💪

  • @samweltv2064
    @samweltv2064 3 года назад +13

    Ni haibu sana kwa mtu kama Antony diaro kuzungumza upuuzi kama ule sion ata kama kuna uthamani ya msamaha wake maana ajaikosea familia tu bali katukosea watanzania ambao tulipokea kwa mikono miwil upambanaji wa hayat dk magufuri anachofanya nikutuumiza sana😭😭😭😭😭

  • @Meshackkussaja
    @Meshackkussaja 3 года назад

    Nakupendaga sana mhe. Msukuma, kwenye ukweli huwa hulazi damu. Huyo Diallo hajitambui, badala ya kujenga anawanufaisha wapinzani, hafai kuwa mwenyekiti wa CCM, hafai kuaminiwa!

  • @swalehemsengesi3575
    @swalehemsengesi3575 3 года назад +13

    Nimefurahi sana sana. Dialo umeota ndoto unakunya.

  • @cheppefredcheppe5049
    @cheppefredcheppe5049 3 года назад +1

    Ahsante Msukuma,tumejua sasa kumbe jamaa alikuwa kambi ya wale jamaa.....baada ya kupigwa ndo vibaya na kupotezwa ndo wameanza kuongea ongea hovyo kutukana watu!!

  • @hijamnala1939
    @hijamnala1939 3 года назад +3

    Sure,,,,,,

  • @khadijasalum624
    @khadijasalum624 3 года назад +1

    Well advocated💪💪

  • @samwelsumbuka7613
    @samwelsumbuka7613 3 года назад +7

    Daa kweli kanda ya ziwa sijui diaro sijui ngwandu beyu ametuuzi sana

  • @drmapigimasunga3408
    @drmapigimasunga3408 3 года назад +1

    Safi sana Magufuli tunalia mpaka leo halafu mpumbavu1 asiye na imani ya Mungu mtumishi wa shetani anamsema vibaya

  • @magrethgeorge9253
    @magrethgeorge9253 3 года назад +3

    Uyo dialo sijuh pua yake yeye imeangalia juu,Kila binadam nimarehem mtalajiwa jamani mm mtu akimsema magufuli naumia sanaaa,msukuma one day utakua Mr president 🙏

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 3 года назад

    DUU AMAKWELI TENDA WEMA WENDEZAKO USINGOJE SHUKURANI MUNGU MLAZE MAGUFULI MAHALA PEMA PEPONI AMEN,

  • @pauloqaymo8925
    @pauloqaymo8925 3 года назад +4

    Huyo Diallo amenikera sana yaani nimemchukia sana kwa kauli yake iliyomlenga Rais wetu hayati JPM

  • @stellahmollel7081
    @stellahmollel7081 3 года назад

    mimi ni mmasai, ila magufuli ni alikuwa rais wetu ,ni mwenzetu, ni ndugu yetu , na ametufanyia kazi nzuri, inatukera sana mtu anayembeza ndugu yetu rais Magufuli

    • @stellahmollel7081
      @stellahmollel7081 3 года назад

      ametuachia alama ya pendo, amefanya kazi yake akimtanguliza Mungu, hadi huku kijijini tunaona matunda ya ndugu yetu Dr magufuli, despensaries zimejengwa, hospitali,zimejengwa, pamoja na madhaifu ya kibinadamu ya ndugu yetu Rais magufuli amefanya kaz kubwa sana inayoonekana, alikuwa mtetezi wa wanyonge kwel kwel muda mwingne nikimkumbuka machoz yanidondoka, mwacheni magufuli wetu, Mungu ampe heri mbinguni.