GETERE AIBUKA "TAIFA LINAWAAOGOPA" AMTAJA MAKONDA, WAITARA "MTILIE SHAKA HUYO/ ANAKEREKETWA NA...."

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 май 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

Комментарии • 59

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Месяц назад +2

    Very good Mungu Atatusaidia Anaangalia Mnaamua Nini God Take Control In All In Jesus Name

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +5

    we mzee tuambiee kwanza watoto wako , wako wapi

  • @barakaschaula8323
    @barakaschaula8323 Месяц назад +2

    Mungu ibariki nchi Yangu . Amen

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 Месяц назад +3

    Shida siyo sheria, au Katiba. Shida ni ujinga.

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 Месяц назад +5

    Ipo siku baba angu watakuelewa tu,maadili yameporomoka sana.

  • @hakiyangu
    @hakiyangu Месяц назад +5

    Serikali ndio chanzo cha huu mmomonyoko wa maadili, ikiamua hata leo maovu yote yanatokomea

    • @user-sw7tf1ob1b
      @user-sw7tf1ob1b Месяц назад

      Ni selikali mziki Gani wa wadudu na mubunge huyo nae ni mdudu?

  • @user-eb3hf1lm9e
    @user-eb3hf1lm9e Месяц назад +3

    Taletale mwenyewe ukimtazama vizurii una gundua like km kuna jambo haliko sawa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +3

    kamera zifungwe kwenye faragha za wabunge tujuee wangapi wanafira mabinti ,tuanze nao kama mifano maana tatizo linaweza kuwa kubwa sana

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 Месяц назад +2

    Si kwamba hawajui kinachoendelea kuhusu ushoga, bali wanaogopa kulikemea hili maana wazungu watawanyima misaada kwa vile miradi yote ya kuupiga mwingi inafadhiliwa na wazungu. Ukisikia hata kauli za kutamka kuwa hatutaki ushoga ni geresha tu za kujisafisha kwa nje. Tanzania imeukubali ushoga kwa sirisiri tofauti na Uganda iliyoweka wazi na ndio maana ushoga unaendelea nchini bila serikali kuweka sheria pingamizi. Tatizo la viongozi wetu hawa wanabeba kila kitu toka kwa wazungu, hawana akili za kujitegemea kifikra. Bajeti ya kuwainua wanawake ndio iko juu, lakini ya kupingana na ushoga haipo kabisa. Wanaogopa kuweka wazi wasije wazungu wakawasikia. Tumefikia mahali tunaogopa kutengwa na wazungu kuliko kuogopa kumchukiza Mungu. HERI MABABU ZETU AMBAO HAWAKUSOMA KULIKO WASOMI AMBAO HAWANA AKILI BINAFSI. Wazungu hawataki dini au mila ziongoze waafrika, wanatuambia kwamba ni imani potofu kufuata maagizo ya Mungu na mila. Ajabu viongozi wetu wanasema amina kwa wazungu na kumkataa Mungu na desturi.
    Miziki ya kuvaa ovyo na yenye viashria vya wazi vya ngono iko kila mahali, na hata kwenye redio na Tv, daladala na mabasi ya abilia ambayo wazazi na watoto wanasikia na kukoderea macho humo. Basata imejaa vijana waliopotoka kimaadili. Si ajabu ukaona kwenye ofisi za Basata kuna miziki hiyo. Wizara husika zipo ila zinazuleta bajeti ya mambo mengine na si kutunga sheria kupinga upotofu huo.

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 Месяц назад +6

    Taletale tatizo shule ndogo jina kubwa

  • @faithfelistasmwinjomod3955
    @faithfelistasmwinjomod3955 Месяц назад +2

    Wadudu hawhusian na mda ya ushida asnte taletale 👏

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +2

    sheria ya wafiraji sio mashoga tunataka WAFIRAJI WATAMBULIWE ,PALE SINZA LOJI ZIFUNGWE CAMERA WANAOFIRA WACHUKULIWE HATUA .

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 Месяц назад +1

    Tamisemi, elimu, ajira, jamii, afya, Sheria, polisi(???) hizi wizara ndo zikae chini kutunga Sheria za haya mambo itengenezwe task force mahususi maana naona mnamuangalia mama Gwajima she is working hard but anahitaji support ya hizo wizara nyingine bila kusahau kuwahusisha mashirika yasio yakiserikali yanayojihusisha na ukatili etc na pia viongozi wa dini, tupate suluhu ya haya mambo ....

  • @charlesmgula9592
    @charlesmgula9592 Месяц назад +2

    Wakina mama ndio wanawalea mashoga mashelehe yote wapo

  • @user-hd4jl4vy2x
    @user-hd4jl4vy2x Месяц назад +2

    Muheshimiwa mbunge wadudu ni wanasanaa

  • @ballackenock
    @ballackenock Месяц назад +6

    Hawawezi kutunga Sheria ya kuzuoa ushoga,maana mabwana zao wanmagharibi watawawekea vikwazo

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 28 дней назад

      kbs kbs umenena maana kuna wanaona hongoza dunia iyi!

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 Месяц назад +6

    Hivi wabunge huwa wanapiga makofi kwa kujitambua au wanasukumwa na RIMOTI ?

  • @jimmypicks9248
    @jimmypicks9248 Месяц назад +1

    Hata mionzi ya miale itakayogunduliwa 3034,yaani miaka 1000 ijayo haitaweza kutibu cancer yenye asili ya kiroho. Kwa maoni yangu, elimu ya ngono itolewe kuanzia darasa la tatu sambamba na elimu ya kujitegemea. Hii elimu ya "kuwa kama wazungu" tuipunguze kwa 95%

  • @chrispinmpangala3394
    @chrispinmpangala3394 Месяц назад +2

    NGO zote za nje zifungwe hakuna kumung'unya tatizo lenu wabunge mnalea matatizo km mashoga ni kunyonga tu au wanaolawiti ni kuwahasi tu hakuna kutetea ushenzi

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 Месяц назад

    Kama wakati wa Nuhu na kama wakati wa Lutu ,it's fulfilment of prophecy,Lk17:26-36 Solution watakatifu tuombe Mungu ageuze mioyo ya watu,waokoke(toba halisi Mithali 28:13)Mungu awafungue macho ya rohoni wauchukie uovu wao huo.(2)Wazazi tuwe na muda zaidi na watoto wetu,wenyewe tuwe vielelezo katika maisha yetu (Hivi wewe unakumbuka ulienda ibada lini na familia yako?)3)Tuanze na Familia.

  • @fridayjkajange1247
    @fridayjkajange1247 Месяц назад +2

    Tale punga Nini mbona anakwamisha michango ya maana 😀

  • @user-sn9ip6qr3l
    @user-sn9ip6qr3l Месяц назад +1

    Sidhan kama Zanzibar ina asilimia mbili tuu ya ushoga wakati kuna kina mauzinde wanajipromoti ilaaaa dah so sad kwakwel

  • @TimotheoSoteli
    @TimotheoSoteli Месяц назад +1

    😅😅😅😅😅 kanda maalumu ni hatari,Maraaaaa

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 Месяц назад +1

    Asee bongo bhnaaaa😢

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Месяц назад +3

    Pointlessly try to compared the populations between bara and zanzibar, you are not fit.

  • @TimotheoSoteli
    @TimotheoSoteli Месяц назад +1

    Kweli hii ni kanda maalumu-MARA

  • @joelandekile3933
    @joelandekile3933 Месяц назад +4

    KAMA UPO APA 2099 BASI ME NILIKUWA APA 2024

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o Месяц назад

    Kabisa yaaan muheshimiwa

  • @omarisaid7318
    @omarisaid7318 Месяц назад +1

    Siyo kusematu tuwa fundishe watoto mashuleni toeni tamuko

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 Месяц назад +2

    babu tale rafiki yake juma lokole😝

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Месяц назад +1

    Dini zipi?ushoga uko kote,dini pia zinatumika kueneza ushoga pia na baadhi ya makanisa yapo yanayofungisha mpaka ndoa za jinsia moja

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 Месяц назад +1

    Kwanza ushoga upo toka zamani sema tu hakukua na mambo ya social media na mashoga wengi wapo huko huko kwenu nyie viungozi na pia hamtasubutu kutunga sheria mnaogopa kunyimwa pesa za kulipana maposho na magari ya kifahari mnawarubuni vijana wetu kwa hizo pesa ndio hawa mashoga acheni unafiki

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 Месяц назад +1

    ajira bila viwanda🤔 panya road na ushoga wapi na wapi. we mzee hujielewi unasema nini

    • @jamesmasome359
      @jamesmasome359 Месяц назад

      Kazi ziko nyingi ajira ndiyo chache.... watu wamepungukiwa hakili.

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Месяц назад

    Mnatupotezea mb zetu. Miziki yote ni ngono. Tbc chombo cha taifa wanapiga ngono kutwa TBC1 CHENELI ni ngono tupu namkumbuka sana mjomba Magu.

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 28 дней назад

    Nyambu nyambu

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Месяц назад +1

    Mbunge watu kama akina tale hawawezi kumwelewa

  • @peterdaud5669
    @peterdaud5669 Месяц назад

    Katika hili niwashauri kitu kimoja rudisheni nguvu kwenye ofisi za serikali ya vijiji na mitaa maana hao ndiyo viongozi wanaokaa na hao watu na wanawajua kwa nyumba kwa nyumba kwa kutumia msako kwa wale wasio na maadili maxuri tunawajua mbona, mrema alitikisa nchi kwa kuwashirikisha viongozi wa chini

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 Месяц назад

    Tusitoe sifa bila sababu. Rais wa nchi hajakemea hata siku moja kwa kutamka neno USHOGA. Badala yake anasema maadili kila siku maadili. Tunataka aseme neno USHOGA!
    Pili tusiipambe Zanzibar. Zanzibar ndo chuo cha mashoga ktk nchi hii. Hata viongozi kutoka Zanzibar inabidi wachunguzwe kwa uangalifu kabla ya kuwakaribisha Tanganyika hii.

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад +1

    Wafiraji mbona hawaongelewi ,mashoga ni birth disioder ya chromosal

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Месяц назад +1

    Kazi ya nini zaidi ya kutuibia tuuu

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv3429 Месяц назад +1

    😂😂😂

  • @geey7893
    @geey7893 Месяц назад +1

    Ukigusa Kanda Ya Ziwa kweny usenge kama Ushoga utajua hujui. Huu usenge Kule ni mdogo sana. Mtoto akianza huo upumbavu watapiga risasi. Hizo Kanda zingine zimejaa madume jike

  • @peterdaud5669
    @peterdaud5669 Месяц назад +1

    Mbunge getere upo vzuri maana serikali mpaka inawaachia uhuru wahuni ety wadudu

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev Месяц назад +2

    Tale tale akil amna anajua wale wadudu wanafanya mziki tu hajafatilia kiundan yeye anatetea tu

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 Месяц назад +1

      Ninavyosikia Arusha kuna aina ya wadudu wa bodaboda ambao ni wale akifa mwenzao wanamfukia kwa mikono wakati wa mazishi.hao ndio hao wadudu wahalifu au kwa jina lingine ni tatu mzuka

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 Месяц назад +1

      Huyu Tale ana jambo lake ..

    • @peterdaud5669
      @peterdaud5669 Месяц назад

      Kwann watu wawaogope sasa kama ni Sanaa ya peupe

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 Месяц назад +1

    Muongo rahis alisema fanyianeni wakubwa wa siwafanyie watoto

  • @halimamwingu4478
    @halimamwingu4478 Месяц назад +1

    Waitara Master! Makavu live 😂😂😂

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 27 дней назад

    😂😂😂