AL FATAH TV ONLINE
AL FATAH TV ONLINE
  • Видео 1 838
  • Просмотров 11 815 148
LIMBWATA ZA WAZEE WA ZAMANI ZILIDUMISHA NDOA | FEB 02/2025 (HUBBUL HALAL)
Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​
Просмотров: 791

Видео

SIRI YA MATOKEO YA MTIHANI ZANZIBAR YABAINIKA
Просмотров 7512 часа назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
HIVI NDIO VITAMU VINAVYOWAVUTIA WAGENI ZANZIBAR. | FEB 03/2025 (UTAMADUNI WETU)
Просмотров 3042 часа назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
MAHAKAMA ZANZIBAR KUZISIMAMIA SHERIA ZISIPINDISHWE
Просмотров 4712 часа назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
HIZI NDIO SABABU ZA WASIOSAMEHE KATIKA NDOA | JAN 31/2025 (HUBBUL HALAL)
Просмотров 1,2 тыс.9 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
FAHAMU MISINGI YA KUIJENGA FAMILIA BORA YA KIISILAMU | JAN 21/2025 (UISILAMU KWA HOJA)
Просмотров 3869 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR SIO CHAKA LA TALAKA | KUTOKA OFISI YA MUFFTI (JAN 31/2025)
Просмотров 1,4 тыс.9 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
KAMISHNA MPYA WA JESI LA POLISI ZANZIBAR AANZA NA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Просмотров 3,2 тыс.12 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
ZIFAHAMU FURSA ILIZOWAHI KUZIPATA ZANZIBAR | (SEMA NASI) JAN 29/2025
Просмотров 84314 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
HATIMAYE ZANZIBAR YAANZA KUREJESHA URITHI WAKE
Просмотров 4,1 тыс.14 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
NIMSAMEHE MUME WANGU AU NISIMSAMEHE? | (#HUBBUL HALAL) JAN 28/2025
Просмотров 1,7 тыс.16 часов назад
#hubbul_halal #al fatah tv online
HAYA NDIO MAMBO YA KUYAZINGATIA KABLA YA KUINGIA MJINI ZANZIBAR
Просмотров 52816 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
SIRI YA RAIS MWINYI KWENDA NGOME YA ACT WAZALENDO YAFICHUKA
Просмотров 11 тыс.16 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
FAHAMU SIRI ILIYOWAFANYA WAZEE WA PEMBA KUWA IMARA KULIKO VIJANA (UTAMADUNI WETU)
Просмотров 3 тыс.19 часов назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
IFAHAMU MISINGI YA HURUMA KATIKA NDOA. | JAN 24/2025 (HUBBUL HALAL)
Просмотров 954День назад
Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: 255 777 858 490 #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​ #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​ #ZANZIBAR​​
KWA NINI KUWE CHUKI NA UADUI BAINA YA MASKINI NA TAJIRI. | JAN 24/2025 (UISLAMU KWA HOJA)
Просмотров 765День назад
KWA NINI KUWE CHUKI NA UADUI BAINA YA MASKINI NA TAJIRI. | JAN 24/2025 (UISLAMU KWA HOJA)
RAIS MWINYI APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR
Просмотров 331День назад
RAIS MWINYI APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR
ZIFAHAMU AINA ZA HURUMA KATIKA NDOA. | JAN 21/2025 (HUBBUL HALAL)
Просмотров 1,4 тыс.14 дней назад
ZIFAHAMU AINA ZA HURUMA KATIKA NDOA. | JAN 21/2025 (HUBBUL HALAL)
ZANZIBAR UKARIMU ULITUFIKISHA HADI HAPA JE LEO? | JAN 20/2025 (UTAMADUNI WETU)
Просмотров 84814 дней назад
ZANZIBAR UKARIMU ULITUFIKISHA HADI HAPA JE LEO? | JAN 20/2025 (UTAMADUNI WETU)
SHEIKH DEDES AMLILIA MWINYI BARAKA |JAN 20/2025
Просмотров 4 тыс.14 дней назад
SHEIKH DEDES AMLILIA MWINYI BARAKA |JAN 20/2025
MFAHAMU SHUJAA ALIETOA NAFSI YAKE KWA NCHI YAKE. |JAN 20/2025
Просмотров 3,3 тыс.14 дней назад
MFAHAMU SHUJAA ALIETOA NAFSI YAKE KWA NCHI YAKE. |JAN 20/2025
WALIOKARIBIA KUKATA TAMAA PEMBA SASA WAMEPATA FARAJA. |JAN20/2025
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
WALIOKARIBIA KUKATA TAMAA PEMBA SASA WAMEPATA FARAJA. |JAN20/2025
FAHAMU KIZAZI CHA MTUME(S.A.W) KILICHOISHI ZANZIBAR
Просмотров 17 тыс.14 дней назад
FAHAMU KIZAZI CHA MTUME(S.A.W) KILICHOISHI ZANZIBAR
VYAMA VYA SIASA JIFUNZENI HAPA KABLA YA KUFANYA SIASA
Просмотров 73414 дней назад
VYAMA VYA SIASA JIFUNZENI HAPA KABLA YA KUFANYA SIASA
ZANZIBAR YAPOKEA TEKNOLOJIA MPYA YA USOMAJI WA VITABU.
Просмотров 32014 дней назад
ZANZIBAR YAPOKEA TEKNOLOJIA MPYA YA USOMAJI WA VITABU.
SAMAHANI YA VITENDO HUTOA MSAMAHA KWA HARAKA | JAN 17/2025
Просмотров 2,4 тыс.14 дней назад
SAMAHANI YA VITENDO HUTOA MSAMAHA KWA HARAKA | JAN 17/2025
JE, UISILAMU UNAKUBALIANA NA TAMADUNI ZA WATU? |JAN 17/2025 (USILAMU KWA HOJA)
Просмотров 74914 дней назад
JE, UISILAMU UNAKUBALIANA NA TAMADUNI ZA WATU? |JAN 17/2025 (USILAMU KWA HOJA)
MWANASIASA MKONGWE WA UPINZANI AMUONYA MBOWE | JAN 15/2025 (SEMA NASI) #mbowe #chadema
Просмотров 41 тыс.14 дней назад
MWANASIASA MKONGWE WA UPINZANI AMUONYA MBOWE | JAN 15/2025 (SEMA NASI) #mbowe #chadema
FANYA MAMBO HAYA ILI UMPATE MWANUME ANAYEKUKIMBIA | JAN 14/2025 (HUBBUL HALAL)
Просмотров 2,4 тыс.21 день назад
FANYA MAMBO HAYA ILI UMPATE MWANUME ANAYEKUKIMBIA | JAN 14/2025 (HUBBUL HALAL)
WATANGAZAJI WA AL FATAH TV WAPEWA SANDUKULA LULU NA MARJANI BWELEO | JAN 14/2025
Просмотров 69521 день назад
WATANGAZAJI WA AL FATAH TV WAPEWA SANDUKULA LULU NA MARJANI BWELEO | JAN 14/2025

Комментарии

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Час назад

    Sasa hivi anashangaa bi harusi anacheza zamani huwezi unaona haya waksti huuu i watoto wamekua hawana haya mume anatakiwa kupetiwa kama paka

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Час назад

    Mume akiingia ndani unampokea mkoba una mkumbatia kwa bashasha una mvuwa jacket tena. Unamtilia chakula unakaa nae unampepelea chakula huku anakula . Ukimpelekea maji ya kunywa usimame hapohapo usubiri imalize uchukue gilasi akikosea mbio uombe samahani japo kosa sio lako kwa upendo. Nguo zake unazifua unazipiga pasi una zi meching una shave raha mustare

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 Час назад

    Njmekipenda hichi kipindi yuletee tena tunafurahi tunakumbuka zamani mashallah nami nitskuja kwenye kipindi niseme kumdekeza mume napeeeendaaaaa sana. Nikija unguja nitakuja kwenye kipindi inshaallah

  • @Aiisha901
    @Aiisha901 6 часов назад

    Mashallah Mashallah Allah awape umri mama zetu nimewapenda sana wameongea maneno mazuri ambayo unapata mafunzo ndani yake Allah amrehemu Mume wangu baba wa watoto wangu

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 6 часов назад

    Masha Allah nawapenda sana

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 6 часов назад

    Mashaaallah❤

  • @AbdallahSeif-ly1tv
    @AbdallahSeif-ly1tv 7 часов назад

    Mashallah Allah ampe kila la kheri katik kuendeleza kipaji chake

  • @FiaDsm2
    @FiaDsm2 7 часов назад

    0

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 8 часов назад

    TABARAKAALLAH MA SHA ALLAH

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 8 часов назад

    MashaAllah ❤❤❤ nimewapenda kina Mama Allah awahifadhi🤲 watu watanga oyeeee 🥰 mimi mamangu ni mtu wa Tanga lakini ameolewa Mombasa kenya, Alhamdulillah mpaka leo yuko kwenye ndoa yake

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 15 часов назад

    ANGALIA NYENGINE ..KTK AKAUNT YANGU HII. ... INAITWA KIFO CHA KHADIJA ..BY HAJI MARROW

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 17 часов назад

    Ekeni na takwimu za wanafunzi waliofeli, tujue asilimia ngapi wamepata devision 0 ili mubalance story, tunataka pia mfanye interview ktk skuli zilizofanya vibaya kama Bububu ili tuone nn kimewasibu

  • @AziziShelukindo
    @AziziShelukindo 18 часов назад

    Mungu ukupe Kila laheri ufike mbali

  • @goldenqueen3999
    @goldenqueen3999 18 часов назад

    Kumbe wa kwetu 🇰🇪 ❤❤❤

  • @ayoubmohamed5348
    @ayoubmohamed5348 20 часов назад

    Talaka sio suluhisho la kukimbilia

  • @nazirbakari3406
    @nazirbakari3406 День назад

    Mihogo sasa haipatikani , unga ngano upo madukani

  • @nazirbakari3406
    @nazirbakari3406 День назад

    Wazee wetu jee bei ya nazi sasa ipo vipi, mafuta ya kupikia na bei zake zipo nafuu Nina uhakika

  • @SalmaYussuf-q2b
    @SalmaYussuf-q2b День назад

    Pole sana 😢mungu atakufanyia wepes mama ang😢😢

  • @yusuphahmedymngombe3706
    @yusuphahmedymngombe3706 День назад

    Jazakallahul-khaira Jazakallahul-khaira Jazakallahul-khaira

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y День назад

    Zanzibar haiwezi kurudisha urithi wake chini ya mtalii tungojee akalie kito mzanzibari ndio yatawezekana hayo

  • @JescaZakayo-h6n
    @JescaZakayo-h6n День назад

    Ee mwwez mung mponye mtot huyu

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 День назад

    Mashaallah❤️❤️❤️

  • @kapvisions
    @kapvisions День назад

    ❤❤❤

  • @jumaabdallah1827
    @jumaabdallah1827 День назад

    Alhamdulilah

  • @jumaabdallah1827
    @jumaabdallah1827 День назад

    Mashaallah

  • @tamimBasha-e6p
    @tamimBasha-e6p День назад

    Shekhe Ali na shekhe khamiss . Makosa yapo kwa hao mashekhe waozeshaji .hawafatili wanawaozesha wengine bado wakiwa wake za watu. Mfano mziri mimi nilimuandikia talala mke wangu na nilimpangia muda .kuwa hiyo talska ukifija muda huu .itakuwa otomatik nimeshakurudia .ila mwanamke hakushughulikia na ndio alipoolewa na mume mwengine .hii ndio yake mnaitathimini vipi na ushahidi niko nao nilivyomuandikia mwenye kujuwa kusoma anaelewa nini nilimaanisha hizo ndoa hipo nyingi Zanzibar

  • @mgtanzania9834
    @mgtanzania9834 День назад

    Pole mama ang MUNGU akutie nguvu

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 дня назад

    huyo mmasai kaja kutoka wapi. simba wakaribisha wenyewe. hayo ndio matokeyo watu wakisema nyinyi mnawaonna wajinga onna sasa wapi na wapi wanawake kuuza samaki hata ni aibu tu

  • @ZakariaLui
    @ZakariaLui 2 дня назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu ndie ajuaye tunayopitia jmn hapa dunian

  • @SajidaKhalfan-em7yh
    @SajidaKhalfan-em7yh 2 дня назад

    Mwenyezi mungu akupe subira ndungu yangu namutoto ampeshifaa

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 дня назад

    Umeona sasa,Uongozi ndo tatizo kubwa

  • @HajiYussuf-bv5eb
    @HajiYussuf-bv5eb 2 дня назад

    Wewe Ali Hamran wewe ni mjinga kutoka wap

  • @RahmaShaaban-s5u
    @RahmaShaaban-s5u 2 дня назад

    Kwakweli ni mtihani somo mimi nmepewa kanzu n baba imetoka makka mume wangu havai mpaka nmeigawa

  • @RahmaShaaban-s5u
    @RahmaShaaban-s5u 2 дня назад

    Bi atia ni wewe wa tusijisahau

  • @RahmaShaaban-s5u
    @RahmaShaaban-s5u 2 дня назад

    Jee hiki kipindi kinaruka online 2

  • @RahmaShaaban-s5u
    @RahmaShaaban-s5u 2 дня назад

    Somo jana nmelaza na kanga mume wangu kaniiambia makosa yangu yote si mchezo kanga kanga

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 2 дня назад

    Kuna kiongozi mmoja wa CCM haya yanamchukiza sana mpaka akafika kusema hutuwezi kuiwacha zanzibar kuwa nchi kamili wale wataleta udini yaani udini ni uislam tu ukristo sio udini

  • @MwasitiHamis
    @MwasitiHamis 2 дня назад

    Allah awafanyie wepesi mtoto huyo atapata matibabu inshallah

  • @RahmaShaaban-s5u
    @RahmaShaaban-s5u 2 дня назад

    Somo kuanzia Leo nafanya kwa ajili ya Allah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 дня назад

    Mashaallah Allha 💖

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 дня назад

    Shaikh mohammed amesema kuhusu propaganda tumemuelewa lkn hakutaka kumaliza ila tushamuelewa wala asilaumiwe OSAMA BEN BAAZ WA ZANZIBAR WAPO 😅😅

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 3 дня назад

    She so beautiful Mashaallah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 3 дня назад

    Jazzakkallah kheri

  • @MongoraNdege
    @MongoraNdege 3 дня назад

    Hakuna kubwa kwa Allah Mungu atakusaidia

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 3 дня назад

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah!!!

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 3 дня назад

    Kingamuzu gani jaman inapatikana maan huwa bando zinakata mda mwengine🎉🎉

  • @barutwanayohussein7776
    @barutwanayohussein7776 3 дня назад

    Masha Allah, masha Allah, masha Allah. Tabaraka LLAH wa jazakumaa LLAHU khayira kathira

  • @AlbanSalum
    @AlbanSalum 3 дня назад

    Tunaomba iwe kama enzi za mababu zetu irejeshwe kwa zanzibar nzima qur'aan class kwanza miaka 3 kwakila mwanafunzi aliekua mkiristo atasomeshwa ukiristo wake akitoka hapo atapelekwa aanze msingi darasa la kwanza naisomeshwe dini mpka mwisho wa maisha yake na watoto wakiume na wakike watengwe kila jinsia class zao hilo linawezekana

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 3 дня назад

    Kwanza asomeshwe huyo mwalimu mkuu ajue kusema qur'an sio KURUWANI😂

  • @Zena-b2n
    @Zena-b2n 3 дня назад

    Allahu akbar