To my amazing fans, you inspire me to keep pushing my boundaries as a DJ! Enjoy the Mix and feel the energy! Subscribe, Like, Share and Comment. THANK YOU!!! hearthis.at/official-dj-dawn/dj-dawn-the-certified-ep-3-mbosso-khan
Kaka Mbosso Tabaraka Wataallah azidi kukulinda Bro 😎 kwa sawuti Nzuri kbsa nazipenda nyimbo zako nikizisikiya basi moyo hutuliya kama maji mutungini ongera sana uko juuu
To my amazing fans, you inspire me to keep pushing my boundaries as a DJ! Enjoy the Mix and feel the energy!
Subscribe, Like, Share and Comment. THANK YOU!!!
hearthis.at/official-dj-dawn/dj-dawn-the-certified-ep-3-mbosso-khan
Me n part VG e
😮😮😮😮😮😮😮😮 lolol loll lololol@@RajabSianzoo-lx7jh
Dj dawn you are the best ❤❤❤
Big up 😊😊
😊@@QueenhalimaHalima-ry5tg
I love mbosso songs💖💯💥💗
Wangapi ndo wanaskia hii 2024😂😂❤
Mboss songs are kit
Me😂😂😂🤭
Mimi hapa oct 5 th 2024 loving the mix
I've always loved mboso, he makes love look so easy 🥰🤗 also, he resembles my first love so much🤭
What If he is the one 😅😅😅
@@ObworaFatinah no he can't be 😂😂😂😂
So u still miss Ur ex😂
Nice 😊😊
Nobody cares love .....skiza mix wacha mambo😂😂😂
Mbosso is the best, I always enjoy his songs
Am proudly mboso music love 💕 from Zed corner Zambia ❤
Mbosso kiboko yao utamu hadi mkwenye sikio❤
Mwili wangu wa
Mapenzi
Imagine driving while listening to this mix weeeeuh unaeza enda ady Mogadishu kama haujui 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
weh nisha gundua sasa hivo nikiwa kismayo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@roblemohamed97😂😂😂 ulirudi ama uko uko bado?
Wewe unasema Mogadishu mimi niko Tanzania 🇹🇿 already namafuta ya gari imeisha sijui nitarudi aje kenya ama acha nikamtafute mbosso 😂😂kenya sirudi mimi
@@CalvineCherono-d1j 😂😂😂😂
Mbosso is one of my favourite, I can listen to his songs the whole day without getting bored,,lots of gratitude to his creativity
Thanks
I love mbosso songs too and he smiles like a shy boy
I love your song 🎵 ❤❤❤❤❤am from zambia 🇿🇲 supported
Dj honger yak upo vizur
Asanti
Mbosso my favourite artists...nyimbo zake moto kabisa❤❤....ata bila mpenzi zanituliza❤
Umeona two enjoy ambao tupo single 😢
Mbosso yuko jui
Ndio Kali saana hii Haina kona kona manzeee
Much love from Ethiopia I just love this ,man a lottt such sweet voice
Mbosso mkalii sana ...big up broo
Kazi safi sana DJ Dawn. Sijui niende mpaka Daresalam nikamfuate Mbosso Khan❤😂
we need one more for the new year
Dj mambo sawa waaa ❤
Tujuwane Wanaosikiliza kwa 2025
Aya baba umenijuwa naregeahaa
Here here
Mbosso anaweza fanya mtu aamini mapenzi😢
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@fridahmuthoni6775 😂😂😂😂
Aki
His songs are never boring napenda wacha tu
Good mixage
I don't know what he is saying but sounds good to me!
Dogoo unaniachangaa hoi na sauti ,mpangilio mzuri wa vinaaa hongeraaa sanaaaaa
Asanti
Official Dj Dawn this is fire❤❤🔥🔥🔥
Thank you 💕
Thanks
Vile nampenda mbosso I keep on listening to this mix a million times ❤😊
Mimi niliwachua na ben juu napenda wimbo wa mbosoo
Depuis Mayotte un fan courage mon boss
Learn some Swahili language 😂
Santi
🔥 🔥 🔥 ❤ kali sana
Boss ..Mboso uko Top, Hawakuwezii hata wakijaribu.nyimbo sauti na mziki Tamu
Hello guys kitu kali kabisa Asante Dj namupenda mbosso sana 🎉🎉🎉
Hapa mimi nimelowa❤❤❤❤wapi wa TZ❤❤❤❤❤
Nipo uko wapi natafuta mchumba if uko serious nishow
Mm je nimelegea
Straight to the best songs not interupting kudos
Mix moja Kali Niko hapa nakashika miraaa inaingia pahali inastahili daaaaaah ❤❤❤❤❤❤❤ufa nayo ni hometherter ❤❤❤❤
Kwa raha zako🎉
Kaka Mbosso Tabaraka Wataallah azidi kukulinda Bro 😎 kwa sawuti Nzuri kbsa nazipenda nyimbo zako nikizisikiya basi moyo hutuliya kama maji mutungini ongera sana uko juuu
Una sauti nyororo wallah.Unanifulahisha sana tena sana.🎉🎉🎉
Santi
in love already ❤❤❤
Mboso...254🇰🇪 tunakutambua.💪
Love you so much bro mbosso
Am humbled
Wow... wow. Just wow. Mature mixing with no unnecessary sound effects.
Dj Dawn de baddest
Thanks for listening
That's why I will subscribe 😊❤@@official_dj_dawn
❤❤❤UnaNifañya nitamani kua na mpezi
😂😂😂Mungu akujaalie umpate
No stress but i want music mix with you❤
My number is on the channel description, slide.
Sioni ulimi sikioni yala yalah ❤ zamani penzi tongwa mboga niukumu ww sioni mwili wazizima yalah😮
Much love mtu wangu yaani hizi ngoma inapiga roho karibu nichinzi so sweet
Thanks for listening
Awesome,,great job ,,Dj Dawn 💥💥
Mbosso all the way 🎉
Mbona audio??❤❤mbosso songs can listen with my dad hakuna mauchafu
Videos are copyrighted, I couldn't use them.
But am glad you're enjoying the mix 💯
True😂
Tamu tamu sanaa inapenya iyo ❤itafune imugunye ishakuwa yako 😂❤❤❤ baby wambie ushasoma dua kwa macho ya paka aijawai kubwaya ❤❤kunako tamu tamu korea
Mbosso is a Legend ❤
This guy is something else ❤❤❤❤❤ mbosso to the world
Cuddling na mpoa alaf hii mix inaplay at 8%. Top-tier💌
My favourite😘💓 ,,,amazing voice
Enjoying this great mix🔥🔥
Thanks for listening
My favorite mix mbosso songs 🔥🔥
LOVE❤ TOKA UK 🇬🇧
Niiice
جميل بكل شي ❤❤
Love from France ❤️
The best, thank you for these wonderful songs full of Love❤️
Thank you for listening 🎧
Nasi joy mbosso ❤ nipo Oman hapa naregeaaha
Uko wapi me nipo As suwayq
@NajjyNur nipo lnzik
Nakubali kak
This mix imenitolea stress.....I always love mbosso songs❤❤
Since 15years adi sai 24 just in love with bongo ya Tz ❤
I love mbossos songs dj keep up❤❤❤❤
Iko poa sana
Am from Uganda but i love mbosso music so much❤❤❤❤❤
Mbosso wimbo yako iko sawa👏👏👏👏.Ilove it so much❤️❤️❤️❤️
Mapenzi nayoo❤❤❤
This is not my phone it's my man's phone but when ever we are funking I listening to the mix
Wow
Mboss 4rever
Mbosso my favorite
Mbosso umewika sana
Nyimbo tamu
Fayaaaaaa 🔥🔥🔥💥
Mbosso my fevorite
That's good
With mboso songs you follow in love ❤️ everyday
Waiting for more comments am Joseph mwangi Kangethe from Kenya Muranga county
@@AmaniwaKenya for sure 💯 something will drop soon
nice one
Aki nyimbo zako zina nimalizianga streess 23:19
Kwa nini akuna video tunapenda video😂😂😂❤❤any way ni tamu sana😊
Video zikona copyright, but thank you for listening 🎧💯
Uko poa sana bro kila jemaaaa❤❤❤🎉
Mix Iko 🔥
Thankyou 💯
God am humbled
Mbosso all the way this 🔥
Mbosso clan to the world 🌎
Much love from Saudi Arabia Mbosso ❤
From tanga nimependa xana pole dea x
Imagine driving while listening to this mix weeeeuh unaeza enda ady kuona bibi ya Engonga😄😄🤣
My best love song artist
My love for Mbosso😢❤❤❤
Wow ❤❤
My name is Yvonne from Africa mboos l love you very very much
❤❤ wonderful
Love u
❤❤❤❤ safi sana
Nys one
Thanks sana
Mboso ❤
mbosso songs heals my heart
perfect