CHALAMILA AFAFANUA "NIKIFA NIZIKWE KAMA WAISLAM, BAJETI ZA MAMILIONI ZINAKWENDA KUUPA UFAHARI MSIBA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 41

  • @ELIASBUGOMBA
    @ELIASBUGOMBA 8 часов назад +2

    Safi sana mkuu .

  • @salhadit
    @salhadit 14 часов назад +14

    Kuwa muislamu
    Sema ASH HADU AN LAA ILAHA ILLALLAH MUHAMMADU RASULULLAH
    Ninashuhudia kwamba hapana mola anaepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa ALLAH na Muhammadi ni mtume wa ALLAH

    • @Asamtz360
      @Asamtz360 10 часов назад

      Hayo makolokolo yanini sasa? Tumia kiswahili acha kuwa mtumwa ww fala

    • @rajabtobu114
      @rajabtobu114 7 часов назад

      ​@@Asamtz360 fala mwenyewe

    • @user-to6up4hg2w
      @user-to6up4hg2w 5 часов назад

      ​@@Asamtz360 .you' must be mumu

    • @mwajumaamanzi2198
      @mwajumaamanzi2198 5 часов назад

      Kuna mtu ameshaumia nafsi yake

    • @salhadit
      @salhadit 5 часов назад

      @@Asamtz360 Matusi ya nini tena muheshimiwa?
      Kuwamstaarabu basi

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 10 часов назад +1

    Safi sana hii point

  • @elisante6838
    @elisante6838 15 часов назад +4

    Point

  • @salhadit
    @salhadit 14 часов назад +3

    Kuwa muislamu

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 9 часов назад +1

    Anata azikwe kama walivyozikwa manabii safi sana

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 13 часов назад +1

    Sawa kabisa ,nimeelewa ukifa uzikwe chap hutaki mabajeti ,

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 14 часов назад

    Ni kweli kabisa📌

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 15 часов назад +2

    Kuwa mwislamu sasa , kwani waislam hao hawaangaiki baada ya mazishi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 часа назад

    Lazima tuchome kuku tunywe na bia kama tulivyoea kukuona😂

  • @ngoymulunda3978
    @ngoymulunda3978 11 часов назад +1

    Tume ona viogozi wegi apa chii ,wahislam afu wana zikwa na serecali ivo ivo na jeneza ,muda tu kupumuzichi mwili do wanaitoa kwenye jeneza

  • @maranduleshira3727
    @maranduleshira3727 5 часов назад

    Hapo umesema ukweli mtupu.Inabidi tuwe na utimamu.

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 14 часов назад +3

    Kimsingi binafs nakuelewa sana ktk baadhi ya falsafa zako.
    Silimu mheshimiwa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 13 часов назад

    Mungu nisamehe,nilikuwa cjamuelewa,ni kweli kabisa 2nauguxa kwa shida.

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 7 часов назад

    Uyo mzee sio comediana,,ginias.

  • @ShabaniMustafa-n8h
    @ShabaniMustafa-n8h 7 часов назад

    Mwanasiasa akikwambia good night toka nje kahakikishe

  • @LizikiPatric
    @LizikiPatric 6 часов назад

    Kinacho wapelekaga India nini msikae apa tz ilimepushe garam au garam mbona wakristo tuu ndo Wana garam

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 12 часов назад

    Kwa comments hizi tusomeshe watoto watu wagumu kuelewa maana ya kitu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @athumanali2969
    @athumanali2969 4 часа назад

    Alisema yeye anaitwa abubakari au kasha sahau mkuu

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 7 часов назад

    Kwa leo nimekuelewa mkuu

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 9 часов назад

    Www uliesema waislamu vichwa vigumu naomba ujielewe usicheze na dini zawtu jielewe acha kufanya jambo usilo lijuan

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 9 часов назад

    Waislamu vichwa vigumu sana hapa kunakisichoeleweka kweli jmn😂hata kwa mtoto mchanga anamuelewa huyu kiongozi

    • @Kijaji.h
      @Kijaji.h 8 часов назад

      Guy take care 👆
      Don't play with some one religion please!

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 12 часов назад +2

    Hkika usemayo

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 8 часов назад

    Hauweleweki

  • @lilasuliman552
    @lilasuliman552 13 часов назад

    Sasa ww msiba wako si serikali ndio inagaramia

  • @zabibuhazary6986
    @zabibuhazary6986 11 часов назад

    Uko sasa Mkuu

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 12 часов назад

    Ukweli utabaki hapo sema baba

  • @JustinJoseph-k2t
    @JustinJoseph-k2t 13 часов назад

    M2 mkubwa akili kisode acha sisi tuliyoamua kuwa wakilisto hakuna yatima uislamu unamanisha ivyo

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 6 часов назад

      Acha uongo uislam unamzingatia sana yatima

  • @MussaShagembe
    @MussaShagembe 13 часов назад

    Hizi siasa watu mnaanzakuongelea vitu visivyo na maana Angalia origin ya wazazi wako

  • @shadrackthomas4050
    @shadrackthomas4050 13 часов назад

    Chalamila we,,,mwogope Mungu😮

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 13 часов назад

    Wacha unafki

  • @CTM.24Updates
    @CTM.24Updates 13 часов назад +2

    HUYU NI MNAFIKI TUNAMJUA FATILIA ALICHOKISEMA JUZI KWA MWAMPOSA😂
    ANABWABWAJA UTADHANI ANAGOMBEA UMONTRESS😊😂😂😂