Naiona siku ya mwisho itakavyokuwa ya kutisha kwa kisasi cha Mungu juu ya watenda dhambi, Yesu tunasihi rehema zako maana yanayotendeka gizani ni aibu hata kuyasikia,inauma mtoto wa miez 4 dah kweli shetan unajua kuwatumia watu kuifanya kazi yako ila mwisho ipo jehanamu ya milele maumivu aliyoyapata mtoto huyo kwenu ni mara dufu tena milele bila pumziko.
Nimemuelewa mama mtoto kuna watu tofaut Dunian yn akipokea jambo unaona kama sio seriously unahis sio kwel ila huyo mama akizika huyo mtoto ndo ataamin
Bora sio mkoa wetu wa Arusha maana Kila siku mnatuandama eti ooh ombeni tubuni Aya Sasa acheni kukariri matukio yapo Kila kona ya Tanzania ni hayaripotiwi tu
@@mankakiria5157Eleweni huyo ni mtu wa kijijini na lugha yake ya asili ndo ilipaswa itumiwe ktk kumhoji huyo ni mfiwa kwanza akili zake zimechanganyikiwa hajui ni nini kimetokea. Pole kwake.
Mtoto wa Miezi minne unamwachaje ndani peke yake?Na ukiwa ushasema Familia ina Migogoro?Yani unaniudhi Dada changamka bwana unakajiuzembe hata kwenye muonekano na kujieleza...Basi imeshatokea hakuna jinsi Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Pole sana Mwanangu utalpwa na M/Mungu
Poleni sana jamani Dunia inamambo mengi mana shetani wa mtu ni mtu mwenyewe Mungu aturehemu
Mama.mkwe anausika hapo subhanallah
Da jamani nimejikuta nalia pole Dada mhaya mwenzangu Mungu awatie nguvu na mme wako. Mungu akawe mtetezi wenu. Mpola mno.
Mhm pole mama, zama kwenye maombi mwambie mungu atakulipia
Subhanallah bila kupepesa macho Mama mkwe anaujua mchezo wote Dunia hii sijui inakwenda wapi
Uyudada nimhaya ivo kiswahili kinamchenga kujieleza sana lakn nimemuelewa polesana mdogowangu
Pole Dada
Mama wa mtoto hausiki naongea Kama msemaji wake,akili imevurugika muacheni kwanza. . . .nawasilisha,Ila dunia 🙌🙌
Pore.sana.dada.yangu😢
Ushirikina tu😢😢
Pole saana mungu akulehemu
Dunia imeisha turudin kwa muumba wetu.
pole sana
Huyo mama mkwe na rafikiake ndio wakamatwe police waanzie hapo
Pole Sana dad
Pole sana.Mungu akutie nguvu
Innalila wa innalila rajiun😢pole Sana
Poleni sana Rais abadilishe tu wakuu wa police wote uenda ikaleta tija
Hao wamama wawili ni washenzi sana wauwaji, maskini Mungu amtie nguvu huyu dada
Hya maisha sijui jmn nivitu vinaumiza sana sana.
😭😭😭😭😭😭pole sana Mungu Anaona yote
Duuuh, pole sana
😭😭wamempa sumu huyo mtoto jaman 🙆🏽♀️🙆🏽♀️ili afe wamnyofoe ng'ozi 😥😥
Jamani Mungu wangu
Dunia ya Sasa imebadilika sana wenye mioyo ya binadamu ni wachache sana 😢😢😢
Huyo mama akamatwe haraka
DAH AISEEE
Pooole saana dear MUNGU ATAKULIPIA
MUACHIE MUNGU HAKUNA LISILOWEZEKANA KWAKE MUNGU
Pole hao wamama ndio wamefanya hivi
Naiona siku ya mwisho itakavyokuwa ya kutisha kwa kisasi cha Mungu juu ya watenda dhambi, Yesu tunasihi rehema zako maana yanayotendeka gizani ni aibu hata kuyasikia,inauma mtoto wa miez 4 dah kweli shetan unajua kuwatumia watu kuifanya kazi yako ila mwisho ipo jehanamu ya milele maumivu aliyoyapata mtoto huyo kwenu ni mara dufu tena milele bila pumziko.
Kama baragara kama
Mandazi😢😢😢
😭😭😭😭 jamani 😢😢
Mbona eleweki
😢😢😢😢😢 masikini tulio muelewa huyu Dada ni wahaya wenzake pole sana mdogo Wang Mungu awape faraja kwenye kipindi hiki kigumu kwa kuondekewa mtoto
Kweli kabisa😢😢
Ht mie sio muhaya lakin nimemuelewa 😢
@@ruqaiamohammed345 hongera kama umemuelewa ila Kwa tabu Sana maana story anaichanganya haijulikani mwanzo ni wapi na mwisho ni wapi
@coolwaveac7659 😃
Amechanganyikiwa mdogo Wang u maskini
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un
Pole sana aseee ila kiswahili jamani kuelewa ni shida
Inalilah wa inailah rajuun
Ingekuwa kuuwa ndo kufanikiwa, basi hata sisi tusingejikuta hapa.
Sub-hannallah!!!!' Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭
Aisee inauma sana kwakweli
Subuhanallah
Aiseee Hizi damu za watoto zitafutwa na nn Tz
Du jamani poleni sana
Innalillahi wainna ilayhi raajiiuun
Ushilikina jamani mbaya
sana mno
Kweli wauwawe khaaa kuzaa ulivyokua kugumu wauliwe tuu
Du inauma Sana Jaman
Ivi uyo mama mtoto mnamuelewa mm kama simuerewii vilee
Sazingine wamemziba pumnzi akafa ndo wakamnyofoa ngozi
Mmmmh hadi nkindo mmeanza hayo jmn😢😢😢r.i.p malaika
Ni zaid ya maumivu
Hao hao uliowaacha apo nje wamemuua
Mpole dada wa watu! Ila mama mkwe una la kujieleza hapo
Hao 2 ndo wamemuuwA
Nimemuelewa mama mtoto kuna watu tofaut Dunian yn akipokea jambo unaona kama sio seriously unahis sio kwel ila huyo mama akizika huyo mtoto ndo ataamin
Mama mkwe anahuaika kbsaaa
daahh pole sana ila sasa kiswahili daahhh
Mhh mtihani mbona huyo mama mtt sijamuelewa
Muhaya huyo huoni anashida us kiswahili
Bora sio mkoa wetu wa Arusha maana Kila siku mnatuandama eti ooh ombeni tubuni Aya Sasa acheni kukariri matukio yapo Kila kona ya Tanzania ni hayaripotiwi tu
ila ujasiri wa mama mtoto Ana roho ngumu anaeleza kma ni story ya bunuasi,never the less pole sana ni hasara imekupata
Mungu ampokee malaika huyu😢
Wazo langu na huyu mama wa mtoto akamatwe kwa mahojiano zaodi maana simuelewi kabisaa
Subhanallah
Huyu mama cmuelew mara nilimgeuza mara cmuelew mara nilimuwekea neti ,naona Kuna Jambo wakamatwe wote watoe maelezo yalinyooka
Kiswahilii hajui vizuri waliotenda ni hao wanawake wawili aliwaacha kwake
Muuaji kaua kakata nyama kwenye mkono wa kushoto bado muuaji huyohuyo kamuekea vitu puani ionekane amejinyiga kwa kukosa hewa wala haingii akilini
Rafiki wa mama mkwe ndio adui mkubwa
MINADAMU NI WANASUMU KALI SANA KUPITA ZA NYOKA AU WANYAMA TUNAWAOGOPA SISI WATUWABAYA SANA MALAIKA WA MUNGU KAKOSA NINI😭😭😭
Huyo mama mkwe wa kambo kafanya jambo. 😢😢 Sio bure. Watu km Hawa ni kwenda kusoma Albadili tu
Al badri huruhusiwi ndgu yng kwenye uislamu labda hasomewe dua ya kuwaida tu ya kushtakia Allah ila sio all badri
Ukisoma hiyo inatafuna woote waliofanya hayo @@mudinhomeshack9041
Hee mtoto kanyweshwa sumu alafu sasa sijui wamemnyofoa ili iweje?? 😢😢😢:HUZUNI SANA
Yaani unatafuta nyama badala ya kipiga kelele majirani waje
Unavyoelezea kama kitu cha kawaida
Huyo mama mkwe huyo anahusika hapo
Mama kasema ao watu wauwawe
Mbona hao mashetwani hawakunyofoa nyuchi xa mama xao? Nendeni mkaombe maombi hixo mbwa xitakufa.
Jamani ujasikia.akilia
Subhuhanaka
Sasa dada naomba kuuliza jaman!ulijua kuwa kuna ugomvi kwny familia kwann uliwachia mtoto?? bojoooo
Kamata hixo mamamkwe mchawi na rafiki yake ni wachawi hixo mbwa,liuweni maitimuoxo.
Uyomutu kaenda kuza viungo kenya maana iyokenya ishakuwa jehanamu
Aliye mukata ivyiviungo fatiliyen kenya
Ata mama mtoto ahojiwe vzr bhna mbn sielewi
Mwenyewe simuelewi
@@mankakiria5157Eleweni huyo ni mtu wa kijijini na lugha yake ya asili ndo ilipaswa itumiwe ktk kumhoji huyo ni mfiwa kwanza akili zake zimechanganyikiwa hajui ni nini kimetokea. Pole kwake.
@dicksonkilupa2258 shida cyo kujieleza cjaona kama anafeel the pain kwa kweli
Huyu ni mfiwa kwer mbona Hana tahaluki
@@EsterLazaro-u8cjamani hiyo sio siku ya tukio tukio lisha pita muda
Hameni hapo
😭😭😭😭
Alieona akicheka anijuse jmn wahaya
Mbona kama anacheka huyu mama wa mtoto hana hata huzuni au ni macho yangu Mungu nisamehe
Uyu mama acheki akili imevurugwa 😢
Mtoto wa Miezi minne unamwachaje ndani peke yake?Na ukiwa ushasema Familia ina Migogoro?Yani unaniudhi Dada changamka bwana unakajiuzembe hata kwenye muonekano na kujieleza...Basi imeshatokea hakuna jinsi Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Iko hivii kwanguvu zagiza unafungwa akili uwezi kumbuka maadui ndugu yangu
Umeongea point dada selikali inawatetea wahalifu kuliko wahanga. Ningekua rais watu kama hao ni kalashi.
Wahaya tujuane jamani.. Ila matukio yanazidi bukoba jamani..
Chonka bojo mpola mno,ejinehatari 🤔🤔
Inamaana jiko lipo mbali sana?
Huyu mama akamatwe maramoja jamani
Hao wa mama wahojiwe pumbavu zao shetani wakubwa hao wakwe zako
Nambie niludie alichosimlia huyu mfiwa siwezi haki na ukubwa wangu, lakin pole sana mdogo wangu
Watanzania wengi wagumu sana kujieleza jamani. Vigumu kujua mwanzo katikati au mwisho wa hadithi😢
Sio watanzania ila wahaya tunashida ya kiswahili kiujumla hatuwezag kujieleza kwa kiswahili,lkn angejieleza kwa kihaya angeeleweka vzr
Kweli kabisa
Kweli kabisa
@@emanuelandedela7901nachojuwa Tanzania ni watu wa amani haya yanatokea😢
Mkumbuke amefiwa akili zimevurugika
Kama baragara 😢
Baragara ni nin hiyoo
Mama anahadithia km hadithi tu kwanza mbona anajeraha kwenye kidole
Mbona huyo mama ana ujasiri jamani 🤷?? Mi nauliza tu?? Mh,,
Muda ulikuwa Usha pita na wamesha Zika muda tu
Mpola kaziroe kiswahili kigumu jamani
Huyo mama mkwe achukuliwe hatua kali za Sheria 😅😅😅😅😅😅😅😅
Wasombwe hao wawili2 mamamkwe na huyo lafikiyake
Kwahio mpaka mtoto anaumizwa analia anakufa huyu mama hakuskia kitu….?
Itakuwa walimuuwa kwa kumbana pumzii ndo kuanza kumnyofoa ivyoo kwani wenyewe awajui kama mtoto atalia