#mahubiri

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 48

  • @modester-fy
    @modester-fy Год назад +1

    Modester nabarikiwa sana na mahubiri haya

  • @melaniashadrack3328
    @melaniashadrack3328 Год назад

    Barikiwa sana kwa ujumbe mzuri.
    Naomba matangazo yadhibitiwe, yanaharibu mtiririko katika kusikiliza.

  • @cellysally
    @cellysally Год назад +3

    Amenii ...hili Somo limenisaidia kunifungua akili....nmekuwa na msukumo wakukomesha maisha yangu kwa sababu ya Hali duni kimaisha...thanks postar mungu akubrk....

  • @callennyanchama4014
    @callennyanchama4014 Год назад +6

    Amina pastor kwa somo nzuri mungu akupe maisha marefu pamoja na familia yako uendelee kuokoa roho sa Wana wa mungu

  • @pastorseniordukeoyugi3627
    @pastorseniordukeoyugi3627 Год назад +4

    Wa kwanza hapa kushukru mungu na maneno mazri

  • @peninamwailunda8813
    @peninamwailunda8813 Год назад +1

    Ahsante sana pastor kwa hili somo

  • @monicabukula2241
    @monicabukula2241 Год назад

    Amen mungu akubariki Sana pastor

  • @eunicenyandiko1389
    @eunicenyandiko1389 Год назад +3

    Barikiwa sana pastor, Amen

  • @hezekiadamian9306
    @hezekiadamian9306 Год назад +1

    Amen amen barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,hilo somo la madeni daaaah limeniingia vyema!!

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 8 месяцев назад

      Mungu akutunze, Mch. Mmbaga

  • @carinethebosslady3722
    @carinethebosslady3722 Год назад

    Asante yesu kwakuwa kila naposikilixa mahubir yako pastor yananiponys kiroh na kiakil pia🙏

  • @HappyFrank-m7n
    @HappyFrank-m7n Год назад

    Barikiwa sana mchungaji

  • @barakatabani3044
    @barakatabani3044 Год назад

    Ameni umenigusa mtumishi

  • @pilishiwa9614
    @pilishiwa9614 Год назад

    Ameen, pr ubarikiwe na Bwana, neema yake yesu yakutosha songa mbele

  • @BirushaAdam.magoma-oi6hw
    @BirushaAdam.magoma-oi6hw Год назад

    Amina BWANA akubariki sana PASTOR

  • @eustina0
    @eustina0 Год назад +1

    Mungu nmwema pr kila kukicha nshukur pia wewe Mungu azidi kukupa nguvu na uzima na afya

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 Год назад +3

    Amen nimebarikiwa Mungu akujaze nguvu mchugaji David Mmbaga , uzidi kutulisha neno la Mungu. Asante sana

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 Год назад +1

    Somo lina bariki pia Nimependa maboresho ya upande wa sauti hongereni sana.

  • @kulwamigo9127
    @kulwamigo9127 Год назад +1

    Mungu akubariki sana mch.david...
    "Nabarikiwa sana na neno la mungu🙏

  • @amjudith
    @amjudith Год назад +10

    Mungu awabariki viewers wote wa channel hii ❤️❤️❤️

  • @dottonsangalufu9530
    @dottonsangalufu9530 Год назад +1

    Be blessed pastor!

  • @iradyemmanuel518
    @iradyemmanuel518 Год назад

    Jaman huu wimbo wa Yesu uokoa wameimba akina nan??

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 Год назад +2

    This is teaching is so great. I just found myself laughing in the middle of it. Be blessed so much Pastor Mmbaga. I'm grateful and may GOD uplift you in a mighty way.

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 Год назад

    Uni ombeye nami tabia hiyo ni nayo.( Magonjwa ikika naopa sana...)

  • @janethfwamba8561
    @janethfwamba8561 Год назад +1

    Pasta niombee ndio levo niliofikia najua mpk neno hili limefika naamin sintokufaa mungu niokowee

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 Год назад

    Mungu akubriki sana mtumshi kwa kwli nimebrkiwa na somo hili

  • @charlesmugini7548
    @charlesmugini7548 Год назад

    Hapa Kuna Mungu.

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir Год назад

    Asante pastor kwa fundisho sahii mungu akubariki

  • @judyalex1237
    @judyalex1237 Год назад +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN thanks thanks thanks thanks thanks thanks thanks thanks thanks 👍👍👍👍👍

  • @sunnyclassic5992
    @sunnyclassic5992 Год назад

    Naomba nikubatize jina mchungaji napenda nikuite NABII MBAGA

  • @lydiahnelima4781
    @lydiahnelima4781 Год назад

    AMen Amen Amen AMen 🙏

  • @Emi___mueni8290
    @Emi___mueni8290 Год назад +1

    Wa tatu Leo amen 🙏

  • @gaselochaula2692
    @gaselochaula2692 Год назад +2

    Amina

  • @enockfrancis211
    @enockfrancis211 Год назад +1

    Pastor kiukweli MUNGU amekuweka katika nafasi hyo kwa ajili yangu maana unanipa nguvu sanaa ktk safari ya kiroho ubarikiwe sanaa na nina iman hta wengine wengi wanabarikiwa. Atukuzwe MUNGU sana kwa kadri anavotupa nguvu kupitia wewe

  • @rehemaihonde7258
    @rehemaihonde7258 Год назад

    Ameen mbarikiwe

  • @lennyfrank
    @lennyfrank Год назад

    Ameen Ameen

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj Год назад

    AMINA MTUMISHI

  • @winnjoel712
    @winnjoel712 Год назад +2

    Amen 🙏

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 Год назад +1

    Amen

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 Год назад +1

    AMEEEN

  • @LeneyaAline-pp2mi
    @LeneyaAline-pp2mi Год назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @weahfeint3406
    @weahfeint3406 Год назад +1

  • @deogratiusmdee
    @deogratiusmdee Год назад

    00000000

  • @monicabukula2241
    @monicabukula2241 Год назад

    Amen mungu akubariki Sana pastor

  • @joharissa2020
    @joharissa2020 Год назад

    Amina

  • @ANARICHARD-cr6wt
    @ANARICHARD-cr6wt Год назад

    Amen 🙏🙏

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 Год назад

    Amina

    • @bitiajackson8322
      @bitiajackson8322 Год назад

      Mungu akubariki pr somo limenibariki sana mwenyezi Mungu aendelee kukutumia kwa kazi yake