BABALEVO NA MWIJAKU WABISHANA MBOSSO KUONDOKA WASAFI MPENI AKAUNTI ZAKE DIAMOND AMESHIKILIA BADO..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 45

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 11 часов назад +7

    Huyo dem amemwagiwa mate pande mbili mpka kalowa....n vile hawezi semq 2😅

  • @LeonardKibuti
    @LeonardKibuti 16 часов назад +9

    Hawa watu unaweza kupigana nao af baadae wanakuwa marafiki zako😂😂

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 5 часов назад +1

      Ndio wanavyoishi mjini hao, km mafara kumbe wanapata maokoto na maisha yanakwenda

  • @BahatiPascal-t6i
    @BahatiPascal-t6i 18 часов назад +2

    😂😂 chawa mbili zimekutana 😂 good 👍

  • @saadkazungu2411
    @saadkazungu2411 4 часа назад

    Ati walizeeka ghafla😂😂😂, gang ya mtu mmoja😂😂😂. Daah baba levo bwana

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 13 часов назад

    Hawanimo🔥🔥

  • @InspirationalChickens-cf7uu
    @InspirationalChickens-cf7uu 9 часов назад +1

    Mwijaku wenyewe kacheka GENGE LA MTU MMJAA 😂😂

  • @bakariWahida
    @bakariWahida День назад +5

    Hawa watu nawapenda Bure jamani

  • @SamwelikazimbayaKitahenga
    @SamwelikazimbayaKitahenga 9 часов назад

    Yani jaku anatongoza hapo hapo kwenye interview😮

  • @felixkangkang
    @felixkangkang 10 часов назад

    Fallen of mbosso

  • @josphatmutaki
    @josphatmutaki 12 часов назад +1

    hivi ndo wanaume huwa wanabehave around wanaume wenye pesa, watazame hao wawili

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 11 часов назад

    Jamaa wanakula kwa kupega makelele tu kweli kila mtu ula riziq yake na nguvu zake 😂😂😂@ Mwijaku@Babalevo🎉🎉🎉 tz bila nyinyi iko bored @ Ndoto magari🎉

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 3 часа назад

    Yaan hivi vichwa usipocheka kwakwer we ni kiziwi 🤣🤣🤣

  • @Dunia_Films
    @Dunia_Films День назад +5

    ❤❤❤❤❤❤

  • @SalhaRamadhani-b5m
    @SalhaRamadhani-b5m 14 часов назад +1

    Hela automatically unakua chawa

  • @JOHHMike
    @JOHHMike 13 часов назад +1

    Kumbe chawa sio wakuamini

  • @stephenmelita3493
    @stephenmelita3493 9 часов назад

    Mbona mwijaku ni kama anamdara kale dem

  • @rajabhamis4288
    @rajabhamis4288 14 часов назад

    Daah Hiz Mbuz zinachoka sanaa😅😅

    • @CalosSway
      @CalosSway 6 часов назад

      😅😅😅😅😅 kwel si kwa izo ruti

  • @AmaniboyAmaniboy
    @AmaniboyAmaniboy 17 часов назад +1

    Tanzania ikijawapoteza hawa watu basi itaboeka sana 😂😂 Baba Levo,Mwijaku bila kusahau Doto magari

  • @LinusJohn-t6m
    @LinusJohn-t6m 14 часов назад

    Mwemba una mke lakin kakaaaaa

  • @emanuelsichone8027
    @emanuelsichone8027 17 часов назад +1

    Umli huu umakuwa chawa

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 17 часов назад +1

    Hawa wanawake wanatokea wapi why wanaruhusu kushikwa namna hii. Mwijaku, keep your hands to yourself

    • @ngadumbishi1405
      @ngadumbishi1405 14 часов назад

      Ila wabongo ndomana watoto wadogo wachawi sa we apo kilichokuuma nini au umeshikwa ww sasa😂😂😂😂

  • @peterbody690
    @peterbody690 17 часов назад

    Kwenye gang mwijaku mwenyewe kacheka 😂😂😂😂

  • @abdulrahmanabdulrahman837
    @abdulrahmanabdulrahman837 17 часов назад +1

    Mwijaku mkono hautoki... unapapasa tu😅

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 14 часов назад

    Mwijaku kelele nyingi

  • @sultaking8719
    @sultaking8719 21 час назад +1

    Hawa wabafujo kama mabinti

  • @husseinkitingi8186
    @husseinkitingi8186 16 часов назад

    Awa jamaa inabidi waungane wanakitu wakiwa pamoja

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 14 часов назад

      Hapo unavyowaona ndo wameungana ila rizki zao wanazipata kwa kujifanya maadaui

  • @ESPAFRICAGROUP
    @ESPAFRICAGROUP 16 часов назад

    😂

  • @mushyharabama4142
    @mushyharabama4142 11 часов назад

    Kwenye uchawa mme xhindikana nyie mbwa wa wili

  • @JujuGurugu04
    @JujuGurugu04 14 часов назад +1

    Jmn hiyo wasafi itabaki vipi

  • @brightbillgates6351
    @brightbillgates6351 12 часов назад +1

    namuonea huruma huyo dada analoa mate hpo😂

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 17 часов назад

    Kama Mboso mkataba wake umeisha hakutakiwa kulipa anyway so story alikuwa na nidhamu ni uongo hakuna label inayoendeshwa based on nidhamu huenda mlimuachia aende mana haiungizi kitu. Rayvan mlisema hivyo hivyo mwisho wa siku mkasrma kalipa zaidi ya Bilioni. Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu

    • @LingstonKikobilimwakaboko
      @LingstonKikobilimwakaboko 3 часа назад

      Ukisema mbosso alikuwa haingizi chochote huo uwongo kijana alikuwa anapendwa sana Mombasa 😮