Mungu naomba uturehemu watanzania na utunusuru na janga hili waliookolewa wakiwa salama na waliopoteza uhai tunashukuru maana kazi yako haina makosa...
Asante sana Mh Chalamila kwa kutambua mchango wa wananchi wa kkoo kwa juhudi zao kuokoa ndugu, rafiki. Zoezi liendelee maana binadamu anaweza kuishi bila chakula na maji kwa muda wa siku 9
Masha allah manno safi kuokoa sio masihara kama tunavofikiria na zaidi jengo kubwa likipata ihitlafu ya moto kuaguka tusome nchi za wezetu majanga kam hayo yakitokea japokuwa wao wanavifaa vya kissa lkn sisi hatuna tunatumia mikono
Dr samia Suluhu Hassan ni raisi anaejali wananchi wake kwa asilimia kubwa sana. Kama umewahi kutembelea nchi za Africa angalau hata chache mama yetu anachukua nafasi kubwa sana.tunashukuru kwa juhudi kubwa za uokozi.manpower imetoka kwenye majeshi yetu.
Asante mungu naambao Bado wapo chino Bado tunakuombea mungu wa mbinguni watoke salama kabisa walindwe na nguvu za mungu damu ya yesu inene mema waokolewe salama
Jamani acheni Mungu aitwe Mungu jamana Mungu awabariki mkuu wa mkoa was dar na viogozi wt mbarikiwe sana naona kama maono kumbe ndivyo ilivyo kwa maokozi hayo kweli mmepambana
Poleni sana ndg zetu mlokumbwa na jangà hili, pia hongereni sana viongozi wote na wananchi wote mnaojitoa kwa uokozi kwa wenzetu na mali zao,mungu azidi kuwapa nguvu na imani kubwa ktk kazi hii ngumu AMINAAA .
Naombea rehema za Mungu zisiwapungukie. Yule Roho wa Mungu aliyemtoa Daniel kutoka kwenye mdomo wa Simba ndiye yule yule atakayewatoa ndugu zetu wakiwa salama
Manshaallah nanshaallah Allah aware kher haki mm mkenya ila Tanzania serikali yenu inawajinika mawaziri na viongozi wote akiwemo na raisi maelezo kila hatua yani ni jambo Zuri sana haki dio kenya wangekua wamelala hapo na wakamkia hapo Jeshi la jenya nla kuchukua mishahara na sio uduma
mkuu wa mkoa umekoma hongela sana kwa ushirikiaono wenu maana tunaju janga hili silakawada hata tuloko mbari tunatoa machozi tukisikiliza sauti za wahanga wakilalamika wanatia huruma kwakweli mungu awaponye
Kiukwel kabsa kuna watu hua wanaangalia mawazo Yao na lawam Tu Kwa serekal mtu akisema zoez linaenda trtbu ikitumika nguvu na Zoez LITAKUA limeisha na hao wenzetu walioko huko ndio bac so hongera mh. Mkuu WA mkoa Kwa kuwaeleza vzr nadhan wenye fikra ndogo watakua wamekuelewa 👏
Tunawapa pole watanzania wenzetu na tunamshukuru MUNGU kwa waliotoka salama na tunawaombea wote ambao bado wako kwenye jengo waokolewe salama na kwa uwezo wa MUNGU wetu inshallah watatoka salama na waliopoteza maisha wapumzike salama 🙏
Asante mkuu wa mkoa , wanadamu ndio tuna tabia YA kulaumiana . Ila tunaishukuru serikali Kwa kuwaokoa ndg zetu wakiwa Hai , Na wale ambao wamefariki tunawaomba rehema Kwa Mungu . Asante Kwa jeshi la wokozi , red cross,jeshi la wananchi pamoja Na police Kwa ujumla
Allah awape nguv jaman 😢 walioshiriki kwa uokoaji mungu awape nguvu poleni tanzania poleni wana kariakoo mungu awape nguvu pamoj na wanywe ndugu zao wawe na subra nasi tupo nyuma yao tunawaombea
Mm Naomba mtume maji maziwa na mikate kwenye hayo matundu sio hewa tu peke yake ili watu wasife kwa njaa humo ndani huku mkiendelea kuwarowa na zisukwe ngazi za kamba zirushwe humo ndani huwenda zitaok9wa watu wengi sana.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
poleni familia
Mungu naomba uturehemu watanzania na utunusuru na janga hili waliookolewa wakiwa salama na waliopoteza uhai tunashukuru maana kazi yako haina makosa...
n
Shukrani kwa taarifa shekh mkuu wa mkoa abuu bakari mungu awanusuru ndugu zetu
Congratulations sir,very nice speech, let's continue praying guiz, from kenya 🇰🇪 we are together in prayers 🙏
Mungu akubariki Chalamila,kwa taarifa, Mungu aendelee kufanya wepesi ktk zoezi la uokoaji ndugu zetu watoke salama
Amina, Mwenyezi Mungu azidi kuwapa ujasiri na ulinzi na walewote ambao hawajaokolewa azidi kuwapa uhai hadi watakapo okolewa.
HONGERA SANA Mh. Mkuu wa mkoa kwa kujieleza vizuri allah awape hekma ktk uongozi wenu na Allah awajalie nduguzetu watoke salama
Mungu ni mwaminifu wote watatolewa salama
Muheshimiwa hakika nimekuelewa.. umeongea kama kiongozi mungu akubariki sana.. tunamuomba mungu uokozi uwe na mafanikio
Asante sana Mh Chalamila kwa kutambua mchango wa wananchi wa kkoo kwa juhudi zao kuokoa ndugu, rafiki. Zoezi liendelee maana binadamu anaweza kuishi bila chakula na maji kwa muda wa siku 9
Hongera kaka hii ndo sifa ya kiongoz nice speech wisdom speech congratulations my brother.
Mungu awabariki xsna kwa kuokoa maisha ya hao ndugu zetu mungu awasaidie na hao waliobakia tunaamini msaada utawafikia amina
Umeongea vizuri🙄, I didn’t expect such wisdom from you. Hongera Muheshimiwa
Kwa nini hukutegemea...??!!
Masha allah manno safi kuokoa sio masihara kama tunavofikiria na zaidi jengo kubwa likipata ihitlafu ya moto kuaguka tusome nchi za wezetu majanga kam hayo yakitokea japokuwa wao wanavifaa vya kissa lkn sisi hatuna tunatumia mikono
Kazi inayofanyika ni nzuri.Mungu aweke wepesi
Mimi binafsi naipongeza serikali kwa juhudi za kuokoa wananchi waliokwama kariokoo,Mungu atuongoze vyema
Ahsante sana sana Mungu Baba Yetu uliye hai.. Jina lako litukuzwe daima. Amina.
Asante Yesu!!!! Tunaamini waliobaki wataokolewa pia. Malaika walinzi wakawalinde huko walio in Jesus Name 🙏
Mungu tunakuomba uendelee kusimamia zoezi hili
Asante Yesu au Mungu mbona nyie baadhi ya wagalatia mnatuchanganya??????
JESUS IS LORD .
N Iman Mpendwaa 🙏🏼
Mungu wa yesu ndo alotoa huu mtihani yesu hahusiki apo kwa chochote, hata ktk uokozi apo hayupo
@@binseif2216 Wewe omba vyovyote kulingana na unacho kiamini ilimradi ndugu zetu waokolewe. Huu sio wakati wa uchambuzi wa mambo ya imani
🤲🤲🤲Yaraby yaraby yaraby tunakuomba watoe salama yaraby
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah
😢😢😢😢😢 tunalia tunalia sana ,machozi yanatiririka ,hakika ,Mungu yuponasi nahakika anatupokelea Duazetu ,hatutupi wajawake
Asanteni sana kwa msaada wenu mwenyezi Mungu aendelee kuwapa wepes
Dr samia Suluhu Hassan ni raisi anaejali wananchi wake kwa asilimia kubwa sana. Kama umewahi kutembelea nchi za Africa angalau hata chache mama yetu anachukua nafasi kubwa sana.tunashukuru kwa juhudi kubwa za uokozi.manpower imetoka kwenye majeshi yetu.
Ila kuna mijitu haina fadhila haioni kazi kubwa anayoifanya mh.rais
Ww auna point nyamaza
Kama ni kweli basi anatakiwa awe hivyo
Asante mungu naambao Bado wapo chino Bado tunakuombea mungu wa mbinguni watoke salama kabisa walindwe na nguvu za mungu damu ya yesu inene mema waokolewe salama
Tunamshukuru Mungu sana kwa wote waliookolewa. Pia Tunashukuru Serikali kwa jitihada zote walizochukua na kwa umoja waLiyoonyesha. Mubarikiwe sana
Jamani acheni Mungu aitwe Mungu jamana Mungu awabariki mkuu wa mkoa was dar na viogozi wt mbarikiwe sana naona kama maono kumbe ndivyo ilivyo kwa maokozi hayo kweli mmepambana
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi na majeruhi mungu awaponye ili warudi kwny kusuma gurudumu la maisha .
Asante Mungu kwa hao kuokolewa wakiwa hai
Poleni sana ndugu zetu watanzania ALLAH azidi kukupeni nguvu katika uokozi Huwo
Nikweli hata wanaookoa wanakuwa hatarini, so inahitaji umakini
Mheshimiwa Chalamila na viongozi wote, ndugu na jamaa wasaidizi, vikosi kazi, jitihada zinaonekana. Inshallah tutakuwa washindi katika janga hili. Ni mtihani wetu wenu na Duniya nzima. Allaahu Akbar.
Kazi njema RC piga KAZI, MUNGU muumba akupe ujasili wa kukesha hapo hadi tamati,, na akujaliie WATU wako watoke salama.
Azi nzuri mungu awabariki
Tushukuru Mungu sana kwa hao walionusurika.
Ni jambo zuri serikali kuchukuwa hatua haraka maana bila wepesi wenu uokozi usinge fanikiwa kwa ufanisi
Mungu awape nguvu waokoaji na awape nafuu wahanga na awapumzishe Kwa Amani wale wote waliopoteza maisha
Poleni sana ndg zetu mlokumbwa na jangà hili, pia hongereni sana viongozi wote na wananchi wote mnaojitoa kwa uokozi kwa wenzetu na mali zao,mungu azidi kuwapa nguvu na imani kubwa ktk kazi hii ngumu AMINAAA .
Naombea rehema za Mungu zisiwapungukie. Yule Roho wa Mungu aliyemtoa Daniel kutoka kwenye mdomo wa Simba ndiye yule yule atakayewatoa ndugu zetu wakiwa salama
Hongera sana Mkuu wa Mkoa kwa taarifa, Mungu azidi kutupa uwezo wa kuwaokoa wengine salama
Poleni kariakoo Mungu atufanyie wepesi
Mama Samia anawapenda sana Watanzania wake, Mungu awalinde viongozi wetu
Asante mungu
Hongera viongoz wetu kwa utendaji kazi wenu na kuwajali wahanga wa tukio hilo Mungu Awabariki
Poleni sana ndugu zanguni mungu aendelee kuwatia moyo
Poleni sana ndugu zangu,Mwenyezi Mungu awawezeshe
Mungu ni Mwema na MBARIKIWE wote mliohusika katika kuwaokoa watanzania wenzetu
Alhamdulilah
Alhamdulillah mungu ni mwema
Manshaallah nanshaallah Allah aware kher haki mm mkenya ila Tanzania serikali yenu inawajinika mawaziri na viongozi wote akiwemo na raisi maelezo kila hatua yani ni jambo Zuri sana haki dio kenya wangekua wamelala hapo na wakamkia hapo Jeshi la jenya nla kuchukua mishahara na sio uduma
Job good, pole sana kwa familia kwa umepoteza maisha ya wapenda wao.
Asante kwa kuendelea kutupatia update Mweshimiwa.Mungu aendelee kuwapigania na kuwapa nguvu .
Duuuuh asante sana mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Waliokufa Allah awarehemu innalillah wainna ilayhi raji'uun ,pole kwa ndg na jamaa zao 😭
Watoto wa mama mdogo akishukuriwa au kutajwa YESU wanamaindi sana 😁.
Asante BWANA YESU kwa kila Jambo, Wewe ni MUNGU MKUU
Uko sahihi Mkuu, unaplay part yako vizuri. Taarifa imenyooka
Polee San vpenzi mungu awatie nguvu 🙏🙏
Tunaomba tunaomba tunaomba Mungu wetu ni Mungu mkuu watatoka sakama😭
Mwenyezi Mungu awanusulu wahanga wa ajali
ALL A Awajaalie wote wapone Salama InshaAllah
Alihamdulillah Allah Kareem kwa waja wake
Alhamdulilah
Mungu asante.kwakuwaokoa ndugu zetu
Polen sana ndugu Mwenyez Mungu awatunze had zos la uokoaji litimia
Subhana Allah 😭😭 ni Huzuni lkn hatuna budi Kumshukuru Allah kwa kilichotokea
Huu sio muda wa kilaumiana,watu waokolewe kwanza, asante mkuu wetu wa mkoa
mkuu wa mkoa umekoma hongela sana kwa ushirikiaono wenu maana tunaju janga hili silakawada hata tuloko mbari tunatoa machozi tukisikiliza sauti za wahanga wakilalamika wanatia huruma kwakweli mungu awaponye
Ongereni sana kwa KAZI nzuri na moyo
Kiukwel kabsa kuna watu hua wanaangalia mawazo Yao na lawam Tu Kwa serekal mtu akisema zoez linaenda trtbu ikitumika nguvu na Zoez LITAKUA limeisha na hao wenzetu walioko huko ndio bac so hongera mh. Mkuu WA mkoa Kwa kuwaeleza vzr nadhan wenye fikra ndogo watakua wamekuelewa 👏
Allah awajaze subira waliojitolea kuwatoa wenzao ktk ajali hiyo tunazidi kuwaombea ndg zetu Allah awasalimishe salama 😢
Mungu azidi kuwapa afya njem pia tushukulu kwa pamoja kwa kuonyesha ushilikiano wa dhat mulio uwonyeshaa ishalla
Pole sana wa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Alhamdulillah
Amina baba angu
Kaongea vizuri👏🏾👏🏾
Safi Sana mkuuu
Sijapenda uangaliaji wa dharau wa huyo askari hapo nyuma. Asante Mkuu wa Mkoa
Kwakweli
Nduguzetu majirani zetu poleni Allah yuko pamoja nanyi na tutazidi kuwaombea.
Mungu awanusuru wahanga watoke salama na hai
Mungu wasaidie howo ndgu zetu waokolewe wakiwa hai zaja nguvu zako baba watoke hawa watu,Mungu wetu muweza wa kila kitu
Tunawapa pole watanzania wenzetu na tunamshukuru MUNGU kwa waliotoka salama na tunawaombea wote ambao bado wako kwenye jengo waokolewe salama na kwa uwezo wa MUNGU wetu inshallah watatoka salama na waliopoteza maisha wapumzike salama 🙏
Allah awabarik shukran sana😢
Pole kwa wahanga wajali mwenyezi mungu watie nguvu
Allah awapeni nguvu viongozi pmj nawatanzania wote kwa umoja wenu nakuondosha tofauti zenu nakujali utu zaidi
Mwenyezi Mungu awape wepesi na ujasiri wa kuwaokoa ndugu zetu, Ameen.
Asante mkuu wa mkoa , wanadamu ndio tuna tabia YA kulaumiana . Ila tunaishukuru serikali Kwa kuwaokoa ndg zetu wakiwa Hai , Na wale ambao wamefariki tunawaomba rehema Kwa Mungu . Asante Kwa jeshi la wokozi , red cross,jeshi la wananchi pamoja Na police Kwa ujumla
DAH AISEE
Ahsante waokoaji Kwa ujasiri mkubwa mungu awabariki Sana
Watanzani kwanza tuwasaidie wenzetu kwa umoja wetu na dua kwa wingi. Tuachane na lawama au propaganda za kipuuzi.
Poleni Sana wapenda jaman mungu hawata nguliye
Alhamdulililah🙏🏻
Well said
Ashukuliwe M/ mungu
Allah awape nguv jaman 😢 walioshiriki kwa uokoaji mungu awape nguvu poleni tanzania poleni wana kariakoo mungu awape nguvu pamoj na wanywe ndugu zao wawe na subra nasi tupo nyuma yao tunawaombea
Hongera wote mliohusika kwenye huo uokoaji na tunaomba Mwenyezi Mungu awape wepesi wakuhimili hivyo vishindo mpaka mfanikiwe kuokoa mtu wa mwisho
Safi sana Charamila kwa taarifa ya kueleweka wewe ni kiongozi Mahiri!
Mwenyez mungu awasaidie walio hai watoke salaama na waliokufa mungu awapumzishe kwa amani
Asante Mungu km wameokolewa
Asante yesu wa mbinguni tunaye kuabudu kila siku endelea kuwatetea watu wako
Inshaallah Allah awaafuu
YESU NI BWANA atazidi kufanya mambo makuu
Kwani si mmemuuwa kwenye msalaba na kusepa na dhambi zenu nn shida
Yesu alikufa akafufuka mtume ndio alikufa moja kwa moja@@mohamedisimai
Hongera sana mh. RC
Big up mzee umeongea vinzuri sana