kilakukicha tumuombee natimuyake nimegundua wapowamuhimu hatuwajui na ndoo wanahangaika na sauti pamoja na kumuona live mtumishi wa mungu hubilitamu lenyeujumbe unaotuhusu lakini linagoma sababu nishetani.
@@MahubiriPrMmbaga Amen and Amen servant of the living God,I have started experiencing wonderful blessings in my life, glory be to Almighty God.May the blessings lasts forever and be permanent.Mungu anaendelea kunishangaza Kila siku.
Amen! Mungu akubariki pastor Mmbaga.
Nitakuja na testimony right here. Thank you so much.
Mtandao au n sauti haipatinni Mungu wangu shetani hataki tusikie sehemu nyingine
Bwana nipe Imani imara nitende jambo kubwa AMINA
Hakika nmebarika nmezau takataka zote nlizofanya nko mungu uniinue zaidi y hpa
Amina🙏
Ila fundi mitambo uwe makini kwenye kipengele Cha sauti,
Tunapitwa na mengi Sana.
Asante Leo ujumbee ulikua ukinihusu naomba mungu anisamehe na atusaidie na pia awakumbuke na wengine pia
Amen mutumish wabwana mungu akubalik kwasomo nzur tunafunguliwa
Kuna tatizo lilitoke nje ya uwezo wao. TUNAOMBA RADHI
Nashukuru mchungaji umesaidia Sana naomba Mungu akubarki sna
Hili hubir limenihusu asilimia zote, MUNGU akubariki sana
Mimi nashukuru kwahili nimesikia mambo ya imani nisimwambie mtu na nitumie kile nilichoka nacho nikioneshe Mungu amina🙏🙏
Amina 🙏,,Asante sna pasita mahubiri yako yananipa nguvu sana 🙏
Mungu wetu aturehemu,atusamehe...Mungu anisamehe Mimi pia, Mungu akubariki sana Mch. Nabarikiwa sana na neno la Mungu 🙏🙏
kilakukicha tumuombee natimuyake nimegundua wapowamuhimu hatuwajui na ndoo wanahangaika na sauti pamoja na kumuona live mtumishi wa mungu hubilitamu lenyeujumbe unaotuhusu lakini linagoma sababu nishetani.
amen Pr mmbaga
Mafundisho mazuri ila leo fundi wa mitambo ametukosea mahala fulani sauti nyingi mimi zimenipita
Mungu akubarik kwa mahubir mazur lakin tazizo sauti ishu Mungu unikumbuka kwenye mambo yangu🙏🙏🙏🙏
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN thanks thanks thanks thanks thanks thanks 🤲🤲🤲🤲🤲
Aminaa pr hapo umesema yamenikuta😭😭😭 Mungu aingilie kati 🙏🙏🙏
Mungu nisaidie nipate badiliko ktk maisha yangu ubarikiwe kwa somo zuri pastor
mafundisho yalikuwa mazuri sana , God bless you pastor 🙏
Mungu atusamehe sana Pr
Nimebarikiwa sana na fundisho🙏
Amina, barikiwa pastor maana ninapata na uponyaji akili pia
Hii tabia yakuongea mipango Mungu anisaidie na mimi ni muhanga😭
Ila leo upande wa sauti hamjatundea haki Poleni kwa hii changamoto 🙏🙏
ila tuzidi kumuombea mchungaji mmbaga mungu amuatamie maana hatasauti nimufumo wa shetani ujumbe usifike maana ukielewahili akili inafunguka
Sauti yapotea potea hatukupati vizuri mtumishi
Powerful message MUNGU akubariki sana pastor 🙌
Please just remember me pastor in your prayers,mashida mengi,sijui nianzie wapi nimalizie wapi
Mungu akutendee muujiza
@@MahubiriPrMmbaga Amen and Amen servant of the living God,I have started experiencing wonderful blessings in my life, glory be to Almighty God.May the blessings lasts forever and be permanent.Mungu anaendelea kunishangaza Kila siku.
Amen 🙏🔥🙌 Hallelujah Pr Mungu akubariki sana
Amen amen amen amen amen amen
Amen mchungaji unatubariki sana sema tuu hujaweka namba ya sadaka ili kuweza kuboresha huduma zaidi.Ila tunabarikiwa sanaaa
Usitumie baraka ulizopewa na bwana vibaya.Ukifanikiwa usisahau wahitaji
amina pr. nimejifunza kitu
Jina la yesu lipewe sifa.
Thank you LORD for your grace. Nimebarikiwa sana. Be uplifted Pastor Mmbaga for the work well done, AMEN 🙏 🙌.
Amen
Itengenezen itumwe tena
Sauti inapotea Mara nyingi. Sound Engineer afuatilie jambo hilo...
Mungu awabariki viewers wote wa channel hii ❤️❤️❤️
Ameeen! Lakini Pastor unanibariki mimi jamaniiii eti tuko site 😂😂😂🙌🙌 nimejifunza kitu Barikiwa sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza
Amen 🙏 🙏 🙏 🙌🙌🙌🙌
Wakati mwingne ni hasira Pr ndio zinapelekea hayo yote
Amen
Pastor Kuna maneno ya muhimu yanatupita plz mwenye mitambo angalie sana.
Naona batteries hazina nguvu, ndio maana hili tatizi la sounds kukatika linatokea mara Kwa mara
Sauti
Hapo ni wapi watu wa Mungu
Apo ni kanisani Mwana wa Mungu🤣
Somo zuri sana mchungaji. Ila mitambo inatukosesha utamu wa Yesu. Shetani ashindwe mitambo iwe sawa
Amen
Amen
Amen