Mbunge Lusinde alivyowaongelea Wapinzani kukosoa ishu ya safari za nje za JK na JPM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 76

  • @victorrevelian5370
    @victorrevelian5370 8 лет назад +10

    safiii sanaaa.. #ccm mbele kwa mbeleee

  • @haymsham5333
    @haymsham5333 8 лет назад +12

    Hongera Lusinde,unachokisema ni sahihi kabisa

    • @matukutajuma156
      @matukutajuma156 4 года назад

      Mh lusinde ndio huyu jinboni hakuna mbadala,

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 7 лет назад +18

    Lusinde kiboko yao huwa hadonoi ni anang'ata km Simba aaaaaah! Lusinde safiiiii

  • @suzympunji8620
    @suzympunji8620 8 лет назад +12

    hongera lusinde, ni kweli hawana hoja

  • @kisigaanna3422
    @kisigaanna3422 6 лет назад +7

    sf lusinde komeshaaaa ujinga

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 8 лет назад +21

    Mh Lusinde, nakupongeza kwa kuongea ukweli kwa wapinzani hususani wapigao makelele badala ya kuchagia hoja kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 8 лет назад +18

    ahsante xn mkal wang LUSINDE...huo mfn wa mtt alie tumbon nmeupenda.....wanafkir serkal ni tumbo la mama mjamzito......af iyo ya kfny kaz kwa MAGUFULI kuwapotezea hoja nmeipenda xn...hawana hoja ya msingi....mara LOWASSA FISADI xahv RAIS wao......wapumbav kabsa hao...

    • @salimatuyahhaya3622
      @salimatuyahhaya3622 8 лет назад

      Acha kuropoka ropoka W huelew chcht ndo maan unabwata loo...

    • @immanuelswai6679
      @immanuelswai6679 8 лет назад

      huyu anafaa kuimba taharabu tu. kachangia mada ipi!!!

    • @andredemetrius6083
      @andredemetrius6083 3 года назад

      Dont know if anyone gives a damn but if you guys are bored like me during the covid times then you can watch all of the new movies on instaflixxer. Have been watching with my brother for the last few months :)

    • @ezrarhett285
      @ezrarhett285 3 года назад

      @Andre Demetrius yea, have been watching on instaflixxer for years myself :)

    • @finleyeugene6586
      @finleyeugene6586 3 года назад

      @Andre Demetrius Yup, I have been watching on InstaFlixxer for since december myself =)

  • @leonardkigutu7190
    @leonardkigutu7190 5 лет назад +2

    Lusinde unapoint sana...lakini vilevile tunapata burudani sana...tunacheka na kuongeza maisha.

  • @hassansamata9696
    @hassansamata9696 5 лет назад +2

    Tz Kwanza hongera Lusinde.. mpinzani badae

  • @jamesthomas390jj
    @jamesthomas390jj 4 года назад +1

    Raisi akienda kwa spidi hii 2020 hawatakuwa hapa. 2020 kweli hawamo😂😂😂

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 года назад

    Gud saana. Wachane hao upinzan hewa

  • @anthonykusita7102
    @anthonykusita7102 8 лет назад +11

    safi sana lusinde wapinza wajielewi.

  • @pastoreliasakita2306
    @pastoreliasakita2306 6 лет назад +3

    Big up lusinde

  • @shabankiwesi6727
    @shabankiwesi6727 5 лет назад +1

    Nakuelewa sana lusinde wapige vyuma

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 7 лет назад +9

    Achana nao wapizani weu tuu

  • @leonardchatanda3408
    @leonardchatanda3408 4 года назад

    Big up Lusinde

  • @saadali4647
    @saadali4647 8 лет назад +11

    sasa hawa wapinzani ndo nn mwenzao anaongea wao wanazomea hilo ndilo lilowapeleka bungeni? umesema kweli lusinde magufuli kawakosesha hoja hawa watu wamebaki wanavizia matukio tu yani mpaka watu ambao nawahishimu upinzani kama zitto pia nao safari hii wamekua watu wakejeli bungeni kweli ilikua wanauza sura bungeni tumeshawagundua tuko nyma ya magufuli sisi na tunamuombea kwelikweli

    • @teddykanondo5753
      @teddykanondo5753 5 лет назад

      Lusinde anataka kuzaa na Mbowe kila akisimama MBOWE.

  • @saidbabu9198
    @saidbabu9198 4 года назад

    Mweshimiwa lusinde basi kama hawataelewa tena, basi ndio itakuwa mmmm

  • @peterwilliamnkimbili6529
    @peterwilliamnkimbili6529 8 лет назад +8

    mpaka raha ,,hata Mahiga atakuwa rais

    • @jacobmakono389
      @jacobmakono389 6 лет назад

      ..kwa sentence yake Mahiga hafai kuwa Rais..!

  • @noahemanuel7015
    @noahemanuel7015 8 лет назад +5

    Nakukubali sana Mkuu

  • @salimahussein5537
    @salimahussein5537 5 лет назад +1

    Lusinde nakukubali

  • @jonasjapheth7515
    @jonasjapheth7515 7 лет назад +2

    mh jitahidi kutoa hoja kama mzoefu wa maendeleo sio mzoefu wa kutumiwa bungeni kupondea watu tens kwa majina yao wkt kanuni znakataza we bora ujikite kutoa hoja za msingi tu watanzania tunawaona twachie sisi

  • @tz7976
    @tz7976 4 года назад

    Jamaa anaoneka hata kwa ngumi ukimuijia kichwa kichwa utatafuta mlango ulio ingilia ama kutoboa mlango mpya

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 4 года назад

    Lusinde kila akichangia pemben kuna sura ngeniiiii😃😃
    TRA WATAKUTAFTA😂😂😂

  • @ombugamasunga3794
    @ombugamasunga3794 8 лет назад +3

    majanga

  • @saidymaige6115
    @saidymaige6115 5 лет назад +1

    Jamani ivi wah.ndiyo kazi tuliowatuma.mkatukane bungeni?Ee.agwe mbukweni.Lusinde punguza jaziba.ni kiongozi mzuri ulikuwa bingwa wa hoja Sasa unapinda swaiba

  • @alexkachemu7957
    @alexkachemu7957 5 лет назад

    There is no time this man speaks well on opposition.

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 4 года назад

      And when the opposition did speak well on the gvt?

  • @mkhondoj.feruzi2052
    @mkhondoj.feruzi2052 5 лет назад +1

    lusinde we noma chambua mkuu wapo wajinga kibao wanashabikia ujinga wameenda shule kubeba ushabiki sio knowledge

  • @godfreymchopa4210
    @godfreymchopa4210 6 лет назад +1

    yan unaongea mapoint tu....hawana jema hawa wapinzan😂😂😂😂😂

  • @saidsalmin1248
    @saidsalmin1248 6 лет назад +1

    Wape vidongeeeee

  • @kherindumkwa5045
    @kherindumkwa5045 8 лет назад

    HOJA YAKE NI NN KWENYE HII WIZARA?

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 5 лет назад +1

    Mimihuwasielewi sheliazabunge wabungewenginewakichangia wenginewananyaaza japowachangiajihao hutoamanenoya kuudhi lakiniwengine wakichangia wenginehawanyamaziwanazomea Sasa swalibungelinashindwa kujitungiashelia zakudhibiti utovuwanidhamu huo? Kwakweli ccwnanchitunachukiasana kwakitendochazomeazomea hilojengo cyokilabuyapombe niuhulugani mnaojipa ninyiwabunge?mbunge anaongeajambolamaana wenginemnazomea sikuwatoannje to wki1wasiludibungeni naposhohakuna wakiludia mwezi1naposhohakuna wkiludia 3naposhohkuna wkludia 6naposhohakuna hilojengomuhimu mbonawenumahkama hawapigagikelele walazomeazomea kwanitofautiyenunini nyiewatungashelia mahkma watafsilishelia mnachoshindwanini mbonawabungewengine hawapgikelele hatawakisemwavibaya uhuluhuo siomzuli

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 4 года назад +1

    Lusinde umenishinda aaaaaaaa

  • @amirihamisi6913
    @amirihamisi6913 8 лет назад +1

    Mpuuzi sana na ukitaka nichukulie hatua Lusinde acha ujinga....

  • @salimatuyahhaya3622
    @salimatuyahhaya3622 8 лет назад

    😎

  • @mudymudy3263
    @mudymudy3263 5 лет назад

    Chiz

  • @salimali2421
    @salimali2421 8 лет назад

    Yeye ndio hajui anachokisema

  • @luganokapula6267
    @luganokapula6267 8 лет назад

    hahahahahahahahaha

  • @ephraimmwano7134
    @ephraimmwano7134 7 лет назад

    safari ni muhimu , ila safari ambazo Sio muhimu ndo zinapingwa, Lusinde ni mwanapropaganda

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 4 года назад

      Kwamba asipoenda Rais ( in person ) kutakua na shida gani? Sio lazima mkuu

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 4 года назад

      Kwamba asipoenda Rais ( in person ) kutakua na shida gani? Sio lazima mkuu

  • @davidmdonondo4252
    @davidmdonondo4252 7 лет назад

    2020 sitofanya makosa

  • @shanisshow1864
    @shanisshow1864 8 лет назад

    huyoo lusinde wenu ssm hata sijui anachokisema nin, kwa mfanao wake wa mtoto mdogo ina maanaisha ccm wameshindwa kuiongoza tz kwa ukubwa wake na hata weza kukifanyia chochote taifa hii kwa vile ni kubwa---pole yake huyoo jamaaa hata si mwelewi kabisa aise

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 8 лет назад +3

    hata huyu nae anafaa kuimba taharabu. kwamfano mpaka hapo ajachangia chochote. kama ni sera basi wewe ni sero.

  • @denisfidelis7171
    @denisfidelis7171 8 лет назад

    huyu ni miongoni mwa wabunge waliopaswa kusimamishwa bungeni na sio kina zitto

  • @jaywafriday758
    @jaywafriday758 8 лет назад +2

    Huyu jamaa anaulemavu wa akili sasa analeta kampeni bungeni za nini

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 8 лет назад +2

    Ujinga mtupu...halafu nduguze wanamsapoti kwa makofi...their IQs must be same

  • @allysalum6221
    @allysalum6221 8 лет назад +2

    huna lolote domo kaya!!

  • @amosathanas2374
    @amosathanas2374 8 лет назад

    hahaa hakuna la maana hapo zaidi ya kukinadi chama chake ilihali uchaguzi bado kabisa

  • @lucasgasper5235
    @lucasgasper5235 7 лет назад

    HATUWAONDOI WAPINZANI TUTAWAONGEZA

  • @dr.venancewilfred8867
    @dr.venancewilfred8867 8 лет назад

    We una hoja gani??? Kuna mtu amekuelewa unachangia nin? Na wizara gani???

    • @mwanahella9650
      @mwanahella9650 8 лет назад

      kwakweli mie sjamuelewa amechangia nn ktk wizara gani😏😏😏 zaidi naona mipasho tuu kz ipo miaka hii😟😟tutayaona na kuyasikia mengi

    • @dr.venancewilfred8867
      @dr.venancewilfred8867 8 лет назад

      +Mwanahamisi Hella huyu hajielewi.. Ni wa kumsamehe bure

    • @modestusndunguru4479
      @modestusndunguru4479 6 лет назад +1

      Venance Wilfred We bwege ndio huja elewa.....

    • @rojamoojamal1007
      @rojamoojamal1007 6 лет назад

      tatizo LA watanzania tumejaa ushabiki,safi sana lusinde