MBUNGE MSUKUMA: Kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 155

  • @mamahustru
    @mamahustru 7 лет назад +1

    Msukuma nimekupendea hapo uliposema maisha yako ni ya original ya utanzania. Hujawekewa mambo yakizungu. Safi sana.

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 года назад

    Hua nakuelewa sana king msukuma. Sungusila huko manzela ndo koo yangu ipo hapo kuna babazangu wapo hapo mmoja wao anaitwa Emanuel Samson 😍😍😍Nawamiss sana wazazi wangu

  • @christopherkashumba2129
    @christopherkashumba2129 7 лет назад

    Umekaa vizuri Mheshimiwa.Naamini wanainchi Wa Jumbo lako wataendelea kukuhitaji Kwa mda mrefu, vyema ukaongeza elimu Kwa njia yeyote ile, kwani baadaye kuwango cha Elimu kinaweza kuhitajika ili uwe Mbunge au hata kazi nyingine.

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 7 лет назад

    Ni sawa unajua kusoma na kuandika. Ndo siasa ya nchi yetu. Madereva, makarani na wahudumu tu wawe na elimu ya sekondari ili wawe katika ajira.
    Hongereni dodoma na hongereni bunge

  • @iamwangdamin
    @iamwangdamin 7 лет назад

    well said , safi sana MH. , elimu ya Mtaani ina matter sana kwenye maisha, watu wengi hawajui hilo

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 7 лет назад +11

    Msukumaaaaaa! Ila pamoja elimu yako ya kaptula unajitambua, hilo nila 7 la zamani hongera

  • @abras3479
    @abras3479 7 лет назад +11

    Kusoma sana ni KUOGOPA MAISHA, Msukuma kimaisha upo fit mno

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 7 лет назад +16

    Yaani Kasheku, uko vizuri kabisa. Hakuna mtu bungeni ninayependa kumsikiliza kwa makini ktk hoja moto kama wewe. Watu na Phd zao nawaonaga wanawayawaya tu.

  • @allenmagehema9099
    @allenmagehema9099 4 года назад

    Safi Msukuma.....lakini ungeongeza kidogo....ili ukichanganya na darasa la saba lako unakuwa vizuri zaidi..

  • @hamismasoud8306
    @hamismasoud8306 7 лет назад

    we kichwa sana aisee nakukubali sana jembe langu.

  • @hajingangila1558
    @hajingangila1558 5 лет назад

    Wewe upo vizuri kwakweli.

  • @musaemma7666
    @musaemma7666 7 лет назад

    MSUKUMA uko sawa kabisa hao wasikutishe kuwa na masters na PhD wengi wao wanakariri na kupata vyeti vya elimu ya juu lakini hawajui uongozi wala hawana uwezo wa kujenga hoja kama unavofanya wew ndiomana wanaumia unapowazidi

  • @obby5863
    @obby5863 7 лет назад +11

    Uko vizuri lakini hakuna haja ya Ku-attack wasomi. utakuwa unadiscourage watu wasisime.
    Nadhani hata wewe unapeleka vijana wako shule, na unapenda wasome na wafanikiwe.
    Hongera kwako Kaka, uko vizuri.

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 7 лет назад +1

      maujanja ya kuongea kwenye media ndio moja ya mambo yanayomtofautisha na wasomi hahahaaa

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 7 лет назад +3

      Venance Basil Sio tu ujanja. Huyu jamaa ana hekima kubwa na akili za kuzaliwa anazo. Kama asemavyo wakipambanishwa na wanaojiita wasomi aweza kuwagaragaza. Ana upeo mkubwa na ana maono ya ziada.

    • @meek5338
      @meek5338 7 лет назад

      Obby Obby m

    • @stevenpaul4818
      @stevenpaul4818 6 лет назад

      Hadiscourage wasomi anasema vitu vya msingi sana wasomi wengi wamekalia kusoma vitabu tu lakini hakuna mafanikio yoyote

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 лет назад

      Steven Paul ..Kweli Kabisa ya kiufupi Haijawasaidia au kuwakomboa

  • @adamgeorge5532
    @adamgeorge5532 7 лет назад +2

    haya kaka good job

  • @mkalimwanza7726
    @mkalimwanza7726 6 лет назад +1

    Nikweli msukuma anasema ukweli tu zamani kupata nafusi ya sakodali ilikuwa kazi Sana namukenpenda

  • @cosmasmakelelo6279
    @cosmasmakelelo6279 6 лет назад +1

    Hiyo nipoint sana mkuu

  • @amirikoshuma7476
    @amirikoshuma7476 4 года назад

    Hongera sana

  • @gilbertsakwera7002
    @gilbertsakwera7002 6 лет назад

    wasomi wengi tulionao hapa tz ni wanadharia tu ,,,,,,, hawana uwezo wa kutusaidia mfano Mh HAMISI KIGWANGARA utamfanishaje na musukumaaaaa

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 7 лет назад

    Uko vizuri Msukuma umeajiri vijana wengi kuliko hata kwenye PhD wanahangaika Mara RUSSIA ! Mara minada ya Lugumi big up sana!

  • @MrYUSSUFINHO
    @MrYUSSUFINHO 7 лет назад +1

    Always huwa Nilikuwa namshangaa Sana huyu jamaa. Elimu is everything. Majibu yake ni la Saba

    • @rasndekuonia2677
      @rasndekuonia2677 6 лет назад

      MrYUSSUFINHO elimu ni nini?

    • @farajajuddy4391
      @farajajuddy4391 4 года назад

      Tatizo la kuamini elimu ni akili!!kuwa na akili ndio mpango mzima.msukuma yuko na akili nyungi.kichwa cha msukuma sawa na vichwa vya maplofesa 10

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 5 лет назад

    Namheshimu sana msukuma; ila anapokosea ni kutaka battle. Maisha hayapo hivyo. Na si yeye tu mwenye elimu ya msingi na akafanikiwa kutusua wapo wengi.
    Profesa atabaki kuwa process, msomi atabaki kuwa msomi.
    Tunatofautiana mtazamo, kuna wasoma lakini sio wa kujiweka wazi, pia kuna ambao waliishia madarasa ya chini lakini wako popular sana.
    Kikubwa maisha hayana kanuni, tuendelee kuheshimiana kwa chochote tulicho nacho.

  • @jumamiraji3081
    @jumamiraji3081 4 года назад

    Makini sana jamaa

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 6 лет назад

    Namkubali sana Huyu kamanda

  • @lukindofabian6432
    @lukindofabian6432 7 лет назад +5

    Jamaa yuko vizuri namkumbuka ktk miaka ya 2000 akifanya biashara ya kuuza na kutengeneza simu mkoani Tanga

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 7 лет назад

      Lukindo Fabian Tanga nyuma ya standy mbele ya doble roady ,,,,,kbla ya hpo akiwa libety mza

  • @emmanuelgabagendi5800
    @emmanuelgabagendi5800 6 лет назад

    asante sana msukuma inatosha

  • @rashidjumanne1984
    @rashidjumanne1984 5 лет назад

    Msukuma kweli upo vizuri

  • @silverrichard2975
    @silverrichard2975 6 лет назад

    Huyu jamaa ana maarifa sana uelewa na anajiamin kuliko hata ww uliesoma ,elimu ya kuzaliwa nayo ndio msingi wa maisha

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 лет назад

    Uko vzr unahamacsha watu wskate tamaa smpaka wote waajiliwe ata kujiajil inawezekana unatoboa maisha ongela msukuma umetoboa unakubalka

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 года назад

    Nyumbani kabisa uliko zaliwa hongera msukuma

  • @steveherclles2295
    @steveherclles2295 5 лет назад

    Me namuelewaga xana muxukuma kwan Ana kipaji Cha uongoz alotunukiwa na mungu Kuna wangap wa mivet kibao na n vilaza kwnye inch na ndomana wanatumbuliwa Kila cku

  • @wakusomawakusoma7150
    @wakusomawakusoma7150 7 лет назад +3

    Mungu duniani hakupi vyote... binadamu ni wagumu kweli kukiri kwamba kitu hiki kilinishinda... wewe sema tu elimu ya darasani ilikuwa haipandi ila ya kwenye maisha ninayo, hamna atakaekucheka, ila iyo ya kutaka kuchuana na professor ni ukosefu wa maarifa na kutaka kujikweza pasipo msingi... Saidia jimbo lako kwanza liwe la mfano tuone huo uwezo wako.

  • @leonardkukudi7783
    @leonardkukudi7783 7 лет назад

    Msukuma Nakukubali sana

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 года назад

    Mbona subtitles inaongopa kulingana na maneno ya kamanda

  • @magufulitvkenya6315
    @magufulitvkenya6315 Год назад

    Mashaallha

  • @johnjohn-cg8re
    @johnjohn-cg8re 5 лет назад

    Upo vzr msukuma kwa kuwa muwazi

  • @japhetbarton2429
    @japhetbarton2429 7 лет назад +1

    true that mr.

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 7 лет назад

    safi sana kiongozi

  • @jamesgerald7192
    @jamesgerald7192 7 лет назад +9

    kweli kabsa elimu si kitu ila maarifa ndio kila kitu.

  • @kenedyochieng155
    @kenedyochieng155 7 лет назад +2

    Point

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 года назад

    Kweli kabisa kipindi Cha nyuma kuliwa Kuna nafasi za kila sehemu kwenda secondary sio Kama Miaka hii

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 6 лет назад

    Ktk watu wananifurahishaga ni Msukuma

  • @manjimufungo9658
    @manjimufungo9658 7 лет назад +1

    Hua na kukubali sana sababu sio mnafiki

  • @rashidkassim1615
    @rashidkassim1615 7 лет назад +1

    Kweli kaka kikubwa kutuwakilisha

  • @zakariasimkoko4617
    @zakariasimkoko4617 6 лет назад

    Nakukubal sana mh

  • @omarymbuguni4164
    @omarymbuguni4164 5 лет назад

    Kutoboa maisha sio kusoma

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 года назад

    Safi

  • @boniphacemwamboneke8699
    @boniphacemwamboneke8699 6 лет назад +2

    Wewe ni kichwa mh haijalishi madarasa

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 7 лет назад +11

    huyu jamaa namkubali maana anajiamini na anajikubali vile alivyo

  • @rowdyrondarouseyfire9476
    @rowdyrondarouseyfire9476 4 года назад +1

    Waliokua na Elimu ya juu wako home wanakula ugali wa wazee wao saa hii na kuendelea kuwapiga cha juu...ila STD 7 saa hii ndo wanaolea Family zao..na kutoa Mafunzo ya Maisha kwa Jamii.

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 6 лет назад +1

    Mimi sins haja ya kumwenseleza mtoto zaid ya kuna jamaa yangu ana masters lkn bado yuko home anasubir chai ya mama na mihogo.wazaz wanatumia fedha nyingi lkn bado wasomi wanarudisha mzigo kwa wazazi maana hawana uwezo hats wa kujikwamua kiuchumi.xo wanakuwa mzigo kwa jamii na serikali kwa ujumla.msukuma namuunga mkono.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 7 лет назад

    nakuku bali sana kaka chinga au msukuma

  • @africanews9850
    @africanews9850 7 лет назад

    That was good

  • @shedracktweve9789
    @shedracktweve9789 7 лет назад

    Ungekuwa ulikuwa wa mwisho ungejisema?

  • @mirumbeihema2589
    @mirumbeihema2589 4 года назад

    Msukuma Yuko vizurkuzidi wapigakelele eti wanajiita wwamesoma mmhhhh!!!!😅😅😅😅😅

  • @omanabcd9249
    @omanabcd9249 4 года назад

    Nikweli msukuma

  • @mwanelimuchiwajiza5437
    @mwanelimuchiwajiza5437 7 лет назад

    Uko vizur mkuu!! Nikwel unachosema, maofisi meng ya serikali kuna wataalam WA uongo

  • @Emedroadtocanada
    @Emedroadtocanada 7 лет назад

    Hasason kweli kbsa

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 6 лет назад +2

    tatizo wenye vyeti vizur Mara nying hawawez kaz sijui tatizo liko wapi katika mfumo wetu wa elim TZ,tukilinganisha na nchi jirani.

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 7 лет назад +1

    Kiufupi maisha hayana fomula

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 5 лет назад

    mbona unaonekana mdogo

  • @evaristmkumbo8246
    @evaristmkumbo8246 7 лет назад

    nimekuelewa kk

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 5 лет назад

    Mwana

  • @luciajuma8153
    @luciajuma8153 6 лет назад

    nakukubali wakwetu

  • @sam4444
    @sam4444 6 месяцев назад

    Unataka ligi na maprofesa sio 😂 promota nipo hapa chukua namba yangu kwa milad ayo.

  • @ibraharuna3045
    @ibraharuna3045 6 лет назад +1

    nadhan msukuma apewe uwaziri.maana nakumbuka kuna kiongozi wa nchi mmoja amewah kusema kuwa waziri haitaji elimu kubwa.

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 лет назад

    Huyu jamaa ni genius hatarrr......Mitaala ya elimu huandaliwa na kuandikwa kwa kitegemea fikra za watu.
    hivyo kufanya anayesoma na kufuzu kuwa aliyejivika mawazo ya binadamu mwenzake bila kujali binadamu huyo aliishi nyakati zipi na mazingira aliyoishi yalikuwa na challanges zipi!kwa hili hapa ndipo elimu inapofeli kitatua matatizo ya jamii zetu bila kuwa updated through researches.(na Taifa lisilowekeza katika kufanya tafiti na uvumbuzi wa Teknolojia hujikuta likiwa duni kimaendeleo)
    Mh. msukuma analoongea ni kweli kabisa coz akili yake iko natural(hajajivika wigi la mawazo ya binadamu mwingine kimtaala)amejifunza tokana na mazingira aliyoishi na magumu aliyoyapitia.hivyo kumfanya kujua mengi na kuwa na mawazo bora zaidi ya baadhi ya wasomi.(street trained king Msukuma).
    Tuondokane na fikra duni kuwa bila elimu huwezi kuwa na mafanikio au binadamu bora.huo ni utumwa wa kuabudu mawazo ya watu wanaotaka kuabudiwa kupitia maandiko yao.Elimu inanafasi yake katika maisha ila kuikosa kusikufanye uvunjike moyo na kujiona umeshindwa katika mapambano ya maisha.huku mitaani tunao wasomi wengi tuu wasiojimudu kimaisha na wapo wasio na elimu wengi tuu waliofanikiwa,tatizo ni huko kuaminishwa kuwa binadamu aliyesoma sana ndiye bora na mwenye mawazo mazuri ndio shida.hata wanashindwa kujitokeza hadharani na kukili elimu zao za ngazi za chini au kutokuingia kwao darasani.
    pongezi kwako Mh.msukuma na pia pongezi kwa Marehemu profesa majimarefu.mnatuwakilisha vyema watu tusio na elimu.endeleeni na moyo huo huo.
    ...........
    mwenyekiti watu wasio na
    elimu Tanzania.

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 Год назад

    Shule mia mbili geita miaka ya 70?! Mzitaje...

  • @mako331
    @mako331 6 лет назад

    Muheshimiwa it's ok la saba pia ni shule, na hukuibiwa matokeo simply hukufaulu, ila shule ni muhimu hakuna ubishi hapo

  • @marykitiru9212
    @marykitiru9212 7 лет назад +1

    ndomana majibu yako hayapo kisomi...ili hongera

  • @heshimakibali1431
    @heshimakibali1431 6 лет назад

    msukuma umesema ukweli kabisa.

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 лет назад

    kusoma nikuelewa kukeshanimbwembwe

  • @georgefaustini5679
    @georgefaustini5679 7 лет назад +2

    upo gudi mzeee piga Kaz.wanaojiita wasom wanatafuta vyet wakatuibie madin .wanaishia hapo tuu ila MUNGU si mwanadamu hata atuache yatima.

  • @hancytv4315
    @hancytv4315 7 лет назад

    elimu ya Tanzania tunasoma tupate kazi serikalini na sio kwa kuwasaidia ktk maisha ya kawaida,kwahiyo wasomi mkaze buti ili mpate kazi
    ni bora tusome lugha ili itusaidie tukitoka nje ya nchi kuliko kusoma madudu ambayo hayana faida kabisa
    broo komaa tu kwani ushapata kiti bungeni haina haja ya papala kujiangaisha na elimu ya urithi kutoka kwa wenzetu

  • @haroldsenyagwa4756
    @haroldsenyagwa4756 7 лет назад

    hongera bana form 7 sio haba

    • @geraldgedi4657
      @geraldgedi4657 7 лет назад

      harry mhando acha uongo we we umesoma kweli fulwe lakini kwanini unadanganya umma 1ulianza shule1981 na kumaliza darasa LA saba mwaka1987 na sio miaka ya 60s na 70s.

    • @geraldgedi4657
      @geraldgedi4657 7 лет назад

      harry mhando Joseph Lukanazya Lucas teophili na wengine Emmanuel H.Shelembi na wengine wengi walikuzidi kwenye mitihani na sio unavyoudanganya umma acha hii kiki za mini?

    • @doscakemilembe6134
      @doscakemilembe6134 7 лет назад

      Isee ndiyo maana saa nyingine mmmmm hapo kuna ka inf....
      Complex

    • @kassimdaud9509
      @kassimdaud9509 7 лет назад

      Kati ya wabunge ni nao wanapenda msukuma ni moja wapo kwa upande wa Chama tawala.

    • @zakariazuberinikwelikabisa9850
      @zakariazuberinikwelikabisa9850 7 лет назад

      kasheku uko well

  • @lidyamarco9794
    @lidyamarco9794 7 лет назад +8

    usijivunie hapo hamasishana watu waende shule maana kwa maneno yako wengi wataipuuza elimu

    • @amijayimani4561
      @amijayimani4561 7 лет назад +1

      Lidya Marco Pr Lipumba, Muhongo, n. k???

    • @samwelmwinyi7879
      @samwelmwinyi7879 7 лет назад

      Lidya Marco-Safi

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 лет назад

      Wanasema kupanga ni Kuchagua.. JK alisemaga za Kuambiwa Changanya na za kwako.. Ila mi sijaona Kama Hajahamasisha Au Kakatisha watu Tamma eti wasuje kusoma Laa Hashaa.. Amezungumzia Changamoto zilizo sababisha Asisome..Ila Ndio changamoto kwa Wasomi Wajitafakari upyaa

    • @rasndekuonia2677
      @rasndekuonia2677 6 лет назад

      Wakafanyeje huko shule?

    • @dilludillu2747
      @dilludillu2747 6 лет назад

      Kusoma sana ni woga wa maisha

  • @frankjekela3974
    @frankjekela3974 7 лет назад +1

    Ndio maana ulimjibu Msigwa eti asiongelee sana habari ya dhahabu wakat yeye ni mfuga mbwa na kujiona wewe ndo unaijua sana dhahabu kwasababu inatoka jimboni kwako hapo ndo nilikufananisha na mtu anayedhani kukaa jirani na mahakama ndio.kujua sheria

  • @felixjulius6708
    @felixjulius6708 7 лет назад +2

    Ni Mwongo... Kasoma miaka ya Sitina kwa umri upi.... Amezaliwa (1974-02-12) www.parliament.go.tz/administrations/51

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 4 года назад

      Hapa hata mimi nimekataa, namkubali kwa maana ya uwezo wake wa kujenga hoja na hiyo kitu inaitwa street university but umri huo HAPANA

  • @gezaulole7988
    @gezaulole7988 7 лет назад

    Shikamoo msukuma

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 Год назад

    Ila hapo kwenye mwaka ulio soma umetupga na kitu kizito

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 7 лет назад

    Ila ukwel kilimo cha bangi kilikutoa sana

  • @Phonce-ei2pn
    @Phonce-ei2pn 7 лет назад

    kwani uwezi kujiendeleza mr msukuma?

  • @michaelchongolo1316
    @michaelchongolo1316 7 лет назад

    huwezi msukuma ukapambana na wasomi hauwezi ukaa kaa ukamjudge Bna we upo vizuri kisiasa ambayo haihitaji elimu yeyote japo tukoelekea tutaweka kiwango cha elimu ya wagombea ubunge atleast masters ili nchi yetu ipate maendeleo tumegundua siasa zinaharibu academics za watu

  • @simbamtoto9469
    @simbamtoto9469 7 лет назад

    Msukuma Anamdomo sana,Na nikawaida ya watu wasie na elim.

  • @amisanjenda8885
    @amisanjenda8885 5 лет назад

    Nataka kuwa kama ww

  • @basheer4278
    @basheer4278 7 лет назад

    Darasa la saba then mbunge kwele Tz nchi imepotea

    • @albertlwesya8361
      @albertlwesya8361 7 лет назад

      bashir rajab Ndiyo hivyo huyo ndo Mbunge anauwezo wa kucontrol cash ana cash more than Tsh. 30Bil.

    • @rasndekuonia2677
      @rasndekuonia2677 6 лет назад

      bashir rajab wenye uprofesor wana fanya nini?

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 лет назад

    oyooo wakwetu...

  • @ashurahamis5784
    @ashurahamis5784 4 года назад

    Kwenye umri siamini,kwamba umeanza shule miaka ya sitini?,kwahyo sasa hivi upo kwenye umri wa kustaaf!

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 4 года назад

    Kwamba Msukuma alianza miaka ya 60??? Don't think so, hapana katupiga

  • @amanmtindi
    @amanmtindi 4 года назад

    Miaka ya 60 yupo shule ya msingi maana yake kazaliwa miaka ya 50, haya basi tufanye sitini kamili... kwahiyo Msukuma angalau anamiaka 60 yani sawa au mwaka mmoja yuma ya Magufuli. Hii imekaaje?

  • @yusuphjonathan4342
    @yusuphjonathan4342 5 лет назад

    Uko mbuyaa baba

  • @babary1690
    @babary1690 6 лет назад

    Kuuliza maswali sio kujibu maswali
    Kukosoa sio kuplan kuna tofauti hem jaribu ndio utajua tofauti ya la7 Na 4m 4
    Shida ya wasomi wetu ni BT BORA TUMBO

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 лет назад

    Kusoma nn wakat akuna dili la kusoma ajira zenyewe n issue

  • @stingosmatingas5569
    @stingosmatingas5569 7 лет назад

    wewe ni kweli huna elimu mm hua nashangaa sana unapompinga lissu bila point yeyote mambo yote anayozungumza lissu inapaswa uyasikilize na uelewe halafu ndio umpinge unakurupuka tuu kama mwehu

  • @hilalionmushobozi4819
    @hilalionmushobozi4819 6 лет назад

    Kweli wewe sio kilaza

  • @eddimalon6051
    @eddimalon6051 5 лет назад +1

    Nchi zote zilizoendelea na zinazorahisishia maisha ya watu wao, zinategemea wasomi sana sana. bila wasomi
    tungekuwa tukingolewa meno kwa nyundo. Tuheshimu wasomi. Kuna madaraja ya ufahamu, kila ukisoma zaidi
    ndio ufahamu wako unakuwa mkubwa zaidi. Mfano mdogo, muangalie, Raisi Magufuli, vile anavo fahamu, ile ni elimu
    aliyokuwa nayo. ndio maana Rais Magufuli anaona vitu ambavyo watu wengine hawavioni. Bila Elimu ni mbinde baba.

    • @neltone
      @neltone Год назад +1

      Kuna sabb z msing znafoc tuwe kwny mfum wa kusoma,

  • @kijanamatata7135
    @kijanamatata7135 7 лет назад +2

    hahahaha eti shule ya msingi nimeanza miaka ya 60!! hahahaha wakati ata yeye miaka ya 70 hajazaliwa

    • @mirumbeihema2589
      @mirumbeihema2589 4 года назад

      Unauhaakika hajazariwa hiyo mika ww cyo mzazi wake bhana we vp

  • @selemanimaneno9496
    @selemanimaneno9496 5 лет назад +1

    Muongo sana huyu et anasema mwaka 84/85 alikuwa anacheza mpira wa kulipwa wakati alikuwa mtoto ana miaka 10-11 hata elimu ya msingi sidhani kama alikuwa kamaliza ,,kama sio muongo bas atakuwa ana tatzo la kupoteza kumbukumbu lkn shida nyingine huyu bwana anaamini kuwa kwasababu yeye kafanikiwa kimaisha na yuko bungeni basi yeye ana akili kuliko wasomi wote ambao hawako bungeni na hawajafanikiwa na ndo maana anataka kushindana na maprofesa kwa hoja

  • @maxmilianmtui1719
    @maxmilianmtui1719 7 лет назад +1

    nenda QT utatoboa kwani binge wanapenda sana kuongea unyenye sasa siwanakuacha njia panda, kama kweli STD V11

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 7 лет назад +1

      Maxmilian Mtui mhuuuu! Kwani hujawahi kumsikiliza wakipambana na hao wasomi? Huyu Msukuma Kasheku yuko vizuri sana, mfuatilie bungeni umsikie.

  • @michaelsimion720
    @michaelsimion720 7 лет назад

    huwezi kujipima na MTU aliyesoma wewe ni sawa na Mimi elim ya kaptula

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 лет назад +3

    wewe ukiwekwa na wasomi utauliza maswali kwasababu huna elimu, na wao watakujibu kulingana na elimu yao kwahijo usijisifie kuwa unaweza pambana na wasomi hata kama hujasoma... we utakua na maswali mengi wao watakua na majibu kwaajili ya kukuelimisha na hapo ndo mlipo tofutiana