HII NDIO SABABU WAISLAMU 25 KURITADI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 фев 2023

Комментарии • 95

  • @aminamchezo2710
    @aminamchezo2710 Год назад +5

    Allah atuongoze katika dini yake Hadi mwisho wa pumzi yake

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Год назад +7

    Wameritadi kwa ukosefu wa ilmu na imani

    • @kiri5807
      @kiri5807 Год назад +4

      Ni kweli , imani tu haipo na hawana elimu ya Tawhid . Allah awaongoze wao na sisi ktk njia ya haki .

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Год назад +5

    Waislam acheni upuuzi ukipenda dini yako ipende kwa hali yoyote kuritad kwa dhiki hiyo ni kufru , bora kujitangaza kwanza muonekane siyo kuritadi hali yakuwa watu hawajui shida zenu , Allah atupe imani

    • @najashdawood9680
      @najashdawood9680 Год назад +1

      Asia....Salaam aleykum...waislam wa baadhi ya vijiji humu Tanzania..Watu wa ajaabu sana...mm nayaona pia mambo haya ..wao wachukulia easy kabisa

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Год назад

      Naam imani ndogo tu hapo kwa hio miaka ya mbele km ugumu wa maisha utakuepo watarudia tena??nawaambia hawa si lolote si chochote niliona yemen ardhi imekauka kabisaaaa ..watu wake ngozi zimegeuka io sehem wanayoishi maji hakuna kabisaa wanayafata kwa masaa mbalii sana....na wanaishi kwenye jua na joto kali kiasi kwamba wamebadilika hata miili yao aljazeera iliwafikia na wana sema tunasali tunafunga na tunamshukuru Allah wala hakuna mtu anaweza kutubadilisha ..hao watu wana imani kweli kweli wao hawajui kabisaa kula yao wanachojua rizki hutoa mungu na wala hawasikitiki subhanallah na wala hawana nia kuingia dini nyengine wanakwambia sisi ni wa Allah na tutakufa kwa ajili yake tumeridhika yaani ukiona lazima ulie io sehemu ilivo kavu hakuna hata majani .sema watanzania ndo ivo Allah atuhidi maana kwenye kitu na dini basi tunachagua kitu.mtihani kwa kweli.

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 Год назад +3

    Allahuma Aameen Yaarb Alaameen
    Allah atuwezeshe Imani zetu kwa ajili ya Allah Aameen 🤲🤲

  • @shazilali945
    @shazilali945 6 месяцев назад

    Waislamu waleo kazi yetu nikubishana mitandaoni tu waislam wenzetu wanashida ss hatuna habari Allah atupe nguvu ya kuwasaidia wenzetu

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 Год назад +3

    Wapi hiivshekhe Muhammed tunaomba namba tutabarouq ishaallah

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 Год назад +1

    Uislam ni Imani unacho ama huna hiyo ni mitihani ya Allah lazima usimame na Imani ya kweli.

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 Год назад +5

    Salaam aleykum..tusitume comments tu.....tuwasaidie wenzetu...wallahi nahisi majonzi ......wenzetu wanateseka

  • @halimamumin9443
    @halimamumin9443 Год назад +2

    Subhanallah,

  • @fikirimachela4778
    @fikirimachela4778 2 месяца назад

    Watu wanaswali kwenye miti baadae ukijengwa msikiti mkubwa awa wote watatolewa na wataambiwa msikiti auwasi allah awalipe inshaallah

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 2 месяца назад

    Rais samia .Allah anakuona

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 Год назад +1

    Subhanallah Allah atakufanyieni wepesi yaarab

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Год назад +3

    Subhanallah Yarab Awasimamie Msipoteze dini yenu kwa sabab ya Maisha Makafir waahinden piganen jihadd na nafsi zenu ni ajri kubwa sisi ndio jihad I yetu ummati Muhammad jihad kubwa ya kupigana na nafs zetu inshaallah Tatizo leni Litatatulika biidhnillah😭🤲🤲🤲

  • @khalefabdallah3680
    @khalefabdallah3680 Год назад +1

    Allah atatufanyia wepesi inshaa-Allaah.

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 2 месяца назад

    Mimi mkurugenzi wa Ira nachangia laki tano. Mujekuzifata

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад +1

    Wewe kaka mtangaziji naomba tuwasiliane

  • @zoab2699
    @zoab2699 Год назад +1

    سبحان الله العظيم لا اله الا الله محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 2 месяца назад

    Mbona kama hao mama wapo kimjini mjini

  • @salmamohammed7003
    @salmamohammed7003 Год назад +2

    Allah akilipeni kheri nyingi Alfatah, inshaaAllah tutajitshidi kuchangia namba zote tumeziona shukran

  • @khadijaa815
    @khadijaa815 Год назад +2

    Wapi hio shekh

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +1

    Subhana Allah

  • @user-it6fe9uo8h
    @user-it6fe9uo8h Месяц назад

    Subuhana Allah 😢

  • @saumumaganga-pu2px
    @saumumaganga-pu2px Год назад +2

    Àsalam alaykum km mtu anataka kuchangia chochote anafanyaje namba ya cm

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 2 дня назад

    Ukitakaa kutoa usiwea na maswali mengi toa au nendaa ww Mwenyea ukaonea utajua ni wapii

  • @sghdrdhidf7603
    @sghdrdhidf7603 Год назад

    Asalamu alykum dungu zangu katika wislam nilikua naitaji kujua iyo sehemu ili wengine tunaweza kufika kwa idhini ya allah Inshaa allah

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 Год назад +3

    Alfattah mnatuvunja moyo bwana hamtaji sehemu husika Wala kutoa namba za wahusika tuwasaidie

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад +1

      Zipo namba

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад +1

      @@abduomar8438 sisi tunataka namba za wahusika sio za alfattah. Alfattah hutoa namba zao na sio za walengwa

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад

      @@maryamalli9090 mbona sikuelewi nimekupa namba za alifatah km unamcuango tuma au unataka kuongea nao ongea nao wakupe namba za wahudika shida iko wap wao ndio waliokwenda

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад

      @@maryamalli9090 ww unamatatizo tu alifatah hawavunji moyo bali wanatutia moyo tuweze kutowa na tunaona wao ndio wasimamizi wa wahusika ikiwa ukiwa unataka kutowa sadaka kw wahusika alifatah wataifikisha na amali hulipwa kw nia

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Год назад +1

    Subhanallah

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Год назад +1

    Tuupende uislamu wetu kwa hali yoyote

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад +1

    SubhnAllah

  • @zakiaqasim5312
    @zakiaqasim5312 Год назад +1

    Subhaana Allah

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 Год назад +1

    Imenihuzunisha hiii aise sisi twaswali kwenye AC kumbe waislam ndugu ze2 wanaswali hivi mtihani

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Год назад

    Umuhimu wa kusomeshwa TAWHIDI ndio huu wa kujiepusha na dunia ukamfuata Allah Subhaanahu waTaala.

  • @khauraasaad1947
    @khauraasaad1947 Год назад +1

    Allah akbar

  • @sumeyyaothman7608
    @sumeyyaothman7608 Год назад +1

    A.alaikum subhanallah tutajieni no basi

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад +1

    Subhanalha naombentumie hii vidio kwahisani yenu niwasaidie

    • @maymoona-hp4pp
      @maymoona-hp4pp Год назад

      Allahu akbaru mungu awape subra inshaallha

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 Год назад +1

    Allahu Akabar

  • @zoab2699
    @zoab2699 Год назад +1

    Wapi hapo ipo sehem gani

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад

    wapi hiii

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 Год назад +1

    Assalamu aleikum nani ambaye ni muhusika

  • @kassimali2273
    @kassimali2273 Год назад +1

    Kijiji kiko wapi na mbona tigo sijaona jina la mpikeaji nisaidiwe kwa hili

  • @abuuayman4737
    @abuuayman4737 Год назад +1

    Au muwawekee walimu kwa kumlipa

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y Год назад +2

    Wapewe darsa warudi kwenye dini yao ya haki

  • @lovemwantiti8130
    @lovemwantiti8130 Год назад +2

    Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh mimi nipo kenya natumaje sadaka yangu?

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 Год назад +1

    😭😭😭

  • @idrisabakar7928
    @idrisabakar7928 Год назад

    Iv lazima mtuwekee icho kiziki ah

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 2 месяца назад

    Siku nyengine nimechongo tu ya kutaka misaada

  • @mwinjahidahmed1862
    @mwinjahidahmed1862 Год назад +1

    Tunaomba location

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 Год назад +2

    Tunaomba namba zenu Al fatah

    • @ummtuma8137
      @ummtuma8137 Год назад +1

      Namba tizama hapo chini zapita

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 Год назад +1

    Sheikh mm nguo ninazo niko kenya zitafika vip huko tafadhali, nijulishe

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад +1

      Tatizo ya hii channel hawajibu comment Wala kutoa ufafanuzi wa mambo

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 Год назад

      Wapigie simu hizo nambari zao kwenye scree.
      Au watumie ujumbe.

  • @nasseralrowahi4084
    @nasseralrowahi4084 Год назад +1

    Sallam alleikum sheikh naomba namba yako alfata

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Год назад +1

    Sijui ni wapi hapa

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +1

      Kijiji Mkokola-Kwammbo Kata Magunga korogwe Tanga

  • @yousupjabri7304
    @yousupjabri7304 Год назад

    Mbona hamtoi jinsi ya kuchangia

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 Год назад

    Wameritad kwa sababu zao binafsi tu

  • @arafaarafa-yt6gm
    @arafaarafa-yt6gm Год назад

    Tusaidien no yakuweza kutuma pesa

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 Год назад +1

    Kijiji gani hichi iko wapi

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +1

      Kijiji Mkokola-Kwammbo Kata Magunga korogwe Tanga

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz Год назад +1

    Wapo payslip gani

    • @alfatahtvonline3374
      @alfatahtvonline3374  Год назад +1

      Korongwe Tanga

    • @shamzone388
      @shamzone388 Год назад +2

      @@alfatahtvonline3374 korogwe sehem gani tujulisheni sisi tupo tanga tunaweza kufika kwa haraka

    • @w4058
      @w4058 Год назад

      Kwani serikali inafanya nini isojenga misikiti katika sehemu kama hizo hao wakiristo wenyewe chungu nzima wako Wana hali mbaya basi tu Imani dhaifu Allah atupe Imani Thabit sote

    • @w4058
      @w4058 Год назад

      Subhanallah Allaah atupe tupate kutowa wako Waislam wangapi Tanzania hebu sote tuwe tunachangie

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +1

      @@shamzone388 Kijiji Mkokola-Kwammbo Kata Magunga korogwe Tanga

  • @baruaniabdallah3318
    @baruaniabdallah3318 Год назад +2

    Niwap uko mbona amsemi niwap

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад

      Kijiji Mkokola-Kwammbo Kata Magunga korogwe Tanga

  • @hassanmshinda8575
    @hassanmshinda8575 Год назад +1

    Je shida ya hawa wenzetu ni msikiti au ni njaa, maji na umaskini?

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 Год назад +1

      Mambo mengi tu Wana shida nayo vikiwemo Imani thabit na umasikini

    • @fadhilamsagati1337
      @fadhilamsagati1337 Год назад

      vyote

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 Год назад

      Kitu cha kwanza shida yao ni imani ya kweli...kisha inafuata kula na mengineyo ...lln km tutasaidia msikiti tu na kula la mwezi mmoja ina maana baadae watarudi kwenye ukiristo maana njaa itwatesa na wao hawana imani ...wanahitaji pia walimu wa kuwasomesha io dini ili wajitambue je?tutafanya hivo ?au tuwajengea tuondoke?

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 Год назад +1

    Ñiseem gani hiyo jamani

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +2

      Kijiji Mkokola-Kwammbo Kata Magunga korogwe Tanga

    • @ruwaidaal-ismaily9099
      @ruwaidaal-ismaily9099 Год назад +2

      @@sama-_8368 Ok Nikajua uku zenji

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад +2

      Ndugu yangu tuchangie sadakatu jaria hiyo

    • @arafahaji
      @arafahaji Год назад +2

      Namba zipi tusaidieee

  • @ramadhanjuma6175
    @ramadhanjuma6175 Год назад +1

    Huzuni. Nimeisikiza video yote. Hakuna paliposemwa hapo ni kijiji gani, wilaya gani, mkoa gani na nchi gani.

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Год назад +1

      Kijiji Mkokola- Kwammbo Kata Magunga - Korogwe - Tanga
      Tanzania

    • @ramadhanjuma6175
      @ramadhanjuma6175 Год назад

      Shukran saana

  • @abuuayman4737
    @abuuayman4737 Год назад

    Nyny alfatah sasa chakufanya si kuwasaidia kwa mali tu wasaidieni kusoma dini mpate vijana wao watano muwafundishe warudi kuwafundisha mwislam akijuwa uislam wake vizur akamjjwa allah hata akipata njaa hawezi kuacha uislam
    So nyny msizungzie misaada tu ya mali chakula na maji msaada mkubwa ndugu zangu ni kusomeshwa dini wao na vizaz vyao
    Allah awastir na misikiti wataipata tu