Jamani nipo hapa namie msinimbanguwe na mmi naitaji like na mtambarikiwa wote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪hey tumu ya wale wasio mpenda kunambi jooni kwenye comment tufuraiye maana siri dio basi hilifishuka 🎉🎉🎉🎉
HABARI ZA UMU NDAN MIMI NAOMBA NIPATE MAWASILIANA NA WAHUSIKA WANAO TUMA IZI CLIP MAANA NINAUSHAULI JUU YAO NISAIDIENI WAUNGWANA NINAUSHAULI KWENYE KAZ YAO❤❤
Donta Ni waigizaji bora sana na mtafika mbali sana mnafanya kazi zenu kwa ubora wa hali ya juu sana kazi zenu hatuzichoki Ila msiwe mnatucheleweshea kelvin khan mungu aibariki kipaji chako na uzidi kufanya kazi bora zaid ya kijana muuza maji yani kiufupi hamjawahi kufanya kazi mbovuu🎉🎉❤❤❤❤❤
Maajab Nami leo nmewahi kazi nzuri Sana n Mungu awajalie Zaid na azitazamame juhudi zenu awaondolee ugumu katik maisha yenu shabiki wenu kipenzi kutoka +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imeisha vibaya bn mlitakiwa mtuonyeshe matuko yote tulitakiwa tuone kunambi anavo dhalilika hii final ilitakiwa iwe na dk nyingi kidg lkn mmetubania sijapenda kwakweli 😢
Mmeimqliza kizembe sana maana mungetuonyesha vile yalijulikana na kunambi kufukuzwa na Kelvin kubadilika kama mnavyoongea kwenye kichwa cha movie. Tunatarajia season 2 kwa hii movie😊 mkenya daima
Mnao chukizwa na swala lakucheleweshwa sana hii movie tujuane Kwa like
Tupo wengine
I once thought wameitupilia mbali 😢
Jamani nipo hapa namie msinimbanguwe na mmi naitaji like na mtambarikiwa wote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪hey tumu ya wale wasio mpenda kunambi jooni kwenye comment tufuraiye maana siri dio basi hilifishuka 🎉🎉🎉🎉
Mungu awanusuri walioko ndani ghorofan walioko hai mungu awatie nguvu na waliotanguli a mbele za hak mungu awalaze mahala pema peponi Amina🙏🙏🙏🙏
Ata me leo nimewah wadau nipeni like zangu🎉🎉😊
Asante sant kwa move nzur 2nagonja nyingine mungu awatie nguvu😊
Ameeen 🙏 ❤
asante donta tv kwa kazi yenu nzuri kama unakubaliana nami weka like
Wanaomkubali kelvin nawapenda saaana 🇰🇪🇸🇦❤️❤️
Asanté sana kwakazi nzuri sana kweli🎉🎉🎉 nami natoka dr Congo 🇨🇩🇨🇩
Leo nimekua wakwanza jamani 2mpeni mauwa kama yote kelvin kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
Wakwanza mm leo jamani show love 💕 apa kwakulaki 🎉🎉
Wa kwanza leo jamani naombeni like zangu jamani 🎉🎉🎉🎉
Leo ni wa kwanza nipeni like zangu
This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤
Cjachelewa hata kidog Leo kz nzurii nilikuwa naisubil
HABARI ZA UMU NDAN MIMI NAOMBA NIPATE MAWASILIANA NA WAHUSIKA WANAO TUMA IZI CLIP MAANA NINAUSHAULI JUU YAO NISAIDIENI WAUNGWANA NINAUSHAULI KWENYE KAZ YAO❤❤
Loveness Nakupenda sana Loveness unakuwa Mkweli, Hata kama ni mchezo shukran Loveness ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🎉💐
movie ni nzuli sana shida mnaichelewesha sana jaman bas hata kwa wiki mtoe mala mbili
Mashallah kz nzur sana maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Waoooh nilikua nasubir kwa ham sana mbarikiwe
Amina na Tina Bila kudanga mv haija isha bado pia Wanakuwa sio waaminifu katika mv zao
Nawapenda kazi zenu Donta family, mungu azidi kuwa rinda na kuwabariki
Good job my brother 🎉🎉❤
Jamani mbona imeisha haraka hivo😢😢❤❤❤
𝕋𝕒𝕗𝕒𝕕𝕙𝕒𝕝𝕚 𝕧𝕚𝕡𝕚𝕟𝕕𝕚 𝕫𝕚𝕜𝕒𝕞 𝕜𝕨𝕒𝕙𝕒𝕣𝕒𝕜𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕜𝕒𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕥𝕦𝕜𝕚𝕤𝕦𝕓𝕚𝕣𝕚 𝕒𝕜
Hata Mimi nifika jamani japo nimechelewa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Mnazingua mnachelewesha sana
Donta Ni waigizaji bora sana na mtafika mbali sana mnafanya kazi zenu kwa ubora wa hali ya juu sana kazi zenu hatuzichoki Ila msiwe mnatucheleweshea kelvin khan mungu aibariki kipaji chako na uzidi kufanya kazi bora zaid ya kijana muuza maji yani kiufupi hamjawahi kufanya kazi mbovuu🎉🎉❤❤❤❤❤
Kelvin kaka ww nikiboko sana hongera kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤
Mubalikiwe donta tv am from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
First One from Kenya 🇰🇪🇰🇪 likes hapa ❤❤❤
Eeeh mr kevin you are the king act 🇧🇮❤❤❤💐💐ila movie yetu yaisha fast
I waited very eagerly
👋👋 it's bk,l rly love ths movie ❤❤🇰🇪
Apana mujamaliza vizuri apo
Munacheleweshaa sanaaaa
Maajab Nami leo nmewahi kazi nzuri Sana n Mungu awajalie Zaid na azitazamame juhudi zenu awaondolee ugumu katik maisha yenu shabiki wenu kipenzi kutoka +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijapenda mnamalizaje wakati kuna vitu vingi nilikuwa natarajia kuviona😢😢😢
Bom trabalho, Donta family
Cjachelewa na mm pia leo😂❤❤❤❤
Hii song nzur
𝕎𝕒𝕥𝕨𝕒𝕞𝕓𝕚𝕖 𝕥𝕦 𝕛𝕚𝕟𝕒 𝕤𝕠𝕟𝕘 𝕡𝕚𝕒 𝕨𝕚𝕞𝕓𝕠 𝕞𝕫𝕦𝕣
Leo nko wa mwisho naombeni like zangu ❤❤❤
Wa kwanza mi leo
Mumetunyanyasa kabisa imeishia patamu😢😢
Wangapi wanaweza kua na moyo Kam wa kelevin gonga like Kam wew upo
Nipeeni ata Tano please
Nice job 🎉🎉
Bwana yesu asifiwe🙏🙏 kma tuko pamoja siku ya Leo punga mkono hewani👋👋👋 jamani❤❤
Safi Sana ❤❤❤🎉
Team kelvin tpo apa...🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦
Nimekuwa wakwanza🎉🎉🎉🎉
Jmn tuendelee kuwaombea ndugu zetu walioko kwenye janga hilo la kuporomoka kwa jengo la ghorofa dms
Imeisha vibaya bn mlitakiwa mtuonyeshe matuko yote tulitakiwa tuone kunambi anavo dhalilika hii final ilitakiwa iwe na dk nyingi kidg lkn mmetubania sijapenda kwakweli 😢
Mmeimqliza kizembe sana maana mungetuonyesha vile yalijulikana na kunambi kufukuzwa na Kelvin kubadilika kama mnavyoongea kwenye kichwa cha movie. Tunatarajia season 2 kwa hii movie😊 mkenya daima
Da yani sikutamani hiishe jaman toen muendelezo
❤❤❤❤❤❤nawapendasana kabisa mnacheza
Kazi nzur mungu awabaliki
Hio dress lovness haikukai,nilikuanimekusahau,nimekuzoea kwa madera
Benja hata kama ni ukarimu,no hapo ni too much pls,unakubslia x wa ur friend kijumba cha room 1,no no no thats WRONG umefeli bro😭
Tupostie hii song
Wa arubaini😂😂😂😂
Nimewai like zangu 🎉🎉🎉 nawapenda
Nani kwako ubwa kama huyo mwezio ukatoka kwa mumemo kisa tamaa
Nzur cn❤❤❤❤
Haka katina kambea kambea kwanza akikutan na huyu Babake 😂😂
Mbona mmekatisha movie haijaisha vizuri ni kulingana na mada yenyu
Kazi mjarab muno alafu aka kawimbo katam muno
Mnachelewesha sana , na bundles ni zetu😊
Tumefurahi,kazi nzuri❤❤❤❤
No moja❤❤
Asanteni❤nyote
Loveness nakupenda sana 🎉🎉🎉🎉
Hii nyimbo fanyeni muitowe
❤❤❤
❤❤❤
Love kelven nakupendeni jamanii🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Mi leo nimecelewa lakini❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nimekuwa wa 5
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉
Ilitakiwa Kevin maisha yake yawe ya juu kupitia baraka ya mtoto
Iyi filamu ni nzuri san
Asanteni kwa burudani mauwa yenu mpewe❤❤❤
Kelvin nitumie hili bit hata kwa link t
Nitashukuru sana
Hamkumaliza vzr kbs
Aya ss series imeisha, ss tupeni uwo wimbo mlowek ndan ya series "Aibu aibu utaiwek wp sur yako" natak nitoe cover tiktok
kumbe ndo imeisha kindezi ndezi tu ivi😂😂😂😂😂
Maua team strong ❤❤🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muna chelewa xna mbn?
Hii movie mmeikatiza,wala sio mwisho
Hamjamaliza vizuri
Imeisha vibaya sana
Yaani movie imeisha bila wimbo kutoka😢
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤🎉
Woow leo ipo 🎉🎉🎉🎉
Mambo ni🔥🔥
Hii movie mmeilazimisha kuisha Title ya movie na jinsi ilivyoisha haviendani, hatujaona maisha ya kelvin yalivyobadilika
Kwenye final mmealibu
Ndio mnamalizaje hivi