MY DAUGHTER | ep 8 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @SGmamigos-v1j
    @SGmamigos-v1j Месяц назад +339

    Kama unaangalia hii movie ya my daughter nakuombea kwa mungu tuvuke mwaka salama sema amen

  • @Marym-iw2wr
    @Marym-iw2wr Месяц назад +137

    😢😢Aman ya mungu iwe nanyi sasa naomba jmn mm sjawah KUPATA ata like 10 😢😢

  • @abdalakizengabruxelles
    @abdalakizengabruxelles Месяц назад +108

    Pole sana bro kwa kazi nzuri ila unatucheleweshea sana ila sana nakufata kutokea congo drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @BlessingKitsa
      @BlessingKitsa Месяц назад

      youtube.com/@blessingkitsa?si=jVkQRtVeHqWusxRW

    • @ReinuthaNsekera
      @ReinuthaNsekera Месяц назад +3

      𝗨𝗷𝗮𝗮𝗺𝗯𝗶𝘄𝗮 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼 𝗺𝗸𝘂𝘁𝗮

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 Месяц назад +1

      Kabisa kazi inatoka after 2 weeks hadi tunasahau😮

    • @ZaylinahNindae
      @ZaylinahNindae Месяц назад

      Kuna changamoto zilitokea​@@annafredinandmatandiko8438

    • @OkandjoJean
      @OkandjoJean Месяц назад

      Pole clam kwa yote yalio ku kuta,sisi niwa sabiki Yako tu,tuko Congo drc kalemie

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +7

    Na hii ndio maana halisi ya MSANII yani ata kutokee changamoto gani...lazima kaz iendelee japo kwa badili maudhui,🎉🎉🎉🎉 chukua clam❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Месяц назад +188

    Yoyote utakayesoma hii comment mungu akubalik uweze kuvuka mwaka salama ameeeeeeena
    🤲💫💥💫💥🤝🤲💫💥💢💯💫🤝💢💯💫💫💥💢💯🤲🤲💥🤝💢💯

  • @janviernzosaba7145
    @janviernzosaba7145 Месяц назад +9

    Asante sana Clam vevo unatupa vitu vizuli Sana tunakubali kwagisi umejituma Sana kuhusu umemaliza swali la Melissa inawonekana usha kuwa nauwezo wakupitia mabaa so na asante kutuonesha Kim mwaihi movie anauwezo Sana pia tunamgojelea mwakatobe itakuwa tamu zaidi thx a lot fundi wetu clam vevo I'm your fan from Burundi

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 Месяц назад +125

    ila huyu dada (Sauda) aliyecheza kama mgonjwa kaua sanaaaaaa,kaumiza sana character yake 🙌🙌🙌

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean Месяц назад +84

    Bibi chaka kasema mungu wangu kwenye kikao cha wachawi 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz Месяц назад +38

    Nyama yenyew kula kw msimu nisiitolee macho kwiooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amelinamwaduga9724
    @amelinamwaduga9724 Месяц назад +258

    Hii story imebadilishwa kama upo na mimi like zangu nyingi😊😊maana yule tuliyeambiwa atakuwa Melisa now anacheza kama mtu mwingine,John alikuwa hajui chochote km familia yake ni wachawi et leo kumbe na yy ni mchawi.Clam tunaomba kujua kinachoendelea

    • @mobastian5050
      @mobastian5050 Месяц назад +6

      Ndio 😂😂😂

    • @LeahlLinus
      @LeahlLinus Месяц назад +8

      Hata mm nashinda elewa

    • @bassumbulforever1074
      @bassumbulforever1074 Месяц назад +7

      Kavuruga kila kitu

    • @maryamabdalla5644
      @maryamabdalla5644 Месяц назад +9

      Ni kwely iweje sadaka iwe y 6. Ao wengine kawatoa lini na alikua mjini

    • @nayyatomary2607
      @nayyatomary2607 Месяц назад +7

      Leo huyu nzee anaishi nayeye kijijini ndo nilichoshangaaa😂😂😂

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Месяц назад +53

    Nan aliefurahishwa na mlev kama mm!!😂😂😂😂 Maua ya mkev wap🎉🎉🎉🎉

  • @bhponlinetv5000
    @bhponlinetv5000 Месяц назад +8

    Dah ila Sauda umetisha sana,,, aisee we mwanamke unakipaji sana yani kama kweli vile utadhani ukweli na siyo movie yaan umeuvaa uhalisia ipasavyo. Big up sana

  • @VeeMoney-g2e
    @VeeMoney-g2e Месяц назад +63

    🎉🎉🎉🎉🎉achimele mele machitako ila mlev😂😂 iv nani kagundua kuw sarah aliezingua kuigiz ndo kafanya maudhui ya movie ibadilike clam aigiz kam mchawi pia wamecheza kama pele😂😂🎉

  • @rodethazard6598
    @rodethazard6598 Месяц назад +18

    Story aiheleweki tena
    Clam umeboa sana kwa kweli

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 Месяц назад +10

    Nime waiiii sanaa wa kwanza kutoka Drc kalemie nakukubali sanaa bwana CLAM ❤❤❤❤

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Месяц назад +9

    Abigael ukiacha uigizaji na mazingira lkn mbona km mjamzito??? km ndivo hongera🎉🎉🎉😂

  • @emmanueledwin2382
    @emmanueledwin2382 Месяц назад +66

    Unachelewesha sanaaa hadi tunaisahau kaka duu em jitahud basi uwe unafanya kama dunia inavo wahi kwa wakat

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Месяц назад

      Alikosa mtu wa kuendeleza move tumvumilie tu katika kipindi hii kigumu kwake

    • @LettyLussi
      @LettyLussi Месяц назад

      Alikua Dubai😂

  • @NasraMohamedy-pg5lo
    @NasraMohamedy-pg5lo 16 дней назад

    😂😂😂😂 achi mele mele ma chitak.....au bac😂😂😂

  • @PatrickIsrael-m4u
    @PatrickIsrael-m4u Месяц назад +78

    Alie skia mchawi kasema mungu wangu gonga like tujuane🎉

    • @gboyrapper2896
      @gboyrapper2896 Месяц назад +2

      Eri achimelemele machi TAKOO😂😂😂

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b Месяц назад

      Mungu wangu 😂😂😂​@@gboyrapper2896

    • @ramadhanmbwana2603
      @ramadhanmbwana2603 Месяц назад

      ​Achimelemele maachipako​ iyo maachitako ni ya walevi😅😂😂😂@@gboyrapper2896

    • @jemimajerome3971
      @jemimajerome3971 Месяц назад +1

      Wanasemaga 😂 ata jambazi humuomba Mungu asikamatwe

    • @NiyongaboGeoffreid
      @NiyongaboGeoffreid Месяц назад

      Nimeiskia hiyo

  • @Kisoseji_Og
    @Kisoseji_Og 23 дня назад

    Kazi nzuuri sana Adera eti wakat unakula nyama yakak angu ulikua unacheekaa yakwako sas 😂😂😂

  • @ZawadRamadhan-py3xe
    @ZawadRamadhan-py3xe Месяц назад +52

    Nyama yenyew kula kwa msimu nisiitolee macho kwiooooo😂😂😂😂

  • @SharkAimable-h8g
    @SharkAimable-h8g 16 дней назад +1

    😂😂😂eti Mungu wangu😂😂😂😂😂❤❤

  • @Diegodassler
    @Diegodassler Месяц назад +9

    Number one from burundi 🎉 good job tajir clam vevo gonga like ata 5

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 Месяц назад +6

    Clamo wewe hunajua bro yaani kazi zako haziboi 🎉🎉🎉

  • @janethmathew-y9b
    @janethmathew-y9b Месяц назад +28

    Hatimae leo yenyew loooh mnatushosha akyamungu kila sku unatuma ya nane ya nane ukifungua unakuta ujinga ujnga duh yan tunasubil mwEz mzm epsd moja

    • @VannessaHassan
      @VannessaHassan Месяц назад

      Toka apa story ndo hii thus why Melisa kagoma kuenderea ataki kufa😂

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu Месяц назад +8

    Safi Sana Brown ongera sana kazi nzuri kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @alhabibmustwafa
    @alhabibmustwafa Месяц назад +5

    huyo mtoto atakua mchawi kwel ingawa n drama ila huyo mtoto sio mzri,,,,from kenya nairobi

  • @Zhekhar-j3w
    @Zhekhar-j3w Месяц назад

    Nyi tuangalie tu tutaelewa mbele...mnajua vp kama john alikuwa ni mchawi tangu apo nd maan alikua anamtetea mtoto wake.....na iyo sadaka ya sita uskute ndo sara kwa kua amekataa kuendelea nd maan wameamua kufany kama kafa vile ili atakama aspokuwepo kisiharbike kitu.......na uyo mzeee kuhamia kijijin msishangae.....napenda sana kazi kaka clam❤❤🎉

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 Месяц назад +27

    Nimefurahi kumuona bibi wa hansboy kwende geto😂😂😂😂😂 dah kumbe clam nae mchawi ndio mana alkuwa hataki kumskiliza melisaa

    • @LilianAchieng-x4f
      @LilianAchieng-x4f Месяц назад +1

      @@sadahamad6158 ameni shangaza yani 😃 😀 😄 😁 🤣 😂

    • @ShukranSaidi
      @ShukranSaidi Месяц назад +3

      Wameibadili kutokana na Muusika kakata kuigiza tena

    • @AhmedChitema
      @AhmedChitema Месяц назад +1

      Wamechange content kutokana na kubadilika kwa mhusika melisa

    • @Teddy-f6d
      @Teddy-f6d Месяц назад +3

      GUYS HAKUNA KILICHOBADILISHWA NAONA WENGI MNASEMA KABADILISHA STORY KWASABABU YA MELISA ILA NIWAAMBIE TU KUBADILISHA STORY NZIMA KWASABABU YA MHUSIKA MMOJA NI NGUMU SANA , ALIKUWA NA OPTION NYINGI TU KWANI ANGEMUUA MELISA KAMA ALIVYOFANYA KULIKUWA NA HAJA YA KUBADILISHA STORY? ISITOSHE KUBADILISHA MTU NI RAHISI KULIKO KUBADILISHA STORY , STORI HAIJABADILIKA TUKAE KWA KUTULIA

    • @zainabmohammed6700
      @zainabmohammed6700 Месяц назад

      Wataelew t😂

  • @JasilMgimba
    @JasilMgimba Месяц назад +15

    Nilichocheka pale kwenye ochimelemele machi tako😂 kilichofata kwa mshangao n mungu wangu wachawi wanamjua mungu 😂😂😂😂😂😂

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe Месяц назад +9

    Acha nicheke Leo mm wakwaza sijui nimelala humu😅😅😅😅😅😅, nipeni hongera zangu ❤❤❤

  • @AbuuRuzo
    @AbuuRuzo Месяц назад +11

    mumalizee movie b4 mcomment😂😂😂shenzii sanaaa..

  • @MozeNation
    @MozeNation Месяц назад +18

    Tatizo zinakawiya sana kutolewa but Nime ipenda ❤❤❤

  • @MalaikaActress
    @MalaikaActress Месяц назад +2

    BONGE LA KAZ BIG UP CLAM VEVO🎉

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 Месяц назад +7

    My daughter inazidi kupamba moto sana umetisha kinoma clam vevo 🔥🔥🔥💪

  • @NahAlawi-r5h
    @NahAlawi-r5h Месяц назад

    Duu hii bala moto angel noma😂😂😂

  • @MounaAbdullahMohamed
    @MounaAbdullahMohamed Месяц назад +10

    Nyama yenyewe kwa msimu nisiitolee macho kwiyoooh 😂😂😂😂😂😂

  • @Omaxboyyussunize-d9c
    @Omaxboyyussunize-d9c Месяц назад

    one love my brother kazi mzuri sana toka tz mkopaja na mozambique ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @JapharySilvesta-cj5nz
    @JapharySilvesta-cj5nz Месяц назад +19

    Dada aliye cheza kama mgonjwa 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media Месяц назад +45

    Welcome back ma Brother 🎉🎉
    Tulio kuwa tunaisubili My Daughter gonga like twende sawaaa 🎉🎉 LAHAULAAA

    • @jamalmariam
      @jamalmariam Месяц назад +2

      ila cheusi nakukubali mwanangu kwenye dude letu lile la mission impossible, LAHAULA😂😂

    • @vailethkecha
      @vailethkecha Месяц назад +1

      rahaura. cheusi uku tena

    • @LettyLussi
      @LettyLussi Месяц назад +1

      😂lahaula

  • @NewtonKe-kx2ul
    @NewtonKe-kx2ul Месяц назад +5

    Mwenye anamkubali Hamsome boy na pili na ndimu zake😂😂😂😂

  • @samvevo-h3q
    @samvevo-h3q Месяц назад +2

    Alie skia nyama yenyewe kula kwa msimu gonga like

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Месяц назад +8

    Mmmmh mko vizul Sana hongela kaka ❤🇹🇿

  • @GeorgeLeonard-q6o
    @GeorgeLeonard-q6o Месяц назад

    Hongera kwa kazi nzuri binafsi nakukubali sana Hila nhitaji kuiona Tena Big boss.ingawa wasanii wameanza kusumbua Hila tupo ambao hatuwezi kusumbua hata kama camera ttutakuwa tumezizoea

  • @razesdragon
    @razesdragon Месяц назад +16

    Achimelemele machitako 😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩✊✊✊

  • @هاجرالدوسري-ش7ض
    @هاجرالدوسري-ش7ض Месяц назад

    Hi ... Asant VEVO kutu rundishia bachezagi betu bazuri tunabapenda sana. Asant pia naku ongeza bengin . Nakupenda VEVO napenda nakundi Yako yote. Namupenda sana malikia❤

  • @yasrisimba6387
    @yasrisimba6387 Месяц назад +35

    Clam nipe like zangu chap Kbla ya watu kujaaa😮😮😮😮

    • @graffinamisi
      @graffinamisi Месяц назад +2

      Kwani hunalazimisha😅

    • @yasrisimba6387
      @yasrisimba6387 Месяц назад +1

      Asa si nimewah

    • @graffinamisi
      @graffinamisi Месяц назад

      @@yasrisimba6387 ooooh ni poa basi

    • @SajmaJamaly
      @SajmaJamaly Месяц назад +2

      Uchoy uo😅

    • @yasrisimba6387
      @yasrisimba6387 Месяц назад +1

      @@SajmaJamaly bora Ulivyonisaidia Alkuwa anaona wivu kunipa😁😁😂

  • @ElizabethKasian
    @ElizabethKasian 21 день назад

    Hahaha ety mungu wangu anabalaaah uyu bibi

  • @sammaine98_
    @sammaine98_ Месяц назад +16

    SIJAPENDA HANSBOI😂atakama Melisa kazingua siku zote izo 12 leo unakuja kutupa Dakika 19 kweli 😅

    • @KevinOnchwari
      @KevinOnchwari Месяц назад +1

      Hansboi hayuko serious

    • @Lissahford
      @Lissahford Месяц назад

      ​@@BeatriceMussa-y4bkufunga mzigo wa cm😂😂

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b Месяц назад

      @@Lissahford used 😂😂😂

  • @Lnx56
    @Lnx56 21 день назад

    Kumbe kuna wachawi walevi kwa vikao😂😂😂

  • @MohammedyJuma-wf3jc
    @MohammedyJuma-wf3jc Месяц назад +7

    😂😂😂 mchawi kasem mungu wangu 🙌🙌

  • @AmaniNasoni
    @AmaniNasoni Месяц назад +1

    🎉🎉 kumbe na wachawi wanamuita Mungu wang kwenye shida zao ❤❤ dar

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث Месяц назад +5

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂kumbe bosi wakipara nae mchaei😂😂😂😂😂😂😂

  • @MenardKing
    @MenardKing Месяц назад

    Mchaw anathema mungu want 😂😂😂

  • @harmonizetz5861
    @harmonizetz5861 Месяц назад +10

    Alieona moviee imeingia kwenye trending kwa mala ya kwanza a like apa

  • @ahlamkassim2901
    @ahlamkassim2901 Месяц назад +6

    😂😂😂😂😂ety mungu wangu
    Mchawi kasema hivyo😂😂😂

  • @AbdirizakIsmail-q7t
    @AbdirizakIsmail-q7t Месяц назад +9

    Mopema muno❤❤❤❤

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 Месяц назад +4

    Hongera sana kaka... kwa muendelezo..... story Inaongelea mmbo halisi na uhalisia wa maisha yetu cc waafrica...kumbe clam naye mupo kundini..!!? Ndio mana alikua hachukulii maneno kwq uzito 😅😅

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz Месяц назад +7

    Mnachelewa kutoa movie mkitoa mnatoa fupi Clam unazingua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gmbrown1429
    @gmbrown1429 Месяц назад +5

    DUNIA on top 🙌🏽🙌🏽✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅Clam vevo kakoso ni mtu muimu kwako nyota yako na yake vipo pamoja kuwa mpole ume haribu sana 😞😞😞😞

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 Месяц назад +21

    Kim ndani ya nyumba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sultanjafar7595
    @sultanjafar7595 Месяц назад +1

    Kenyan🇰🇪🇰🇪s watching this series show some love❤❤

  • @TeshmonyAntonio
    @TeshmonyAntonio Месяц назад +37

    clam ni sawa tulielewa ulivyotwambia kuwa Sara amegoma kuja kazini gafla ila sisi ni binadamu usimuhukumu bila kujua alipatwa na nn kwasababu huyu ni msanii wako wa mda mrefu sisi kama mashabiki tunachoomba ni kwamba akija akiexplain kilichomkuta muelewa na umrudishe kwenye nafasi yake na tunamuhitaji kwenye big boss

    • @sirbussongo4490
      @sirbussongo4490 Месяц назад +3

      Yupo bize huko kupiga kazi na makundi mengine

    • @cristaezekiel1036
      @cristaezekiel1036 Месяц назад +3

      😂😂😂😂Jana alkua live tiktok huyo sarah anaimba taarabu za mafumbo watu wakimuulza kwann hapokei sm ya clam 😂😂😂hana excuse yyt ni mzima kabisa labda anajiona cake tu

    • @TeshmonyAntonio
      @TeshmonyAntonio Месяц назад

      @@cristaezekiel1036 ooh kumbe ni jeuri tuachane naye huenda alipata alichokuwa anatamani kutoka kwa sanaa hivyo akaamua kuondoka Kwa dharau

    • @FrankMwita-jc2bo
      @FrankMwita-jc2bo Месяц назад +2

      Umeandika kitu sahihi kabisa

    • @kassimgambere2382
      @kassimgambere2382 Месяц назад +1

      Sindie uyo karudi ama

  • @victorndosi5164
    @victorndosi5164 Месяц назад

    Kumbe nawewe clam VEVO kumbe chawii 😂😂😂weeew ila ucwaze tutakuwa pamoja

  • @Ludovickmunishi
    @Ludovickmunishi Месяц назад +5

    Amri ya saba au ya sita 😅😂😂😂😂

  • @ayubujaphet5258
    @ayubujaphet5258 5 дней назад

    😂😂achimele mele machi tako
    Alisikika mlevi mmoja

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa Месяц назад +5

    Safi maana tulikua tunaisubiri sana 🎉🎉❤

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 Месяц назад

    Dah! Nimechunglia sana hadi huruma sio mbaya kazi nzr sana ❤❤❤❤❤

  • @MosesKagoma-h1m
    @MosesKagoma-h1m Месяц назад +26

    Mchawi anasema MUNGU WAAANGU😂😂😂😂

  • @Maryam-c5p4z
    @Maryam-c5p4z Месяц назад

    Kumbe hii familiar wote 🔥 😅😅😅😅

  • @rehemajoseph-ng9gv
    @rehemajoseph-ng9gv Месяц назад +5

    Hao wazee wapo wawili na wanafanana 🙌

  • @EmmanuelMubanga-r1j
    @EmmanuelMubanga-r1j Месяц назад

    Japo Story imebadilika lakini bado n unyama sasa ❤❤❤

  • @ramakinjoi4063
    @ramakinjoi4063 Месяц назад +14

    Achimeremereee...achimeremere achitakoo😂😂😂😂😂

  • @DiofStanley
    @DiofStanley Месяц назад

    MMh et mchawi anaenda kwenye kikaoo kalewa😂😂

  • @FlorenceZALUKE
    @FlorenceZALUKE Месяц назад +5

    Nakupenda bure clam❤❤

  • @Maherzain_Tz
    @Maherzain_Tz Месяц назад +2

    Hahahaa😂😂... Mchawi asema mungu wangu.... ila umea cram big up

  • @bindra8622
    @bindra8622 Месяц назад +4

    Kenyans tunakupenda sana clam vevo, lakini bro tumengoja sana. Ebu basi shughulikia hilo. ❤

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b Месяц назад

    Mchawi kakumbuka mungu gfla😂😂😂😂

  • @KINYONGAMASAUTIY
    @KINYONGAMASAUTIY Месяц назад +5

    Fatilieni kwanza mwanzo hadi mwisho ndo mtajua kinachoenderea

  • @JennyWilison
    @JennyWilison Месяц назад

    Wakumuita moza hakika unakitu kaza dada❤❤❤❤

  • @JumaMboya
    @JumaMboya Месяц назад +5

    Noma sana kaka VEVO I appreciate you

  • @kaskashindi5395
    @kaskashindi5395 Месяц назад +1

    Kumbe clam na wewe mmmh iyo Kali kweli 😂😂😂

  • @JibranMursali
    @JibranMursali Месяц назад +5

    Yaan kama vile naiona sneak boy sizoni 3 daaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsmaRama-p1b
    @AsmaRama-p1b Месяц назад +2

    Mimi mgeni umu ila nimeipenda ghafra Aya wageni wenzangu tulioelewa ghafra gonga like apa❤

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur Месяц назад +8

    Jitaidi kwenda na muda. Jali isia zetu,sisi ndio maboss wako. Mambo ya kusibili kitu mpaka unakisahau hatutaki. Tena koma kabisa😂😂🤣weka mambo kwa wakati,kama uwezi acha kabisa, sisi tunakupenda wew unatuumiza. Why....waliochukia tujuane

    • @LettyLussi
      @LettyLussi Месяц назад

      alikua Dubai😂msameheni

  • @SalomeMaswanyia
    @SalomeMaswanyia Месяц назад +2

    mbona stor imebadilika sana jamani😳maana tulikua tunaiangalia wako mjin john ndo anarud kijijin mbon wote wako kijijin tena

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r Месяц назад +5

    Yani clam afanye yote uyu dada awe nae kwenye kazi zake wanapendezana sana kifupi wanaendana kuliko msaanii yeyote wakike

  • @MaryamHussein-v8v
    @MaryamHussein-v8v Месяц назад

    Brother VEVO yaan umechelewesh araf unatoa muda mdogo hvy ongeza bas muda please ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KevinOnchwari
    @KevinOnchwari Месяц назад +6

    Clam na Kim wanapendana sana, they make a good chemistry. They will a good couple.

  • @witikomsimbaz
    @witikomsimbaz Месяц назад

    Mchawi kataja Mungu na yeye kilingeni😂😂

  • @shalemu
    @shalemu Месяц назад +6

    Alikuwa dubai ndio maan amechelewesha anajua sana clam

  • @homeboy2307
    @homeboy2307 Месяц назад

    nimesikia mchawi kasema Mungu wangu😌😌😌😌

  • @KevinOnchwari
    @KevinOnchwari Месяц назад +4

    Kikongwe ana kipaji sana,I wish angekua discovered kitambo enzi za kanumba.

  • @KisagaJohn-o6b
    @KisagaJohn-o6b Месяц назад

    A hii movie 🎥🎥 bado sjaelewa yaan wotee wako kijijini 😂

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 Месяц назад +2

    😂😂bibi babu baba na mtoto wote wachawi jamaniii

  • @NathanJohn-f2r
    @NathanJohn-f2r Месяц назад

    Ni nzuri sana ❤❤ shida mnatoa kwa kuchelewa inaboa sana😢

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 Месяц назад +16

    Yaani na ww umeanza kutufelixha umechelewexha miendelezo alafu vijidakika vichache xanaaa utatupoza maxhabiki.....

  • @HassanMohamed-z8o
    @HassanMohamed-z8o Месяц назад

    Clam kwan hauko kwa usaidizi tena umegeuka mchawi broo doo noma xana😂😂😂😂😂😂wana kijiji watateseka xana

  • @KhadijaSalum-t9v
    @KhadijaSalum-t9v Месяц назад +4

    Tunaowatch this movie at the moment tufike 2025 inshallah...it's me from Germany

  • @Anna-r4q2i
    @Anna-r4q2i Месяц назад

    Aki huyo mchawi mlevi amenifurahisha kweli 😂😂😂😂