MWAKAGENDA ATOBA SIRI "WIZARA ICHUKUE HATUA KALI/PICHA ZA NGONO/ WANAJITANGAZA/UBABAISHAJI MWINGI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 8

  • @user-sn9ip6qr3l
    @user-sn9ip6qr3l Месяц назад

    Atoke mapema apigwe tuu😢😢hebu acha izo wafungwe maisha na waasiwe hukohuko jela wasitoke uraian kifo kimkutie hukohuko

  • @GasperTz-rv6eq
    @GasperTz-rv6eq 27 дней назад

    Tanzania 😢 wapige malufuku vilevi vyote hapa nchini ndiyo inayo leta hii shida mama hii nchi itatawaliwa na ushogo wasaidie wana nchi

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 27 дней назад

    Sehemu ambayo leo ni hatari sana ni shuleni yaani nuresry, primary, sekondari na vyuoni na hasa vyuo vikuu. Sasa eneo hilo ni mlango wa kuwaharibu watoto. Hili limepangwa makusudi na wazungu ili kuharibu kizazi kijacho kuanzia watoto. Asilimia kubwa mtoto anaharibika tabia akienda shule hizo na hasa vyuo vikuu na sekondari. Inafika mahali wazazi wenye maadili wanahofu kuwapeleka watoto wao shuleni kiasi kwamba wanaona bora hata mtoto wake asisome. Lakini kwa sababu kuna mpango mahususi wa wazungu kuharibu watoto kupitia mlango wa shule, ndipo wazungu wanawahamasisha wazazi kuwaandisha watoto shule. Shinikizo la kuwapeleka watoto shule ni kubwa leo kuliko zamani maana adui anajua huko ndipo watakakozalishwa viongozi waliopotoka mno kimaadili huku wakiwa ni wasomi wa juu sana. Ukiona ulazimishaji unafikia hata kuwalazimisha wazazi na hata kuwafunga jela wazazi wanaogoma kuwasomesha watoto wao ujue kuna shinikizo ovu kupitia kisingizio cha elimu.
    Wazungu wanajua kuwa kikwazo cha kuukubali ushoga ni maadili ya asili. Hivyo huja na maarifa wanayovuviwa na adui kugundua kemikali za kuharibu uasilia kwenye miili ya watu na ardhi. Chanjo zinazodaiwa kuwa eti ni za kuzuia kansa ya shingo ya kizazi zinamlenga msichana, tena wakimvizia huko shuleni makusudi ili wazazi wake wasijue wakihofu pengine watapinga. Huko mafichoni msichana hutekwa kwa njia ya kuelimishwa faida danganyifu za chanjo na hasara za kutotumia akiwa katika umri usioweza kupambanua magumu. Watoto wanaingiziwa asili ngeni ndani ya miili yao kupitia chanjo, kemikali za kuzuia mimba, vyakula danganyifu vitamu kwa watoto. Vita vya sasa viko zaidi kupitia matumizi ya kemikali na biolojia. Wazungu wanajua ni kemikali gani waitumie ili kuharibu maadili ya asili ubongoni na kuamsha tamaa za wanyama ndani ya mwanadamu ili kuwa na kizazi kisicho na maadili sasa na baadae. Kemikali hizo huja kwa njia ya msaada na afya. Chanjo huja na faida tulizoelezwa na wazungu na vitisho vya hatari za kutotumia ili tuogope kutotumia na huku tukipumbazwa na misaada yao kafiri. Shule za leo ni hatari kuliko vilabu vya pombe maana huko ndiko mapandikizi yanakopandwa ili kuharibu kizazi kijacho ambacho ndipo kitapitisha ushoga uwe rasmi kisheria hapo mbeleni. Matukio mengi ya upotofu wa maadili yanasikika shuleni. Vyuoni huko ndio uchafu kabisa, lakini hao ndio watakaokuwa wabunge wa kutunga sheria za nchi. Wazungu wameona waanzie huko. Na kama hatutashtuka, basi lengo ovu litafikiwa, na bahati mbaya viongozi wengi ni waabudu mawazo ya wazungu kwa kupotoka kifikra au kutafuta maslahi.

  • @isaacmutegwa5881
    @isaacmutegwa5881 Месяц назад

    Anzeni na wasanini wanaoitwa kizazi kipya . Nyimbo nyingi sana zipo ovyo hasa hazina maadili katika jamii na kibaya zaidi mnawatumia hata kwenye majukumu na meetings kutano mikubwa ya NCHI. Ukweli usiopingika Umasikini uliosababishwa na ,,,,,, na umesababisha sana mmomonyoko wa naadili

  • @daudibukwimba4226
    @daudibukwimba4226 Месяц назад

    😂😂😂😂 mi nicheke Tu eti Mototo wa mwenzako ni wako bongo hii na watoto wa 2000

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Месяц назад

    Wasifungwe wanyonywe nipeni kazii

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Месяц назад

    Mmmmmmmh! Atoke mapema ? Seriously ???!!!