Wimbo mzuri, fundisho bainifu la wimbo, mavazi yapatanayo na uchaji Mungu wa kweli, muonekano wa kicho. Basi ashukuriwe Mungu aliyewaongoza kufanya hivyo, maana suala la mavazi ni upepo mkali sana unaosomba wanawake wengi jehanamu. Waimbaji wanaovaa kama wa kidunia na mapambo ya nywele za bandia, ni mawakala wa kuwafukuza waislamu wasione kuwa ukristo ni dini ya adililifu katika unyenyekevu wa kweli unaowezekana kadri ya ufanywaji upya wa moyo kupitia neema yake. Maadui wakubwa wa wapagani na waislamu ni wakristo wenyewe kwa mienendo yao miovu isiyopatana na utauwa. Ashukuriwe Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo aliyetiwa Muhuri na Baba afaye upya ndani yetu. Neema iongezwe kwetu katika kumjua ipasavyo ili walio nje ya Kristo wasione makwazo kwetu.
Ufafanuzi na ufunuo mzito jinsi kazi ya MUNGU inavyotenda kazi chini ya mbingu! Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri wana wa MUNGU na kwa sauti zilizofanana na malaika wake mbinguni wanaomwabudu MUNGU usiku na mchana
Kwanza hamuna mambo mengi sana hamsuki hamjipambi sana kweli nawapenda sana
Wimbo mzuri, fundisho bainifu la wimbo, mavazi yapatanayo na uchaji Mungu wa kweli, muonekano wa kicho. Basi ashukuriwe Mungu aliyewaongoza kufanya hivyo, maana suala la mavazi ni upepo mkali sana unaosomba wanawake wengi jehanamu. Waimbaji wanaovaa kama wa kidunia na mapambo ya nywele za bandia, ni mawakala wa kuwafukuza waislamu wasione kuwa ukristo ni dini ya adililifu katika unyenyekevu wa kweli unaowezekana kadri ya ufanywaji upya wa moyo kupitia neema yake. Maadui wakubwa wa wapagani na waislamu ni wakristo wenyewe kwa mienendo yao miovu isiyopatana na utauwa. Ashukuriwe Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo aliyetiwa Muhuri na Baba afaye upya ndani yetu. Neema iongezwe kwetu katika kumjua ipasavyo ili walio nje ya Kristo wasione makwazo kwetu.
Ahsante sana..
Naisubr kwa ham sheria kutoka galilaya
Touching beats good n blessed song
Mvp hongereni kwa nzuri.picha nzuri, (mpangilio) mwonekano na n.k
Amen and Amen. Twaokolewa kwa neema bila kupuuza sheria...
Mungu awabariki sana, mzidi kumuinua Yesu watu wote wamwone 🙏🙏
Waoooo wimbo mzuri sana hauchoshi kusikiliza,Mungu awabariki sana.
kwanzia nywele, long dress,white attire, utunzi na ubunifu WA kipekee, Mungu awahifadhi na awinuie siko zote za maisha na mzidi kumtumikia
Ahsante sana
Wimbo ulio na mahubiri tosha, hubiri kamilivu.
A whole sermon Law,sin, grace , Savior (Christ), Good news (Salvation), Church and Pastors. How they relate.Wonderful!
KAZI zenu ni nzuri Sana MUNGU awalinde
Amina; Barkiweni sana watumishi WA Mungu Kwa KAZI NZURI na NJEMA.
"Kwa pamoja we are one in the family of God"
Mungu awa bariki wapendwa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Congrats sana kwa wimbo mtamu
Barikiweni Sana Kwa kujitoa kwenu kumtumikia MUNGU 🎤🎶🙏
Hakika nyimbo zenu huwa zinanibariki naipenda sna hii kwaya
Get blessed wimbo mzuri,inspired by you spread the gospel
Jamani twaisubiria kwa hamu sana
Huu wimbo wa kiinjilisti kabisa huu, mbarikiwe waimbaji
wimbo huu nimeupenda natamani siku moja tuimbe pamoja mungu awabariki
Nawapenda jmn mbarikiwe mnatubariki sana kwa nyimbo zenu
Mbarikiwe sana wapenzi.Mungu aende mbele yenu
Hata mimi nafurahi sana mnavyomwimbia Mungu kwa furaha na Amani. Mungu awabariki mno mno
Ni kitu cha kuigwa
Hakika Mungu awabaliki kwa huu ujumbe mkali.Kwa ukweli injili imesambazwa Kila pembe la dunia.
Wimbo una ujumbe mzito sana mbarikiwe sana
Aliyetunga huuu wimbo Mungu ambaliki Kwa kipaji hiki pia waimbaji Mungu awabariki Sanaa kwakwel ninabarikiwa Sanaa na huu wimbo
Wimbo mzuri sana, Mungu atusaidie tukaimbe mbinguni
Hakika mnanibariki sana Mungu awabariki mnooo ktk kuifanya kaz yake
Galilaya nawapenda sana Mungu awabariki sana kwa mahubiri yenu jina la yesu kristo liinuliwe
Asante Bwana Yesu sasa nmeelewa kupitia wimbo huu
Mungu baba awasimamie nyimbo nzuri sana imetulia hadi inanipa amani ya Moyo 🙏👏
Amen Mungu ashukuriwe
Ooh waoooh aminaaa barikiwenii sanaaa
Nimewapata vyema nimebarikiwa mnoo
Bwana awabariki sana
Muzidi barikiwa nawapenda
MUNGU aitwe tu MUNGU mnahubiri sana maana wanavutwa naye roho wake njonii tukamilishe kazi yake aliyo twambia i really blessed.
Kwa kwelimnanibariki sana
Mubarikiwe sana kwa nyimbo zenu
nzuri
blessed alot,,,Mungu azidi kuwabariki saana
Bwana awabariki Sana Sana azidi kuwainua ili muenderee kumtumikia bwana kwaunyenyekevu zaidi unyenyekevu wenu unalipa
Amen Pr .
Your songs are so blessing and encouraging....keep the fire burning
Mmeimba vzr Sana songeni mbele
Na uku kwetu Burundi nyimbo zenu zinatufulahisha sana ❤❤
Amen karibu sana Tanzania
Piga kazi na mbarikiwe sanaaaaaa ♥️
Amina sana edina
Barikiweni Sana wapendwa 🙏
Hakika mmetengeneza video nzuri love you guys
Natamani sana kuimba hiii kwaya au nyarugusu
Karibu sana
Mungu awabariki sana ❤❤
Mubarikiwe sana wimbo muziri yani nashinda nausikiriza hata sichoki
Amen
Wimbo mtamu sana naomba nimjue mtunzi wa huu wimbo anitungie hata mmoja. Hongera sana kwake
ukimpata na mimi namuhitaji duuuu hongera zake
Bwana awabariki songa mbele
THIS SONG IS NUMBER ONE , AMEN. SO LOVELY TO ALL PRESENTERS .
Safi Sana,ongera wana wa Mungu
Stlye yenu nmeipenda San mnahubri injil kutokan na muonekano wenuuuuuu
Mungu awabariki wimbo unangsa
This choir is very humbled.Be blessed
Wìmbo safiii, Ujumbee full na video swafii. Mbarikiwe
Mbarikiwe sanaaaa❤❤❤❤❤
Glory to God give us all your songs in English all thanks to the mighty
Jamani huuu wimbo unanibariki saana,, na umenifundisha mahisiano kati ya shetlria na neeema,, galilaya barikiweni mnoo,,
Amen
Mbarikiwe sanaa bando lanqu linaishiaqa kwenye huo wimbo unaniqusa sanaaa
Woooooow more love from 🇰🇪
Welcome madam
Mbarikiwe mnoo kwakweli ninyi ndio waimbaji Sasa wasabato harisi hamchezi hamsuki kwakweli mbarikiwe
Nakubaliana nawe Kabisa,they are the only SDA members that have remained standing
Amen alléluia félicitations
Nawaombea sana watumishi wa Mungu kwa huduma yenu njema
Amen ubarikiw
Wanakwaya mbalikiiwe sana
Napenda mnavyoimba nabarikiwa sana nitazidi kuwaombea mungu awatie nguvu mnapoifanya kazi yake ili injili isonge mbele
Yani kwaya hii mmeimba vizuli Sana mung awape nguvu msonge mbele
Amen
Wow mbarikiwe watumishi wabwana katika kumtangaza kristo🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚💛💛💛💛🧡
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
Amina
Love the simplicity and natural beauty. God bless you all.
Mnaimba sana jaman tutawaita tena mererani mje tena mmetugusa sana hakika huu wimbo ni mzuri❤❤❤❤
Nawapenda sana❤❤❤❤❤
Ahsant sana tunakupenda pia
My first encounter with the sweetest voice 2024 August 30th. Na neno litasimama. Wapi wakenya 🇰🇪🇰🇪 sending hugs from Singapore
Kwaya yangu pendwa❤
Ubarikiwe
Really men and women of God. Be blessed brethren & sisters.
Absolute truth in this inspired piece! 💯
Your songs are a blessing. 🙏
#KENYA
Mungu hawazidishie chakula cha kila siku ,nimependa wimbo huu
Powerful message
Amazing good song🙏💦
Mbalikiwe wimbo unaujumbe
Daah ukisikiliza nyimbo za kumtukuza Mungu zinatutia nguvu zinatuliwaza ata kama ulikuwa na mawazo yanaondoka
Nimebalikiwa sana nawimbo wa shelia mungu awabaliki sana tukopamojaaa sana namkazane mkaimbe nambinguni pia asanteniii sana 🐦🐦🐦
Amazing beautiful 🥰
May God bless you
From Ethiopia
Hakika mkuu wa mavazi anajua jinsi ya kuwapendezesha napenda nyimbo zenu sana mbalikiwe sana
Amen
Mungu awabariki galilaya choir nimeumpenda wimbo n mzuri msonge mbele
God bless this group
Nawapendaga sanaaaa galilaya choir hakika wimbo ni mzuri songeni mbeleeee kwa kazi ya MUNGU tuzidi kuombeana nankutiana moyo.
Amen
So nice song
Mungu awabariki sana Galilaya kwaya kwa wimbo/ ujumbe mzuri sana unaotusogeza Mbele za Mungu.
Vizuri sana wapendwa katika kristo
Amen
Mungu awabariki hiyo nyimbo ninapo isikiliza machozi hutoka inanibarik sana
Hongereni Sana ,,,, Galilaya wimbo no mzuri Sana,,,,,
Hakika nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Mbarikiwe jamani
Hakika mbarikiwe.kwa ujumbe
Barikiweni sana sana.Mungu wa mbinguni awahifadhi
Mmeupiga Mwingi sana.MUNGU Azidi kuwatumia kupeleka ujumbe.
Huu wimbo nimerudia kuuangalia maranyingi zaidi Mungu awaongoze
Kazi nzuri kabisa yenye mibaraka
Kazi jema
Waoooh wonderful nice song
I love the kind of music have heard.
Wimbo wenu umenibark sana nawaombea mfke mbali tuko pamoja
Mwenyezi MUNGU awawekee tena Imani telee.
Ufafanuzi na ufunuo mzito jinsi kazi ya MUNGU inavyotenda kazi chini ya mbingu!
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri wana wa MUNGU na kwa sauti zilizofanana na malaika wake mbinguni wanaomwabudu MUNGU usiku na mchana
Amen
Well done