Jamaa Linex ana kipaji kikubwa sana. Ana vocal nzuri, ni mtunzi mzuri, yaani ni full package shida kubwa ni hizo media zinapromote wasanii wabovu wanaoimba matusi.
Iyo tiba ipo kabisa kigoma mimi nshawahi kuungwa mguu uliovunjika kwa kienyeji nilikua na umri wa miaka 9 sikwenda hosptal, hata siku moja mzee nikua naona anashika kisu anasimama kwenye jua na mimi na simama kwenye jua ndo anafanya take, huyo mzee alikua anatwa richard balilula kutokea kijiji cha mkongoro kigoma bila shaka alishatangulia mbele ya haki
Jamaa Linex ana kipaji kikubwa sana. Ana vocal nzuri, ni mtunzi mzuri, yaani ni full package shida kubwa ni hizo media zinapromote wasanii wabovu wanaoimba matusi.
Mwambieni aache mibangi kwanza
Hapo ulizingua sana...yoyote mwenye akil asingekwenda
Baba Levo mshauri ...Inshort,,,,Stairi ya uimbaji wa Linex,,,,aimbe injili Yuko vzuri sana pamoja na Stairi yake...
Kwaio wew babalevo Huwezi kumsadia mtu hadi ukamuombee msaada sehem nyingine akati unasema unapokea mil 10 mshahara kwa mwezi! Shwain
Mpeni support Linex
Baba Levo namuelewa sana kwenye hili.
Kumbuka baba levo mlikaa geto Moja na linex mpka tukawaita ndugu na mapacha kabsa leo unamgeuka
Baba levo kaongea kweli kabi hoyo mwamba anaiba jamani
Misaada ya masimango ni ya kisenge
Achana naye bado hajielew atakuja kukumbuka shuka wkt kushakucha
Iyo tiba ipo kabisa kigoma mimi nshawahi kuungwa mguu uliovunjika kwa kienyeji nilikua na umri wa miaka 9 sikwenda hosptal, hata siku moja mzee nikua naona anashika kisu anasimama kwenye jua na mimi na simama kwenye jua ndo anafanya take, huyo mzee alikua anatwa richard balilula kutokea kijiji cha mkongoro kigoma bila shaka alishatangulia mbele ya haki
Hata Iringa wapo wanaotibu na dawa za kienyeji fasta tu kupona
Msimraum babalevo linex namjua mm mwenyewe namdai alitumia gari yangu kipindi nafanya huduma ya tax ya Uber anapenda sana pombe kuliko maisha ya kesho
Laumu
😂😂😂😂😂😂😂
Hah
Kidumu wa Burundi
Ulizingua sana babalevo wewe siwakumfanyia hivo sande kumbuka mlikotoka amekusaidia vingapi?
Sasa kama hataki kushauriwa na kubadilika umfanyeje sasa?😂. Aache mibangi hiyo afanye kazi😢😢
Kidumu gani kidumu kibuganizo wa burundi 🇧🇮 au
Eeeeeh huyo huyo
Linex ndio muimbaji, Nyie Wengine makelele tu, Mikono juu, kushoto kulia, kushoto kulia
we mdada tulia mtu akiongea nyamaza
😂😂😂😂
Mbona ww umeshirikiana Nawasafi mbola ungejisimamia tuwone ungeweza pekee, Kila mtu mshirikina mbwa ww...Ww Na diamond wachawi wakubwa mlitaka mchukuwe nyootaa yake
Tatizo Linex majani
Ni mvuta bangi tu
Baba levo 😂😂😂
We will we ll
Huyu jamaa ni bonge la msanii.
Sema nyota
Yani anasaidiwa na kampuni kibiashara au nini? Kwann wakurugenzi wawe na sauti? Ni kazi au msaada? 😢
Ivi unawesa msaidia mtu alie kuja azarani na kukuksahifu kuwa wew ni omba omba na huna cha kumwambia...?? Sikiliza interview za nyuma za Sandy Mjeeda
😂😂😂
Mapua uliharibu mwehu wewe
Mbona ww umeshirikiana Nawasafi mbola ungejisimamia tuwone ungeweza pekee, Kila mtu mshirikina mbwa ww...Ww Na diamond wachawi wakubwa mlitaka mchukuwe nyootaa yake
😂😂😂😂😂😂