MY DAUGHTER | ep 4 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 975

  • @hilsalboy4118
    @hilsalboy4118 Месяц назад +204

    Poleni ndugu zetu muliopatwa na mtihani wa ghorofa kubomoka kariakoo

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande Месяц назад +79

    Juma jicho we na uganga wapi na wapi😂🤣🤣🇲🇿😝🌹🌺🇲🇿🇲🇿

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz Месяц назад +67

    Juma jicho ndani ya nyumba 🎉🎉🎉🎉 nakubali sana

  • @PanarBoina
    @PanarBoina Месяц назад +44

    Poleni ndugu zetu wa kariako, Tanzania kwa kuporomoka ile ghorofa ❤

  • @shabaniIbrahim-l1r
    @shabaniIbrahim-l1r Месяц назад +37

    Clam vevo kazi nzuri sana napata utulivu mkubwa sana kila nichek kazi zako Unajua sana Kaka mungu akupe mwendelezo mzuri. Hongera sana kwa kazi nzuri

  • @sungraomar1164
    @sungraomar1164 Месяц назад +81

    Sitaki nyingi tatu tuuu😂😂😂

  • @gloriakadzo6500
    @gloriakadzo6500 Месяц назад +53

    Nilikua nasema mm niko among of the top 10 kumbe nko wa mwisho 😂😂😂😂 km kuna like zimebaki bas mnipee na mm

  • @ArseniShimirimana-l5z
    @ArseniShimirimana-l5z Месяц назад +93

    Oyaaa wangapi tume I miss big boss like apoo ili clam anze nayo big boss💝💝💝💝💝💝🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎁

  • @LilOmmyCrazyOfficial
    @LilOmmyCrazyOfficial Месяц назад +404

    Movie ndo inazidi sasa kunoga yani mpaka Juma jicho Yumo Alafu yeye ndo mganga aaah😂😂, Leo Mimi Kama Kawaida yangu wala hata sijachelewa sana guys. Kwa wale wote Tulio Subiri hiki Kipande cha Leo kwa Hamu sana Hebu Tujuane hapa Jamani
    Vile vile Nawataki WEEKEND NJEMA❤❤❤

    • @HeriRamazzni
      @HeriRamazzni Месяц назад +7

      Erike❤❤❤

    • @MatiasValeriano-z3c
      @MatiasValeriano-z3c Месяц назад +4

      ❤❤❤❤❤🎉

    • @AdamJacksn
      @AdamJacksn Месяц назад +5

      Pamoja sana kaka mkubwa

    • @Dc-mangifique
      @Dc-mangifique Месяц назад +3

      ❤❤❤❤❤🎉

    • @KimokoFamily
      @KimokoFamily Месяц назад +7

      Nilichopenda juma. Kawa mganga kwerii nimechekaa sanaa mwambie Niko na demu wakee sandraa apaa

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga Месяц назад +32

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo

  • @Dir.Boireezy
    @Dir.Boireezy Месяц назад +52

    Director Boireezy Leo ndo kawai mapema kuliko wote😂😂😂

  • @mboyimipawa9660
    @mboyimipawa9660 Месяц назад +96

    TUNAWAPA POLE WOTE WALIO FIWA KARIAKOO

    • @Winleizerabdy
      @Winleizerabdy Месяц назад +1

      Kwani nini kilitokea huko

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar Месяц назад

      @@WinleizerabdyWe Sio Mtanzania Ama ?

    • @willykijanaa
      @willykijanaa Месяц назад

      Ni ghorofa iliporomoka ikaangukia wanadam hatimae kpoteza maisha na wengne kjeruhiwa​@@Winleizerabdy

    • @Winleizerabdy
      @Winleizerabdy Месяц назад +1

      @@officiallnobystar yeah mimi mkenya ndo maana nauliza ila nishambiwa pale TikTok my condolences to Tanzania people

    • @didonbinance
      @didonbinance Месяц назад +1

      Sorry

  • @SHALKIM-zk1df
    @SHALKIM-zk1df Месяц назад +31

    Waaoooh jaman Leo nimewah ote tunaemkubar brother wetu vevo weka❤ tusonge.pia tusisahau kuwapa pole kwa ndugu zetu wote walio kumbwa na maafa Leo hii k.koo🙏

  • @IzackGriffen
    @IzackGriffen Месяц назад +30

    Nlidhan me ndo wakwanza but....!!! Mpo vzr!!! Vijana

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 Месяц назад +43

    Aka kajuma jicho ni kaganga kwel mbna kanaonekana kama kakwel😂😂😂😂

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b Месяц назад +1

      Aki walai😂

    • @shabsoomary2514
      @shabsoomary2514 Месяц назад +1

      @BeatriceMussa-y4b na kalivyo na sura ngumu na saut kama yangu😂😂😂 ase kangetokea mkoa fulan hvi ningeshajua kuwa ni kachawi😀

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад

      😂😂😂

  • @hillarywekesa7936
    @hillarywekesa7936 Месяц назад +28

    Walahi naikubali kazi ya Kaka Vevo Isee movie safi sana na kama unamkubali huyu clam gonga ❤tutambuane maana nafuatilia tangu mwanzo hadi tamati🎉team kenya🇰🇪

  • @Vincent-u8x
    @Vincent-u8x Месяц назад +45

    Watatu leo nipe zangu toka 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @RichardBwenye
      @RichardBwenye Месяц назад +3

      Together as one tumekutana huku. Kenya kilifi apa

    • @MwanengoMbogo
      @MwanengoMbogo Месяц назад

      @@Vincent-u8x Kenya 003 kilifi

  • @MrlufungaKijamarco
    @MrlufungaKijamarco Месяц назад +49

    Mm ndo wakwanza wapendwa sijawahi kuomba like, tuwaombee ndugu zetu kariakoo mungu awanusuru..

  • @FrJerkiss
    @FrJerkiss Месяц назад +16

    Mimi wa mwisho leo, hila leo nina furaha sana kua team letu la taifa lina funga éthiopi 2 kwa 0❤❤❤

  • @BETTYANYISO
    @BETTYANYISO Месяц назад +20

    Mbona hamkuniamsha😂😂 mnataka inipite😂😂😂❤❤Clam wangu uyu😅😅😅

  • @nobletz
    @nobletz Месяц назад +52

    Dah Kaliakoo 😭😭😭😭😭😭

  • @Mrpthetall
    @Mrpthetall Месяц назад +15

    Naipenda sana kazi Yako clam yaani inaridhisha na uendelee kubarikiwa

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td Месяц назад +30

    Pamoja san mwanetu from Burundi 🇧🇮♥️♥️♥️

  • @gcweke
    @gcweke Месяц назад +30

    Kumbe Kipara band huwa mkenya 😢
    From kenya love clam work

  • @Soniajamal-pu4wz
    @Soniajamal-pu4wz Месяц назад +5

    Anae muamini mungu aweke laik apa mwenyezi mungu atupe mwisho mwema

  • @RichardBwenye
    @RichardBwenye Месяц назад +17

    Wee mzee clam umetisha hichi kifungu Cha Leo . Mgonge like basi 😅.....from Kenya apa

  • @vicky_ylove14.
    @vicky_ylove14. Месяц назад +8

    Mnaijua nyimbo ya zuchu number one ndo mm sasa leoo😅😅 like kwanza

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz Месяц назад +17

    🎉🎉🎉 Akili nyingi sana nakubali boss clam Vevo 🎉🎉🎉

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 Месяц назад +21

    Move nzuri,ila butua kapendezaa😂😂😂

  • @GulainOrediOg
    @GulainOrediOg Месяц назад +21

    Wakwanza nipeni liké zangu from Congo RDC ❤🎉😂😢🎉

  • @SaynB_official
    @SaynB_official Месяц назад +32

    Wakwanza leo likes kwa kazi nzuri clam vevo team 🎉🎉😊

  • @LydiannaKahambu-d3v
    @LydiannaKahambu-d3v Месяц назад +1

    Vevo weye ni moto chukuwa maua yako kk🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VeronicaMinja-zg3mv
    @VeronicaMinja-zg3mv Месяц назад +4

    Huyu mganga amejua kunifurahisha 😂😂😂😂

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express Месяц назад +15

    JUMA JICHOOO ❤😂 nimefurahi sana kukuona mtaalamu wanfu rafiki yake SANDRA lleo katika uganga bana 😂 nasubiri kukuona kwenye scene moja na SANDRA 😂😂😂

  • @Assanid0dju
    @Assanid0dju Месяц назад +6

    Acheni ujinga wa kwanza mimi leo Congo

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Месяц назад +15

    Ngoma za wasmbaa sieka zatuliza mawazo😅😅😅

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Месяц назад +65

    Yoyote utakayesoma hii coment MUNGU AKUPE HITAJI LA MOYO WAKO 💗🤲💗🤲💗🤲💗🤲💗🤲💗🤲💗🤲💗🤲

  • @ayubusalum4487
    @ayubusalum4487 Месяц назад +6

    Juma jicho so kavaa baibui ilo au 😂😂😂

  • @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
    @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x Месяц назад +16

    Félicitations je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa, et alors mes amis du Congo 🇨🇩 Kinshasa où sommes nous ?

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr Месяц назад +11

    Enheee Mungu wasaidie ndugu zetu kariakoo😢😢😢😢

  • @SheikaYussuf
    @SheikaYussuf Месяц назад +13

    CLAM VEVO hongera sana hii muvi ni uhalisia mtupu yametokea haya kwa binamu yangu kupelekwa kwa bibi yake kapewa UCHAWI sasa anasumbua familia.

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Месяц назад +20

    Vipi huyo jicho kaniki moja kasikia vevo anaenda kwa mzee zumai akajikojolea kunanini huyo mzee anaogopwa ni hatali 😅😅😅

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 Месяц назад +3

    Waliosubiri km mm 😂waone chenye mtoto atafanya tujuane please 🙏🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD Месяц назад +2

    Team angel mpo 😂😂ety mama nikuhulize kitu eeh mwanang'u ile chakula ilikua na dawa ety hapana enda ikawa ilisidiwa na viungu 😂😂😂ety viungu angle ww pokea maua yako 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MwanengoMbogo
    @MwanengoMbogo Месяц назад +16

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Mm wakwanza leo🎉🎉🎉🎉

  • @SimaojorgeManuel
    @SimaojorgeManuel Месяц назад +1

    clam Vevo unajuwa sana 🇲🇿🇲🇿👍

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid Месяц назад +4

    Suda utazalilika muda sio mrefu

  • @mwithasamuel785
    @mwithasamuel785 Месяц назад

    Huyo jama msela mwenye kijicho na huyo dogo wameumiza sanaa. 👊🏾👊🏾🔥

  • @MarthaKapesa-h5t
    @MarthaKapesa-h5t Месяц назад +10

    Yaan nilingoja kwahamu Sana jmn kazi nzuri

  • @scovannyboee5036
    @scovannyboee5036 Месяц назад

    Aaaah!!!!
    😂😂🎉🎉🎉 nakubali mxela mwajuma nipe.😂😂😂😂

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla Месяц назад +10

    Jumajicho amemfuata daa Sadra. POLENI WATU WAKARIAKOO MUNGU AWASIMAMIE😂😂😂😂😢😢

  • @KevinOnchwari
    @KevinOnchwari Месяц назад

    Poleni ndugu kwa msiba uliowapata kariakoo

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Месяц назад +10

    Kuangalia tu ku like comment Aaa wpi like za clam za my daughter from 🇴🇲🇹🇿🇦🇪🇰🇪

  • @SaidiShemdoe-l3s
    @SaidiShemdoe-l3s Месяц назад +2

    OYA JICHO ACHA KUHALI NYIMBO ZETU FALA WW😂😂😂😂😂😂

  • @Navydeprince
    @Navydeprince Месяц назад +11

    Nganga atakuja niua mm iyo sauti😂😂😂

  • @Raheema-f5n
    @Raheema-f5n Месяц назад +1

    ❤❤❤🎉🎉 KAZI nzur

  • @ZilaboAmbonisye
    @ZilaboAmbonisye Месяц назад +7

    Juma jicho kapagawa kazi nzurii🔥🔥🔥🙌

  • @jmainshallah7366
    @jmainshallah7366 Месяц назад +2

    Niko ya kwanza liké hapa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +10

    Pole cn sarah kimekuramba movie inazidi kunoga😂❤🎉

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 8 дней назад

    Wauni Kwa maneno ya kiuno ni noma San sio Kwa konjo hilo kaniki 😂😂😂😂

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y Месяц назад +5

    Nyie uyo xhoga ake sara kafanan na kilangariko yul comedian tiktok😂😂

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 8 дней назад

    Hyo mtoto wa 🔥🔥🔥🔥 juma jicho sio Kwa abaya hilo sara pole Sanmaan hyoo mtoto sio poa

  • @nadrazahran599
    @nadrazahran599 Месяц назад +23

    Hongera VEVO
    From Zanzibar naombwni likes zangu

  • @ZaylinahNindae
    @ZaylinahNindae Месяц назад

    Kipande Cha boss wake clam mngemueja Kakoso au bhailam ingependeza sanaaa

  • @QurayshYahaya-el3rq
    @QurayshYahaya-el3rq Месяц назад +7

    Wakwanza leo nipe like zngu vevo😮

  • @PendaelHagaiMRPH
    @PendaelHagaiMRPH Месяц назад

    Poleni sana mlioguswa na janga la Kariakoo

  • @shakirambugi8142
    @shakirambugi8142 Месяц назад +13

    Mganga wa kwanza mkweli nimemuona kwa vevo 😂

    • @Nasrahmsiagi-xxv
      @Nasrahmsiagi-xxv Месяц назад

      Anawakilisha wimbo wa mganga na watu wa Tanga😂😂😂😂😂

  • @herisaid5196
    @herisaid5196 Месяц назад +1

    Angekuwa mganga mwakatobe angearibu😂😂😂

  • @Olegue
    @Olegue Месяц назад +4

    Nani anaskia jambo wegenda😂😂😂😂

  • @mbaneboy399
    @mbaneboy399 Месяц назад

    Juma jicho angelikua hadi kwa sinakeboy ingependeza zaid😍😍

  • @MasauShida
    @MasauShida Месяц назад +5

    Kazi nzuri sana Mr. Clam vevo🇹🇿

  • @Mwiduke_boy
    @Mwiduke_boy Месяц назад

    Uyo boss hajaelekea kabisa Hana muonekano wa ubos hayupo smart pia

  • @ABASIOFFICIEL
    @ABASIOFFICIEL Месяц назад +3

    Kaka big boss 🎉🎉🎉🎉🎉 tunasubiria 🔥🔥🔥

  • @NeemaOmari-h2j
    @NeemaOmari-h2j Месяц назад +2

    Mauwa yako vevo 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐

  • @musamuhuzary9536
    @musamuhuzary9536 Месяц назад +4

    Tunaendelea tulipoishia🎉🎉

  • @MooTz-j8y
    @MooTz-j8y Месяц назад +2

    Jaman nmemuona na mama ake cram yupo nae, napenda sana anavyo techeza vzr kwnye nafasi yake, tunao mkubali mama clam dondosha like apa🎉🎉🎉

  • @IshakaPictures
    @IshakaPictures Месяц назад +3

    Ongeza dakika igizo inazidi kuwanzuri kabisa

  • @EspoirAsenga
    @EspoirAsenga Месяц назад

    Wakwanza kutoka Congo Lubumbashi minakipenda sana juma dicho😂😂

  • @SelemanKanoko
    @SelemanKanoko Месяц назад +3

    Kaka tunazipenda kaz zako

  • @ChristinaOnesmo-tr7mf
    @ChristinaOnesmo-tr7mf Месяц назад

    Ni kweli kucheka cheka ovyo sio vizuri

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj Месяц назад +5

    Duhhhhh Mzee zumai ni hatari sana
    Jamaa kusikia jina mikojo imewatoka wenyewe 😂😂
    Wahuni si watu wazuri

  • @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j
    @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j Месяц назад +2

    Clam vevo maisha milele kaka, mimi nakukubali sana uku sumbigi

  • @eagleboy255
    @eagleboy255 Месяц назад +4

    Mmmmh watu mnawahi😂😂😂

  • @adamswafi5149
    @adamswafi5149 Месяц назад +2

    Imeweza 🔥🔥🔥

  • @oppahoppzo3876
    @oppahoppzo3876 Месяц назад +4

    wakwanz kumuona Juma jicho ❤❤

  • @Bigness37
    @Bigness37 Месяц назад

    Clam umetisha sana kumuweka juma jicho na mm namkubari kinoma

  • @MabruckAmade
    @MabruckAmade Месяц назад +3

    Atiye Leo nimekuwa wa kwanza a Boy from Moz 🇲🇿

  • @Elijahfondo.
    @Elijahfondo. Месяц назад +1

    😂😂😂😂 haya washamjua Mzee zumari wakakonjoa 😅😅😅

  • @StopperPlatnumz
    @StopperPlatnumz Месяц назад +3

    ❤ I really love this content and personally Mimi ni fan mkubwa wa clam kutoka kipindi kile hakiwa msanii

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 Месяц назад

    😂😂😂 mtoto amemlaza mama makaburin 😂😂😂

  • @amanchuphichuphi4725
    @amanchuphichuphi4725 Месяц назад +10

    Big up bro much luv from Kenya

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu Месяц назад +1

    Vevo brow Safi sana ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @issaKighanga
    @issaKighanga Месяц назад +5

    Juma jicho🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Iryne-m6f
    @Iryne-m6f Месяц назад +1

    Nani amefurahi kumuoa Hamadi kijicho wa Steve akiwa hapa mganga 😂😂

  • @drdarish
    @drdarish Месяц назад +5

    Magufuli watching from heaven......🎉mnipee likes wananchi wangu

  • @WardaAlly-w8p
    @WardaAlly-w8p Месяц назад

    Siangalii Tena mpaka iishe😂😂😂

  • @agapsanyenyela4691
    @agapsanyenyela4691 Месяц назад +3

    Waache kwanza toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu

  • @OsiaMpyopyo
    @OsiaMpyopyo Месяц назад +1

    Kalinga umetisha sana jmani🙏🙏🖤

  • @JeromeJean42
    @JeromeJean42 Месяц назад +5

    Wanao mkubali Clam vevo tukutane kwenye liké 🎉

  • @DeogratiasJaji
    @DeogratiasJaji Месяц назад +2

    Juma jicho waoooo