Polisi ni wasumbufu sana hasa ukiwa na matatizo.wana prosses ndefu sana badala ya majeruhi aanzishiwe huduma ya kwanza anapelekwa kituoni kuchukua barua ndio dactari aanze hiyo sio Sheria nzuri.wanasababisha vifo vingi sana kwaajili ya hiyo pf3 yao aaa
@limymasele21 pumu mbaya Sana hasa ukikosa Masada wa haraka,, kinachopaswa mtu wa pum Hakikisha ndani unakua na 1 salbutamol 2 predinisoln 3 Aminophilin.
Pumu inauwa jamani mimi mwenyewe ni mgojwa wa pumu naujua moto we kikikubana unaliona kaburi hlo hapo 😢hasa wakati wa baridi au vumbi au moshi ni hatari sana 😢😢poleni sana wafiwa sisi sote kwake tutarejea 🙏🙏
Kifua huwa kinaondoa mtu ghafla huwez amin unaweza kuwa naye baada ya mda mfup tu unasikia amefark kifua ni maradhi mabaya xana Allah atupe mwisho mwema
Malaya baba ako kuzi wewe af kahaba ni mama ako bwege wewe apo ni maombolezo ni msibq tayari unaleta makabila ya watu umu sio lazm ukomenti kila taarifa mxeew em kakojoe ulale uko
Mungu atupe mwisho mwema jmn dunia ina mengi😢
Aaamina
Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote mola ampe khauli thabiti ndugu yetu
Duuuuuuu aixeee mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon 😢😢😢
Poleni sana familia ya mzee sanka tlaqasi
Babati nako 😢😢
Innalillaah wainna ilayh raajiun
It's so sad😭😭
Binaadam tumekuwa wakatili zaidi ya wanyama.
Yaa Rabb tupe mwisho mwema🤲🏼🤲🏼
Poleni sana
Itakua kabakwa alafu kauliwa 😢so painful
Innalillah wainna ilayhi Rajiuun...Pole sana dada mngu awafariji😢
Mmmh tunakufa sana jamani poleni sana wafiwa
ATI alikua anaonja 😢😢😢😢😢
Polen wanafamilia Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Ichunguzwe vizuri huenda kanyongwa au kapigwa😢
Poleni wana familia
Poreni sana 😢
Daa poleni
Apumzike kwa Amani jamani watu wamekua wanyama sana hawana roho ya uoga.
Polisi ni wasumbufu sana hasa ukiwa na matatizo.wana prosses ndefu sana badala ya majeruhi aanzishiwe huduma ya kwanza anapelekwa kituoni kuchukua barua ndio dactari aanze hiyo sio Sheria nzuri.wanasababisha vifo vingi sana kwaajili ya hiyo pf3 yao aaa
Pumu inaua chapu ila taharuki ni kukutwa mtupuuu Tena,, Mungu atupe mwisho mwema
Ukute na Mama ndiyo kimeeuwa maana ilikuwa ghafla tu na usiku
@limymasele21 pumu mbaya Sana hasa ukikosa Masada wa haraka,, kinachopaswa mtu wa pum Hakikisha ndani unakua na 1 salbutamol 2 predinisoln 3 Aminophilin.
@@LatifaMnzavakweli ndg mm najijua sikosag salbutamol mda mwingine ghafla tu
Pumu inauwa jamani mimi mwenyewe ni mgojwa wa pumu naujua moto we kikikubana unaliona kaburi hlo hapo 😢hasa wakati wa baridi au vumbi au moshi ni hatari sana 😢😢poleni sana wafiwa sisi sote kwake tutarejea 🙏🙏
Pore sana mwenyezi mungu atakuponya
Sasa ndo avuliwe nguo za ndani?
Oo poleni sana😢😢
Pumu inauwa chapu ikikubana
Kifua huwa kinaondoa mtu ghafla huwez amin unaweza kuwa naye baada ya mda mfup tu unasikia amefark kifua ni maradhi mabaya xana Allah atupe mwisho mwema
Ni kweli ila siyo akutwe mtupu na nguo zake za ndani ziwe pembeni hapo kuna jambo,
@naslee1010 hapo marehem ndo ana ukwel na Mungu pekee huwez jua lbd alivua yeye
Wamembaka na kumuuwa,raha ya milele umpe ee bwana
Naisi iyopombe ndoitakua imempelekea kubana kwa kifua na kupoteza kaisha pole kwa familia
Poleni 😢😢
Poleni sana😢
Nchi inatisha hiiiiiiii loooo
Magugu imefikwa jmn😢
wainalillahi rajuun
Haki polen sana
Sanga Babati umefata Nini huko makete tunakutafuta
Tz sasaiv kumekuwa na unyama umekisiri jmn mtu unambaka na kumuwa kweri
Maiti ifanyiwe uchunguzi kama aliingiliwa kimwili inawezekana alibakwa kisha wakamkaba kumuuwa...
Binadamu ROHO MBAYA SANA
😢
MUNGU tunusuru
Kwajinsi alivo eleza huyu dada dada yake alikua na ugojwa wa hasuma kama alikua kaywa pombe lazima afe sababu dawa zake hazitaki pombe
Maisha ya vijijini mtihani mazingira yao serikali angazieni macho huku vijijini poleni sana wafiwa
Labda alikuwa na mtu wake wa hiyari kifua kikaamka wakiwa wanafanya .poleni wafiwa
Pengine man sikubakwa
Magugu kila siku
Hadi kulala pekeangu nimeanza kuogopa🙌
Sana tu inatisha maana sasa hivi wahuni wakikosa pesa wanaiba mwili wa mtu na kitumbua
@@FatimaAli-of4ghndugu ata ukirara na kundi rawatu Kama kipo hakikwepeki
Wambulu wairaq ni makaaba sna alikuwa na mtu wake hajawaambiwa nduguze.
Malaya baba ako kuzi wewe af kahaba ni mama ako bwege wewe apo ni maombolezo ni msibq tayari unaleta makabila ya watu umu sio lazm ukomenti kila taarifa mxeew em kakojoe ulale uko
Eti wambulu we koma tena koma unauma mavi wewe . naona watu wanaomboleza we waleta koroboi yako
Hiv huyu anaakili kweri mpuuzi kabisa
Kama huna la kuzungumza ni vyema ukanyamaza hizo sio kauli njema kwa tukio kama hilo kumbuka hata wewe unandugu nadhani. Jifunze kuwa na kauli dhabiti
Mmh sio wote
Alikuwa na pumu