tumpe sapoti bro afikishe subscribers 1m tafadhali 🙏 maana kazi anaifanya tusiishie tu kusema like hapa ama comments wakati bro anahtaji kufka mbali tafadhali 🙏
Huhu myhubby alinikuta kazn me ni nurse nilikua mkristo nilivoona ananipa furaha nikatruka nae nw tuna twins na miaka minne ya ndoa wa tano ndo tumeuanza ❤nakupenda dadayp wangu
Tulikutn kama masihara alikuwa sirias na ndoa nikakubali kuwa nae tum det miaka 2 na watat tumefunga ndoa na mpk sasa tupo pamoja tunasubr mtoto wetu kwa salama na amanii❤❤❤❤❤❤
Djaman iiiiiiii. Hi yi movie nimeyipenda saaaanaaa imenikosha moyo kabisaaaaa nilisha irudiya Mara 5 tangu uruke hewani naomba uwe ukitafuta kama hizi safii sana
Mie nimekupenda wewe na ungekuwa musilim ningekutongoza 😂 Yote kwa yote unafanya kazi nzuri sana na ndio mana tumesubscribe kwaajili ya kazi yako nzuri😊
Ukipata kazi ya kuigiza kwa lamata nenda....ikiwezekana mtagi insta..achana na hiyo we need more recap maker like you wenye nyendo zako...to build izkonka empire...iwe business
Ningekua mwanaume hapo sawa ila kwasasa yashangaza nampenda uche Montana jaman ukiachana na kalio la sajari ya jioni uturuki anasura nzur 👄 nzur namkubali❤
tumpe sapoti bro afikishe subscribers 1m tafadhali 🙏 maana kazi anaifanya tusiishie tu kusema like hapa ama comments wakati bro anahtaji kufka mbali tafadhali 🙏
Tatizo YY anapendwa ila kuna kipind alijiacha Sana kazi haleti Kwa mdabila angekula kipindi kile anafnya kma saiv angekula mbali hata lkin8 ashafika
Ata mm nasapot hilo wazo lak bro 🎉
Kwel kabisa
Kabsaaa
@@kidstarking4056 dat true bro
Hili ni bonge moja la movie alaf konka ni mmoja2 unajua mwanang🤝🤝
Baada ya yanga kufungwa acha hiii recap iniondolee stress......😢..lakini shukrani nyingi zije kwako wewe
Acha tu 😢
Yanga haijafungwa buana😅😅
😂😂😂😂😂tupo pamoja udugu
Allah bariq u ❤
Ukithamini unachofanya🎉utafanikiwa tuu❤
Saiz e7bitis kama ametoloka milembe ni wa moto atal🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asa Ivi ndo poa Sasa ni weka tuweke 😅
Noma kaka❤❤❤❤❤
Huhu myhubby alinikuta kazn me ni nurse nilikua mkristo nilivoona ananipa furaha nikatruka nae nw tuna twins na miaka minne ya ndoa wa tano ndo tumeuanza ❤nakupenda dadayp wangu
Mpaka raha🥰
Asaiv unatuletea kaz juu ya kazi ❤ ahsantee kwa kutujali ❤
Tulikutn kama masihara alikuwa sirias na ndoa nikakubali kuwa nae tum det miaka 2 na watat tumefunga ndoa na mpk sasa tupo pamoja tunasubr mtoto wetu kwa salama na amanii❤❤❤❤❤❤
Djaman iiiiiiii. Hi yi movie nimeyipenda saaaanaaa imenikosha moyo kabisaaaaa nilisha irudiya Mara 5 tangu uruke hewani naomba uwe ukitafuta kama hizi safii sana
nipe liké zangu❤❤❤❤
Hii love story ime kaa powa sana imeipenda kwakwer❤❤
As long as midomo wanayoo🔥🔥kasoro👉Bella to alijaa hasira kwny makalio akaondoka eneo la tukio😂😂 E 7bits hujawh kuw na dogo bro..
Big up kakaw movies zakoo ni balaah yaan unatoa kitu roho inapendaa❤
😂😂😂 daah aisee we jamaa noma sana.
Noma
Asante kwakuwa mtu wakwanza kutazama huu unyama
Kazi nzuri dj 🎤🔥🔥💖👏
Nawakubali Sana kakq🎉🎉🎉
HI MOVIE NIMEIKUBALI SANAA 🔥🔥🔥🔥🔥
Aaaah Leo umetuwezaaa jamn bonge la movie mzee
Yaan hatari
Mie nimekupenda wewe na ungekuwa musilim ningekutongoza 😂
Yote kwa yote unafanya kazi nzuri sana na ndio mana tumesubscribe kwaajili ya kazi yako nzuri😊
umetisha sana 🎉Izkonka😍😍
Leo mnipe mm😂❤
Umenigusa bro ❤❤❤
Dah nimeipenda sana hii,kweli ukimpenda mtu hautakiwi kukata tamaa ,big up sana kwake bro
Unaangalia movie hadi moyo unaumia kama na wewe ni character mmoja wapo asee😂 huyo ndo konkaa🎉
Kali sana nimependa broo
Yaan unadhan kilakitu nachofanya shida n wazungu 😅😅😅 Sokwel unanikosea sem Konka apa umeuaaa🎉🎉
Brooooo unajuaaaaaa kinomaaaaa yan 💯💯💯💯💯💯
Nilikua nikisubir uifanyie kazi hii kitu kwa mda mrefu atimae umeifikia , kazi njema kaka , umefanyavyema san 🎉
Waooo nimeenjoy sana imenikumbusha mbali mnooo😊
❤❤❤❤❤kazi Nzuri sn❤❤❤
Noma sana🎉
Anaweza sana unaangalia story zake hauchoki
Kwambali tunamuona dada anatembea kama ye ndo mtu,wakwanza kuwa nayo😂😂😂 nimeipenda iyo! Broh
Haya leo wakwanza nipeni likes zangu chap ❤❤❤❤
Unapata faida gani wew
Mabusu kila sehemu as long as midomo ipo😂😂😂😂
ila konka
Jamaaa movie zako fire balaaa❤️❤️🙏
Oya mzee umetisha kwa maneno mwanetu,
Eti kajaa hasira kwenye makalio 😂😂😂😂😂😂😂
Big up bro 🔥🔥
Bro you are doing well 💯
Kazi safi Dogo ❤
Moja story iliowai kunigusa aisee ❤
Nzuri sanaaa ❤❤❤
Ni nzuri Sana nimependa
Izkonka improved a lot this year
Noma sana
unazidi kutufurahisha yani unaleta movies bila kukawia yani apo unazidi kutukosha ❤
Kazi nzuri sana man big up 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
noma sana kaka Yani unasikiliza sitory mbka mwili unasisimka mwishoni apa mbka machoz yameni lenga mchiz alivo kuwa anapambania penz lake🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Never seen b4 movie kaliii🎉 izkonka huna bayaaa always i appreciate u unajua nn unafany😅
Waaaaao nitamu iendelee❤❤❤❤❤
Duuuuh kweny siku kaka umetisha ni leoo nakupigia🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡
Yan nmeacha kuangalia last chance kwasababu ya e7 bits 😂😂
Tupo wengi
Mim kabisaa
Nimeipenda sanaaa ii movie,ila tunsupport nchizi ile asishoke kutuletea kazi❤
Uko vizuri mwamba
Tutafute2 hela brother kila kitu kinawezekana kaisali ikiwepe sema big up sana kaka...😅
Kikalio frani cha beifrai ya uturuki😂😂😂😂😂
😅😅😅 Hajajamba kweli kama alijaa hasira matakoni 😅😅
Mim na mpenz wang ❤2likutana shulen
Broh, nw days 2na-enjoy san @ kuwa recap zina dk nyingi tofaut na kpnd cha nyuma
Izi konka nini hiyo yakwanza kuwa nayo huyo mdada😅😅😅😅 nimecheka kama mpumbavu
Mbona hasira kwenye makalio😂😂😂😂
Ety hasira kwenye makalio😂😂😂😂😂😂
Noma san❤❤❤❤❤❤❤
huyu anae tafasili mjinga sana dah nimecheka sana eti aka jaa hasila kwenye makalio 😂😂🤣🤣
tunao injoy kumsikiliza uyuu mkak saut yake njoen tuinjoy pamoja🎉🎉🎉🎉❤
Ya moto hio toka juz notification nimeioata sema nikawa mvivu kufungia Konka mi5 tena👊
Mungu akujalie ndugu jeudi kufanza vitu kama ivi.
Izi ulikua wapi siku zote jmn Hiii movie kali sanaa nimeangalia mara 10 sichokii 😊😊😊 izi nasubiri Bloodsister au flawsome
Anatembea kama yeye ndo wa kwanza kuwa nayo 🤣🤣🤣🤣🤣
Nani huyo kwani😅😅😅😅😅😅natamani kuisema hiyo Nani hiyo kwasauti
Adi nmerudilia ili nisikilize vzr kama atakua amekosea
🤣🤣🤣 yaan
😃🤣🤣🤣🤣
Hhhh
❤❤❤❤tam sanaa
Nimekubali huu mzigo apao❤❤❤❤❤
Jmn mi siwezi kuishi bila wew konka ❤❤
Mimi leo wakwanza naomba lake zenu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@@ChabdiniOsmanyLichinga upeleke wapi likes zetu wewe
Nakupenda sana bro🎉❤❤❤
Anatembea kama yeye ndio ww ndio wa kwanza kua nayo nini hioooo ni nyaaash😂😂😂
Upo vizuri sana broo❤
Aiseeee imetisha Sana Kwa kwel ❤❤🙏🙏
Oi atar❤❤❤
Duh kaka umetishaaaaaaaaaaaaaa🎉🎉🎉
As long as midom ipo😂😂😂😂😂😂😂😂 kajaa hasir kweny makalio,🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 big up broo appreciate thanaaaaaaa
Daaah iziii konkaaa🎉🎉🎉
Ukipata kazi ya kuigiza kwa lamata nenda....ikiwezekana mtagi insta..achana na hiyo we need more recap maker like you wenye nyendo zako...to build izkonka empire...iwe business
Wakwanza jamani naombeni like zangu 😂😂
Aanh Natamani Kama ndo niwee Mimi😊😁😂nipatee Basiii Love of my Lifee
Izikonka👑🔥
Daaahh mayatima tunadharaurika sana 😢😢😢
Sema kuchelewa, lkn bdo nipo ❤❤❤😊😊😊
Honger yaan naweka bando kwa ajili ya movie
Alijaa asira kwenye makaliooo😂😂😂😂
Nilikutana nae nikiwa naendesha gari ya chumvi ni uko mkoan ruvuma wilaya ya nyasa❤❤❤
Konka utakuja kutuua kaka izi muvi♥♥♥🔥
Nakukubali kinoma 1000
Tulikutana kwa kukosea number aiseeh tuna miaka2 na atuna dalili ata ya kuchokana mapenzi bhana☺️😘🤣
😂😂😂alijaa hasira kweny makalio bella
Oya wadau hii movie unyama mwingi sana kama umeirejea mara 2 gonga like
Ningekua mwanaume hapo sawa ila kwasasa yashangaza nampenda uche Montana jaman ukiachana na kalio la sajari ya jioni uturuki anasura nzur 👄 nzur namkubali❤
Wa kwanzaaaa