MTANZANIA AUZA MALI AWEKEWE FIGO AWALILIA VIONGOZI WADAU “NAHITAJI KUWEKEWA FIGO YA PILI NISAIDIENI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 78

  • @SaidMlemeta
    @SaidMlemeta 3 дня назад +7

    Jamani ukiwa mzima mshukuru Mungu 🙏 hata kwa dk 5 kuna watu wanateseka jamn Mungu niepushe

  • @mayj1952
    @mayj1952 4 дня назад +8

    Mungu awabariki Sana ndugu zako kwa upendo mkubwa walionao juu yako. Kukuuguza bila kuchoka na kutokukukatia tamaa.

  • @Rakim-y2z
    @Rakim-y2z 4 дня назад +24

    Matajiri changamkieni fursa kama hizi..wasaidieni wagonjwa msisubiri kudhamini vitu ambavyo havina malipo kwa mola s.w..

  • @frankkashner
    @frankkashner 3 дня назад +2

    Mungu ambariki Kaka yako... huo ni upendo wa hali ya juu...

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 дня назад +14

    Serkali imsaidie pia kama ilivyofanya kwa Professor Jay.Huyu ni kijana mlipa kodi

  • @daudikayinga5701
    @daudikayinga5701 День назад

    Pole sana ndugu yangu Mungu akuangazie nuru ya uso wake akuponye

  • @kelvincosmas1925
    @kelvincosmas1925 2 дня назад

    Polee sanaaa kaka Mungu akufanyie uwepesii 🙏🙏

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 дня назад +1

    Pole sana hakika hujafa hujaumbika pole sana na Mwenyez Mungu atakupa wepes 🙏

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 2 дня назад

    🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🤚🤚🤚🤚🤚 Mungu tenda, mama mama mama Raisi wangu Tia mkono na mungu atakubaliki 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @philemonsamwel7761
    @philemonsamwel7761 2 дня назад

    Mmh pole sana ndg, kuumwa kusikie tu

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 2 дня назад

    Mungu tusaidie katika mitihan maana mitihan mingine sikia tu kwa mwenzio mungu Yuko pamoja nawewe ndugu

  • @IreneMacha-d5q
    @IreneMacha-d5q 3 дня назад +3

    Inauma sana .Mungu akutie nguvu

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 3 дня назад +1

    Pole sana kaka Ang mwenyezi mungu yupo utapona

  • @PetrolinaSipriani
    @PetrolinaSipriani 3 дня назад

    Pole sana brooo mwenyezi mungu atatenda mujiza wake

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 2 дня назад

    Daah ukiwa mzima mshukuru Mungu watu wanajisahau wakiwa wazima kuumiza wenzao

  • @kennethmwakatobe2832
    @kennethmwakatobe2832 3 дня назад +2

    Pole sana ndugu yangu mungu wa mbiguni akuponyewe ..tutumie namba yako tujichange

  • @GEBAKAPUFI
    @GEBAKAPUFI 4 дня назад +5

    Pole sana ndugu, Mungu aliye Mbinguni akuponye.

  • @NasibuKyaibamba
    @NasibuKyaibamba 4 дня назад +6

    Ase kuumwa kusikietu yaaan,😢 ila mola atakuponya

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 дня назад +1

      SubhanaAllah mwenyeEzimungu Anatisha Allahu Akbaru Yaarabi molawetu tunakuomba umponye😭😭😭

    • @simonzabron5487
      @simonzabron5487 4 дня назад +1

      Sikia tu kwa mwenzio omba yasikukute

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 4 дня назад +2

    Pole sana. Mungu yupo atakuwezesha

  • @Shamilakalinga
    @Shamilakalinga 2 дня назад

    Mimi Niko tayari kumtolea figo moja Kama itawezekana jaman 😢

  • @subbralssasubeerlssa7104
    @subbralssasubeerlssa7104 3 дня назад

    Pore sana kaka alalh akufanyie wepes lnshaallh

  • @adinanimahigi
    @adinanimahigi 3 дня назад

    Mungu akuponye na atakurejeshea vyote ulivyopoteza kwaajili yakutetea uhai wako! Mungu awe upande wako siku zote

  • @Feisal-o4g
    @Feisal-o4g 3 дня назад

    Mshukuru Mungu kisha tubu na fanya ibada kamilifu lia ndani ya moyo wako Mungu akupe mwisho mwema na imani izidi

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 4 дня назад +3

    Polee ata ivyooo ilijitahidi sanaa Mungu atakusaidiaa

  • @Kenedy-pf1ke
    @Kenedy-pf1ke 3 дня назад

    pole sana ndg nao ndugu wanao kutolea figo mungu awabariki

  • @Kuruthum-v8j
    @Kuruthum-v8j 3 дня назад

    Pole sana mwenyezi mungu akujalie afya njema 🤲

  • @HawaSalum-v1b
    @HawaSalum-v1b 3 дня назад

    Mungu Atazidi kukupigania usikate tamaa mshukuru kwakila jambo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 дня назад +3

    Aseme wazi matibabu ni kiasi gani na kiasi Gani amepata na muandike namba yake ili habari ikamilike

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 3 дня назад

    Pole Sana Mungu Atakupigania Maafam Jamii Imekusikia..🙏🙏

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 4 дня назад +1

    Mtumainie Mungu na yote yatapita alie waokoa Shadrack, Meshach na Abednego kwenye tanuru la moto atakuokoa kwenye hilo jaribu 😢😢

  • @awadhfarajilugoya1998
    @awadhfarajilugoya1998 2 дня назад

    Mm nipo tayar kukupa figo kama kuna milion 500

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 дня назад +2

    ACHA MZAHA FIGO INAHITAJI DAKTARI NA SIYO KUOMBEWA PEKE YAKE..TUSIMPOTEZE😢

  • @AbrahamLeposo
    @AbrahamLeposo 3 дня назад

    Pole sana Mungu akuponye mapema,

  • @ApolloniaAyoub
    @ApolloniaAyoub 3 дня назад +1

    Mungu wa mbinguni na akuponye

  • @francizzykasowizzy7991
    @francizzykasowizzy7991 3 дня назад

    Pole sana mr Anania

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 3 дня назад +1

    DUH POLE XNA NDG AISEE HAYA MARADHI MUNGU ATUEPUSHE NAYO AISEEE POLE XNA.

  • @GodfreyEvarest
    @GodfreyEvarest 3 дня назад

    Mungu atakuponya

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 3 дня назад

    MIMI HUWA NIKIGONGWA NA HOMAA_ nawazakufanya maziezi NA huwa hawaahidi adi washikaji kuwa nikipona ntakua nakimbia kilasiku na mazoezi yalutosha pamoja na kula matunda.. ILA NIKIPONA HUWA NASAHAU NA WASHKAJI WA MAZOEZ NAWAKIMBIAGA .. 🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️ebu mnishauli kwanza 🥸🥸🥸🥸AhhfughanstAn🛀

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy 4 дня назад +3

    Pole sana ila ni mapepo hayo kama utakubali uombewe kaka visivyowezekana kwa wanadamu ninakuhakikishia unapona , nimewahi kumuona mtu anashida ya figo aliombewa kumbe ni mapepo tena mwanafamilia anamshughulikia

    • @gracedonald385
      @gracedonald385 4 дня назад +2

      Kweli ni mapepo mie nilipona nina ushuhuda kabisa

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 3 дня назад

    Pole xn mungu atakuponyaa

  • @mayj1952
    @mayj1952 4 дня назад

    Mungu wa mbinguni akuponye kaka.

  • @winniedotto1459
    @winniedotto1459 3 дня назад

    Mungu nipe pesa ili niwe nasaidia watu Kama Hawa😢🙏

  • @AminaHasan-n6l
    @AminaHasan-n6l 3 дня назад

    Pole sana

  • @mcharo255
    @mcharo255 4 дня назад

    Pole Sana ndugu yangu

  • @livinusFrolence-f2k
    @livinusFrolence-f2k 3 дня назад

    Pole sana ndgu etyu

  • @edwincain849
    @edwincain849 3 дня назад

    Zile pesa za kununua magoli ya mpira zije na huku kwa wagonjwa kama hawa.

  • @AlvinKhim-lc1jo
    @AlvinKhim-lc1jo 3 дня назад

    Mungu ni mwema atakuponya

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 дня назад

    Pole hakika Mungu yupo atakupigania 😢

  • @jmelodies7961
    @jmelodies7961 4 дня назад +1

    Uuwi angojeke ivi vyote wauze Mali yote na Tena aende

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 4 дня назад

    Pole sana brother

  • @shikuhata
    @shikuhata 3 дня назад +1

    Naamin Dr mollel kaliona hili atalifikisha wizarani msaada utatoka.
    Allah akufanyie wepesi

  • @NeemaPatrick-l3o
    @NeemaPatrick-l3o 4 дня назад

    Pole sana MUNGU atakuponya

  • @DorcaKinakina
    @DorcaKinakina 3 дня назад

    Eee Mungu wa Mbinguni muone huyu mtoto wako hizo fedha zikapatikane kwa urahisi jaman

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 3 дня назад

    Kweli afya ni muhimu kuna watu wana mali ila afya mbaya kuna watu wana fya njema hawanahela

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 3 дня назад

    Mungu yuko naww utapona

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 3 дня назад

    Polesana

  • @RajabujegaKapindijega
    @RajabujegaKapindijega 3 дня назад

    Jamani matajiri izo ndo sadaka

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 дня назад

    Hayo siyo mapepo ni ugonjwa

  • @selinasilayo7388
    @selinasilayo7388 4 дня назад

    Anania wangu jamanii

  • @NasibuKyaibamba
    @NasibuKyaibamba 4 дня назад

    Mola atakuponya

  • @christinamollel2629
    @christinamollel2629 4 дня назад

    Jamani si aende kwa mtumishi wa Mungu samweli kakande alieko campala uganda

    • @Tandalesse
      @Tandalesse 4 дня назад +2

      Huyo mtumishi ana "store" imejaa figo au ameumbwa na figo 10 kwa hiyo akampatie figo moja ama aende kufanya nini kwa huyo mchungaji?.

    • @shakilaAqram
      @shakilaAqram 4 дня назад

      ​@@Tandalesseshangaa na wewe ndugu yangu upuuzi mtupu

    • @shakilaAqram
      @shakilaAqram 4 дня назад

      Mnaangamia kwakukosa maarifa

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 4 дня назад

      Weeuh what's going on here??🤔🤔🤔 mwenzetu analia matatizo ya afya yake afu wengine mnaleta mzaha hapa?

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 4 дня назад +1

      ​@@shakilaAqramAstghafirullahi eti Uganda kwantunishi lnlilahi

  • @HarfaniIddiy
    @HarfaniIddiy День назад

    Una shingap

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 4 дня назад

    Watu msisome tu Na ku comment Mungu atamsaidia vipi kumanina wakati hamchangi nyie watanzania acheni usenge mchangie ili tumuokoe Mtanzania kusema tu Mungu atamsaidia aimsaidii huyu ndugu ! Mimi nachangia hela kumsaidia huyu mtu simjui kabisa Na wengine tumsaidie ugonjwa hauna mwenyewe.

  • @majutokiduko7491
    @majutokiduko7491 2 дня назад

    Mungu ni mwema atakuponya

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 4 дня назад

    Pole sana brother