Mpeni deal mzee mkongwe comedy mzuri bila kufikiria anajibu hapo kwa hapo mpeni matangazo anapendwa sana na pia anaburudisha sana Kilubwa kwake code zake kuziielewa big up mkongwe bondei in air
K9 balaa sana mzee hiyo unaelekea Kabanga sio mchezo ukishafika shuleni tu pale unaanza kuishuka ni hatari sana na hiyo ya rusumo inaitwa machinjioni nayo hailali na njaa mpaka gari ndogo zinakomaga hapo
Huyu jamaa kanikumbusha mbali sana,TULIKUWA STAFF 11, KUFIKA RUSUMO TUKASHTULIWA NA WATU WALIOKUWA WAKIPIGA KELELE WAKISEMA GARI INAUNGUA,kumbe ni Landcruiser yakwetu,wakati wa kushuka huo mlima ilishika break mpaka taili ikaanza kuwaka moto...
Yaani sijawahi kucomment .ila napenda kusema watu tunacheka tu huyu jamaa anavyotuchekesha ila watu wenye shule za driving wangemtumia huyu jamaa private kumfanyia mtu driving exam hawa madereva wa maroli hakuna kupita exam ya kuendesha maroli bila kufaulu mtihani huo watu wengi Tz wanatumia kufundisha tu utingo kesho anapewa roli . Hii ingesaidia madereva kuepuka pia ajali za barabarani. Nchi za wenzetu hakuna driving licence bila kupita exams kwa shule zilizodajiliwa siku ya exam kosa 1 tu la barabarani ukifanya na wasimamizi wa exam wakaliona utarudia Hakuna kupita hivi hivi. NA Maroli hayaruhusiwi kuovertake hovyo hovyo kisheria
Mzee anazidisha chumvi. Kitonga ni mlima wa kawaida sana japo ni mrefu 8 km na hiyo k9 ni mlima mkali ila ni wa kawaida nao. Kwa hapa Tz milima ya kutisha ipo songea tu huko ndio dereva yeyote akipanda au kushuka anatakiwa atulize mzuka...kuna jamaa angu alipanda vikumburu 1st time akafika mahali akapaki presha juu akaenda duka la dawa kuulizia sigara😅
Huyu mzee hiyo K9 anayosema haifiki 38 Km anazosema! Ukitokea K9 unashuka down kisha baada ya hiyo down unatembea umbali kidogo ndo unapanda kuitafuta Ngara. Watangazaji nanyi mjitahidi kutembelea maeneo ili msiwe madodoki kubeba kila habari kwamba ni kweli!!
toka kenya hapa. nimepatana na video zake kule facebook. ikabidi nimemsaka huyu mzee. yeye ni true comedian
Jamaa mkweli sana. Hapo K9 kiumeni ni noma. Gari za tia maji tia maji usipeleke huko zinakula mzinga sana. Big up legendaryary.
Mpeni deal mzee mkongwe comedy mzuri bila kufikiria anajibu hapo kwa hapo mpeni matangazo anapendwa sana na pia anaburudisha sana
Kilubwa kwake code zake kuziielewa big up mkongwe bondei in air
nikweli hana tofauti nababalevo
Huyu mzee fala san😂😂😂
Namkubali sana ana kipaji kikubwa sana😂😂😂
Wow, I love the conversation. Huyu Mzee is So experienced. Why not Make him an Officer In Truckers association. He will do a Good Job
Share dereva Mkongwe’s number we appreciate his mastery in storytelling aisee.
Daah uyu mzee kiboko yaan nilikuwa nime vurugwa lakin nimejikuta nacheka
KO Mzee kakutoa mvurugo😂
😂😂😂Mb zangu zimeenda kihalali wallah nimejikuta nipo happy mwanzo wa interview mbk mwisho
Baba levo mtafutie kipindi huyo ana faida katika fani ya uchekezaji na atatoa elimu katika udereva kwa njia ya comedy 😎😎😎😎🙏🏿🙏🏿🙏🏿👍
Sure ❤
K9 balaa sana mzee hiyo unaelekea Kabanga sio mchezo ukishafika shuleni tu pale unaanza kuishuka ni hatari sana na hiyo ya rusumo inaitwa machinjioni nayo hailali na njaa mpaka gari ndogo zinakomaga hapo
Nimekubali sana hiyo ya mahimahu ya nairobi na hiyo ya Nakuru kweli nihatari sanaaa
It's called Mai mahiu.
Kweli
@@patrickkarugu7199😊
Na mazeras balaa pia
Maze Kenya ni noma sio?
Hio K9 asee nikweli ngara hio nibalaa asee😂😂 nilikutana na lori speed yake nisawa na mtoto anavyo tambaa
Kutoka Nakuru ndio mshuko kuelekea salgaa, kushuka Nakuru inaitwa Ngata 😂😂
Wacha kutuchambua huku Kenya banaa. Lakini dereva Mkongwe huku Kenya twakupenda sana kaka. Lala nayo...
Haki huyu mzee mpeeni kazi yaani kuchangamsha kipindi😂😂😂😂
Babu lala nayo,lala nayo nakuaminiaaaaaa😅😅😅
Huyu jamaa angepata nafasi CHEKA TU ingekuwa poa sana
Hahaha
Duuuh
BABA LEVO ALIMPELEKA KUANGALIA HIVI MAJUZI NDARO NA LEONRALDO
@@salimmalaka256nadhani ni Leonardo sio Ronaldo
@@nancyg8664 YES NDIE HUYO LEONARDO
Any other Kenyan who saw his reel on facebook and came here looking for him
Kwanza niko hiyo taxin anasema😂😂😂😂
Nakukubali sana deleva mkongwe lakini unacho feli ni kuongelea masilahi ya madeleva pesa unayo pewa haifai tetea hilo kakanitakukubali sana
Huyuu dereva kweriii . . . K9 hatariiii Sana pia Kuna pale panaitwa machinjioniii
mkokaa naujua vizuri nliula Mombasa
Daah! Huyu dereva mcheshi sana.
Ebwaaaaa mzee epewe matangazo jaman apige mpunga kidogooo
NDIOOOOOOO
ALLAH AMRAHISISHIE ❤🎉
Huyo mpeni kipindi cha usafiri na pia ni comedian 🎉❤😂
He is a good story teller...though exaggerating at some point ...😂😂😂
He's an entertainer
😂😂😂😂
K9 shikamoo aise umejua kunifurahisha mzee wangu
Aende kwa coy mzungu huyu jamaa lazma tucheke sana
Mzee anaongea kwa code balaa eti ushuke na kaseja kama huna D 2 huwezi elewa
Bana hata sijaelewa . Kama kushuka na kaseja
Kaseja si Golkipa yaani mgongoni kachorwa namba 1 sasa hapo ndio gear No 1
Dah unyamaaa sana
Huyu Mzee uwa namkubali sana inabidi aandike kitabu cha historia ili Sisi madereva chipukizi tuendelee kupata muendelezo
#Ngarayiwachu #homesweethome #Ngara Kagera tz dah mzeee katembea aseee mteremko unaanzia sehemu inaitwa #lukole Kuna high school hapo shule yangu...
Mzee anajua
MZEE comedian huyu🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅mzee mzee mzee nimekuita Mara 3 umetisha
Hiyo K9 naijua saana ni balaaa
Sawa lakin hiyo k9siyo Kama anavosema huyu mzee km 38 kweli labda kutoka Kona ya benako had ngara hapo sawa
@@lukasjelamisanana677038 ni nyingiiii sanaaa !!! Ila panaogopeshaaa jmb
Kongole sana dreva mkongwe
Huyu jamaa kanikumbusha mbali sana,TULIKUWA STAFF 11, KUFIKA RUSUMO TUKASHTULIWA NA WATU WALIOKUWA WAKIPIGA KELELE WAKISEMA GARI INAUNGUA,kumbe ni Landcruiser yakwetu,wakati wa kushuka huo mlima ilishika break mpaka taili ikaanza kuwaka moto...
Ikawaje, malizia stori basi
Namkubali sna Kosovo dereva mkongwe nikiwa na stress zinapungua anaweza
Mkogwe umenikumbusha k9❤❤
Kona 9 , (K9). hatarii , lukole chini
Ule mlima wa tznia kuingia Burundi siopowa😊
K9 Mimi nimesomeapo nimeshuhudia magar mengi yakihama njia yaani ni hatari
Jamaa anakubalika sana ache udele anachekesha sana 😂😂
Yaani sijawahi kucomment .ila napenda kusema watu tunacheka tu huyu jamaa anavyotuchekesha ila watu wenye shule za driving wangemtumia huyu jamaa private kumfanyia mtu driving exam hawa madereva wa maroli hakuna kupita exam ya kuendesha maroli bila kufaulu mtihani huo watu wengi Tz wanatumia kufundisha tu utingo kesho anapewa roli . Hii ingesaidia madereva kuepuka pia ajali za barabarani. Nchi za wenzetu hakuna driving licence bila kupita exams kwa shule zilizodajiliwa siku ya exam kosa 1 tu la barabarani ukifanya na wasimamizi wa exam wakaliona utarudia
Hakuna kupita hivi hivi. NA Maroli hayaruhusiwi kuovertake hovyo hovyo kisheria
Daa mzee tunamkubali sasa sana
Nimecheka 😅😅
Mwanamke huyo yeye ANAWAZA HELA TU, kila muda yeye ni hela tu
Achana na mugokaaa huo 😂😂 mzee anasema ukweli
Mwambie congo imebadilika saizi mkongwe kanyaka unaijua! Kwa mjeshi unapajuaa😢
Jina nivenuste mimini munyarwanda nime ku frow na tiktok namimi ni oparet wamashin focke rifut nakupend san mung akubarikiwe
Unamjua KASEJA WEWE....???? 😂😂😂😂😂😂😂
Ken9 na loriiii😳 mbn hatariiiii !!!! Nimteremkooo mkal hatariiii
😂😂😂suka mkongwe shikamoo
Ila muongo sio km38 hazijafika
Mzaliwa Mombasa huyu
Mteremko wowote teremka kwa heshima utavuka vikwazo vyote K9 pakawaida tu ukifata maelekezo.
😂😂 simchezo aisee
K9 Mamakeeee Hatari Hapo...!!! Hapo Bubu Anaongea
kwan huyu pua levo huw anaita Adela mala ngap
salgaaa hatari ....watu daily wazikwa pale
dereva nakubali sana
Duuu uyo deleva namkubari San namkubari kinoma atar sana
Huyo mzee kanivunja mbavu zangu na story za nyani wa kitonga.
Noomaa sanaa😅
Nimecheka kifala😅😅😅😂
Atar sana co pw
K9 ni hatari sana
Lakin pia mteremko mkar upo burundi huo wenyewe ukianza kushuka ni unashuka km zaid ya 30 bugarama hiyo
K9 kiumeeni kabisa tena kabisa
Kumbe mjomba wa Muheza Hahaha
HILI LILEVI LA GONGO LIONGO SANA K9 HUU MLIMA UMEKAA KAMA 9 KM HIZO ALIZOTAJA HUU MLIMA HAUPUNGUI KM 2AU 3
Hapo kwenye kucha kutoka jasho! Kubababake😂
Swaali kabisa kabla ujaswaliwa,,, hahaha
Nakubali dachi udevu
Pia Barbara mbaya hapa Tanzania ni kutoka mbeya mjini kwenda chunya kuelekea makongorosi to tabora
Rusumo machinjioni kiboko sana
Najua k9
Aina mpya ya usanii TZ
Hio salgaa ukweli huo mlima mwamba
😂😂😂lakini ndugu iyo kitu hailiwi na farasi Nairobi
Mate ya chumviii noma sana...usiombee aisee..
Huyu jamaa ni comedy anafaa sana udereva alivamia
Mzee mpeni kipindi coz kipindi kimenoga mwanzo meisho
Mkongwe umejichanganya mlima wa kilomita nyingi ni bugarama k9 ni mteremko mkali lkn kilomita chache
😁😁🤣🤣 burundu inaiona ile lakini upo tanzania 🇹🇿 bado dah 😁😁🤣🤣
Kobero hapo hatari
daaaah aisee
😂😂 Ila mandevu
K9 nimepita jana balaa kwel
K9 naijua babu
apewe nafasi uyo ataokoa jazz madereva awana bb wala mama mtz ana saman katika kazi yake
Hayo makampuni matatu yaliyo tajwa halo na mzee dereva mkongwe wamuite wamlipe maana kawatangazia biashara.
Huyo hajaona milima njooni mkoa wa Rukwa Kuna barabara ya kwenda ziwa Rukwa muze. Achana nayo au nendeni mahenge morogoro
Mzee anazidisha chumvi. Kitonga ni mlima wa kawaida sana japo ni mrefu 8 km na hiyo k9 ni mlima mkali ila ni wa kawaida nao. Kwa hapa Tz milima ya kutisha ipo songea tu huko ndio dereva yeyote akipanda au kushuka anatakiwa atulize mzuka...kuna jamaa angu alipanda vikumburu 1st time akafika mahali akapaki presha juu akaenda duka la dawa kuulizia sigara😅
Wewe dereva!???
@@JosephineItambu ndiyo
Hivi bado barabara ya Songea bado inapita milima ya Lukumbulu au ilipindishwa?
naomba nkutuishie,,, babu mkongwe,,,, usije kiamaiko,,, mathare valley ,,nairobi,,,, MAIRUNGI utatafuna cha lazma
Huyu mzee hiyo K9 anayosema haifiki 38 Km anazosema! Ukitokea K9 unashuka down kisha baada ya hiyo down unatembea umbali kidogo ndo unapanda kuitafuta Ngara. Watangazaji nanyi mjitahidi kutembelea maeneo ili msiwe madodoki kubeba kila habari kwamba ni kweli!!
Huyo ni comedian hapo anafanya hivyo kunogesha story so kila kitu usichukulie serious sana
Namkubali sana huyu mzeee
Me too 🎉❤
Baba Levo leo umekutana na chizi kuliko wewe
Hahaha, dah ! Anachekesha.
Unasema K.9, umbali wake kutoka kileleni hadi huko bondeni ni kilomita ngapi ukilinganisha na Kitonga? Bado kuna Vikumburu, nayo unasemaje?
Ha ha ha mzee namkubali sanaa
Kwan uyu mzee ni cimedian au 😅