CHUKUA TAHADHARI HIZI MAPEMA OKOA UBONGO WAKO!-PR.MMBAGA 20/1/2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 24

  • @annettegeorge2424
    @annettegeorge2424 Год назад +5

    Pastor Mungu wa mbinguni aendelee kukubariki sana.

  • @middleofprison6956
    @middleofprison6956 Год назад +3

    Hekima ya pekee mungu amukupa kila kona upo sio kwa ndoa watoto afya unabiii dash Mungu akubariki sana

  • @rukundojeanmarievianney4776
    @rukundojeanmarievianney4776 Год назад

    Gog bless you my Pastor! Nimemaliza miezi mingi nikihitaji kuzungumza na wewe lakini sijafanikiwa. But I know I will

  • @modester-fy
    @modester-fy Год назад

    Napenda sana kusikiliza neno la mungu

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus6986 Год назад

    Mungu wetu atuongezee idadi ya watumishi kama Huyu na kutupunguzia wale mbwa mwitu waliojivisha ngozi ya kondoo.Ameen

  • @claudinebatamuriza603
    @claudinebatamuriza603 Год назад +2

    Amen Mungu akumbaliki

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 Год назад +1

    Umejibu vizuri sana kuhusu issue ya nyama

  • @khaldn7409
    @khaldn7409 Год назад

    Asante mchungaji barikiwa

  • @mundesmokesen9314
    @mundesmokesen9314 Год назад

    Ubarikiwe Sana mtumishi

  • @sportevents220
    @sportevents220 Год назад

    Pastor mm ninafanya kazi za kukaa zaidi ya masaa 12 kwa siku, kiukweli now nimekua mbumbu Sana nasahau vibaya mno... Sijui nafanyaje

  • @finihasimfikwa4449
    @finihasimfikwa4449 11 месяцев назад

    🎉🎉🎉

  • @rizikilaunda961
    @rizikilaunda961 Год назад +4

    Asante mchungazi kwakutufunza kuhusu Lisher ila sisi tulikuwa inchi za inje ni Mungu tu atasaidiye kwa Saba but kilakitu ni chamadawa sijuwe utatusaidiya tufanyeje? Mimi iko American Mungu akubariki na akutunze na family yako yote!!!

  • @modester-fy
    @modester-fy Год назад

    Nabadilikiwa kusikiliza neno takatifu

  • @m-ruagaboy4110
    @m-ruagaboy4110 Год назад

    Naipenda iyi🙏

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 Год назад

    Aminaa

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus6986 Год назад

    Ameen

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Год назад

    Amina

  • @MN-hi8ll
    @MN-hi8ll Год назад

    Maharage gas 😄

  • @sportevents220
    @sportevents220 Год назад

    B4 nilikuwa fasta Sana Toka nianze hii kazi akiri hamna, Jani nafikiria kufanya CPA lakini naona mbona ubongo wangu umebadilika Sana compare nilivyokuwa chuo

  • @rogathpaul7682
    @rogathpaul7682 Год назад +2

    Wali unamadhara gani?

    • @mshigilakarume4425
      @mshigilakarume4425 Год назад +1

      Una wanga nyingi sana ambayo humengenywa na kuwa sukari, kwahiyo ukila wali Huna tofauti na anayetumia sukari

  • @megamallex9305
    @megamallex9305 Год назад

    Wap hapo

  • @verynicemkaro7116
    @verynicemkaro7116 Год назад

    Nina tabia ya kuandika biblia majina yangu yote kwenye biblia , mwaka 2004 nikaibiwa biblia kijijini afu mwaka 2020 mwanangu anakuja kuniambia mama ninasoma na mwanafunzi anabiblia yako Ina majina yako yote afu nilikimuuliza ataki kuniambia aliitoa wapi 😁 . Ajabu kweli ilinishangaza😄 frequency zinafanya kazi😂