I thank God for you Pastor, He never fails to use you in a powerful way. Blessings to you, your Family and the entire Mahubiri Tv Team. Praying for you guys. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen.Asante pastor kwa somo nzuri ila mie ikifika mambo ndoto nikiota kitu ikijirudia mara matatu iwe ni hiyo kazi ninayo ifanya naachana nayo,kama rafiki yngu hiyo ni onyo tunachana tu I take dreams serious
Namshukuru Mungu nilikuwa naomba nipate chuo nimepata kwa njia ya ajabu mpaka siwezi elezea , lakini sijui Ada napatapa wapi niombeeni naamini alienipa chuo atanipa ada
But to him that worketh not, but believeth on him that justifieth the ungodly, his faith is counted for righteousness.Eeeeh mungu wangu nahitaji neema yako Kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙌👏
Be blessed Servant of God, I have been blessed by the words of encouragement, kindly pray for me to finish studies am in fourth year school of law in Kenya,
AMEN AND AMEN! I've been elevated so much with this wonderful message. May GOD uplift and bless you abundantly as you continue working tirelessly on His Vineyard 🙏🙏🙌🙌.
Pastor mwaka jana kwenye makambi ya kwere mkoa manyara nilikua na maombi ambyo tulikua tuna omba asubh kwamba wazazi wangu waungane tena leo nafurahi kusema kua mungu ametenda nina mambo mengi mchunguji natamn siku nije kwenye mkutano wako nitoe shuhuda nyingi ambazo bwana amenitumizia yapo mengi san
Samahani naomba umuambie mchungujaji anapo omba anisaidie kumuombea baba yangu kwani babdo ana changamoto nyingi pia natamn sana sku Moja kukutan na mchungujaji ili kuomba nae Kwa pamoja
Najifunza mengi sana na hua nasikia kupona rohoni nikisikiliza mafundisho yako Naomba MUNGU wa mbinguni azidi kukubariki ufikeke mbali kihuduma uzidi kusaidia watu wengi na ntamani nipate mawasiliano yako mchungaji
Hakika nilisikia mahubiri 2019 kwenye yutobe ulikuwa ukihubiri 2020 nikaamua kubatizwa kwa wasabato ila nikawaambia marafi zangu walikuwa wasabato wakaniambia hauwezi wewe ni mlevi nilijibu hivi hamjanishuhudia nakwenda kumpokea yesu
Mchungaji ubarikiwe siku zote, ombea kijana wangu yeye kila wakati ako korokoroni namtoa na pesa nyingi na pia hutumia bangi.nimeomba Hadi sasa nimewacha
Paster mi nionyeshwa ndoto mara 2 ya mtoto wangu wa kwanza ila mara ya 3 pst niliota nimeenda kjn na zawad za mwanangu kufika naona kaburi km la wiki moja nikaona na.uuliza m mkwe kwani mwanangu yupo wapi pst nililetewa mtoto asie wa kwangu sauti ni ya mwanangu pst baada ya hiyo ndoto my first born wangu alitoboka jicho kwa .azingira ambayo ni mazito nikipata muda nina shuhuda ndefu saana
Mungu wetu aliyekupa huu upako na akubariki na kukuneemesha zaidi na zaidi mtumishi....wengi wetu tunapata faraja sana kupitia masomo yako
Amen
Hakika kwakweli ata mimi huwa nakosa raha najiona mdhambi sana ila nkisikiaga mahubiri ya uyu pastor napata faraja sana
WE BABA MUNGU AKUBARIKI SANA huwezijua MUNGU anakutumia kunifariji kiasi gani UBARIKIWE KWAKWELI
@@MahubiriPrMmbaga😊
Mimi usikiza kila asubuhi🥰🥰🥰
Namshukuru Mungu amejibu maombi yangu .niliyoomba kupitia kwako Mungu akubariki sana.mchungaji wetu unatubariki sana.
amina sana mchungalji ubarikiwe sana una karamu nzito ya kiroho pasi na shaka inayotubariki sana
Amina mchungaji somo lunatic moyo kuna mafarakano kwa watoto wangu niombee upendo utawale ktk familia
Asante sana pastor MUNGU akubariki sana nilihitaji kusikia hii sana Leo nimepata nguvu mpya ndani yangu
Asante pastor
Thank you Lord for your deliverence for me,,,,no word I can explain this but it's miracle
Asante Sana Pastor Mungu mwema akubariki Sana🙏
Somo zuri, Pastor mkumbuke mama yangu anaumwa miguu ,Neno la Bwana litende kazi ,Amen
Amen mtumishi ubarikiwe sana kwa ujumbe huu
Very nice teachings
Ameen mtumishi wa Mungu naomba maombi ya amani na kufunguliwa katika ndoa yangu
Amen amen amen pasta
Hallelujah ❤❤
Mama yangu anaumwa miguu, naomba neno lako moja tu ,naimani atapona na utukufu utarudi kwa Mungu
Nakukubali sana pastor..Asante sana
Amen , Mungu azidi kukuongoza
I thank God for you Pastor, He never fails to use you in a powerful way. Blessings to you, your Family and the entire Mahubiri Tv Team. Praying for you guys. 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mungu akubariki
Amen.Asante pastor kwa somo nzuri ila mie ikifika mambo ndoto nikiota kitu ikijirudia mara matatu iwe ni hiyo kazi ninayo ifanya naachana nayo,kama rafiki yngu hiyo ni onyo tunachana tu I take dreams serious
Namshukuru Mungu nilikuwa naomba nipate chuo nimepata kwa njia ya ajabu mpaka siwezi elezea , lakini sijui Ada napatapa wapi niombeeni naamini alienipa chuo atanipa ada
Mungu n mwaminifu atakupa ombi la moyo wako
Ubarikiwe mtumishi NAOMBA NGUVU yamaombi kutoka kwako
Tunakufwata tukiwa Congo! Ubarikiwe sana!
Amen
Barikiwa sana mafundisho mazuri binafsi najifunza na yananibadilisha Sana mungu wangu naomba ujazo WA roho mtakatifu
Thank u Lord
Nabarkiwa sana...stay blessed pastor
AMINA PR. ZIDI KUBARIKIWA.
Nafarijika sana ninaposikia mahubili haya Mungu nitie Nguvu Bariki kazi za mukono yangu, Baraka ninazo
But to him that worketh not, but believeth on him that justifieth the ungodly, his faith is counted for righteousness.Eeeeh mungu wangu nahitaji neema yako Kwa jina la Yesu Kristo 🙏🙌👏
Powerful statement
Amen,Mwenyezi Mungu aendelee kukutumia ktk kazi yako ya utume
kwani mahubiri yako yanagusa maisha yetu!
Be blessed Servant of God, I have been blessed by the words of encouragement, kindly pray for me to finish studies am in fourth year school of law in Kenya,
Amen 🙏🙏🙌
Mchungaji ubarikiwe saana Mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi
Naomba uniombee sana maana ni mimi tu kwenye familia yangu ninie mpokea yesu.mimi ni watatu ,lakini tuko saba .niombee familia yangu impokee Yesu
AMEN AND AMEN! I've been elevated so much with this wonderful message. May GOD uplift and bless you abundantly as you continue working tirelessly on His Vineyard 🙏🙏🙌🙌.
Barikiwa sana pasta
Asante sana Pastor
Nimebarikiwa sana
Barikiwa
Amina 🙏😍
Mungu ni mwemaa sana
Barikiwa sana mtumishi
Mungu akubaliki san napendà sana mahubiri yako
Mungu akutiye nguvu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Barikiwa saana pastor
Ata sijui nilichelewa wapi kukufatilia, Mungu azidi kukup uzim na afya ili uzid kutubariki kwa mafundisho yako mazuri 🙏🙏
Pastor nahitaji kukuona sanaaa nina shida sana sana sana
Pastor mwaka jana kwenye makambi ya kwere mkoa manyara nilikua na maombi ambyo tulikua tuna omba asubh kwamba wazazi wangu waungane tena leo nafurahi kusema kua mungu ametenda nina mambo mengi mchunguji natamn siku nije kwenye mkutano wako nitoe shuhuda nyingi ambazo bwana amenitumizia yapo mengi san
Wow! Mungu wa ajabuuu
Samahani naomba umuambie mchungujaji anapo omba anisaidie kumuombea baba yangu kwani babdo ana changamoto nyingi pia natamn sana sku Moja kukutan na mchungujaji ili kuomba nae Kwa pamoja
Barkiwa 🙏
AMEN AMEN
pastor mbaga balikiwa saaana naomba uniombee kiroho nibalikiwe naitwa festo matewa nipo dodoma
Ubarikiwe sana mchungaji
Nimekuelewa, Stay blessed
amen
Baekiwa
Very true, tusidharauliane
Mungu wetu mwingi wa Rehema na upendo azidi kukubariki na watu wengi wapate Nuru kupitia WWE na Mungu ainuliwe
Najifunza mengi sana na hua nasikia kupona rohoni nikisikiliza mafundisho yako Naomba MUNGU wa mbinguni azidi kukubariki ufikeke mbali kihuduma uzidi kusaidia watu wengi na ntamani nipate mawasiliano yako mchungaji
Habari muchungaji nahitaji kitabu cha kusikiya sauti ya mungu
Nita kipata namna gani ? Niko Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Piga +255 69 342 8152
@@MahubiriPrMmbaga pia nahitaji maombi yako muchungaji napitia wakati mugumu nisaidiye kiroho.
Naomba msaada wa kuingiq kwenye app kwangu playstore siioni
Hakika nilisikia mahubiri 2019 kwenye yutobe ulikuwa ukihubiri 2020 nikaamua kubatizwa kwa wasabato ila nikawaambia marafi zangu walikuwa wasabato wakaniambia hauwezi wewe ni mlevi nilijibu hivi hamjanishuhudia nakwenda kumpokea yesu
Umenipa ujasiri wa kusonga mbele! MUNGU qkuinue zaidi.
I was addicted Kwa mihadarati but kufuatilia naona change
Umeokoa nafsi yangu mchungaji.
MUNGU azidi kukuinua.Natoka Kenya
Pastor me nahitaji msaada wa ushauri wa kiroho please ukisoma ujumbe wangu please nijibu ntakupataje kwa mawasiliano
Pastor niombee ndoto zangu zikatimie ndan ya miaka hii miwili 2024 na 2025 ninaamin
MUNGU AKubariki pasta ni MESHACK MATAMBIRO toka Congo Bukavu amen.
Asante mtumishi kwa Mafundisho. Kenya.
Mm pia mchungaji nimenenewa hayo maneno na yananipunguzia nguvu ya kumalizia Degree yangu bado mwezi mmoja tu😰😰
Ni kweli PR mmbaga kila mtu ameumbwa kwa kusudi mahususi lakn namna ya kutambua uwezo wa ndani.
SAWA mchungaji (akhsante).🙏.
Niombee pasta nimalize safari salama
Pastor naomba uniombee akili yangu imekuwa nzito kuelewa masomo ya darasani na mm ndo mtoto wa kwanza kwetu kufika chuo
Mchungaji ubarikiwe siku zote, ombea kijana wangu yeye kila wakati ako korokoroni namtoa na pesa nyingi na pia hutumia bangi.nimeomba Hadi sasa nimewacha
Je sadaka ukitaka kutoa mchungaji unatoa kwa njia ipi
Mutumishiwamungunaubarikiwesana mahubiriyakoyanitianguvusanetenasana
Pastor naamini kama tukikusikiliza vzr Waadventista wasabato tutashinda majaribu yote ya shetani
Pastor mtu anaweza kujua aje kipawa chake?
Minaitwa Erias N ,joseph nikiwa Rwanda kigari
Naomba namba yako pastor 🙏🏾🙏🏾
+255 755 932 283 WhatsApp
@@MahubiriPrMmbaga Asante sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Je ukitaka kubstizwa utabatizwa wapi?
Paster mi nionyeshwa ndoto mara 2 ya mtoto wangu wa kwanza ila mara ya 3 pst niliota nimeenda kjn na zawad za mwanangu kufika naona kaburi km la wiki moja nikaona na.uuliza m mkwe kwani mwanangu yupo wapi pst nililetewa mtoto asie wa kwangu sauti ni ya mwanangu pst baada ya hiyo ndoto my first born wangu alitoboka jicho kwa .azingira ambayo ni mazito nikipata muda nina shuhuda ndefu saana
Ohhhh! Pole sana! Omba sana
Mbingu zikutie nguvu zaidi
Amen
Mungu ni mwema sana
Amen
Amen