Greetings Everyone❤ Welcome all to our song Moyo Acha Kiherehere Cha Dhambi by Milele Melodies Int'l Embu Kenya. Tuzidi kubarikiwa pamoja and tukumbuke ku Subscribe Like, Comment, and Share share share and share. Be blessed all🙏🙏@Milele Melodies
I don't have anything to say but am happy that the owner of this channel is reading the comments and liking them let me hope he or she will like mine❤❤❤,be blessed
Ain't a kisii but the message in this song is so emotional 😢😢😢😢 God please 🙏🙏🙏 may you help us go back home safe and sound and may you guide our families back at home till we meet them again
Today i will continually and repeatively listen to this wonderful praise and worship song all together. It is blessing my soul. Thank you My Wonderful Friends. Am all smiling today after playing this song 💚💚🤍❤️❤️🤍🖤🖤
Airhostes wa Heaven airways ❤❤❤❤❤❤❤❤mko kwa point..Jamani wimbo wenu mtaamu kautega moyo wangu,,Moyo tulia acha kiherehere utulivu ni kwa Bwana..Asanta sana nawapenda ❤❤❤❤❤❤❤❤God bless you abundantly.
Can't get enough of the song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hrt keeps repeating playing often, I do believe it has the effect of the Holy Spirit...Coz the Song itself is the medicine of the heart...Thank you so much my brother's and sisters❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤one love.
Sisi nasi na Nyoyo Zetu zote tumefikiwa na tumeitikia Wito wa Bwana Kameja pamoja na Wanakwaya hawa ambao wameng'ara Kama Malaika na sauti zilizo lainishwa zikalainika. Form ni kutuliza mioyo kwa Bwana na kuisihi ifanye kazi yake ya kusukuma damu❤❤❤ Hongera sana Kameja na Wanakwaya wahusika....
I Just Love This Young Lady ❤❤❤❤ She Is Such A Blessing & An Inspiration To Many . May The Lord Keep Strengthening You . You Have A Bright future Young Lady
Moto sana. Kwakweli mmeongea na moyo. Huu ni wimbo wakati moyo ukiwa na kiherehere tunafinyaaa play na tunatulia kwa Bwana. Kazi safi sana. Kwa kweli Roho Mtakatifu ameshuka kupitia kazi hii.
Greetings Everyone❤ Welcome all to our song Moyo Acha Kiherehere Cha Dhambi by Milele Melodies Int'l Embu Kenya. Tuzidi kubarikiwa pamoja and tukumbuke ku Subscribe Like, Comment, and Share share share and share. Be blessed all🙏🙏@Milele Melodies
Wooow🎉🎉🎉🎉🎉 🔥🔥🔥🔥
Thank you am from embu I would like to join you gus
it is a beautiful song
@@winnienjoroge648karibu sana.
From embu kudos♥️♥️
Ee Mungu ponya moyo wangu. Am on drugs battling heart problems 😢.
Receive healing in Jesus name 🙏🙏
God's healing power upon you
@@lucywanjira4883 Amina
🙏🙏🙏@@lucywanjira4883
U will be healed ❤
Anguka nayo kama imekubamba 🎖
😂😂😂
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤
Catholics never disappoints in utunzi wa mziki yani they can say anything and come out biiig and 👍 🎉
tulia usinigonganishe na nyota ewe moyo skuma damu moyo weeee so lit i gonna press repeat button
Am not a Catholic but l luv all catholic songs ❤❤❤❤
I don't have anything to say but am happy that the owner of this channel is reading the comments and liking them let me hope he or she will like mine❤❤❤,be blessed
Thanks sister we really appreciate your comment.
@@kristumfalme6037 🙏🙏🙏🙏
Kama umebarikiwa na hii nyimbo gonga like ❤♥️🥰
❤❤❤❤❤❤
Choir it really praise the Most High God!I like it.May God Bless U
All the way from tiktok.....who is here with me🎉😅❤
Niko
😂😂
Lawrence Kameja at it again!..thats one talented brother' God bless you...
Wakatoliki hoyee!!!!! Tuaje kiherehere tutulie kwa Bwana ❤️❤️
Ain't a kisii but the message in this song is so emotional 😢😢😢😢 God please 🙏🙏🙏 may you help us go back home safe and sound and may you guide our families back at home till we meet them again
Team tiktok piga like tukisonga this song is on another level.
Choreography,.Video, vocals 💯💯💯. wonderful songs
Mr Dj continue sharing to the world
@@damarismusengya1749 🙏🙏🙏 glory to God. Amen
Mubarikiwe na mungu wimbo mzur nawenye ujumbe mzur
Me as a Gen-Z I stand to say that these are the best modernized songs for choir 💯
good song
Congratulations🎉🎉 I love the message
Mnapendesa sana wacha moyo utulie kwa Bwana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Today i will continually and repeatively listen to this wonderful praise and worship song all together. It is blessing my soul. Thank you My Wonderful Friends. Am all smiling today after playing this song
💚💚🤍❤️❤️🤍🖤🖤
Sante kaka
What a nice song....I usually play it kwa gari langu....its part of my favourite. Hongera kwa kazi safi @KristuMfalme
Asante mkuu be blessed
Woow,,,!!! The creativity,eloquence,, production at its best
My favourite song ever❤❤❤
Airhostes wa Heaven airways ❤❤❤❤❤❤❤❤mko kwa point..Jamani wimbo wenu mtaamu kautega moyo wangu,,Moyo tulia acha kiherehere utulivu ni kwa Bwana..Asanta sana nawapenda ❤❤❤❤❤❤❤❤God bless you abundantly.
Can't get enough of the song ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hrt keeps repeating playing often, I do believe it has the effect of the Holy Spirit...Coz the Song itself is the medicine of the heart...Thank you so much my brother's and sisters❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤one love.
Ivo sasa sante
Sisi nasi na Nyoyo Zetu zote tumefikiwa na tumeitikia Wito wa Bwana Kameja pamoja na Wanakwaya hawa ambao wameng'ara Kama Malaika na sauti zilizo lainishwa zikalainika. Form ni kutuliza mioyo kwa Bwana na kuisihi ifanye kazi yake ya kusukuma damu❤❤❤
Hongera sana Kameja na Wanakwaya wahusika....
Leo ndo nimeelewa huu wimbo.ni mtamu sana
Wakuu mnasikia hiyo kinanda ama ni mimi tu na kiherehere yangu
Kinanda kimepatwa haki...Well done
Weeeeee may God bless the composer can this be the national anthem for heartbreaking hearts
Excellent. Sio kiherehere
Nasikia Tu kiherehere ya mguu😊😊😅
Excellent work
This song is 🔥🔥🔥🔥
A very nice song with clear message sang with beautiful voices. I like the song very much. keep it up Milele Melodies.
Watches it daily hata naiimba ikiwa idle 👌🏿👌🏿🔥
Congratulations 🎉🎉🎉kwaya ya kristu mfalme kazi safi🙏🙏
Asante wanaMachakos tunawapenda.
Karibu...kazi nzuri
Maisha yangu nayakabidhi kwake mwenyezi Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤much love, catholic my church forever, be blessed
Acha moyo wangu usukume damu🥰🙏
Tunaenda 1 million I hope. This is quality job
A very nice song ,,,wanakristu mfalme you are doing soooo nice,,,,,,,,, congratulations 🎉 blessed by this song
Ewe moyo wangu acha kiherehere tulia lwa Bwana . ..nisaide Mungu nitoke kwa uovu 🙏🙏
Nani ametoka tiktok?
😂😂😂kumbe Iko RUclips
pia mimi katoka tiktok
🙋😂💔
Mimi aky
Tuko wengi
Moyo wangu wacha kiherehere sukuma damu❤🙏
A very good song, kweli moyo wacha kiherehere, Fanya kazi uliyoumbiwa
Nice One watching TV from Malawi
most welcome our esteemed friend
Nimeipenda mnooo huu wimbo jmm wee moyo Acha basi kunigombanisha na Mungu wangu ,😂
Mm sio mcatolic lkn huu wimbo bwana umeniguza❤
This is a master piece.. job well done..
Kazi nzuri Mungu amubariki sana watumishi wa mungu
Moyo nimekupa ajira moja hizo ajira achia wengine sukuma damu tu🤗🤗
😂😂😂😂
wimbo nzuri
moyo wangu wacha kiherehere sukuma damu unanikosanisha n mungu kwa kunifanya nipende Sana wanawake
Nawapenda mnoooooo! Moyo Tulia Kwa Bwana
A message direct from heaven...
Woow nice song may God bless your sweet voices... congratulations 🎉🎉🎉
Mbarikiwe Mungu azidi kuwa nanyi ZAIDI KATIKA kazi yake mzidi kusonga mbele KATIKA utume wake.
Amina asante
This one is in its own class wallahi! Made my Sunday evening...listened to it for two hours repeatedly. Tumsifu Yesu Kristu
Tumsifu milele
Congratulations 🎉🎉👏👏 I love it.....Nice job...
Moyo wangu ulikuwa na kiherehere cha kutamani sana..nimebarikiwa atlist umetulia nimeridhika na kidogo nilicho nacho🫂
I Just Love This Young Lady ❤❤❤❤
She Is Such A Blessing & An Inspiration To Many .
May The Lord Keep Strengthening You .
You Have A Bright future Young Lady
waaah.... congratulations this is sweetest.
Woouh so nice,,,,from tiktok direct RUclips ❤️❤️
Very nice song,clear message, kristu mfalme cograts
Moyo wangu acha kiherehere sukuma damu 🙏🙏🙏🙏 na umtumainie mwenyezi Mungu
Moyo acha Kiherehere, congratulations big team❤
Moyo sukima dam kwl mmenikozha Sana mungu awabariki
Congratulations guys. Mungu azidi kiwaneemesha.
Blending and voice projection iko mahali pake
Wow.. a presbyterian here enjoying the heavenly music
Moyo wangu acha kiherehere sukuma damu 🙏🙏🙏
Sukuma damu moyo Wacha kiherehere❤🙏
Wow wonderful songs congratulations 🎉👏🎉👏👏🎉
Really love this song may GOD bless this choir nda elevete to the next level
A masterpiece from Kameja💪💪 big up big man
Kweli myoyo imepata kiherehere lkn hii nyimbo lit🔥
Milele mmekuja Sana aisee❤Hii napenda watu wangu Tutulie Tu Kwa Bwana🙏🙏
Huo wimbo ni mzuri sana nimeupenda hongereni waimbaji
Moto sana. Kwakweli mmeongea na moyo. Huu ni wimbo wakati moyo ukiwa na kiherehere tunafinyaaa play na tunatulia kwa Bwana. Kazi safi sana. Kwa kweli Roho Mtakatifu ameshuka kupitia kazi hii.
Kweli mioyo zinakuwanga na viherere Mungu Baba tuzaidie mioyo yetu itulie kwako ❤❤❤❤ kali kweli, hii 💯
I always miss you milele melodies .. Nice song
This song is very instrumental.Tusikubali mioyo yetu itusukume kwenye njia isiyo mpendeza Mungu.Kudos!!!
Aiseee najivunia ukristo..mmetisha Sana Mbarikiwe Sana.. designer ametisha.. creator wa style 🎉
Kusali ni kuimba mara mbili mungu awabariki saana wakuuu....Hakika ni kwa neema quality video and voice be blessed
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naipata vinzuri kabisa,moyo wangu umegunzwa asanteni sana Andrew Mbuvi
Lawrence kameja. You are doing justice to the music industry. You got a clean soul. ❤❤❤❤ You will go to heaven
Myoyo iache viherehere! Wanamilele hii imeweza❤❤🎉🎉🎉🎉
This is incredible milele melodies 😍💖
Najua yeye yupo pamoja nami wakati wote, sitaogopa shida🔥.. Wimbo umenibariki Trizah, asante sana💯.. It's always awesome listening to you😊
Hongereni kwa kuingiliana kwa nyimbo kwani ni mzr sana ❤❤❤❤
This was meant for me😢. Have mercy on me dear God 🙏🙏
Nice one🎉🎉🎉 That's why I'm proud to be. Catholic
Great song relating to the current situation of many christians. Moyo acha kiherehere, fanya kazi yako❤
Wow❤❤ a very beautiful song
❤❤❤ ndio maana napenda catholic am proud to be a Catholic
Wow,nice song ❤ congratulations guys
❤nmeamkia hii wimbo iko sawa asaneni sana waimbaji wazuri,mungu awazidishie❤❤❤
Amen
Can't get enough of it.
Hongera mwalimu kameja kwa utunzi huyu. Zidi kubarikiwa
Am blessed by this song
Nice song ❤❤ moyo wangu acha kiherehere sukuma damu
Good work ❤God bless you people..Moyo Tulia Kwa Bwana
Wow I like love love the outfit ❤❤❤❤ beautiful song progression 👌 nice voices🎉
The outfits on point ,this will encourage many GenZ to love church
Wow very beautiful song congrats all of you wimbo n nzuri sana mungu awabariki sana❤❤❤🎉🎉🎉
Wow wow,,hii nayo nikali guys,, congratulations
77too8h
Soo powerful 👏
Roho ina kiherehere sana.