Huu sasa ndiyo uimbaji wa kimbingu unaoweza kuongoa roho na kutusogeza minguuni pa Yesu Na ndiyo lengo la injili kwa njia ya nyimbo. Zile zilizojaa mindundo zinajikita ktk kufurahisha nafsi na kucheza Mungu na awashikilie mpaka mwisho wa dahari Ili kwa pamoja tusiishie kusikia tu habari za nchi ile nzuri ya YERUSALEMI MPYA 🙏🏿😍🇹🇿🇹🇿🙏🏿
Mungu awabariki sana,,,,Akina dada mavazi marefu,nywele bila makolokolo,,,hakika ni waisraeli kweli kweli,,,nataman kuona mkibaki na mwonekano huu wa kiinjilisti milele zote,,,na hvo bhac nyimbo zenu zitaendelea kujazwa nguvu ya roho mtakatifu na wengi watavutwa wamwone Yesu...na zawadi yenu mtapewa na Yesu.
Wow!!! Na Mimi Pia Natamani Nisikose Huko Woww!Sasahivi Nawapenda Sana Mbarikiwe sana RWANDA Like Now Nitajaribu Mjyurikane Mnaosema kama Mimi Naomba Like Plz
kwa yeyote anayesoma hii, hatujui na pengine hatutakutana kamwe lakini ninakutakia kila la heri maishani na bahati njema duniani... vita vyetu visiwe bure tukutane mbinguni.😊❤
Kwa mvalio wa dada wako sahii kama yanavyotudai maandiko sisi wanawake tuwe. Na maumbile yetu ya asilia. Na Mungu wa mbinguni awabariki sana. Binafsi nabarikiwa na nyimbo zenu ambazo zinatangaza Ufalme wa Mungu.
Kiukweli ni nyimbo nzuri sana kwetu sisi wasafiri hapa duniani...nlikuwa naomba ipatikane kweny platform zingine za nyimbo kama Spotify, Apple Music n.k
Wimbo huu umejaa lugha ya moyoni mwetu wengi na Mimi pia..Mungu awabariki waimbaji hawa wote ili shauku yao ikatimizwe na Mimi natamani nisikose..BWANA awabariki nyote katika Jina la Yesu Kristo Amina
Can't stop asking myself this and reciting this is more than a prayer, The battles that we face may it not be in vain, that we will just hear about heaven but never enter😥😭😭 May the Good and faithful Lord please help us
Beautiful item.The smiling faces have made the song lively which makes one listen to every word of the song and its meaning. May God bless you abundandly even as you continue lifting Him.
Ooooh Haleluya nilikua nausubiri huu wimbo kwa hamu sana Mungu awabariki sana Mlitubariki sana katika Makambi ya Mtaa wa Mabibo Mungu aendelee kuwapigania @humilem youth Choir Kwaya ya Vijana Mpakani Mabibo Tunawapenda Sanaaa.
Lyrics 1. Verse 1. Kuna maswali yaulizwa, Nini mwisho wa yote, Tutakuwa wapi eeeh, Baada ya dunia hii, Kuna mji mpya eeh, Na dunia mpya tena, Hiyo ndiyo Yerusalemu, Tutakaa milelee. Kuna maswali yaulizwa, Nini mwisho wa yote, Tutakuwa wapi eeeh, Baada ya dunia hii, Kuna mji mpya eeh, Na dunia mpya tena, Hiyo ndiyo Yerusalemu, Tutakaa milelee. (Natamaani ) Natamani nisikose, (Natamaani) hiyo raha ya milele, (Niishi) Niishi, Niwemo) Niwemo, {Yesu} Nisiishie kusikia. (Maana vita hii) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone Matunda yake yake Nchi nzuriii, (BWANA naomba) Yerusalemu Niwemo. (Natamaani) Natamani nisikose, (Ooh nisikose) hiyo raha (hiyo raha) ya milele, (Niishi) Niishi, (Niwemo) Niwemo, Nisiishie kusikia. (Vita vita vita ooh) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone matunda yake Nchi nzuriii, (Yerusalem) Yerusalemu Niwemo. Habari ninazozisema, ni kweli na hakika . Chanzo chaaminika, ni MUNGU aliyesema Ili tuiingie ee lazima tumfuate yeye, Tumwamini na tuyaache, matendo mabaya. Habari ninazozisema, ni kweli na hakika . Chanzo chaaminika, ni MUNGU aliyesema Ili tuiingie ee lazima tumfuate yeye, Tumwamini na tuyaache, matendo mabaya. (Natamaani ) Natamani nisikose, (Natamaani) hiyo raha ya milele, (Niishi) Niishi, Niwemo) Niwemo, {Yesu} Nisiishie kusikia. (Maana vita hii) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone Matunda yake yake Nchi nzuriii, (BWANA naomba) Yerusalemu Niwemo. (Natamaani) Natamani nisikose, (Ooh nisikose) hiyo raha (hiyo raha) ya milele, (Niishi) Niishi, (Niwemo) Niwemo, Nisiishie kusikia. (Vita vita vita ooh) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone matunda yake Nchi nzuriii, (Yerusalem) Yerusalemu Niwemo.
Lyrics 2. Verse 1 Kuna maswali yaulizwa, Nini mwisho wa yote, Tutakuwa wapi eeeh, Baada ya dunia hii, Kuna mji mpya eeh, Na dunia mpya tena, Hiyo ndiyo Yerusalemu, Tutakaa milelee. x2 Chorus Natamani nisikose, hiyo raha ya milele. Niishi, Niwemo, Nisiishie kusikia. Vita ninavyovipiga, Nikaone matunda yake. Nchi nzurii, Yerusalemu Niwemo x2 Verse 2 Habari ninazozisema, ni kweli na hakika . Chanzo chaaminika, ni MUNGU aliyesema Ili tuiingie hee, lazima tumfuate yeye, Tumwamini na tuyaache, matendo mabaya. x2 Chorus Natamani nisikose, hiyo raha ya milele. Niishi, Niwemo, Nisiishie kusikia. Vita ninavyovipiga, Nikaone matunda yake. Nchi nzurii, Yerusalemu Niwemo x2
Wimbo unanibariki sana nliwahi kuusikia mkuranga mlipo kuja nkaw najaribu kuutafuta youtube sikuupata hatimae Mungu amefanya makuu mbarikiwe sana wimbo umetulia yani nabarikiw mno waimbaji amina sana nanyi💞💖💕 pia mfike mbinguni mkauimbe huu wimbo nawapenda sana 👏👏👏
Hakika Mungu ni mwema nafurahi sana kuwaona ndugu zangu katika kwaya nzuri ya kanisa hili natamani nami ningekuwepo jamani ila ipo siku nitarudi hata kuwasalimia tu Alexander , Jose na wengine wengi japo sura nawakumbuka majina ndo yamenitoka Mungu awabariki sana 🙏
Mko viziri mungu awabariki
Huu sasa ndiyo uimbaji wa kimbingu unaoweza kuongoa roho na kutusogeza minguuni pa Yesu
Na ndiyo lengo la injili kwa njia ya nyimbo.
Zile zilizojaa mindundo zinajikita ktk kufurahisha nafsi na kucheza
Mungu na awashikilie mpaka mwisho wa dahari
Ili kwa pamoja tusiishie kusikia tu habari za nchi ile nzuri ya YERUSALEMI MPYA 🙏🏿😍🇹🇿🇹🇿🙏🏿
Mungu awabariki sana,,,,Akina dada mavazi marefu,nywele bila makolokolo,,,hakika ni waisraeli kweli kweli,,,nataman kuona mkibaki na mwonekano huu wa kiinjilisti milele zote,,,na hvo bhac nyimbo zenu zitaendelea kujazwa nguvu ya roho mtakatifu na wengi watavutwa wamwone Yesu...na zawadi yenu mtapewa na Yesu.
Kabisa umeona sio kama wengine mara wamesuka
Tunashukuru sana kwa maoni mazur mtuombee tuzidi kumtangaza huyu Yesu katika uzuri wake Ameen tumepokea kwa moyo wa shukrani sana
Amina
😮🎉❤😊😅😂😊😮❤
😮❤😮😊😮😢❤😢
Wow!!! Na Mimi Pia Natamani Nisikose Huko Woww!Sasahivi Nawapenda Sana Mbarikiwe sana RWANDA Like Now Nitajaribu Mjyurikane Mnaosema kama Mimi Naomba Like Plz
Amina barikiwa sana
@@galilayacentralsdachoir.ge1515 wimbo mzuri saaaaaan mbarikiwe sana wapendw
Hao sio wa Rwanda
Ahsant Amen karibu sana
Sichoki kusikiliza Wimbo huu ujumbe mzuri wenye matumaini, mbarikiwe sanaa
Mbalikiwe sana watumishi mungu azidi kuwapigania na kuwainua mnapoanguka
Bwana Awabariki muendelee kumtukuza
Huwa nabarikiwa sana na huu wimbo. Mungu awabariki sana
Wa kwanza ku comment🥰🥰😍😙😙nimeusubiri kwa hamu sana huu wimbo, mbarikiwe sana, mziki wa ki adventista kweli
Amen barikiwa pia na uwabariki na wengine
@@galilayacentralsdachoir.ge1515 Amen. Sabato njema!
Natamani kuusikia kila wakati
Mimi pia
Wimbo mzuri mungu awabariki sana mungu yuko upande wenu
❤❤❤Nimeupenda na umenibariki Sana ..natamani nisikose mm na uzao wangu na ndugu zangu❤❤❤
Oh I love this song watching from Jos Nigeria
Aliyepewa kapewa tu..Mtaalam Enock barikiwa na team yote.MUNGU azidi kukuinua kwa Utukufu wake.
Haleluya, mubarikiwe
kwa yeyote anayesoma hii, hatujui na pengine hatutakutana kamwe lakini ninakutakia kila la heri maishani na bahati njema duniani... vita vyetu visiwe bure tukutane mbinguni.😊❤
Mungu awabariki Waimbaji hawa, Yesu akirudi mara yapili,wawe miongoni mwa watakao mlaki Mawinguni.
Huu wimbo daima unanibariki
Good voices fantastic well done
MBARIKIWE SANA NA MUNGU AWAJAZE ROHO WAKE. MWONEKANO BILA MAPAMBO YA LKIDUNIA
Wow ❤❤❤❤❤❤❤😊
naupenda sana huu wimbo unanifariji sanaa😅😅😅
Good afternoon sister, can you please tell me if this song is sung in what language?
Bwana awe nanyi daima kila muendako. Mlipokuja Mbezi mlitubariki sana. Ujumbe huu uvuke nje ya mipaka ya nchi yetu.
Mungu awabaliki muendelee kutumia katika shamban pa bwana
Safi Sana mlivyo
Uyo mwalimu namkubari sana
Wimbo mzuri kweli maubiri yenyewe.Mbarikiwe milele Amina.
Good afternoon sister, can you please tell me if this song is sung in what language?
Wimbo huu unanigusa wimbo huu unanibariki had najiuliza kwanini tutende dhambi Mungu wa huruma utuponye 🙏🙏
Amen waimbimbaji mbarikiwe sana❤❤❤
Kwa mvalio wa dada wako sahii kama yanavyotudai maandiko sisi wanawake tuwe. Na maumbile yetu ya asilia. Na Mungu wa mbinguni awabariki sana. Binafsi nabarikiwa na nyimbo zenu ambazo zinatangaza Ufalme wa Mungu.
Sauti za utulivu hasa, hakika mmeutendea haki huu Wimborne, Mungu awabariki na mzidi kuinuliwa ktk utume kwa njia ya nyimbo
Aisee amazing.....wimbo mzuri sana..barikiwa sana galilaya Kigamboni.....Mungu ni Mwema..
Amen
Amen Natamani nisikose iyo raha
Asanteni Sana kwa wimbo WA faraja jamani , Mungu awabariki
Amen karibu sana mura
Kiukweli ni nyimbo nzuri sana kwetu sisi wasafiri hapa duniani...nlikuwa naomba ipatikane kweny platform zingine za nyimbo kama Spotify, Apple Music n.k
Nikweli
Twende.pamoja.mpaka.ukamilifu.wa.Dahari.haleluya
Getting inspired songs brings in new hope to the hearer.Amen
Na wimbo ni mzuri sana. Neno litasimma hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huu wimbo mzuri sana!! Faraja ya moyo wangu, pia nikiusikiliza unaniweka karibu na Bwana.
Nimewatafut San hatimae nimewapat beautiful song ❤️❤️ Bwana awabariki san
Hongelen hata mm nataman japo majarib n mengi
Bilasha nimewapenda sana,mimi naishi Kigali Rwanda,lakini nikija huko lazima nitawaona
Nice song ❤❤ amen🙏🙏. mung🙏🙏 awabark waimbaj nawapenda sana aiseee 👌👌👌
Mungu atusaidie tusiishie kusikia bali tuwemo yerusalamu .mbarikiwe kwaya
Endeleeni kuinjilisha kwa nyimbo zenu tamu na zenye ujumbe wa kimbingu
Mungu awazidishie nguvu muendelee kutuhubiria kwa uimbaji wenu mzuri
Mbarikiwe sana mmetubariki ndani ya Wiki nzima katika mtaa wa mererani
Hakika Mbarikiwe sana
Tatizo nyimbo mmeziwekea paswad kudanilod zinakataa
Mubarikiwa sana mfike mbari mungu awe nanyi
Wimbo huu umejaa lugha ya moyoni mwetu wengi na Mimi pia..Mungu awabariki waimbaji hawa wote ili shauku yao ikatimizwe na Mimi natamani nisikose..BWANA awabariki nyote katika Jina la Yesu Kristo Amina
Amina
Wooh. whata nice song.Be blessed so much.
Mbarikiwa sanaa
Ameeeeeeen kwanza mpangilio wenuuuuuuu tuuuuuuuu nmeupenda Sana mungu awabarkia sanaaaaaa sanaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Joyous
Mungu ni mwema awabariki sanaa mwalimu wa kwaya balikiwa sanaa amen tukutane bahari ya kioo
Waoooo nawapenda mnooo,,,, barikiwa mnoooo,,,,xku zote huwa mnanibariki mnooo
Hakika nyimbo ni nzuri saana pongezi kwen nyote mlio husika tangu mwanzo mpaka mwisho mbarikiwe
Neema ya Mungu hizidi kuwa nanyi na kuwaimarisha siku zote katika safari.
Muko vizuri sana MUNGU abariki sana 🙏
Good afternoon sister, can you please tell me if this song is sung in what language?
Can't stop asking myself this and reciting this is more than a prayer,
The battles that we face may it not be in vain, that we will just hear about heaven but never enter😥😭😭 May the Good and faithful Lord please help us
Amina
Ooooh BWANA atukuzwee mnanibarikinsana kuanzia muonekano mpaka uimbaji kwakwer mnaiishi Imani ya ki adventista
Mungu awabariki sana wajori wa Bwana
Huu wimbo una ujumbe kweli....mmbarikiwe
Mbarikiwe na Mungu..mfike mbali
Woooow! Beautiful and touching song. Barikiweni sana Enock na waimbaji wote.
Amina.
Beautiful item.The smiling faces have made the song lively which makes one listen to every word of the song and its meaning. May God bless you abundandly even as you continue lifting Him.
nzuri sana nimeipenda MUNGU awabariki sana❤❤❤😊
Amen watumishi
Natamani niishi na niwemo; nisiishie kusikia🙌🙌😌🙇♂️
Amen
Wimbo mzuri sana mbarikiwe🙏🙏
Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, nabarikiwa sana kwa nyimbo zenu zinafuraisha.
Karibu sana
Nabarikiwa Sana na huu wimbo Mungu awabariki
Ni ninyi mmeimbaa, ngoja niwasifu jamani Wimbo mzuri na ujumbe umejitosheleza mbarikiwe. Hongera sana
Mungu awe nanyi mavaz mazuri yampendezayo bwana,
❤❤
napenda san wimbo huu unanibariki💝💝
Good afternoon sister, can you please tell me if this song is sung in what language?
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri jaman
Mungu awatangulie mgonge mbele
Mungu awasumamie mzidi kumtukuza mungu mile
Mungu awazidishiee❤❤❤
Aise wimbo mtamu sana mb zangu hazijaenda bure kuangalia mbarikiwe sana
Karibu sana
Amina.
Hallelujah hallelujah praise God 🙌🙌
Jamani ninabarikiwa sana na wimbo huo,mwende mbali Hadi uzima wa milele
Duuh saut ya kwanza sio poa nimewapenda Bure Bwana awabariki Galilaya
Amina
Mzid kumtumikia MUNGU na azid kuwatumia Zaid
Mwenyezi Mungu awabariki ktk kazi hii ya utume mnayoifanya, ili tusikose kuwemo ktk ile nchi nzuri (Yerusalemu).
c.c Mwanjaa Mruma 🙏🙏🙏
Waooooo tabasamu zuri kabsaaa
Hakika nabarikiwa San na huu wimbo mungu awafikishe mbali❤
Jamn mbarikiwe san
Amen sana wimbo mtamu
Ooooh Haleluya nilikua nausubiri huu wimbo kwa hamu sana Mungu awabariki sana Mlitubariki sana katika Makambi ya Mtaa wa Mabibo Mungu aendelee kuwapigania @humilem youth Choir Kwaya ya Vijana Mpakani Mabibo Tunawapenda Sanaaa.
Amina karibu sana nancy
We love you too jaman Mungu awatunze na kuwabariki sana
Aminaaa..tunawapenda pia. Mungu awabariki pia kwa kazi yake.
Mbarikiwa mzuri
Ni dada yenu katika KRISTO.
Mungu awabariki. Huyu Kaka wa Nyarugusu jamani mtumikie Mungu kwa kipawa alichokupa mbarikiwe
Hakika
Nabarimiwa sanaa nikiusikia wimbo huu
Wimbo mzuri sana unanibariki, sichoki Kiusi kilo za, Mbarikiwe sana
Natami nisikose nisiishie kusikia 😢 Bwana naomba niwemo mbarikiwe sana jamn huu wimbo unaniweka kwenye uwepo wa Mungu sana
Lyrics 1.
Verse 1.
Kuna maswali yaulizwa, Nini mwisho wa yote,
Tutakuwa wapi eeeh, Baada ya dunia hii,
Kuna mji mpya eeh, Na dunia mpya tena,
Hiyo ndiyo Yerusalemu, Tutakaa milelee.
Kuna maswali yaulizwa, Nini mwisho wa yote,
Tutakuwa wapi eeeh, Baada ya dunia hii,
Kuna mji mpya eeh, Na dunia mpya tena,
Hiyo ndiyo Yerusalemu, Tutakaa milelee.
(Natamaani )
Natamani nisikose, (Natamaani) hiyo raha ya milele,
(Niishi)
Niishi, Niwemo) Niwemo, {Yesu} Nisiishie kusikia.
(Maana vita hii) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone Matunda yake yake
Nchi nzuriii, (BWANA naomba) Yerusalemu Niwemo.
(Natamaani)
Natamani nisikose, (Ooh nisikose) hiyo raha (hiyo raha) ya milele,
(Niishi) Niishi, (Niwemo) Niwemo, Nisiishie kusikia.
(Vita vita vita ooh) Vita ninavyovipiga (BWANA) nikaone matunda yake
Nchi nzuriii, (Yerusalem) Yerusalemu Niwemo.
Habari ninazozisema, ni kweli na hakika .
Chanzo chaaminika, ni MUNGU aliyesema
Ili tuiingie ee lazima tumfuate yeye,
Tumwamini na tuyaache, matendo mabaya.

Lyrics 2.
Verse 1
Kuna maswali yaulizwa,
Nini mwisho wa yote,
Tutakuwa wapi eeeh,
Baada ya dunia hii,
Kuna mji mpya eeh,
Na dunia mpya tena,
Hiyo ndiyo Yerusalemu,
Tutakaa milelee. x2
Chorus
Natamani nisikose,
hiyo raha ya milele.
Niishi, Niwemo,
Nisiishie kusikia.
Vita ninavyovipiga,
Nikaone matunda yake.
Nchi nzurii, Yerusalemu Niwemo x2
Verse 2
Habari ninazozisema, ni kweli na hakika .
Chanzo chaaminika, ni MUNGU aliyesema
Ili tuiingie hee, lazima tumfuate yeye,
Tumwamini na tuyaache, matendo mabaya. x2
Chorus
Natamani nisikose, hiyo raha ya milele.
Niishi, Niwemo, Nisiishie kusikia.
Vita ninavyovipiga, Nikaone matunda yake.
Nchi nzurii, Yerusalemu Niwemo x2
Well job
Ubarikiwe Sana kwa Lyrics nimeufahamu wimbo kwa mda mfupi Sana kupitia wewe🙏
Amen
❤❤❤
Am in Germany I really enjoyed your songs
Wimbo unanibariki sana nliwahi kuusikia mkuranga mlipo kuja nkaw najaribu kuutafuta youtube sikuupata hatimae Mungu amefanya makuu mbarikiwe sana wimbo umetulia yani nabarikiw mno waimbaji amina sana nanyi💞💖💕 pia mfike mbinguni mkauimbe huu wimbo nawapenda sana 👏👏👏
mtamu waimbaji wanamtangaza Mungu
Mbarikiwe sana mmeimba vizuri mno nyimbo imenibariki sana naomba namimi na family yangu nisikoswe kwenye raha hiyo Amina
Kiukwel huu wimbo unanigusa mno. Muende mbali
Barikiweni Sana kwa ujumbe mzuri
Amen. Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri..,
Wimbo huu unanibariki mnooo
Barikiwen sana kwa wimbo huu mzuri unaningusa.sana
Huu Wimbo haipiti siku bila kuusikiliza❤
Hakika Mungu ni mwema nafurahi sana kuwaona ndugu zangu katika kwaya nzuri ya kanisa hili natamani nami ningekuwepo jamani ila ipo siku nitarudi hata kuwasalimia tu Alexander , Jose na wengine wengi japo sura nawakumbuka majina ndo yamenitoka Mungu awabariki sana 🙏
Karibu mpendwa
Ahsante sana
Mungu atukuzwe bwana awabariki Sana awainue ktk vilele vyajuu Sana mdum kutubariki kwa nyimbo
❤❤ napenda san wimbo huu unanibariki💕🌹
Nimebarikiwa Sana na Wimbo huu, yawe maombi yangu kwa Mungu wangu. Amen
Hakika ikawe her kwetu sote,siku ile ajapo. Mungu atusaidie.
Wimbo mnzuri Sana mungu atuwezeshe tushinde majaribu
Amina MUNGU wa mbinguni azidi kuwapigania msikate tamaa na vikwazo vya walimwengu