MVUTANO WA GHOROFA KUBOMOLEWA KARIAKOO| TUNAHITAJI AMANI NA UKWELI KUTOKA KWA WARDA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 73

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 18 дней назад +9

    Sabah Allah akuweke akuongoze na akulinde uko sahihi na unapiga nia haki yako mamako na dada zako, Allahhibarik Allah akupeni nguvu na mpate haki zenu

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 18 дней назад +6

    Mashallah sabah sikujuii lkn uko vizuri

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад +2

      @@maryamhannif897 mashaallah ndo mtetezi wa mama na dada zake, Mungu awafanyie wepesi waelewane

  • @ismailsputta4420
    @ismailsputta4420 9 дней назад +1

    Kwa Mimi niliosoma quba hapo hao wanne watakuwa wanakula Kodi mwenyewe hawampi warda ndiomaana warda anataka jengo livunjwe😃😆😃😆

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 18 дней назад +1

    Mungu wangu mungu ashuke achukue taifa lake

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 18 дней назад +4

    Warda tapeli tamaaa nyingi

  • @SALOMESEKIJA
    @SALOMESEKIJA 18 дней назад +3

    Duuh! ndugu hawapendani kabisa😢

  • @beegee7938
    @beegee7938 18 дней назад +4

    WAUZEEE HILO JENGO AU WATAGOMBANA MILELEE

  • @AhmadDobany96
    @AhmadDobany96 18 дней назад +4

    Mtu haongei na mama yake anawezaje kumuunga mkono mama Samia ni wazi anania ovu na wenzie na mama yake binafsi niliotea tangu nilipomsikiliza hyo warda

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 13 дней назад +1

    Zembwela anaelewa sana hilo shauri kwa sababu Warda inatakiwa awatafute wamiliki wenzake au waitwe wote kwa mkurugenzi washirikishwe

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 18 дней назад +1

    Dah hii familia mtihan tu hapo mama presha juu

  • @halimaali282
    @halimaali282 18 дней назад +7

    wardawarda kubaliana na ndugu zako utajuta duniani tunapita tu jirekebishe rud ukasome dini wachadhulma

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад +2

      Sahihi kabisa, huyu Warda na Arafat wanataka kuwadhulumu dada zao

  • @عايشه-ط8ل
    @عايشه-ط8ل 18 дней назад +2

    Kazi ipooo

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 18 дней назад +4

    Nyinyi waandishi mna danganywa na Warda mnakubali, nawashangaa, ukweli wanaujua ndugu

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 18 дней назад +3

      Warda anafanya vitu bila ya kufikiria sababubhawa wote ni Baba na Mama mmoja why yeye peke yake awe mkorofi kiasi hichi? Warda hataki kusema ukweli.Mimi nawajua wote na Mama na Baba sanaaa hakika inatusikitisha sanaa tu

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 18 дней назад

      Huna akili wewe.. kwani wewe ni ndugu yake mpaka umjuwe kama anadanganya? Istoshe gorofa likidondoka utakuwa wa kwanza kulaumu . Mambo yasiyo kuhusu Acha kujifanya kiherehere..

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 18 дней назад

      ​​@@ashuraomar4935Acha uherehere wewe.. eti unawajuwa vizuri? Khaaaa hawa wapo ndugu 9.. wanaume 4 na wanawake 5.. Sasa sijui ww ni ndugu ya ngapi hapo mpaka unasema unawajuwa vizuri?? Halaf kama warda ana wadanganya una uhakika Gani kama hawa dada zake warda wanayo ongea ni ya kweli?? punguza uherehere..

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад +1

      @@ashuraomar4935 Insha'allah Allah awape taufiq awafanyie wepesi,sie tunao jua thamani ya mama hapa duniani na Aakhera tunatumia tukiona hivi wallahi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад

      @@ibrahimally8073 wewe unaumia ukiwa wapi lkn!uchakavu wahilo jengo isiwe sababu kudhulumu wengine!wote wakae wakubaliane tuone kama watakataa kulivunja!wanakataa ni vile Kuna Arafat tapeli anataka ku take advantage kupitia mgongo wa Warda,nani amekwambia kuna ishi watu humo!na mtu akijua na nahiofamilia wewe waumia wapi haraka upelekwe emagency utuondolee kero humu! ungekua wewe unge kubali kudhulumiwa?eti anadanganya wewe ndo uliwarithisha hilo jengo! umeshupaa kama lako vile, au ndo hua watumwa manispaa na Ardhi kufanya utapeli

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 18 дней назад +4

    Mali za baba zinatutoa roho....K'koo kuna shida...Ndugu wanauwana,ndugu wanaumizana kwa kurogana,ndugu wanagombana...Lakini wenye maeneo walishafariki.

    • @emazjassam2452
      @emazjassam2452 18 дней назад +3

      Kariakoo pana hela nyingi ndio maana yanatokea haya yte.....Ile jengo lingekua mbagala uko unadhan vita ingekua kubwa hvi

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 13 дней назад +1

      Subhanallah!!

    • @alihussein4303
      @alihussein4303 9 дней назад

      Mm kaka zangu wamenitumia mapolisi wanikamate kisa nimedai haki yangu ya urithi wa nyumba ipoMtaa wa Livingstone Str Kariakoo. Watu hawana imani wala Dini.

  • @chemstry409
    @chemstry409 18 дней назад +3

    Yule Warda Mjanjamjanja sana TAPELI..Why kila kitu unafanya bila kuwashirikisha wenzio???

    • @ismailsputta4420
      @ismailsputta4420 9 дней назад

      Tapeli umeambiwa anauza jengo au anataka kulibomoa kwaajili ya usalama wa watu boya wewe!?? Au kwakuwa hakuna mama ako au ndugu yako aliekufa pale kkoo

    • @chemstry409
      @chemstry409 9 дней назад

      @ismailsputta4420 Mimi Boya...anachotaka kufanya ni Jambo zuri sana...but washirikishe basi na ndugu zako ambao wao pia ni wamiliki halali wa Jengo kuliko kuchukua maamuzi peke yako...

  • @alihussein4303
    @alihussein4303 18 дней назад +2

    Uzeni jengo mugawane ndugu wote ugomvi hautaisha kama mm nilivofanyiwa na kaka na Dada zangu Mtaa wa Livingstone Str Kariakoo.

    • @ismailsputta4420
      @ismailsputta4420 9 дней назад +1

      Hao wanne wasenge wanakula Kodi wenyewe hawampi mwenzao....warda yupo sahihi

  • @WTC492
    @WTC492 18 дней назад +1

    Limeshaguswa limelegea jalini
    Uhai wa watu.
    Muda wowote litabomoka

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 16 дней назад

    ARAFAT anakitu asikilizwe 😂😂😂

  • @TatuHaji-k8s
    @TatuHaji-k8s 17 дней назад +1

    Mtihan walahi mali hizi zinatusambaratisha wallah

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 18 дней назад +2

    Mbona huyo mwanamke kihelehele mtangazaji ovyo sana alijui hata kumhoji mtu linalopoka

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 17 дней назад

      Halafu kama Lina ushabiki ,Lile warda lilipokua linaongea alimuachia tu apige porojo zake,ovyo kweli

  • @maryamomar2034
    @maryamomar2034 18 дней назад +1

    Zembwelaa 😂😂😂nakuelewa sana

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 18 дней назад +2

    HAPO MASTERMIND NI BWANA ARAFAT 😂😂😂
    TUMTAFUTE BWANA ARAFAT...

  • @KamanaMangolwa-xe8de
    @KamanaMangolwa-xe8de 13 дней назад

    Iyo familiya wanamatatizo ifeke mahali kila kitu kuhusu mijengo serekali iwe inakaguwa vizuri kwajili ya ulinzi wa binadamu

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 18 дней назад +2

    Ilo jengo nakumbuka adi watu wa serikalini waliingia kuwasuluhisha na alafati alipigwa marufuku kusogelea ilo jengo alafati inaonekana keshakula hela ya jengo na ndo mana amemtafuta warda ili aongeze nguvu warda kaingia kwenye mfumo wa alafat ,,,peke yake asingeweza maake alafat halimuhusu uyo warda anaona wenzake kama hawajielewi ,,,

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 18 дней назад

    Hata kama warda asemi kwenyemitandao mawe yatasema na mtu akija kusema nisamee na watakua wamechelewa

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 18 дней назад +1

    Wangekubaliana tu mana ilo jengo saiv halikalik tena

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 18 дней назад +2

    Yule dada bi warda clips zake zoote zinaonesha ni dada wa michongo ano dhamira yake ndani ya mkoba.

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 16 дней назад

    Huyu Mdada Salma Hata Hajafiti Hicho Kiti Nasababu Kubwa Simtu Wakjifunza.

  • @festusabramary-bz4ef
    @festusabramary-bz4ef 18 дней назад +2

    Salma Dakota warda ashakupa pesa Leo tuliokusikiliza tumegundua kumbe na wewe n kilaza

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад

      @@festusabramary-bz4ef watu kama hawa wakipewa madaraka wanasahau wenyeshida, hasa angekuwa ndo jaji hakuna haki tena, nirahisi kuamini uongo,hapo zembwela pekee ana hekima na kujua mkweli ni nani

  • @joysekiza3944
    @joysekiza3944 18 дней назад +1

    Watu watafika mbinguni wamechokaa

  • @giztony2009
    @giztony2009 17 дней назад

    Huyu salma dakota hana anachokijua ni kama amepokea hela

  • @Kingsusi
    @Kingsusi 16 дней назад

    Huyu salma dakota kala rushwa huyu...! Au hana akili

  • @fredmwakyoma2734
    @fredmwakyoma2734 16 дней назад

    Siyo Analysis Report ni Condition Survey Report.

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 10 дней назад

    Familia hii ni mbinde simchezo. Ugomvi wa mirathi hauishi miaka nenda rudi mpaka waziri alishindwa kutatua

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 17 дней назад

    SUBHANALLAH NDUGU ZANGU WAISLAM NYIE NDUGU WAZAZI WENU WAAMEWAACHIA HILO JENGE KWA UPENDO WENYEWE WALIOLIJENGA WAMESHAONDOKA MBELE YA HAKI ALLAAH AWASAMEHE MAKOSA YAO MSIGOMBANE KWANI DUNIA TUNAPITA NDUGU ZANGU KAMA ALIVOONDOKA BABA ENU NA NYIE HAMTOBAKIELEWANENI ACHENI TAMAA YA MALI

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 16 дней назад

    Marehemu Dida MOLA Amrahamu Yaani Hakuna Wakuuliza Lenye Mashiko.

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 5 дней назад

      Amin Yarabbi Amin,ila hiki kipind sio kile Cha kina Cha kina dida ,kile ni mashamsham na kina Babu Idris na juma

  • @maryamhannif897
    @maryamhannif897 18 дней назад

    Ghorofa bad ladai

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 18 дней назад

    Ikiwa ndugu hamuelewani, lazima kuwepo mashaka hatakama kuna nia nzuri, maana toka afariki baba yao wametengana na hawaelewani hata na mama yao! Sasa wataamininiana vipi?Arafat ana mtumia Warda kuwageuka wamiliki wengine ili wauze na kusepa, Warda haishi Tz,na Arafat Sio mmiliki, nyie hamjiulizi kuna nini hapo kama sio Warda kutaka kutapeli wenzake?

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 18 дней назад

    Mbona hamumuukizi akishavunja anapataka awe patupu uwanja wa mpira au ajenge upya na kwa pesa za nani na je wenzake atawarudi vipi?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад

      @@AllyHamran anataka kuuza na kusepa Oman, akiwaacha mama na dada zake wakilia

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 18 дней назад

    Sasa likianguka mtalipa uhai wawatu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад +1

      Hujui kitu,hilo jengo ni bovu, hata wao wanajua, ila hawako wazi kushirikiana kwa pamoja,kuna utapeli hapo

  • @WTC492
    @WTC492 18 дней назад +1

    Pamoja na yote Jengo linaonekana
    Limechoka
    Bomoeni jengeni lingine
    Nimemaliza.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 18 дней назад +1

      @@WTC492 huyo anae bomoa jengo Sio lake,kuna wamiliki halali