YATIMA SABA WANUSURIKA KUMEZWA NA CHATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 окт 2022
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 118

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 Год назад +11

    Naomba btujitahdi watanzania wote kwa ujumla tujitahidi wapate hata two room wapate kustrika wallah na wasio watanzania pia kwa ujumla sisi sote africa moja tuwasadie jamani 😭😭😢😢😢😢😢😢

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 Год назад +6

    Mm maisha hayo nimeyapitia mpaka kufikia kufukuzwa kwenye nyumba za watu mitihani jamn

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад +7

    Utapata mama usikati tama mungu yupo pamoja na wewe 😭😭😭😭

  • @aash4145
    @aash4145 Год назад +7

    Wanaitaji msaada jamani,,,,, ni huruma sanaa,,,, inshaalah mungu atawajaalia

  • @awatifomar5185
    @awatifomar5185 Год назад +4

    ALLAH AWAFANYIE WEPESI

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 Год назад +6

    😭In shaa Allah mungu ataleta heri yatapita utapata pakujistiri na wanayo kwa rehma za Allah mmngu.. Ameen

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Год назад +4

    SubhnAllah, jmn ajengewe

  • @wanusuleiman169
    @wanusuleiman169 Год назад +2

    Faswabrun jamiil inshaaAllah kwa uwezo wa Allaah iatastirika familia hii na watasahau yote hayo biidhni llaah kwani Allah anasema innamalu'sri yusra

  • @rachellaiza7779
    @rachellaiza7779 11 месяцев назад

    Hakuna vibarua vya kufua shida ya nzanzibar wanapenda kukaa kibos na tegemezi hawataki vibarua kbsaa nachojua hakuna maskini Mungu anaweza

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад +7

    Ni kuona maisha ya huuu mama yamenikumbusha maisha nilio yapitia kweli😭😭😭😭

  • @lovvy854
    @lovvy854 Год назад +4

    Mwenyezimngu atawafanyia wepesi na awahifadhi insha'Allahh kheir 🤲

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 Год назад +5

    Allah karimu

  • @abumoyo840
    @abumoyo840 Год назад +5

    Poleni sn ndugu zangu Mungu yupo alali one day yes

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 Год назад +2

    Allah ni tegemeo letu atasimamiya kila zito akupe na kheri Aameen Yaarb Alaameen 🤲

  • @aminabalamamnyawasatz3385
    @aminabalamamnyawasatz3385 Год назад +2

    subbahanallAh hivi serekali haioni umuhimu wa Watu km hawa yaarab 😭😭😭

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 Год назад +2

    😭😭😭😭subuhannaAllah nimeliya hadi basi Alhamdhullah💔

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 11 месяцев назад

    Pole mama Mungu atakuwezesha

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +4

    Subuhanallah Allahu Akibar 😭😭😭

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 Год назад +1

    Subhana llah. Alhamdulilah nashkuru Allah kwa kila kt 🤲.yaa rabby wape subra waja wako hawa na uwafanyie wepec kwenye kila zito yaa rabby 🤲 inaumuza Sanaa 😭😭😭😭😭😭

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 Год назад

    Jamani serikali na wafadhili wamjengee huyu mama na watoto nyumba.toeni sadaka na Mungu atawaongezea

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 Год назад +1

    Naomba kuchangia imenigusa Sana familia hii

  • @salamaalihamadi4730
    @salamaalihamadi4730 Год назад

    Naomba mtoto mmoja nimsaidie kumlea na kumsomesha japo na mimi sio tajiri

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 Год назад

    Ukweli nimeguswa sana na Taarifa hii nimi ni mtu wa kawaida lakini kwa Hao wamenizidi kwa shida ukweli inaumiza sana maana hadi usiku ndio wanaanza kupata chakula cha mmlo mmoja inauma sana. Naahidi in shaa Allah na mimi Allah akinijaaalia nitachangia hapo seti.

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d Год назад

    SubhanllAh hadi machozi yamenitoka yaani hii familia inanikumbusha mbali sana tulikuwa dar lakin nyumba tuliyokuwa tukiishi chin neiron juu neiron mvua ikinyesha inatunyeshea wanateseka sana na hivi wao wako shamba pole mama nina Imani kila tupo wengi Mtanzania bara na visiwan kila mmoja akitoa 1000 tutawawezesha kupata nyumba na mahitaji mengine kama chakula na vifaa vya shule Mwenyeez Mungu tunakuomba uisimamie familia hii

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Год назад +1

    Tujichangishe wapate pa kulala 😭😭😭🙏

  • @husna34562
    @husna34562 Год назад +3

    Subhanallah 😭

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Год назад +3

    Lahaula walakuwat ilabilah

  • @khamisjuma8813
    @khamisjuma8813 Год назад

    Jamani lakini hawa viongozi wetu na matajiri wanajua kama kuna watu wanaishi namna hii! Dah siku ya SIKU kuna kazi kweli jinsi tutakavyoulizwa na kuhukumiwa katika mahakama ambayo hakimu ni Allah na Mashahidi ni viungo vya mwili wake mwenyewe mwanaadam ndivyo vitakavyomkalia ushahidi. Tunakuomba Allah utufanyie wepesi.

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Год назад

    Wenye uwezo mko wapi waislamu wenzetu wanadhalilika Alhamdulillaah

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 Год назад

    Mungu ataleta shufaa kwakweli

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад

    sheni na samia kazi yao kuita watoto wadogo ikulu

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Год назад +1

    Poleni ndugu zangu..wako wapi huko jamani???

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 Год назад

    Allah atawafanyia wepes na subra ina malipo inshaallah

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 Год назад +2

    Very imotional

  • @AbeidkhalfanAbdalla
    @AbeidkhalfanAbdalla 2 месяца назад

    Subhanaaallah

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 Год назад

    Takbiir,Allahu Akbaar

  • @mbebesisilayo2511
    @mbebesisilayo2511 Год назад +1

    Mimi nahitaji kumsaidia huyu mama nipeni maelekezo nifike

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Год назад

    Subhannahllah Yarrabi wajaalie rizki wajawako hawa

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 Год назад

    InshaAllah mungu atawasaia

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад

    Subhanalha mungu atakusaidia

  • @saidjuma9389
    @saidjuma9389 Год назад

    Pole sana mama

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 Год назад

    Subhanallah

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Год назад

    Subhana Allah

  • @bakarimussa6435
    @bakarimussa6435 Год назад

    Pole Sana mm ndo maisha

  • @ftft4269
    @ftft4269 Год назад +1

    Subhanallah Allah akbar Allah wahurumiye ya ilahi

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 Год назад

    In shaa Allah 😭 hashindwi mola wetu,basi in shaa Allah☝️🤲🤲🤲

  • @bahatijsaha7298
    @bahatijsaha7298 Год назад

    Allah yupamoja nanyi

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 Год назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭SUBHANALLAH Mola wangu awasaidie Mama ang 💔💔💔💔😩😩😩😩Allah akuhufadhin yarab nakila shari

  • @husnasaidali8202
    @husnasaidali8202 Год назад +2

    subhanaallah 😭😭😭😭

  • @ireenramsey951
    @ireenramsey951 Год назад

    Allah akbar (innamaal ussri yussra,)

  • @khalidderrossi8165
    @khalidderrossi8165 Год назад

    Wallah mtihn

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Год назад

    dah sehemu gani hii

  • @saidjuma9389
    @saidjuma9389 Год назад

    Yupo kijiji gani huyu mama

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭then raisi ana staafu anajengewa nyumba anakabidhiwa, raic huyo ananyumbani kwake kuzuri sana 2. Then wanamuongezea. Wenye wiitaji wanaachwa. Hiv majumba wanayo kabidhiwa wa staafu zingepatikaka nyumba ngapi za wenye wiitaji. Maji yanachotwa mferejini na kumwagwa baharini, TZ watu tunaumia sana.😭😭😭😭😭😭

  • @yussufumohd8803
    @yussufumohd8803 Год назад

    poleni sn Ila musilie mungu yupo pamoj nayi inatiya hurum

  • @aishaabdalla7624
    @aishaabdalla7624 Год назад

    Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh. In shaa allah tutajitahid sheikh rashid, lakini hii mi wapi? (Wanaishi wapi)

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад +1

    Mnakumbuka Zanzibar wanafunzi walikuwa wakipewa vifaa nyote vya Skuli mpaka campass na mabuku ya masomo yote... pamoja na vitabu sasa imefika hali hiyo adhabu kubwa kwa wanafunzi. Dr. HUSSEIN....Maendeleo yanakuja kwa Elimu kwenyeNchi. Ikiwa mambo ndio hayo kwa WANAFUNZI na wako wengi kama hao..Kitu muhimu Serikali kusaidiwa wanafunzi wote bila ya kuchaguwa.

  • @waheedakihiyo9823
    @waheedakihiyo9823 Год назад

    Innalah rajiun

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 Год назад

    Nimekumbuka niliko toka

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад +1

    Inahuma kweli emungu nitie nguvu ni safishe hamamu za warabu nipate riziki ya famillia yangu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Год назад

      Amiiin yote maisha hyo muhimu riski yko unapats ya halali bs.

  • @aliabdallah5183
    @aliabdallah5183 Год назад

    Namba nipatiwe namba ya cm

  • @user-fs7xc2bb5d
    @user-fs7xc2bb5d Год назад

    Yaan nimelia mwanzo mwisho huyu mama na hawa watoto wanateseka sana mvua zote zinanyeshea ndani kipindi cha kipupwe baridi kali wanateseka kwakweli

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Год назад

    Viongozi mnadhima kubwa,zanzibar ni kisiwa kisogo wallah watu serikalini wanaiba pesa,basi ibeni muwasaidie masikini watu wana majumba saba nane wanashindwa kutoa swadaka ntumba moja kwa watu kama hao ni aibu serikali ya zanzibar,nyumba za serikali wapeni watu kama hao

  • @abduomar8438
    @abduomar8438 Год назад

    😭😭😭

  • @shemsahemed3577
    @shemsahemed3577 Год назад

    Unatuma kwenye no gani

  • @SamsungA-sq9pi
    @SamsungA-sq9pi Год назад

    😭😭😭😭

  • @khamishassan7775
    @khamishassan7775 Год назад +1

    SeheM gan hii sheh

  • @judysnasambu5292
    @judysnasambu5292 Год назад

    Mama achilia watoto waende mjini wafanye vibarua

    • @Teacher........
      @Teacher........ Год назад

      duuu ebwanaee!! ndo fikra yako hiyo ??????????????????????????????????????????

  • @hassanmohammed2798
    @hassanmohammed2798 Год назад

    kwenye uchumi wa blueee njaa imezidi

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Год назад

    😭😭😭😭😭

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Год назад

    🥺😢😥😭😭😭😭 Laa haula walaakuwwata illaa billaahi Allahu Akbar

  • @biubwamohd6089
    @biubwamohd6089 Год назад

    Apatiwe ata vyumba viwili jmni sisi tunalala wenzetu wanajificha usiku haifai jmni tunapataje usingizi wakati wenzetu wapo nje jamani atavyumba viwili tu nduguzangu waislam ata mwenye 2000 mbili watanzania 2000 wakifika km kila mtu ataowa watapata pakujisti

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 Год назад

    Najikuta machozi yananitoka

  • @judysnasambu5292
    @judysnasambu5292 Год назад

    Achilia watoto wafanya hata kama ni kazi ya nyumba alawapate pesa acha kukaa hivyo🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Год назад

    Jamani serikali ni wajibu kuangalia watu kama hawa

  • @ashaancalbby7589
    @ashaancalbby7589 Год назад

    Anakaa kijiji kipiii

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 Год назад +1

    Huu mama kanitia uchungu

    • @ahmadseif7241
      @ahmadseif7241 Год назад

      Kakutia uchungu kivip?

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Год назад

      @@ahmadseif7241 kaumia kahis kma mama ake maisha anayopitia

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Год назад

    Haya maisha.wengi.tumeyapitia

    • @user-yi1sb5vs2v
      @user-yi1sb5vs2v Год назад

      Kwa kwel mung awasimamie akuepushen na baraa hilo

  • @salma0000
    @salma0000 Год назад

    Wapi hapo

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 Год назад

      Allah ndie mjuzi wa kìla binadamu hakika yy ndie wa kuombwa na kusujudia Allah atareta heri kwenye hii famiria

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 Год назад +1

    Assalam Alaikum vipi hali jamani niliomba mtoto mmoja nimemtafuta huyu shekh rashid naona hatua zimegonga mwamba hakutoa jibu mpaka leo namtaka mmoja jamniiiiiiiiii😭😭😭😭😭

    • @alfatahcharitableassociati18
      @alfatahcharitableassociati18 Год назад +1

      Walaykum salam.Fatma Wazee wengi hawatoi watoto wao wanapenda wabaki nao Bi miza nae ndio hivyo hivyo.

    • @najmaulaya8819
      @najmaulaya8819 Год назад

      @@alfatahcharitableassociati18 nikweli muhim tuwasaidie waishi kwa pamoja nao wapate furah na nuru usoni mwao akitoka mmoja itakuwa shida sana washazoena shida raha wanazopitia wapo pamoja mashaallah tujitahdi wawe katika hali ya furaha na aman ya maisha

    • @inginiakipirakipira1380
      @inginiakipirakipira1380 Год назад

      Tatizo kubwa mukipewa watoto munawanynya paa kisa wawo hali zao ni zachin

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 Год назад

      @@inginiakipirakipira1380 usiusemee moyo wamtu sio kila mtu nikatili wawato natamani ungejua tu hustoria yangu kwa ufupi ingawa haitokusaidia chochote na laiti ungeujua moyo wangu usingethubutu kutamka hilo neno tumuachie mwenye mungu ndie mwenye kujua nafsi na nia ya kila mtu

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx Год назад

      @@inginiakipirakipira1380 sio wote wpo hvo baba angu kalea watoto 12 sio wke na alikua anawapenda na kuwajali kuliko sisi maisha yke yote kamalizia kulea wamekua wameolewa hmna hta anaemsalimia baba angu na kumjali ss wanawe ndio ndio tunamsaidia. Sio wote wapo hvo kabisa.

  • @laliapamba4187
    @laliapamba4187 Год назад

    Asalaam aleikum, mm nataka namba ya huyo mama direct ili kila mwezi niweze kumtumia sadaka yangu kwa ajili ya chakula.

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 Год назад +2

    Wako wapi Hawa

  • @sakinamahmoud6502
    @sakinamahmoud6502 Год назад

    Kumbe Zanzibar Kuna maskini dah wanaongeaga shit

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Год назад

    Subhanallah 😭😭😭 Astaghfiru llah ya Rabala'alamiin 🙏🥲😭

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад

    Tupen namba yke huyo mama

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад

      Chukuwa hapo ktk video uwasiliane utapewa

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 Год назад

    Wapo wapi kwani hawa wanakaa mji gani?

    • @masturaabdul1007
      @masturaabdul1007 Год назад +1

      Kwa mujibu wa mazingira nahisi wapo kisiwani Pemba. Allah awastiri wao na sisi.

    • @mwanahawamohammed8540
      @mwanahawamohammed8540 Год назад

      Pemba ya wapi?

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 Год назад +1

      @@mwanahawamohammed8540 chukuwa namba ya simu ulize

  • @yusuphmungure1765
    @yusuphmungure1765 Год назад +1

    Allah karimu

    • @othmanameameir770
      @othmanameameir770 Год назад

      subhannallah wanapatikana sehemu gani hiyo familia

    • @yusuphmungure1765
      @yusuphmungure1765 Год назад

      @@othmanameameir770 chukua namba apo kisha piga alfu utaelekezwa

  • @zohrazohra1051
    @zohrazohra1051 Год назад

    😭😭😭