UTAPENDA DEREVA MKONGWE AKISIMULIA MAISHA YA MGODINI MAMBO MAZITO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 фев 2024
  • FUATILIA KISA CHA DEREVA MKONGWE ALIVYOKIMBIA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE KONGO ,ITAKUTOA MACHOZI.

Комментарии • 29

  • @user-ou9pg4pv6n
    @user-ou9pg4pv6n 29 дней назад +1

    Nakubali dereva mkwongwe

  • @mashimangoselemani6089
    @mashimangoselemani6089 4 месяца назад +4

    Sisi wa Congo 🇨🇩 atunashuda, watu wanatutesa ni WaGANDA na Wa NYERWANDA, lakini soon or later we will fight back....

  • @user-ib3fd1tc3r
    @user-ib3fd1tc3r 3 месяца назад

    Asante baba

  • @ExcitedBarbecue-iz7fi
    @ExcitedBarbecue-iz7fi 4 месяца назад +1

    Nakubari sana mkogwe

  • @louisisd1090
    @louisisd1090 4 месяца назад

    Nakukubali sanaaaaa

  • @paulkambaulaya4591
    @paulkambaulaya4591 4 месяца назад

    Ayaaaaaah

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 3 месяца назад

    Haaahaaaaaaaaa nimecheka sasa Dereva uyu akikabiziwa basi kila MTU atatamani alipande ilo basi

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 3 месяца назад

    Sasa naona watu wanapinga kwamba congo hakuna vita kwani ni nani asiejua kwamba congo hakunaga amani

  • @user-kj2xh6bt5y
    @user-kj2xh6bt5y 4 месяца назад

    Wekaa muziigoo karibuu bujumburaa burundii

  • @salimmohamed5559
    @salimmohamed5559 4 месяца назад +1

    WEE MZEE USITUCHEZEE UMEKUWA MUONGO KILA SIKU UNATUPA UWONGO MPYA 😡😡😡🤬

  • @lugendodaudi5510
    @lugendodaudi5510 4 месяца назад +1

    GBP chukua dereva huyu

  • @ibrahimselemani4306
    @ibrahimselemani4306 4 месяца назад

    Uwongo wake unafanana na ukweli na maneno yake yana funzo kwa dereva

  • @user-jk8vs4eh8i
    @user-jk8vs4eh8i 4 месяца назад

    Hahahaha wallah huyu ni mkongwe

  • @sawfiaoman9293
    @sawfiaoman9293 4 месяца назад

    😂😂❤❤

  • @ruu6592
    @ruu6592 4 месяца назад

    mvue ngozi kama nguo wakuiba uyo😂😂😂😂😂

  • @madalemagadula4002
    @madalemagadula4002 4 месяца назад +1

    Mkoa gani upo

    • @mkoma49
      @mkoma49 4 месяца назад

      Pwani io kisemvule

  • @mohamedhamissihamim7055
    @mohamedhamissihamim7055 4 месяца назад +1

    Nipo burundi muyinga

  • @mohamedhamissihamim7055
    @mohamedhamissihamim7055 4 месяца назад +2

    Ningeomba nikutane na dereva mkongwe naamini atanisaidia maana nataka nianze kazi ya udereva

    • @waliisamma2129
      @waliisamma2129 22 дня назад

      yy mwnyw anaitafta hio kaz ana kaz ya kupiga story tu 😁😁😁

  • @ChristopherKiiza-rt1uz
    @ChristopherKiiza-rt1uz 4 месяца назад

    Huyo mzee muongo sana Mimi nipo congo hakuna ulinzi wowote

    • @antonymuoki
      @antonymuoki 4 месяца назад

      Hakuna Escort?

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 4 месяца назад

      Acha uongo bwana ww unapeleka gari zipi mm trip za Congo kuna escort ya polisi ata Kenya ukifika kwenda lamu kuna escort ya polisi na ni waumoja wa Africa mashariki so ongea kitu wajua

    • @Gerald-hq5km
      @Gerald-hq5km 4 месяца назад

      Congo pabaya bhn munaongea nn nyinyi machafuko Kila siku

    • @felixmuvengei4472
      @felixmuvengei4472 3 месяца назад

      😂😂😂

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 2 месяца назад

      ​@@badifundi6089
      Dereva Mkongwe anaongea ukweli

  • @athumannyungundileki9799
    @athumannyungundileki9799 4 месяца назад

    We mzee acha upimbi wadanganye wajukuu zako