HAMASIKA NA SAFARI YA KIMAISHA YA MHE.LUSINDE KUTOKA ULINZI MPAKA UBUNGE PART.A

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 38

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 лет назад +8

    Mungu akubariki kwakweli umepambana aisee

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 4 года назад

    Nimeipenda interview kwa ajili ya Lusinde namkubali

  • @rutakihama3523
    @rutakihama3523 5 лет назад +1

    Daaaaah safi sana Mh Lusinde huanajifunza mengi kutoka kwako

  • @abdulnindi1392
    @abdulnindi1392 5 лет назад +8

    du lusinde nakukubali sana wewe nimsomi mkumbwa sana

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 4 года назад

    Upo sawa Lusinde

  • @danielkeroma8881
    @danielkeroma8881 5 лет назад +1

    Mmoja kati ya wabunge machachali na wanaojitanbua, nnpenda sana.

  • @brunompolle1404
    @brunompolle1404 5 лет назад +1

    Nakupenda Sana kamanda Livingston

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 5 лет назад +8

    Lusinde kweli wewe mpambanaji

  • @ericksimbeye3256
    @ericksimbeye3256 4 года назад

    Nakukubali Sana lusinde

  • @Jakaugagi
    @Jakaugagi 5 лет назад

    Lusinde kasheheni maarifa ya maisha hongera sana mkuu

  • @faustinsirili3480
    @faustinsirili3480 4 года назад

    Baba pole sana

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 лет назад +15

    hakuna MTU nampenda na ananipa nguvu ya maisha kama lisinde na msukuma

  • @josephmponda2711
    @josephmponda2711 4 года назад +1

    huyu jamaa ni noma sana

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 5 лет назад +6

    Umenichekesha eti huwezi cheza simba kama hujapitia mtibwa 😅😅😅😅😅😅😅😅umenifulahisha mzee baba

  • @edsonmnyetumbi9723
    @edsonmnyetumbi9723 5 лет назад +8

    Tatizo wasomi wana elimu hawana maarifa mara nyingi watu ambao hawajasoma sana wana maarifa makubwa na wanauwezo mkubwa sana

  • @yohananundi1167
    @yohananundi1167 6 лет назад +5

    Lusinde ni kichwa

  • @softrock7155
    @softrock7155 5 лет назад

    Namuelewaga sana Kibajaji

  • @herson9343
    @herson9343 5 лет назад

    Kama unaisikia sauti ya mpoki kwa lusinda ginga like hapa

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 6 лет назад +3

    Mbunge wangu.

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 3 года назад

    Tunataka sehemu ya pili

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 5 лет назад +1

    Mhe nimekuelewa sana. certificate certified person but knowledge and skills identified person

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 4 года назад

    Mungu mkubwaa, story inaumiza xnaa!

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 5 лет назад

    Nikweli kabisa, lazima ule ulale ndio upate elimu nzuri

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 4 года назад

    Huyu jamaa asiposema hajasoma huwwezi jua yuko vizuri

  • @martinmnzava9053
    @martinmnzava9053 4 года назад

    Kweli Lusinde una uelewa mkubwa wa kujenga hoja.

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 года назад

    At a darasani mwalimu wako alikuwa anapata tabu sanah

  • @jazirymasunga6098
    @jazirymasunga6098 5 лет назад +7

    Lusinde wewe ungelisoma ungekua mtu mwingine ktk hi dunia

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 5 лет назад

      Katika wabunge wajinga ni huyu Kibajaji. Mimi nashangaa ni kwa nini kila mwaka anashinda katika jimbo lake. Yaelekea watu wa Mtera wamekwepa umande au Kibajaji labda ni Mchawi. Sumaye baki CHADEMA tunakupa Uwaziri wa Mambo ya nchi za nje. Hosipitali ya Wilaya na Kituo cha Afya sio kodi za CCM peke yake ziko kodi za Wapinzani. Unataka vyama vyote vikusanye kodi hiyo itakuwa nchi au ni vurugu. Kibajaji wewe sio MUNGU acha kuongelea vyama vya watu huo ni uchawi. Mbowe hahusiki lolote katika hili wewe sio msemaji wa CHADEMA. Wewe ni mnafiki. Unachonga sana. Eleza mambo ya CCM na Magufuli sio Mbowe na CHADEMA.

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 4 года назад

    KAKA kIBAJAJI NAKUELEWA SANA ...JINIASI UNA AKILI KUBWA

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад

    Waandishi mmekosa kuuliza maswali ya msingi!!!!

  • @georgengongi1887
    @georgengongi1887 4 года назад

    Teddy ww ndiyo mjinga sijapata kuona hayo mashairì yako yote hakuna hata point moja ya maana huyo MBOWE wako lini amepeleka Barakoa jimboni kwake licha ya kuwalazimisha wabunge wake wasiingie bungeni kwa kuogopa corona.Umeongea utumbo hadi umekera watu na kujionyesha kuwa hata shule hujakanyaga hata darasa moja

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад

    Ukisilimu unatakiwa uwe mbali sana na bucha la nguruwe,,,,,,,!!!!!! Hahahaaa!!!!