MY DAUGHTER | ep 6 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp
    @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp Месяц назад +707

    Kila atakaye soma hapa sikujui unijui ila naongeya maneno ya kinabi mungu akupe kila unachokiitaji amen kabla ujamaliza mwaka huu

  • @KimokoFamily
    @KimokoFamily Месяц назад +29

    Bigi boss ulituaidi mwezi wa kumi na Moja na hady leo kmy wew jamaa unazinguwa sanaaa

  • @GlobalMusicLyrics2000
    @GlobalMusicLyrics2000 Месяц назад +67

    Wakwanza na mimi kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮
    Hivyo kama wewe ni Murundi Na unampenda Clam Vevo ngonga like hapa🇧🇮🇧🇮

  • @KapilimbaYoshua
    @KapilimbaYoshua Месяц назад +10

    Jamani vevo mungu aendelee kuku bariki na kazi yako una fanya vizuri sana sijue niku lipe nini lakini naomba Mungu aendelee kukupa akili mara dufu 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩

  • @JacquelineErick
    @JacquelineErick Месяц назад +9

    Aiseeee ni shidoo etiii shindwa kwa jina la Yesu kristo 😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Месяц назад +189

    Shindwa kwa jina la yesu kristo😅😅😅ila juma jicho😅😅😅

    • @Kelpam
      @Kelpam Месяц назад +8

      Mganga kwel

    • @JayBee-yo8jc
      @JayBee-yo8jc Месяц назад +14

      Na mapepo yanamjua yesu kuwa ni mfalme wa wa falme😅😅

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg Месяц назад +4

      @JayBee-yo8jc smile ☺

    • @marymele9714
      @marymele9714 Месяц назад +3

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @rashowshine7849
      @rashowshine7849 Месяц назад +4

      ​@@JayBee-yo8jchuo ni msemo too acha kujigamba😂😂😂

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g Месяц назад +76

    Mtu unapoingia kulala omba japo neno moja tuu kua mungu nilinde na uniepushe na nguvu zozote za giza na uchawi,

  • @AmaniLubungaLubanda
    @AmaniLubungaLubanda Месяц назад +33

    Huyu Mke wa clam ni mvumilivu sana anapenda ndoa yake

  • @hamisisalum974
    @hamisisalum974 Месяц назад +21

    Yaan vevo kumchkua huyu juma jichoo umeuaa saana atakufkisha mbaliii zaid ya ulipooo ni dagaaaa huyuuu. Anajuaa

  • @fidesvenancemshanga5492
    @fidesvenancemshanga5492 Месяц назад +22

    😂😂😂mganga bhana😂😂😂 shindwa kwa jina la Yesu😂😂😂😂

  • @Mwathethe-qx3de
    @Mwathethe-qx3de Месяц назад +21

    Kazi safi mkuu,nakukubal Sana i say👍

  • @FurahiniNsemwa
    @FurahiniNsemwa Месяц назад +13

    Ushindwe kwa jina la YESU KRISTO 😄😄😄

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Месяц назад +41

    Nilichopenda ni roho safi ya Clam. Kuwashirikisha kurya boy, boss wake yule na big plus juma jicho. Hao wote ni mastaa wakubwa.
    Clam ni nguli na mwema kwa kuwa na wenzake

  • @SiviriSuisse-yz2sp
    @SiviriSuisse-yz2sp Месяц назад +20

    U clam itakuwa kafungwa kichawi uyu 😂😂😂

  • @LilOmmyCrazyOfficial
    @LilOmmyCrazyOfficial Месяц назад +131

    Tulio Subiri Hiki Kipande Cha Leo Kwa Hamu sana Hebu Tujuane Hapa Guys😢! Ila Kiusema Ukweli Kaka Mkubwa Yuko Anachelewa sana Kutupostia Hii Movie Yani Hata sijuwi ni Kwanini Pia Hata Akitupostia Yuko anatuwekea Dakika Ndogo sana Yani Hii hali mimi iko inaniumiza sana kweli daaah,🤦‍♂️😢😢

  • @Binty-z7g
    @Binty-z7g Месяц назад +16

    Mgangaaaa😂😂😂ushindwe kw jina la yesu😅😅😅hja imenibana

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 Месяц назад +17

    Mganga leo kamkumbuka Yesu wa Nazareth 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AlenCredo
    @AlenCredo Месяц назад +12

    Saluti sana sema umeichelewesha sana

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 Месяц назад +11

    Nimejifunza namna ya kumpiga demu wangu 6:45😂😂😂

  • @yusufukaasha4173
    @yusufukaasha4173 Месяц назад +42

    Wow clam love you form Ethiopia,
    Nani anapenda Ethiopia?
    Like hapo bas

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 Месяц назад +16

    Katoto kanampelekesha mama yke balaa😂😂😂

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe Месяц назад +24

    Jamani hii move naipenda sana ila inachelewa sana sema nipeni like zangu hapa japo kumi tu mana nimewahi kutoka Zanzibar 😅😅mbali kidogo 😅😅😅

    • @AminaMohamed-d7g
      @AminaMohamed-d7g 3 дня назад

      ᴡᴀʟᴇ ᴡᴀ ᴢᴇɴᴊʏ ᴀᴜ ꜱɪᴏ ᴛᴜᴘᴏ ᴘᴀᴍᴏᴊᴀ ᴍᴀᴍɪɪɪ❤❤❤❤

  • @Saraphina_
    @Saraphina_ Месяц назад +22

    Mm ningekuwa Merrissa for real ningeondoka tu siwezi kuwa na mwanaume ambaye aniskilizi 😂💔🖐️

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +61

    Badala mfanye kaz mnalala makaburini😂😂😂 kusumbua watoto wa watu wamelala😊 bless 🙌...imeweza hio😅

  • @PanarBoina
    @PanarBoina Месяц назад +26

    "Shindwa kwa jina la yesu usiniletee matatizo" 😩😂😂😂😂

  • @remmiyrabsoni4306
    @remmiyrabsoni4306 Месяц назад +10

    Jmn mbn sna clm jmn dah🎉🎉😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @mercymwendo2990
    @mercymwendo2990 Месяц назад +9

    😅😅😅 mtoto gan huyo mchawi ndugu zangun😂😂

  • @eliseindakidemi8269
    @eliseindakidemi8269 Месяц назад +21

    Nimefurahi sana kumuona Victor warioba a. K. A kurya boy

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media Месяц назад +41

    VEVO kama VEVO saloot sana Mkuu ✅✅ Kazi nzuri kaka Team Cheusi tujuane hapa kwa VEVO 🎉🎉

  • @EusébioisaiaspauloPaulo
    @EusébioisaiaspauloPaulo Месяц назад +16

    Wa kwanza leo kutoka mozambique

  • @bayanzaro7897
    @bayanzaro7897 Месяц назад +11

    😂😂clam una majibu ya kushangaza kweli yani bibi yako yuko serious wewe una mjibu ovyo kweli.

  • @J74251
    @J74251 Месяц назад +16

    Wa kwanza leo nimewahi kufika tuliokua twasubiria hii movie ❤🎉❤🎉❤🎉❤

  • @nicholausmwinuka7640
    @nicholausmwinuka7640 Месяц назад +8

    Wakwanza hapa nicholaus kutoka iringa
    Big up

  • @Neyy777
    @Neyy777 Месяц назад +30

    Ila mgangaa "et shindwa Kwa Jina la Yesu😂😂😂

  • @salamamwazuma315
    @salamamwazuma315 Месяц назад +6

    N mtoto gan uyo mchawi nduguzanguni" maneno hayo sio magen kw mtto Angel lkn kw kipara na Melisa n maneno waliyoyazoea😅😅

  • @SammyCosmus-m5f
    @SammyCosmus-m5f Месяц назад +25

    Shidwe katika jina la yesu kristo😂😂😂

  • @MkongweOmmy
    @MkongweOmmy Месяц назад +42

    Sema mwanangu tunaskilizia episod kama twasubiri ajira

  • @chrisenciaChilato
    @chrisenciaChilato Месяц назад +5

    Melisa kipenzi muombe Sana mungu maana kunahatari katika rango

  • @EdouardKapama
    @EdouardKapama Месяц назад +11

    😂😂😂muganga paka anakimbilia jina la yesu😂😂

  • @vituspeka4665
    @vituspeka4665 Месяц назад +10

    Duuuh trip hiii tume subir sana sema nini mungu akuzidishie uwepesi na afya njema uendelee kutupa vi2 nzur nzur❤

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Месяц назад +7

    Duuuh uyu mtt ni ataree mashaAllah kaz mzr

  • @UmmyMuhammedi
    @UmmyMuhammedi Месяц назад +5

    Kipala mi naomba hiyo suti nikampe mjombaangu aende nayo kipaimara 😂😂😂

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Месяц назад +39

    My daughter inazidi kupamba moto sio poa umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥🙌

  • @mahmoudabdul5884
    @mahmoudabdul5884 Месяц назад +11

    Woow good for clam vevo 🎉🎉🎉dah naombeni wadau like japo 10 tu 😢😢😢

  • @pastorhermantv5420
    @pastorhermantv5420 Месяц назад +35

    Jina la Yesu ndilo jina lipitalo majina yote hakuna jina jengine lenye nguvu kushinda YESU

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Месяц назад +11

      Mungu ni mmoja tu Allah❤

    • @WardaBido
      @WardaBido Месяц назад

      Kabisa Allah akbar​@@mohammedkidody5618

    • @SalmaAbdul-l6p
      @SalmaAbdul-l6p Месяц назад

      Kweli. @@mohammedkidody5618

    • @Jigflou
      @Jigflou Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @Lezkush
      @Lezkush Месяц назад

      Yesu ndo mdudu gani au wale nd mashoga zenu

  • @bonventureimbuga522
    @bonventureimbuga522 Месяц назад +11

    Wa Kwanza Leo from Doha Qatar 🇶🇦🇶🇦🇶🇦

  • @VivianMguto
    @VivianMguto 10 дней назад +1

    Njoo kwake YESU Mwamba na kiboko ya uganga na uchawi

  • @KidumeRashid
    @KidumeRashid Месяц назад +3

    Njoo nimekuelewa kwanza hongera kwaushindi wa kwenye kinyang'anyiro cha watoto wenye vipaji .pili leo timu yako imeshinda nadhani pale golini ulikaa wewe ndio maana umeshinda

  • @venasngoy
    @venasngoy Месяц назад +16

    Wakwanz leo Mimi kutoka USA like japo kumi tu Mungu atakubariki 😂🎉🎉

    • @venasngoy
      @venasngoy Месяц назад +1

      @deltonedavid nimeipenda sana siasa ya manyanya hatar

    • @Twahamwela-ch5lz
      @Twahamwela-ch5lz Месяц назад +1

      Nmekukamilishia mie like ya 10

  • @CanrichJames
    @CanrichJames Месяц назад +3

    Shindwa kwa jina la yesu kristo😂

  • @Barackjumah
    @Barackjumah Месяц назад +11

    Habari zenu ndugu , jaman kila nikisema nimewahi najikuta nimechelewa kwn mnalalaga huku , tugonge like tukisonga BC jaman 😢

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp Месяц назад +13

    YES ITS ANOTHER BEAUTIFUL DAY 😍 ❤🎉WE ARE TOGETHER FROM 🇰🇪 Kenya

  • @josephalfonce4493
    @josephalfonce4493 Месяц назад +5

    Iko pw sana suda apo kauwa muendelezo sehem ya 7mbn amna

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama Месяц назад +12

    Mganga amekua mlokole😂😂😂😂😂😂😂wakenya nimewawakilisha huku hawayuni

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂😂 shindwe kwa jina la yesu .

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 Месяц назад +4

    Eeh jmn nmekua wa mwanzo leo clam naomba bc like yako na mm leo nijidai😢🎉

  • @JaguarEscobar
    @JaguarEscobar Месяц назад +1

    KURYA BOY ndani ya move 🤝🤝🤝

  • @CamiliusLeonard
    @CamiliusLeonard Месяц назад +48

    Vevo mmmmh mnamchelewe kuchia movies shidann 🍎🍎🍎

  • @KAGASSB
    @KAGASSB Месяц назад +8

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉Fecitation Mukubwa weni noma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @KAGASSB
      @KAGASSB Месяц назад

      Kama kuna uwezekano nipatiye namba zako 🙏

  • @KigoyaKimaya
    @KigoyaKimaya Месяц назад +43

    2lioona ep imechelewa 2juane😮😮😮

    • @marthesifa-5803
      @marthesifa-5803 Месяц назад

      mbwana mkubwa anatucheleweshea sana adi naumiya

  • @nemahk2361
    @nemahk2361 Месяц назад +2

    Shindwa kwa jina la yesu kristo mganga umenichekesha hatar😂😂😂

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila JUMA sio poa 😂😂😂😂😂😂😂 kazi nzuli sana

  • @SharifuAlbughuli
    @SharifuAlbughuli Месяц назад +2

    Dah Adi kurya boy yupo mjengoni😂😂😂😂

  • @E.kkenya-gc2sc
    @E.kkenya-gc2sc Месяц назад +8

    Nimesubili hii video Kwa mda sana daaah atimaye imefika , mimi ndugu zenyu tokea kenya 🇰🇪 wapi like zangu jamani

  • @Cheusi01
    @Cheusi01 Месяц назад +1

    cheusi from chadow master familly nawapongeza one lovee🎉🎉

  • @JumaMigezo
    @JumaMigezo Месяц назад +7

    Aliemuona KURYA BOY akimuasha mke wa clam makaburini gonga LIKE 🔥

  • @JaymoneyTz-s9h
    @JaymoneyTz-s9h Месяц назад +2

    Uyo enjoo m2 wa mana kabisa

  • @barakamwasi7442
    @barakamwasi7442 Месяц назад +13

    Leo wa Kwanza nipeni 🌹🌺

  • @RobertKasofficiel
    @RobertKasofficiel Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂😂, Shindwa kwa jina la yesu kristo

  • @barakamembe467
    @barakamembe467 Месяц назад +3

    Tumengoja sana hatimae imefika❤

  • @manyanya-01
    @manyanya-01 Месяц назад +2

    Kazi nzuri ndugu yangu clamvevo

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 Месяц назад +12

    All the best for clam family 😂

  • @rosemarenga832
    @rosemarenga832 Месяц назад +1

    😅😅😅juma et shindwa kwa jina la Yesu

  • @marcoeliezer2207
    @marcoeliezer2207 Месяц назад +4

    Hapo vevo dk20 ni nzuri nashukuru ulifanyia kazi ombi langu kurefusha episode

  • @CarltonOsong
    @CarltonOsong Месяц назад +1

    Much love from Kenya ,clam tutolee wimbo Moja 🙏Bado nakumbuka ukiwa mwana mziki😂😂 .Napenda kazi zako💯

  • @avbvendaboy
    @avbvendaboy Месяц назад +3

    Vevo kazi nzuri mimi apa Venda boy kutoka DRC CONGO naomba like 5

  • @WalussakaMtarama
    @WalussakaMtarama Месяц назад +6

    Mmh! ilajaman VEVO safari hii umeuwa big up😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @JanethJafeth
    @JanethJafeth Месяц назад +9

    Toka imeanza sijawahi kupewa like atamona😢😢😢😢

  • @LayanLayan-np6qb
    @LayanLayan-np6qb Месяц назад +3

    Pia mm nmewahi naomba like 😅😅

  • @JumaJohari-o5c
    @JumaJohari-o5c Месяц назад +3

    Uko vzuri SANA chado master ila ndugu weka epsod 2 Kwa siku Kwan tunainjoi sana

  • @gabrielWandemba
    @gabrielWandemba Месяц назад +1

    Tafuna nyama vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ClintonFufumbe
    @ClintonFufumbe Месяц назад +42

    Huyu jamaa move zake inatakiwa ziwe zna onyeshwa Netflix

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga Месяц назад +1

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤

  • @StratonMushi-wq4tx
    @StratonMushi-wq4tx Месяц назад +8

    Wa kwanza tokea kilimanjaro 😅😅

  • @SERGEWABOMUNDU-r2e
    @SERGEWABOMUNDU-r2e Месяц назад +1

    Djuma jicho ❤😂 shindwa katika jina la yesu 😅

  • @moazor4952
    @moazor4952 Месяц назад +3

    Leo nimecheka sana #jumajicho big up sana bro😂😂😂😂😂😂😂

  • @HUpendo
    @HUpendo Месяц назад +1

    Akuna kitu sipendii unamuwazima pesa mt alafuu anakwambiya ametoka kutowa sasa iviii🤣🤣🤣🤣 bola aseme sinaaa

  • @MoiseTagAt
    @MoiseTagAt Месяц назад +3

    WA kwanza leo tokeya kongo🇨🇩🇨🇩 🥰🥰🥰 munipe ma like zanguuuu😂😂😂

  • @barakajoackim-xu3hi
    @barakajoackim-xu3hi Месяц назад +2

    Sauda na Melisa Hadi huruma masikini haswa Sauda poleni sana

  • @MasauShida
    @MasauShida Месяц назад +4

    Kazi nzuri sana Mr. Clam vevo🇹🇿

  • @Labano2
    @Labano2 Месяц назад +1

    Wee clam bada watuangusha izo siku zote nikingoja movie

  • @Mselluka
    @Mselluka Месяц назад +6

    Yani clam unatucheleweshea sana

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 Месяц назад +1

    Kipara tuondoke ameshakufa uyu!!!😂😂😂😂
    Km unamkubal mtto weka like

  • @BrankizyManingama
    @BrankizyManingama Месяц назад +6

    Mimi mtu wa 100 kutoka Mozambique 🇲🇿🇹🇿

  • @ShadrackAmani-i4p
    @ShadrackAmani-i4p Месяц назад

    Tuna ngoja épisode ya ju fata mkubwa kwa hamusana mbiyo tena mkubwa épisode ya ju fata sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LucienShabani-h3q
    @LucienShabani-h3q Месяц назад +4

    Clam naitaji kuona usutwa wa kipara na cheusi media kwenye mission impossible natumaini kitawaka mahana kipara simudogo cheusi mwenyewe si mudogo 😂😂

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY Месяц назад +3

    Shindwe katika jna la yesu kristo kumbe pia mapepo yanaelewa kwamba yesu anaweza😂😂😂😂

  • @lilianeponda4167
    @lilianeponda4167 Месяц назад +1

    Mganga umenishinda tabia 👐👐👐🔥

  • @Kalindelismthegreat-01
    @Kalindelismthegreat-01 Месяц назад +7

    Kunawajuba wanaenda mdaa 🙌🙌

  • @JohnBwija-xg5pf
    @JohnBwija-xg5pf Месяц назад +2

    Clam vevo apewe mauwa yake anajuwa sana