Daaah pole dana dada Mungu mwacheni aitwe Mungu utapona mami na usiache kumtolea Mungu sadaka ya shukrani. Mungu amrehemu pia marehemu na watoto aliowaacha Mungu awatunze.🙏🙏
Pole sana Allah akupe shifaa za haraka na Allah akuzidishie upendo na Huruma 😭😭 hakika Allah humlinda mja wake na humchukuwa mja wake anapoitaji Allah amrehemu mpendwa wetu
M'Mungu ana kusudi kuu na hawa malaika wawili, watoka salama bila scratch kutoka ktk hiyo ajali! Hakika Mwenyezi Mungu ndie mwenye kujua na mpangaji wa yote! Future generations please do not mess with hawa wanadamu wawali M'Mungu anakusudi kwao
Mwandishi wa habari unanishangaza saana hujui kuuliza maswali kabisa hapo kuna mtoto wa huyo mama alipona kwenye hiyo ajali lakini umeshindwa kuuliza imekuwaje kuhusu huyo mtoto,ulipopata tu fahamu ulimfikiriaje mtoto wako je aliumia au ilikuwaje?ulizeni maswali muhimu
Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatuh pole sana mpendwa wetu Allah Azidi kukupa subra na nguvu In Sha Allah..yote haya ni mitihani ya Allah Alhamdulillah..
Pole sana dada Allah akufajyie wepesi upone Na Allah ampe kauli thabiti marehem kifo ni siri aijuae Allah na yt mtt kubaki hai ni siri yake Allah Mauti ni fumbo na ibada tusijisaau
Dah dada umeniliza pole sana Allah akupe shufaa na Allah pia amrehem mwenzetu na pia amsamehe makosa yake😢😢
Ila haya maisha haya , Mungu tunakuhitaji SANA . 🙌🏻
Haki tena Dunia bila Mungu mzito sana
Toa no. Dada watu wachange hata 500 ,1000,2000,5000 10000 kila mmoja atakavyojaliwa
Wazo Zuri jamani
Kweli jamani tupo tayari
Pole sana dada namwomba ALLAH ampe kauli thabit endal maut nasi pia ALLAH atupe husnul khatima indal Maut
Kwanza mungu ni muweza sana maraika wote wamepona, dar ahsante mungu hakika ulimchukua uliempenda ,mbele yake nyuma yetu
Mungu ampuunzishe kwa amani ,pole sana mpedwa umepata jaribu kubwa
Hy dada anahuzunisha sana..Mungu akupe nguvu kushinda huo mtihani.😭
Ameen
Daaah pole dana dada Mungu mwacheni aitwe Mungu utapona mami na usiache kumtolea Mungu sadaka ya shukrani. Mungu amrehemu pia marehemu na watoto aliowaacha Mungu awatunze.🙏🙏
Pole sana dada kwa yote… nashauri wote tunaotoa comment tuchangie hata 500 tu itasaidia sana… Mungu awabariki wote mnaosoma comment hii na kuchangia….
poleeee sana dada Mungu akufanyie wepesi uponee
Pole sana Allah akupe shifaa ya haraka
Pole dada umeniliza aiseee MUNGU akuponye haraka🙏
Pole sana dada allah akuponye uweze kulea familiy yako❤❤❤da hakika siri ya Allah pekee
Amin😢
Amiin
Subhnallah hakika kifo ni fumbo.... ALLAH atujalie mwisho mwema.....pole sana dada angu
Mungu ni mwema wakati wote,tuombe bila kuchoka, utadhani story kumbe live,,, Mungu tusaidie, bila wewe hatuwezi
Pole sana dada, mungu anajupenda sana ila Mareham mungu amenpenda zaid kikubwa kuwaombea watoto wakue salama
Pole Sana kpnz mwenyezi mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki gumu na akujalie afya njema 🤲
Umeni liza dada poleni sana pole kwa family ya marehemu Allah amfanyie wepesi huko aliko amin inshallah yarabbi tujaalie mwisho mwema amin inshallah
Pole yen aixee allah amlaz mahal pem pepon na wew allah atakupony
Pole sana dada ang mungu akupe uponyaji wa haraka 🙏🙏🙏🙏
Pole sana dada,wewe na dereva ilikuwa sio ajali yao,ilikuwa ya mjamzito
Pole Sana nimeumia machozi yananitoka
Pole sana dada mungu ni mwema kila wakati
DAAA POLEN SANA MUNGU AMSAMEHE SANA MALEHEMU AMJAALIE JANNA FERDAUS INSHALLAH MUNGU AKUPONYE DADA ETU
Pole sana dada nimelia kwa uchungu mungu atabaki kuitwa mungu
😢😢😢sana kwakweli ni simulizi inayoliza sana
Pole sana Allah akupe shifaa za haraka na Allah akuzidishie upendo na Huruma 😭😭 hakika Allah humlinda mja wake na humchukuwa mja wake anapoitaji Allah amrehemu mpendwa wetu
Mungu akuponye mapema dada angu pole sannaa
Kwa kweli inauma,pole dada mwenyezi mungu akufanyie wepesi .
M'Mungu ana kusudi kuu na hawa malaika wawili, watoka salama bila scratch kutoka ktk hiyo ajali! Hakika Mwenyezi Mungu ndie mwenye kujua na mpangaji wa yote! Future generations please do not mess with hawa wanadamu wawali M'Mungu anakusudi kwao
Pole sana dada,umeniliza kwa kweli,mungu akupe uvumilivu
Mwenyezi mungu akupe subla dadate
Poleni nimeumia sana na nimeiona Leo🙏
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN.
Pole sana dadaangu mungu akupe subira ishaallah
Pole sana Mungu atakuponya🙏na Marehemu Mungu ampe kauli thabiti 😪🙏
ALLAH AMUWAAFU INSHA'ALLAH 😢😢
Hakika Mungu yupo jmn polee sana dada angu Mungu akuponyr na akutie nguvu pia
Pole sana Mungu akufanyie wepesi na akutie nguvu uweze kupona
Pole sana wanandugu mna pitia wakati mguumu mungu wetu sote atawafanyia wepesi na mtoto amuepusshe na maradhi awe na afya njema
Pole sana dd pigo kubwa umepata mungu atakuponya siku yako ilikua bad o nautaendelea kuishi kwauwezo wake allah😢😢😢😊
Mwandishi wa habari unanishangaza saana hujui kuuliza maswali kabisa hapo kuna mtoto wa huyo mama alipona kwenye hiyo ajali lakini umeshindwa kuuliza imekuwaje kuhusu huyo mtoto,ulipopata tu fahamu ulimfikiriaje mtoto wako je aliumia au ilikuwaje?ulizeni maswali muhimu
Yani waandishi hovyo kabisa hilo swali muhimu sana kujua huyo mwanae ambae alimfunga mgongoni alikutwa wapi na hali gani
Mpira Kwa Nje Ni Rahisi sana
hata mi nashangaa kwakweli
Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatuh pole sana mpendwa wetu Allah Azidi kukupa subra na nguvu In Sha Allah..yote haya ni mitihani ya Allah Alhamdulillah..
Qàqqqqqqqqqq
Mungu ampe huyo maraika uzima zaid asome awe kiongoz wa tanzania
allaah akupe moyo wasubira yarabbi pia Allah ampe kauli thabiti
Poleni sana mungu halemu roho yake mahali pema batakatifu.
Pole sana Dada duh inauma sana sana
Pole San dad mung akupe nguv awalinde na ao maraik Amina
Nimependa mtangazaji ulipoingia ndani umesemaBismillah
Daaah mtihani kwakweli poleni sana mungu atulinde Kwa Kila hatua
Pole Sana Dada Mungu akufanyie wepesi
Pole dada yang kila jambo hupangwa na mung Allah akutie nguvu
Pole sana dada mungu akufanyie wepesi lnshaallha
Jamaniiii inauma pole sana dada Mungu wetu atakuponya maana ulikua unarudisha fadhira
Mungu anakupenda sana jelaha litapona
Mwenyezi mungu akupe afuni.ya haraka
Pole mpendwa mungu akusaidie upone
Pole sana Allah akupe subra inshallah na akupe tahfifu
Pole sana dada Allah akufajyie wepesi upone Na Allah ampe kauli thabiti marehem kifo ni siri aijuae Allah na yt mtt kubaki hai ni siri yake Allah Mauti ni fumbo na ibada tusijisaau
Pole sana aunt
Pole mwanangu innalillahi wanna ilaihi rajiun
Watu wapitia magumu sana yani mjamzito kwa boda boda😮
Pole sn dada jmn du yaan mpak umeniliza ,M,Mungu awajalie mpone slm na marehem apumzike kwa aman
Duuuh pole sana jaman mungu akutie nguvu sana jaman
Poleni sana, Mungu akuponye
Mungu amlaze mahali pema pepon in shaa allah 😅😅😅
Mungu akuponye kipenzi ulifanya wema ,,na mungu ampumzishe kwa aman rafiki yako na mtoto mchanga Mungu amkuze 🙏🙏
Pole sana mama mungu akuponyee
Mungu ampumzishe kwa aman
Nataman kila mtaa uwe na huduma za mama n watoto ili kupunguza au kuondoa kabisa hizi changamoto zinazo wakabili😢
Poleni sana wote majonzi makubwa msada mkubwa Unaitajika 😢😢😢
Pole dada mungu atawatia nguvu
Pole sana dada Mungu akutie nguvu
Poleni cn Kwa wtt na familiya
Pole sana dada umetuliza sana
Innaalillahi wainnaailayhi rajiuun
Dah jaman mbn pigo kubwa jaman pole sana kipenzi mungu akutie nguvu 😭😭😭😭😭
Pole sana daaaaah mungu akufanyie wepesi
Alla amrehemu ndugu yetu pamoja na wengine wote
Pole Saaaaaana mama
Allah amsameh katika jambo hilo gumu
Amsameh marehemu
Pole sana dad utapona to kwa uwezo wa Allah 🙏 pole kwa familia ya mfiwa
Kifo kikifika hakikwepeki, Pamoja na mwenzie kumwambia anasikia kuogopa lakini kang'ang'ania. Mungu amtunze mtoto na jirani apone haraka
Pole sana dada angu MUNGU akupe wepes
mungu ni mwemah wakat wote dah tumkumbuke mungu anatupenda mno🤲
Poleni sana ndugu zangu mbele yake nyuma yetu
Daaa huyu haikutakiwa ahojiwe kwa haraka hii habari inaumiza sana
ndo waandishi wetu, Kuna ile anamuona mtu analia bado anamuhoji
Anahitaji msaada
@@jemimabakari msaada upi?
Hapo katia namba ,mwenye chochote apate pesa ya dressing ya kidonda chake
Da mungu kweli mkubwa poleni sana
Polee nimelia Sanaa.
Pole Dada nimelia wallah
😭😭😭pole dada usilie muombee na wewe mshukuru Mungu anamaana kukuacha mzima
Mungu akujalie sana
Yani kwakweli mungu niwakushukuriwa maana Hao Malaika wote wapo salama salimini ndio tujue mungu mkali tuzidishe ibada 😢😢😢😢
Dada yangu amini tu mungu yupo na wewe
Poleni Sana. Mungu awatie nguvu. Na mpone haraka.
Miujiza hiyo tujue km mungu yupo
Polen sana jaman.
Dada nakupa pole
Poleni jaman
Pole sana mpendwa
Maskini mama Nuru apumzike kwa amani
Daah yani kifo kikimkalibia mtu awezi kukwepaa wallah