Alikiba presents - AbduKiba X Cheed X Killy X K-2GA - Rhumba (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 5 тыс.

  • @gracyleonardoh7305
    @gracyleonardoh7305 5 лет назад +287

    Namuonaaaaa killy wangu jamanii mbona ni nomaaa.....wote mnao mkubali killy like bas

  • @zatexbillgang1928
    @zatexbillgang1928 5 лет назад +39

    King nakuomba wawe wanatoa back to back ili wafike mbali zaidi m nawaona mbali kiukwel ila wakifanya back to back saruti kwa king team kiba kongeni like apo

  • @luswizamobile2934
    @luswizamobile2934 5 лет назад +43

    ngoma iko poa sana kings music kama unawakubali kings gonga like 100 hapa

  • @najar825
    @najar825 10 месяцев назад +22

    ngoma bado inatikisa 2024 bana❤️💪

  • @gracyleonardoh7305
    @gracyleonardoh7305 5 лет назад +28

    Woyoooooooo yebabaaa .....tucheze rhumba kidogo uwiiiii me nawapa like team king musik woteee nanyiee bas

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 5 лет назад +101

    K2ga ana sauti tamu karibia ya Yebaba,mwendo ni wa rhumba
    #KingsMusicForLife
    +254

  • @khalidiabdallah1362
    @khalidiabdallah1362 5 лет назад +65

    Rumba iko vzr special thanks kwa alikiba

  • @wardagulam9624
    @wardagulam9624 5 лет назад +24

    Hii ngoma jamanii ni 🔥🔥🔥🔥 kila nikiisikiya ni kama ndo imetoka leo yani kwasiku mara 6 lazima yani ni kiboko. Mko juuuu

  • @elikanajoseph5404
    @elikanajoseph5404 5 лет назад +65

    Bonge la saprays kwangu audio mpaka video 👏👏👏👏😱

  • @tunesmith7363
    @tunesmith7363 5 лет назад +76

    Fire!!!!!!! Kama wewe ni team kings music gonga like twende

  • @nizzomtz5178
    @nizzomtz5178 5 лет назад +25

    nilijua King's music waki dondosha ngoma bs dunia lazma ijue kama una waerewa king music weka like yako hp

  • @itskj382
    @itskj382 2 месяца назад +2

    Mookoooo, ❤❤❤❤❤ nani Yuko hapa 2024 hiii Kali sana

  • @vincentmchau5903
    @vincentmchau5903 5 лет назад +40

    Mimi kwako koroma
    wangapi wanacheza rumba kidogo
    Kings is firee

  • @abdulfrance1548
    @abdulfrance1548 5 лет назад +82

    Production sio ya nchi hii shikamon kings music lab

  • @jacksonally8740
    @jacksonally8740 5 лет назад +57

    goma liko poa saaaaana alikiba duh pamoja sana

  • @listerboyka2672
    @listerboyka2672 5 лет назад +56

    Ngoma ni kaliii timu kiba Leo msipo nipa like navunja simu 😁🔥

  • @lameckluoga3318
    @lameckluoga3318 5 лет назад +74

    Nilitegemea kitu bora kama hiki toka kwa king kiba.. Approciate good music from to king💥

  • @youngbillionairekid1482
    @youngbillionairekid1482 5 лет назад +63

    Jamani ivi niki sema mziki mzuri unapatikana kingsimusic nakosea? Dadek ii ngoma ni fireeeeeeeeee

  • @dabwaytv
    @dabwaytv 5 лет назад +36

    Eeeeeeeh wanao jua wanajua tu shikamoooo kings music

  • @zulfapazi106
    @zulfapazi106 5 лет назад +7

    ili joto la bongo 24hrs ntapepewa.....😘😘😘😘😘

  • @hamzaharuna2053
    @hamzaharuna2053 5 лет назад +40

    Leo wa kwanza #teamkiba 4 life

  • @plumbingtechnician9116
    @plumbingtechnician9116 5 лет назад +48

    Oyaaa ngoma kali masauti ndo nyumbani pake apo ila nini wanangu tubadilike toe ngoma zakuchezeka basi tukianza kufungulia masabufa kweli wajue king music wanaungulum IZO TUMEZOEAGA

  • @fungafungatv448
    @fungafungatv448 5 лет назад +52

    K-2ga ni 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥 huyu ndiyo mrithi wa king Kiba ...

    • @fungafungatv448
      @fungafungatv448 5 лет назад

      Yaan huyu k2ga atakuja kusumbua sana hapo baadae

  • @alikomatola6535
    @alikomatola6535 5 лет назад +57

    Alikiba: how many vocals you need
    fans: yes

  • @smith702
    @smith702 5 лет назад +120

    Yanii nimekopa bando kisahiki kichupa bando liliishia njiani nikasema usinitanie ww kwan Tsh ngap,,? Mmetisha sana King's music yebabaaaa msisahau like zangu jaman

  • @abduljumaa1238
    @abduljumaa1238 5 лет назад +24

    cheed unanigoga moyo sna hiyo saut yako mayai sana👏💯🔉🔉

  • @barakamatiga9954
    @barakamatiga9954 5 лет назад +74

    Abdu kiba umetulipa zile penati ulizokosagaaaaa

  • @drkailemboztv9424
    @drkailemboztv9424 5 лет назад +4

    Milioni tayar kumbee mziki mzuri unatembea mwenyeweee bila kiki

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 лет назад +182

    lazima tuwatoe wao kinanani wawe trending wiki zote sema yebabaaa. Kings music juuu adi mawinguni.

  • @alexmerck2568
    @alexmerck2568 5 лет назад +65

    kama hii ngoma nawwe umeisikiriza bira kuichoka Kama mmi tujuane🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🏃

  • @majaliwamajaliwa5547
    @majaliwamajaliwa5547 5 лет назад +59

    Asee msimchukulie poa Killy,, KILLY kwenye huu wimbo amewakalisha hao wote,, katembea na Tune kali sana humu

    • @kulimushibaby4225
      @kulimushibaby4225 5 лет назад +1

      Majaliwa Majaliwa true

    • @paulebby1552
      @paulebby1552 5 лет назад +3

      K2ga katisha

    • @majaliwamajaliwa5547
      @majaliwamajaliwa5547 5 лет назад +2

      Msikilize vzr KILLY

    • @qmedia2171
      @qmedia2171 5 лет назад +1

      Killy hafai ata kuwa kwa hii group...he is too big....jamaaa anatishaaa sanaaaaa ngoma zote za Kings Music yeye ndo kaua

  • @kinjeathuman2350
    @kinjeathuman2350 5 лет назад +9

    Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz..... Nasema hivi hii ni yenyewe kbs 👐

  • @Dinosucre10
    @Dinosucre10 5 лет назад +199

    Finally trending number 1
    Gonga like kama una cheza rhumba

  • @deniyotv202
    @deniyotv202 5 лет назад +65

    jamaan King me nataka like na tucheze rhumba kwapamoja yebaba

  • @hillarymeeme6450
    @hillarymeeme6450 5 лет назад +45

    ngoma safi sana.
    254 tumekubali.
    nipeni likes za 254 Kama unakubali hii kazi nzuri

  • @alfredkayabu3210
    @alfredkayabu3210 5 лет назад +12

    Mchawi ndio hawezi kuikubali hii ngoma, sauti kama zote ivi...........

  • @nitaally2190
    @nitaally2190 5 лет назад +32

    Mambo ni 🔥🔥🔥mm nakoroma youtube mpaka kieleweke leo #rumba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kassammwalo5663
    @kassammwalo5663 5 лет назад +48

    Oyoooo balaaaa na nusu ushindi tumeuchukua na dakika 90 bado wapi likes zetu za rhumba

  • @honestytimber9962
    @honestytimber9962 5 лет назад +150

    SAUTI ZA DHAHABU TISHA SANA KING KIBA WALIO SIKILZA MARA 100000 KAMA MM LIKE ZA KUTOSHA

  • @saidmbonde5044
    @saidmbonde5044 5 лет назад +2

    King music mabusu mpaka twalala tumetisha tunakoloma+++++++++

  • @kevinmakaveli2848
    @kevinmakaveli2848 5 лет назад +37

    Aaahhh sauti tu za wateule pale wafalme music only a gew can sing like this 🙆‍♂️🙆‍♂️👊🏽

  • @mistalbboy8432
    @mistalbboy8432 5 лет назад +75

    Watu wenye visahuti vyaho kutoka king music kama unahikubali king music ngonga like hapo

  • @jaybacky9613
    @jaybacky9613 5 лет назад +153

    oyaa kama umemuelewa mnyama K2ga usisite kupiga like km kumbless mwana. yupo vzr

  • @barakamatiga9954
    @barakamatiga9954 5 лет назад +7

    Mhhhh! Hongeren sana team kiba wote tuliosupport adi m ya kwanza naomba tuendelee kuview zaid

  • @shanizyusuf8210
    @shanizyusuf8210 5 лет назад +64

    Nomaa sanaaa mumeuwa nyote big up to u guis love u so much.

    • @shanizyusuf8210
      @shanizyusuf8210 5 лет назад

      @Hamza Gati kwann my ngoma kaliii

    • @shanizyusuf8210
      @shanizyusuf8210 5 лет назад

      Aki nimekesha kwa ili ngomaa tena saii niko apa naangali tu veiws

  • @mussamkumbwa4255
    @mussamkumbwa4255 5 лет назад +74

    Yaan hii song unaweza ombea mkopo dah king music musik wenu ni tibaa kwa wenye msongo wa mawazo

  • @mercynelima4241
    @mercynelima4241 5 лет назад +133

    Izo sauti fireeeee,#Rhumba ndio mpango mzima sasa

  • @bobbydippiedolat7797
    @bobbydippiedolat7797 4 года назад +11

    King kiba, I have no words. This compilation is equivalent to Kenya's sol generation. Only the best from the best. Salute king kiba......moko!

  • @abubakarabuero5137
    @abubakarabuero5137 5 лет назад +389

    Kings wameua afadhali leo nimewahi sasa hizo likes from 254

  • @felistamashinga123
    @felistamashinga123 5 лет назад +67

    Bonge la ngomaaaa,,,salute kwa Kiba na wasanii wote mlioshiriki wimbo huu.........❤❤❤❤❤

  • @mbarakhassan9820
    @mbarakhassan9820 5 лет назад +99

    Kwani kuna MTU anateseka kama nawaona vile.wapi like za kingmusic

  • @ramabendera8183
    @ramabendera8183 5 лет назад +9

    Good one million views na bado wachanga kwenye game big up kwenu bdo tunaendelea kuwapa sapoti

  • @rookieoftheyear9595
    @rookieoftheyear9595 5 лет назад +115

    The guy in the yellow jacket sounds just like Ali kiba👏👏🔥

  • @ahmadnassor7375
    @ahmadnassor7375 5 лет назад +155

    Waaaooo. It's amazing vocalists . Chiddy uko pouwa
    Killy uko nice
    Abdul kiba Moto
    K- 2ga ndio mrithi wa Ally kiba maana umeua kabisaaa
    Sijutiii kuwa team kiba
    Well done kings music. Hasa Kwa Sisi wapenda songs za heshima na Kali ambazo waweza sikiliza hata mbele ya mkweo

  • @mamdinhoFalahy771
    @mamdinhoFalahy771 5 лет назад +36

    Amazing sana. Tucheze rhumba. Gonga like kama ume replay huu mziki 🔥

  • @rayshikeli1577
    @rayshikeli1577 4 года назад +1

    Asantha.....tusipotezane mm na ww tucheze rhumba kwa sanaaaa......🙌🙌🙌

  • @mudystarog1381
    @mudystarog1381 5 лет назад +78

    Mmefanya ngoma kubwa sana na hapo ndipo tukaanza kuamini #Kingsmusic ni lebo inayokuja kimapinduzi kwenye huu mziki wa bongo freva hongereni sana kwa kazi kubwa 👍🏼👍🏼🔥🔥🔥🔥

  • @abubakarihtarimo7660
    @abubakarihtarimo7660 5 лет назад +23

    Ukiisikiliza Mara yakwanza unaona bado ila ikifika pale mwisho unajikuta umebonyeza kuisikiliza tena 🎼💓🎵🔊baby rhumba kidogoo🔊🔊🔊🔊🎵😍🇹🇿

  • @hafswajambo289
    @hafswajambo289 5 лет назад +138

    tamuuu sana jamani. naombeni like moja tuu jmn

  • @heshima9935
    @heshima9935 5 лет назад +1

    Maneno matam tam ...dah king music mnatishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @jildow4533
    @jildow4533 5 лет назад +30

    Happy birthday 🥳 kwako ndugu yangu @officialkilly

  • @donpeter8307
    @donpeter8307 5 лет назад +31

    K2ga ana saut nzur sana, alaf anaimba simple sana talented boi

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 5 лет назад +57

    kama kweli kila Ngoma ya Kings K2ga ana huwaga zaidi kuliko wezake please ni peni like za kutosha.

  • @victorobwavo7117
    @victorobwavo7117 5 лет назад +25

    I am a Kenyan but i love this song especially the beat.......mad respect

  • @khalidmisinga909
    @khalidmisinga909 5 лет назад +39

    kama umekubali kazi ya moco kweny izo magic voice gonga like kama zote apa

  • @jildow4533
    @jildow4533 5 лет назад +24

    Happy birthday 🥳 kwako ndugu yangu @officialkilly Mungu atuwezeshe na kukuongezea miaka zaidi ya kuishi.

  • @antonyngala1977
    @antonyngala1977 5 лет назад +34

    Wapi kelele team kiba wcb kaa mbali babako

  • @mfalmeentertainment3090
    @mfalmeentertainment3090 5 лет назад +38

    k-2ga unatesa sana more love for u guys good music# king music

  • @lifathlihawajr8668
    @lifathlihawajr8668 5 лет назад +114

    Na Mimi Leo nijione m2 jamani just like button king kiba mnajua asee🔥🔥🔥

  • @thomaschopi8958
    @thomaschopi8958 5 лет назад +28

    Kumbe zile Penalts ulikosa kisa ulikuwa bize na kitu cha #RHuMbA
    Big up brothers!!!! from King's music***
    #kun faya kun#+++++
    @rhumba in town

  • @giftngailo5442
    @giftngailo5442 5 лет назад +20

    Jmn team kiba tuifanye iwe no 1 pls

  • @ziadaibrahim6189
    @ziadaibrahim6189 5 лет назад +91

    K2g ni motoo shusha like yako km unampenda k2g

  • @fatmamohammed9436
    @fatmamohammed9436 5 лет назад +100

    Me kwako koroma koroma zezeta..🎶🎵🎵🎷🎺 Kings Music ni moto wa kuotea mbali..🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @storyzetu8114
    @storyzetu8114 5 лет назад +195

    Umeielewa ngoma na kama anamkubali K2GA sema oyoooo
    Wale mliommiss KILLY aliyeimba RUDI weka like yako hapo........

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 5 лет назад +37

    No 1., on trending nyoko Sana, wahuni siyo watu wazuri, mmtatuua nyie vijana

  • @husnaomar4527
    @husnaomar4527 4 года назад +1

    Cjui nmara nmeckiza hii nyimbo wallah iko talented 💕💕💕💕💕💕

  • @HabilyTech
    @HabilyTech 5 лет назад +209

    Rhumba rhumba daaah hili goma K2ga kaua sana asee weka like zito la kilo hapa

  • @nationboy2541
    @nationboy2541 5 лет назад +20

    Ni nyimbo kalii sana
    Hongereni kings music

  • @hawamokka3627
    @hawamokka3627 5 лет назад +384

    Ambao wanampenda zaidi huyo mwenye sauti km ya kiba gonga like hapa.😍

  • @abdimalik8989
    @abdimalik8989 5 лет назад +2

    Ngoma noma Kings music Wana sauti nzuri wote.Nmerudia hii ngoma Mara 1000 ngoma Kali lkini

  • @riztv8843
    @riztv8843 5 лет назад +22

    Nafikiri waliosema k2ga anafanana na king kiba nadhani wamepata jibu sasa. Mzigo mkali sana kuanzia instrumental apa trumpet pale piano pale base. Bonge moja LA production toka kwa mocco genius. Well done #rhumba

  • @werewere2117
    @werewere2117 5 лет назад +46

    Maskio yetu yamepata dozi lingine la dawa 2x3. 24/7 asante King's music. Piga like twende Rumba mdogo mdogo... 👍

  • @wemakingdaily1462
    @wemakingdaily1462 5 лет назад +105

    Namba 1 trending?😳Mmetisha 👏👏👏

  • @AMI-ip1lx
    @AMI-ip1lx 4 года назад +3

    Woooooooy Yebaba Toto mwenye mwendo wa Jogo Yallah 💃💃💃💃💃💃🔥🔥🔥👑🤔🤔👑👑👑👑👑👑💏💏💏💏💏💥💥💥💥💥❤💥❤❤💥BABY tucheze Rhumba kidogo Wachenu mweeeeeeeee Nawapendraaaaaaaaa so much

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 5 лет назад +63

    Tulio amka na RHUMBA tujuane hapa

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 5 лет назад +236

    Ase K2GA sio wa nchi hii kama umemuelewa zaidi gonga liker

  • @josephinekessy1994
    @josephinekessy1994 5 лет назад +21

    Na mm.naombeni like zenu jamani,Kings music ni🔥🔥🔥

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 лет назад +2

    Mmetisha sn umekuwa wimbo wa dunia

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 5 лет назад +32

    Rhumba na mashairi yamaloving kwa sana ni stress...big up sana kings music #001@+974

    • @justinadamiane3496
      @justinadamiane3496 5 лет назад +1

      💃💃💃💃💃👑👑

    • @SaleheHJuma
      @SaleheHJuma 5 лет назад +1

      Well done kings music,good music.good videos keep it up

  • @evanovatus2053
    @evanovatus2053 5 лет назад +81

    Aloungalia huu wimbo zaidi ya mara mbili kama mimi tujuane hapa

  • @abdulfrance1548
    @abdulfrance1548 5 лет назад +20

    Hapana asee raha sana mpk watoto ni mafundi

  • @hassanmwalim3221
    @hassanmwalim3221 5 лет назад +11

    Beby tuchez rhumba kdg................🎧🎻🎹🎻🎶🎵🎵 hny tuchez rhumba kdg......🎵🎶🎶🎶🎧🎤🎤..........Me kwko koroma. ...koromaaaaaaa🎤🎧🎶🎵🎻🎻🎹.............zezetaaaaaaaa🎹🎵🎶🎶🎧🎧🎧

  • @omarsalimmarjanmj1474
    @omarsalimmarjanmj1474 5 лет назад +146

    King never disapoints from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Much love❤❤❤ piga 👍👍

    • @radiIbrahimnuhu
      @radiIbrahimnuhu 5 лет назад

      no dear they pretty much disappoint remember all their songs have been poor

    • @POGMESSITV
      @POGMESSITV 5 лет назад +4

      AliKiba is the real goat of Bongo Flavor. #TeamGoodMusic #MombasaKwaWajanja 001. Go go go #KingsMusicRecords #Abdu #Killy #Cheed #K2GA 🙌🔝🔥🔥🔥⭐⭐❤

    • @lumierembilizi966
      @lumierembilizi966 5 лет назад +1

      @@radiIbrahimnuhu they don't make songs, bro. They make hits!!!!

    • @justinadamiane3496
      @justinadamiane3496 5 лет назад +1

      +256

    • @omarsalimmarjanmj1474
      @omarsalimmarjanmj1474 5 лет назад +1

      @@radiIbrahimnuhu
      Its all about support and Market...
      The song got good content in it...
      We can't rate them with "others"

  • @ephraimtetason5208
    @ephraimtetason5208 5 лет назад +40

    Baby cheza lumba kidogoooo daa ngoma Kali Kings music music mzuri ulipozaliwa🔥🔥🔥🔥

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 5 лет назад +19

    Kiba nakuamini na ninakubali unatumija kipaji chako usitumiye mafuvu utapata mwisho mwema si kwa mafuvu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @munifuyusuf6229
    @munifuyusuf6229 5 лет назад +2

    Nilipewa rhumba acha niicheze leo tena kidogo.

  • @georgekutzhairstudio
    @georgekutzhairstudio 5 лет назад +245

    254 kama waipenda hii ngoma let's give kingKiba million likes...

  • @vicemedicalhealthcareoffic2311
    @vicemedicalhealthcareoffic2311 5 лет назад +177

    Hiiiii college ya music sio poaaa dah aisee mi shabiki wa WCB lakin hapa nmekubal kazi aiseee1000%%%%%

    • @salmasumahili7260
      @salmasumahili7260 5 лет назад +1

      We sio shabiki wa WCB sema ukweli

    • @rocksstartv7686
      @rocksstartv7686 5 лет назад +2

      Kwa pamoja nguvu zetu tunaweza bila robot

    • @mcmatokeo1166
      @mcmatokeo1166 5 лет назад +1

      GodMusic kingsMusic

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 5 лет назад +1

      Fadhakir Hassan kamskilise mxcartel kwenye chanel ya sns kawafungua macho nyie wabongo bongo lala aliyewaambia kwa sasaiv robot youtube zinatumika nani huyo mbuzi?

    • @anethdamiani8746
      @anethdamiani8746 5 лет назад +1

      patrick nditiye hiii n mofayaaaa

  • @charlesrichard7270
    @charlesrichard7270 5 лет назад +18

    Killy & K2ga naona future nzuri mbele yenu nadhani apo kaza buti tu, na wale wa mtaa wa pili muda wao upo ukingoni karibia mtatake over kwenye game.....

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 5 лет назад +4

    namkubali sana huyo aloanza kuimba aliyeimba masozy