NIOKOE, USINIACHE NITEKETEE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 мар 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 92

  • @MariyamusefukhamissiMariyamuse
    @MariyamusefukhamissiMariyamuse Месяц назад +1

    Subhannal-llah ya Rabby tuweke wepesi tuwe miongoni mwa wale wanao jitoleya kwakila jambo😢😢😢🤲🤲🤲🤲🤲

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 Год назад +11

    Subhanallah inahuzunisha mtangazaji mbona hua husemi wapi au nyumbani huko zanzibar hata ukiomba mzanzibar basi umefikwa saana sio desturi yetu lkn inabidi iwe hivo kwa njaa iloingia na umaskini sio mashamba tuu mtangazaji hata huku mjini usione tunawasha taa kula hamna unavoamka ndivo unavolala Allah atustiri na atufanyie wepesi na ramadhani hii

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 Год назад +4

      Hyo ni unguja vijijini huko ndugu yngu tuwasaidie ndugu zetu kw hli yyte tuliojaliwa nayo na Allah atahualpa na ramadhan hii inshallah

    • @othmaniddi7637
      @othmaniddi7637 Год назад +1

      Amiin ya Allah

    • @salumjuma3152
      @salumjuma3152 Год назад +1

      Subhana llah tunaomba mtupatie direction ya hichi kijiji jamani tuende tukatembe na tujifunze kupitia wao kwa kweli Hali ngumu sana

  • @zainabissa7851
    @zainabissa7851 Год назад +2

    Dhambi zetu nakama haichagui mwema na mbaya Allah atupe taufik tutubie

  • @yousufyousuf5963
    @yousufyousuf5963 Год назад +1

    Subhanna allah awaruzuk awape wepes duh tuwaseidien allah atatulpa twendako

  • @user-rk9qj9ob1p
    @user-rk9qj9ob1p 2 месяца назад

    Allah akujengeye nyumba ktk pepo yake ya firdausi hakika Allah akuona jitihada zako sheke rashdi pia Allah akupe mwisho uliobora ww na familia yako

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 3 месяца назад +1

    Mbona weng wazee niwap huko Allah tunakuomba simamia Familia hizi

  • @fatmabakar5767
    @fatmabakar5767 Год назад +2

    Subhanallah.Alfatah tv mtu akitaka kuchangia anatumia njia gani

    • @munaytwinkle8106
      @munaytwinkle8106 Год назад

      Namba za simu zipo kwenye video au ofisi ipo amani, msikiti wa amani zanzibar

  • @arafajabir3194
    @arafajabir3194 Год назад +1

    Subhanallah yarab wape sahali waja wako Ameen

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 Год назад +1

    inshaAllah Allah atuwezeshe inshaAllah

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад +1

    Subhanalha Alhamdulhai hala kuli naama

  • @fatmakhatib2935
    @fatmakhatib2935 Год назад +1

    Ww kama unatoa msaada towa usijadili kizazi sjui watoto wengi hayo ni majaaliwa ya Mungu

  • @user-kx5yr4vr5r
    @user-kx5yr4vr5r 2 месяца назад +1

    Kwa ukweli inahuzunisha hivi serikali haiwaoni watu kama Hawa

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn Год назад +3

    Yaaarab watanzania tumsaidie huyu mama wallah 😢😢😢😢

  • @abdullatifomar111
    @abdullatifomar111 Год назад +2

    Allah awape subra ndugu zetu na wazazi wetu hao Allah awajaalie kila la kheri katik maish haya na waifunge ramadhan wakiwa hai na uzima na kwa furah tele kikubwa zaid wawe na subra na iman kubwa kwa Allah hakika yeye siku zote hamuachi mkono mja wake ipo siku Allah ataleta kher na baraka kutoka kwa Allah kilichobakia n kuwaombea dua kwa Allah ili maisha yao yawe mazur kama wengine

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 Год назад +1

    Subhanallah Allah atawapa inshaallah

  • @mwanaidatkhamis5310
    @mwanaidatkhamis5310 Год назад +1

    Subhana Allah Allah awape Subra 😭

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 Год назад +1

    Subhanallah, Allah akowa waja wako

  • @AllySully
    @AllySully 2 месяца назад +1

    Ccm oye raisi mwinyi oye.

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 Год назад +3

    😢😢 yaallah

  • @HajjHajj-he6ey
    @HajjHajj-he6ey Месяц назад

    Niwapi tuelekeze nguvu zetu na sisi

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 18 дней назад

    Boban wasaidie hawa..wewe ni mtoaji sana

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 2 месяца назад

    Jaman hii serekali iko wapi mpaka ikawa ata watu kama hawa haiwaangaliii ?!!!! Ebu nifahamisheni kidogo ivi kazi ya serekali hass ni ipi ?!! Mbona watu kama hawa wanahitaji huruma sana jamn.

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn Год назад +7

    Hamna group la wasp nataka hizi clip niwape waarabu wangu mashallah wanato sana nashare hii clip

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Год назад +2

      Kabisa, na hatakama kuna uwezekano wa kutafusiriwa kiarabu ni vizuri. Kuna waarabu hawajui kiswahili wale wenyewe.

    • @mustaphakijazi9807
      @mustaphakijazi9807 Год назад +1

      Assalamu alaikum Ninashida na namba yako ya whatsapp nikutumie picha ii ujuwe ni jinsi gan utaweza kuwasaidia

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn Год назад +1

      @@mustaphakijazi9807 ipo

    • @mustaphakijazi9807
      @mustaphakijazi9807 Год назад

      @@Muslim-gs6rn nisaidie namba yako ya whatsapp ndugu

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 Год назад +1

      Nisaidie na mm nike huko nifanye kazi sina mama na baba maisha yng ni taabu ndugu yng

  • @AbeidkhalfanAbdalla
    @AbeidkhalfanAbdalla 2 месяца назад

    😂machoz yanitok kw kwel M'Mungu awasaidie . Wapi hao watu wapo mkienda km hvo tutajien na maeneo walipo

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl Месяц назад

    Jaman watt kumi umezaaa mwenzetu ulikua hausikii uchungu

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 4 дня назад

      Yani huyu mama nitajili wakesho mungu anarehemazake

  • @arafamke
    @arafamke Год назад +4

    Asalam walaiku jaman naomba mtoto moja nitamle kwajili ya Allah 😭😭😭

  • @shafiisalim1686
    @shafiisalim1686 Год назад +2

    Samahani naomba kufahamu hichi ni kijiji gani

  • @saidkaim768
    @saidkaim768 Год назад

    Allah tufungulie Zanzibar yetu

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 4 месяца назад

    SUBHANA ALLAH

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Год назад +1

    Subbuhanallah 😓.

  • @hashilfarahany
    @hashilfarahany Год назад +1

    Hakuna kitu muhimu kama Taq-wa na wengi wa hao wanataq-wa yaa Allah nijaalie tuwe na Taq-waa

  • @hadiaiddi2589
    @hadiaiddi2589 Год назад

    Allah azidi kuwapa nguvu

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Год назад +1

    Is this real? What is all this about uchumi wa bluu, I can’t comprehend this happening in 2023?????

  • @shadiyaaljahdhami2569
    @shadiyaaljahdhami2569 Год назад +1

    Al fatah tujuilisheni hiki ni kijiji gani

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Год назад

    Subhana ALLAH 😢😢

  • @iddidd3979
    @iddidd3979 5 месяцев назад

    Ni kweli hii ndio zanbar kweli

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 Год назад +2

    NAIOMBA SEREKALI YANGU TUKUFU IWE INANYOOOSHAAA MKONO KWA WATU WENYE MAHITAJI KAMA KAWA....

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 Год назад

      Serekali ya kisengee ya kikafiri Haina maana watu wanateseka hawana la kufanya 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Год назад

    Nimetoka machozi tu jamani, Mwingine Anakula mpaka Anatia Jalalani😭.

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Год назад +1

    Mbona hujibu kijiji gani hichi tunataka na ss fadhilaaa kaka tunakuomba tuwambieee wapi

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 Год назад +1

    Usimuulize nyama pakukaa Hana maskini

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 2 месяца назад

    Subuhanallah

  • @shazilali945
    @shazilali945 6 месяцев назад

    Alfatah tunaomba mutuambie wapi ao watu tunaweza kuwapata na ss tuwafikie

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Год назад

    Allah Akbar

  • @sein.208
    @sein.208 Год назад

    Subhana Allah 😢😢😢

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 2 месяца назад

    Mtihani wallahi 😢😢

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Год назад

    Enyi viongozi wa serikali hamyaoni haya mipasa yote iyo mnayoiba mnafanya sivo kabisa hii ni serikali ya kikafiri kabisa haijal watu zake

  • @zainabissa7851
    @zainabissa7851 Год назад +1

    Rashid naomba namba yako

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    Wazanzibar jamaan sawa shida nimipango namitihan ila punguzen uzazi watoto 8 wote hao bila kazi bila biashara mnaanzaje

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 Год назад +1

    Hii ni wap jaman

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Год назад +2

    Ni wapi hii jmn?

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Год назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @iddidd3979
    @iddidd3979 5 месяцев назад

    Hii ni wpi

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 Год назад +2

    Alfattah mbona hamtoi namba za wahusika wasaidiwe direct

    • @shadiyaaljahdhami2569
      @shadiyaaljahdhami2569 Год назад +1

      Hawatowi number hao wala jina la pahala wanataka uwapelekee wao

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад

      @@shadiyaaljahdhami2569 ndio maana yake hiyo hawafanyi Kama channel nyengine hutoa namba za wahusika misaada huwafikia moja kwa moja

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад +1

      @@shadiyaaljahdhami2569 sisi hatupendi hivyo tunataka watoe namba za we walengwa direct

    • @rogojr712
      @rogojr712 Год назад

      Hawa wapo wengi huezi toa namba ya kila mtu . Ndio wametoa namba zao za channel ili wasaidiwe wote kwa pamoja kwa kitakachopatikana

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 Год назад +1

    Kwanini hamusemi wapi hapo? Ni kijiji gani?

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 Год назад

    Niwp huko jamn na mbn no inayopita hapo ni ya Dubai hakuna no ya tz

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад

      Zanzibar hapa ni sehemu za vijijini

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  Год назад

      Hatuwezi kutoa namba za kijiji kizima.wasiliana na ofisini.

    • @shafiisalim1686
      @shafiisalim1686 Год назад +1

      Sawa ni vijijini je je nikijiji gani maana si wenyewe tupi zanzibar hiyohiyo

  • @maidamwaipopo9603
    @maidamwaipopo9603 Год назад +1

    Sasa mtu masikini hao watoto wote wa nini

    • @mwanaishamande8880
      @mwanaishamande8880 Год назад +1

      watoto nimajaaliwa yaallah

    • @user-wc4um7eh4e
      @user-wc4um7eh4e Год назад

      Subhanallah

    • @aminaalabri4170
      @aminaalabri4170 Год назад

      Usiseme ivo my wengine hpo wazee wao wameshafark

    • @abduliddi7821
      @abduliddi7821 Год назад +2

      Dogo mbona ivyo ao watoto ni majaaliwa ya Mungu ktk kukupa mitihani duniani so unachojaaliwa na Mungu hakuna lawama, mfano ulemavu wowote ule ni majaaliwa na afya njema pia majaaliwa

    • @mubakhatib
      @mubakhatib Год назад +1

      😭

  • @youmemeyou2976
    @youmemeyou2976 Год назад

    Viongozi wa nchi wanasema wao waislam , wamsome Saydina Omar alikuwa kiongozi wa aina gani , sio kupanda Land cruser na office yenye kiyoyozi , Hawaogopi maswali ya ALLAH?