Naamin hii ni movie tuu ila nikikutazama vzr sir manyonga kama una kitu kwenye paji la uso wako mungu akuongoze katka njia ilonyooka kama umeona sijda kweny paji la uso wa xaa manyonga weka like apa tujuane😊😊
Pole yenu watanzania kwa ajali iliyotokea hapa 🇰🇪 tunahuzunika sana mungu awape kalima thabiti na walo pata majeraha Allah awape auweni ya haraka inshallah
NGWENGWEE weeeeeeeeee pamban baba gwengwe master 😅😅😅😅tunachek kujarib kusahau ya kariakoo lakn hayasahaulik ni mazito uchung huu daaah MUNGU aendelee kuwapigania ambao bado wapo chin kifusini 😢😢😢
Ngwengwe umtisha dogo😅😅😅😅nyumba tunayo n tunatamba nayo😅😅😅😅❤❤❤❤❤mama ngwengwe jamani muizi tena😂😂😂😂😂😂😂❤cheusi mbeya huyu😂chado ymeyatimba hapo kwa Jojo 😂ila kuwa makini isije kuwa anao😢 tuliofurahi kumuona daddy katika jela gonga like❤😂
Kama unamkubali mwamba kazi yake aliyo fanya kuleta nyumba ya kina misumari weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim chd🎉🎉🎉🎉ngwengwe unatisha sana
Oyaaa mzee wamisumarii aly dady..leo umeingia pande zakwangu temeke maeneo ya yombo kwa venja tz..oyaaa utawala mwanangu ..nakubal kaz zako we na chado masta
J'aime vraiment, Na i kubali sana hi movies, Na ikubali sana Ku toka Congo huku Congo tuna I penda sana hii movie, alafu hii couple ya chado Na najma ni noma sana yani ni the best couple kwenye mission impossible I like
Chado kazi nzuri sana... Napenda ulivo mtengeneza mtoto ngwengwe kuwa mkali wa wakali. Kazi nzuri sana. Watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲 Penda sana wa Tanzania 🇹🇿 wenzangu.
PRAY FOR TANZANIA PRAY FOR KARIAKOOO MOYO WANGU UNA MAUMIVU MAKUBWA MNOOO TUMEPOTEZA NDUGU ZETU 😢😢😢😢😢MUNGU AWAPE KAULI THABITI NA HATA WALIOKO HOSPITAL MUNGU AWAPE AFYA MRUDI TENA KWENYE MAJUKUM YENU MUNGU BABA SIMAMA NA SISI HILI TATZO NI ZITO PEKEETU HATUWEZI 🙏🙏🙏🙏🙏
ila jaman tangia nimeanza kuangalia nimejifunza vit2 vingi sana moja wapo yakit2 ambacho nimejifunza ni kuishi na wat2 kama na wewe umejifunza kit2 kwenye hii movi usipite bila ku like please naanza mimi mwenye kwa kuji like
Kutoka KAHAMA shinyanga Leo WA kwanza ;pia nitumie nafasi HII kuwapa Pole wale wote ambao mmefikwa na majanga ya ghorofa ya kariakoo poleni sana mungu awape nguvu ,TUMSIFU YESU KRISTO
Jameni msiwe ivo. Tuwe sare kama GSU, Kama unamkubali chado onyesha upendo wako apa yaan like yako moja inakupea pepo ya milele ❤pia usisaau pia wale cheusi group, pitieni apa niwaone mkowangap pia nyia mna kiti yenu paleee 👉👉👉👉👉 like zenu nibora kuliko kula yang
Tunao chungulia RUclips kila dakika tujuane apa 😂😂😂... Yanii tita uko RUclips tita uko RUclips ila ngwengwe umeweza ...Alafu kwa mzee manyonga naona katika maisha yko y kihalisia hauko ivo mkubwa wetu hope n kazi tu sijda imetupea kidogo uhalisia wako 😊😊😊😊...Tunawapenda sana kutok Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💓💓💓💓💓
Duniani tumekuja kutembea na 2talejea 2kumbuke Hilo na Hili nikama ku2kumbuxha kuwa Mungu yup 2muombe mungu ndo kila ki2 AMiiiii Mungo a2ongoze na awaxaidie wapon
Sema nini Cheusi Tiiiii na meneja company kama mnaigana vile au naongopa wadau kuweni makini nao ila ndio chumvi ya movie ye2 ...na nyumba haziuzwi ogopa matapeli like zng plz...
Mungu atupe maisha maref watunzi wa film,na watizamaji wote mungu atupe maish maref nguvu afya njem tuumalize mwak vizur pia mungu awape nguv wenzet walioat maaf k,koo azid kuwasimamia wapate kunusurika na ma tatizo
AGIZA KUTOKA OMAN chat.whatsapp.com/FQUw0VkjQBx76clgHWbOJJ
Tuagize nn
@@Chadomastafilm hahahahah
Chad usimsality kidem jau
Chado tutoleee nyimbo yako gafla nashtukaaaa
Chado masta nakukubali kinoma Big kaka🫡 much love from Kenya 🇰🇪
Poleni wahanga wa ajali Kariakoo, Mungu akufanyie wepesi, chado nakupa maua yako
Movie nzuri,,,, pia tuwaombee marehemu wote wapumzke kwa amani na majeruhi mungu awaponye😢
Amin
Amin😢
𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡𝐮𝐦𝐚 𝐀𝐦𝐞𝐞𝐧🤲🤲🤲
Mtoto wangu ngwengwe unanifurahisha sanaa... Weka Kopa za ngwengwe km unamkubali
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Anaesoma ujumbe huu mungu ampe afya jema mungu awasaidie wenzetu walokwama 😢kaliakoo watoke salama😢
Amii
Amen
Ammin 🤲 🤲 🤲 😢😢
Amiin
Ameen
From Maswa Simiyu . Kazi nzuri Bonge la movie 🎉🎉🎉
Chado masta unajua🎉
Ila cheusi jau sana et shukran yamateke ni mapunda ila cheus ni muwongo.sana duuh
Yn😂😂😂😂
Naamin hii ni movie tuu ila nikikutazama vzr sir manyonga kama una kitu kwenye paji la uso wako mungu akuongoze katka njia ilonyooka kama umeona sijda kweny paji la uso wa xaa manyonga weka like apa tujuane😊😊
Hakika 🎉
@@qurthummrabdllh3635 `alikua muimba singeli zamani ,ila naona kabadilika mno
search manyolee,nyimbo mwendo wa pushup utamuona
Wallah tena
umechelewa mbona huyo bwana wapepon
Hakika
Dah huyu ngwengwe noma sana kipaji hikii chado dogo kuwa nae mm ninaimani atakuja kusaidia wazazi wake hapo badae
Pole yenu watanzania kwa ajali iliyotokea hapa 🇰🇪 tunahuzunika sana mungu awape kalima thabiti na walo pata majeraha Allah awape auweni ya haraka inshallah
NGWENGWEE weeeeeeeeee pamban baba gwengwe master 😅😅😅😅tunachek kujarib kusahau ya kariakoo lakn hayasahaulik ni mazito uchung huu daaah MUNGU aendelee kuwapigania ambao bado wapo chin kifusini 😢😢😢
jaman dua zenu zinahitajika kwa wahanga kariakoo 😢😢😢😢
Poleni kwa janga kariakoo na pia poleni kwakumpoteza msanii mwenzenu Fred
Naomba mungu yeyote atakae soma hii message naomba mungu umutangulie mambo yake yote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameen ya rabby
Amen
Amin
Ameen inshallah
Ngwengwe mama ngwengwe najima chadomasita mupovizuli sana mukikosa muvi inapooza sana
Yani nyumba tunayo na tuna tamba nayo chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 gwegwe upo vizuli
Amboa tuna angalia MISSION IMPOSIBLE huku tuna majonz ya majanga ya karikoo please like zenu hapa tujuane 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😢😢😢😢😢
😢😢😢@@mohamedlopa8410
Yani inaumiza Sana daah😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢
😢😢😢😢😢
Ila ngwengwe maua yako baba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉.🎉🎉🎉
Ametisha mtoto mashaallah ❤️ ❤️❤️
❤❤❤
Cheusi abuguze ubeaa mtotowakiume hawi ivyo
Ngwengwe umtisha dogo😅😅😅😅nyumba tunayo n tunatamba nayo😅😅😅😅❤❤❤❤❤mama ngwengwe jamani muizi tena😂😂😂😂😂😂😂❤cheusi mbeya huyu😂chado ymeyatimba hapo kwa Jojo 😂ila kuwa makini isije kuwa anao😢 tuliofurahi kumuona daddy katika jela gonga like❤😂
Kama unamkubali mwamba kazi yake aliyo fanya kuleta nyumba ya kina misumari weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna Tim chd🎉🎉🎉🎉ngwengwe unatisha sana
Kp uko vizur sana an kila nikiingia kuchek vitu vyetu hiv lazma nikufatilie maana upo makini na unaupendo wa tofauti sana chukua 🎉🎉🎉🎉 yako..
nyamba ndo nn,🤣🤣🤣
Nyamba au nyumba
kp wa mchongo
Nawakubali sna team chado chukueni maua nyenu 🎉🎉🎉🎉🎉
Polenii sana kwa wale mlio patwa na msiba kupitia hii movie Mungu awatiee nguvuu......inauma sana... Big up Chad master
Nyumba tunayo na tuna tamba nayo wapi like za ngwengwe 🎉🎉🎉
Hello
@MuhiriAlex hello
mlembo unampenda sana ngwengwe et
@@RogersChenela sana
@SaumunyamvulaNyanje ok best pw tuko pamoja
Leo nimecheka sana aisee hii movie kila siku inakuwa tamu.
Hii ni Sauti ya Ngwengwe maastaa😂😂😂😂😂
Mwenyez Mungu awatie nguvu ndg zetu wa kariakoo😢😢
Ameeen
Amin😢
Poleni ndugu zetu wa kariakoo mungu awatangulie naangalia mission impossible nikiwa kibaigwa kongwaaaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
love from Burundi!nawapenda sana team nzima ya chado masta❤❤❤ mr manyonga atatisha kinoma
Pole xana kwa ndg zetu wa kariakoo,Ila Chado daaaah fireeee❤❤❤❤
Wallah naomba like wenzangu wallah kazi iko saw chado wallah nakupenda sana kicha wangu gwegwe cheusi wallah siku ya leo wallah.inshall.allah
Oyaaa mzee wamisumarii aly dady..leo umeingia pande zakwangu temeke maeneo ya yombo kwa venja tz..oyaaa utawala mwanangu ..nakubal kaz zako we na chado masta
Kazi nzur ila tuendelee kuwaombea ndugu zetu wa kariakoo 😢😢😢
😢😢
😢😢😢
Tupendane na tusameheane jmn kufa ni lazima na kuendelea kuishi ni bahati.....tue pole wa Tanzania wenzangu kwa majanga ya kariakoo 😢
Ila cheuc jmn upew maua yko kutok Zanzibar jmn naombn nam like zenu
J'aime vraiment, Na i kubali sana hi movies, Na ikubali sana Ku toka Congo huku Congo tuna I penda sana hii movie, alafu hii couple ya chado Na najma ni noma sana yani ni the best couple kwenye mission impossible I like
Mnanifurahisha sana.ngwengwe.n chado master.mama ngwengwe nawakubali sana❤❤🎉🎉🎉hongereni nyote
Chado kazi nzuri sana...
Napenda ulivo mtengeneza mtoto ngwengwe kuwa mkali wa wakali.
Kazi nzuri sana.
Watching you from Zambia Lusaka 🇿🇲
Penda sana wa Tanzania 🇹🇿 wenzangu.
Chado Master All the way from Mozambique we love you your só talend keep doing broh
Huyu ngwengwe yaani na mtoto wangu hakuna tofauti😂😂😂nakupenda sana ngwengwe😂🎉❤
nakubali sana dogo ngwengwe namuona mbali sana endeleeni kumpa nafac zaid
Hongera chado masta kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
Ila chado MBINGUNI unakiti chako. Mungu akutunze ❤
Poleni sana ndugu zangu wa Tanzania mungu awape ujasiri kbx Kwa ajali ya kariako😥😥😥
PRAY FOR TANZANIA PRAY FOR KARIAKOOO MOYO WANGU UNA MAUMIVU MAKUBWA MNOOO TUMEPOTEZA NDUGU ZETU 😢😢😢😢😢MUNGU AWAPE KAULI THABITI NA HATA WALIOKO HOSPITAL MUNGU AWAPE AFYA MRUDI TENA KWENYE MAJUKUM YENU MUNGU BABA SIMAMA NA SISI HILI TATZO NI ZITO PEKEETU HATUWEZI 🙏🙏🙏🙏🙏
Allahuma Ameen
😢😢
😢😢
😢😢😢😢😢😢
😫😫😫😫
Nyumba tunayo,chado master nakupenda bure 💯🔥🔥🔥🔥
Poleni wenzetu wa k/koo mungu ni mwema ataweka mkono wake maana yeye ndo atendae na kuepusha.,,ila hii moviee 🔥🔥🔥🔥💯💯
Tunaangalia mission impossible lakini tunahuzuni kwa ndg zetu kariakoo 😢ee mwenyezi mungu wajaalie watoke wakiwa salama ndg zetu🤲🙏💔😭
Me naipenda sana hii movie jmn lkn hawa kina cheusi wapnguzie vipande vyao vinakua vilefu sn alf vingine vifupi na movie inaishaaaa
Chado masta ongera sana kwakweli napenda sana kazi yako tamani n'a mm ishallh niwe kama ww love film kbs ❤❤❤❤❤❤
Hahahaha ngwengwe nihatar unajua sana 🎉😂🎉😂 like zako
Ila mung muache aitwe mungu mana kila kitu akipanga kinatokea tu kariakoo yot n mipango wake yot n kuonesha ukubwa wke
Move yangu pendwa wallah mw/mungu awaongoze katika kazi zenu muendelee kutuletea vitu vizur vyenye mafunzo cheusi nakupenda bure bila kukuona wew sielewi ujue nifikishieni Salam kwa cheusi mangara big up sana🌹🌹
Yaan mm nawapenda wotekwenye Hy movie jmn mnanikosha God bless all
Ewe mwenyezi Mungu wasaidie ndugu zetu karia koo
ila jaman tangia nimeanza kuangalia nimejifunza vit2 vingi sana moja wapo yakit2 ambacho nimejifunza ni kuishi na wat2 kama na wewe umejifunza kit2 kwenye hii movi usipite bila ku like please naanza mimi mwenye kwa kuji like
Kutoka KAHAMA shinyanga Leo WA kwanza ;pia nitumie nafasi HII kuwapa Pole wale wote ambao mmefikwa na majanga ya ghorofa ya kariakoo poleni sana mungu awape nguvu ,TUMSIFU YESU KRISTO
Milele amina
Amen 🙏. Upo kahama sehemu gani
@Mr.Mashauri nipo shunu bro
@LaurentLukome napapata sana hapo maana ndo home ila kwasasa nipo Babati Manyara
Nahuku upo frank@@Mr.Mashauri
Wa kwanza kutoka 254 Kenya wapi like za chado Master ❤
Wakwanza 🎉❤❤ kutoka kenya🇰🇪💯
Allah awafanyie wepec ndugu zetu wa k//koo ambao bado hawajapta msaada mungu awalinde .waliotangulia mungu awape kauli thabit 🙏🙏🙏
Yaani naangalia lakini hata sielewi naona mtihani tuu Allah awafanyie wepesi ndugu zetu kariakoo
Amin😢
Nakupenda Sana kaka Daddy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤I love you so much
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉ngwengwe nimempenda Atari 😂😂🎉
Ngwengwe.polekwakibawo.lakinihongelasana..😂
Ngwenge noma sana❤🎉
Kweli chado wewe ni mukali Sanaa brother 👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👊🏻👍🏿
hakika mnafanya vyema kila mtu kwenye nafasi yake hongeren sana. Na pia 2wakumbuke na waliopata ajali kariakoo mungu awajalieeee
Sarut❤❤ kwako😂😂chado master 🙌 😎
Wewe sheusi nome naipenda sana stilo yako😂😂😂😂😂😂 from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Yaan huyu jojo kwenye hii move simpend kwa maan anafos sana
Yn chado kiboko umepambania mpenzi wako nakukubali sana maua yko ayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Welcome man nakushauri piga mmoja laki chuga na ngwengwe mtatisha mno yedede yente mannegro
Courage à toi Chado masta
Je t'aime mon Frère.
Unafanya kazi vizuli Bro❤❤❤❤
Jameni msiwe ivo. Tuwe sare kama GSU, Kama unamkubali chado onyesha upendo wako apa yaan like yako moja inakupea pepo ya milele ❤pia usisaau pia wale cheusi group, pitieni apa niwaone mkowangap pia nyia mna kiti yenu paleee 👉👉👉👉👉 like zenu nibora kuliko kula yang
❤❤❤🎉
Mungu awatie nguvu wezetu wa Tanzanian kwa maafa ya kariakoo kutoka Oman 🇴🇲 tuko pamoja like wa 1377 ila kitengo chado 🎉🎉🎉🎉🎉
nambie iyo1377 nimekupea like
Pomoja
Kuna ndg yang uko omani
@@batuli-n8e Asante p1 sana
@@MymunaMuna-qn5lo ndo maana yake ama 1377 kwa urefu
Hii nyimbo ya USINIACHE kaimba naipataje wakuu 🙌🙌
Nymb haiuzw ogopa matapel nymb tunay na tunatamba nayo😂😂 ngwengwe noma xan🎉🎉🎉 yote kwayot mungu awafanyie wepes wahanga wa k,koo
Tunao chungulia RUclips kila dakika tujuane apa 😂😂😂... Yanii tita uko RUclips tita uko RUclips ila ngwengwe umeweza ...Alafu kwa mzee manyonga naona katika maisha yko y kihalisia hauko ivo mkubwa wetu hope n kazi tu sijda imetupea kidogo uhalisia wako 😊😊😊😊...Tunawapenda sana kutok Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💓💓💓💓💓
Wa 4555 naombeni lkn maana kila siku naona wat wanaomb mm nikiomba sipat kila atakae soma coment hii mungu ambaliki inshallah🙏🙏🙏
Ngwengwe love ❤❤❤ ongera san unajuwa sana sana kipenz ❤❤❤❤
Mungu akusaidie chado Master inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Like nyingi kwako chado master uko vizuri Sana ila usitucheleweshee😂😂😅😅
Nakupenda sana kaka chado ❤pokea maua yako ngwengwe maua yako 🎉🎉
Aaaaaaaaaah mission impossible basi inatosha❤
Ngwenqwe mwanananqu kaza Obqera Cna kazi nzuri From Omani naitwa somoe
Duniani tumekuja kutembea na 2talejea 2kumbuke Hilo na Hili nikama ku2kumbuxha kuwa Mungu yup 2muombe mungu ndo kila ki2 AMiiiii Mungo a2ongoze na awaxaidie wapon
Balaa zito hii movie ndio namba Moja tz naombeni like jamani
Chado master!! Nakubali xana kwa sababu mnatooa kazi zenu kwa wakati ✔️✔️✔️🔥🔥🔥
Angalia shetani alivyo mjanja atakufanya usiandike ASANTE MUNGU KWA KUIONA SIKU YA LEO
Acha zako ndugu zetu wamefukiwa huko ww unaleta upuuzi wako hapa
@AmosSinkala-lx4sl we kuma la mama ako kweli kwani umelazimishwa usome comment yangu we mkundu nini
@@LizzyQqqqilikuwa nishalike lkn kwa ulivomjibu uyo jamaa nishadislike tyr
Asante mwenyezi mungu kwa kuiona hii siku ya Leo
Naombeni like zenu from kenya💞💞💞
Mambo mazur nilisubili sana hongeren timu chado❤
Sema nini Cheusi Tiiiii na meneja company kama mnaigana vile au naongopa wadau kuweni makini nao ila ndio chumvi ya movie ye2 ...na nyumba haziuzwi ogopa matapeli like zng plz...
Leo nimewahi kam unamkubal chad gong like apa
Haki ya Mungu leo nmempenda Ngwengwe 😂😂 hvi ni mtoto kweli huyo 😂😂😂
Mungu atupe maisha maref watunzi wa film,na watizamaji wote mungu atupe maish maref nguvu afya njem tuumalize mwak vizur pia mungu awape nguv wenzet walioat maaf k,koo azid kuwasimamia wapate kunusurika na ma tatizo
From tanzania kaz nzur pongez kwa bwana chado
Ng'weng'we mwenyewe wanae taka kumchukua mhh ARB.❤❤❤❤❤
Kazi nzuri broo like zangu jamn❤❤
Ila ngwengwe chukua maua yako mdogo wangu🎉🎉🎉🎉
😊😊❤❤❤ unyamaa mwingiii
Daah bonge ya movie kudadek ❤❤❤❤❤ like zenyu jamn
Ila cheusi 😂😂😂ila ngwengwe chukua Prado juu yangu❤❤❤❤❤❤
Lahaula bongeee,mmmmh cheusi umenishinda kwa umbea kah hata mate humezi🤣🤣🤣🤣🤣
Duu watu so poa nilijua nitakuw wa kwanza,ilaa hii movie nomaa jaman
Namuona ngwngwe kama mimi🎉🎉❤