Killy Tz ft Alikiba - GUBU (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 3,7 тыс.

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 5 лет назад +43

    the king. Nikiwa mozambique team kiba tupo nahomba like kama10 zinatosha

  • @official_Biiman
    @official_Biiman 5 лет назад +43

    Hawa jamaa wana njaa Sana yaan huu Ni mziki na nusu #dable A #kingsmusic Ni motoooooo

  • @POGMESSITV
    @POGMESSITV 2 года назад +26

    Utaimba minyimbo apo Konde Gang lakini hutofika level za gubu. Classic hit, Timeless music. Thank You King Kiba 🐐💯✅

  • @kilwatv4124
    @kilwatv4124 5 лет назад +40

    woteeeeee semaaaaaaa gubu #KINGSMUSIC4LIFE

  • @markjuliusdaud8005
    @markjuliusdaud8005 5 лет назад +13

    Gubu wakina domo teenga aaaah kama nawaona vile nipe like tim king music🍹🍹🍹

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 5 лет назад +168

    Hivi wewe kiba ulilala tumbo moja na maiki au
    Sio kwa sauti hiyoo
    Big up to King Kiba

  • @OffcialKp
    @OffcialKp 5 лет назад +22

    Ngoma ya motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 xanaaaa jmn naomben like zenuu maan cjawah pewa lke

  • @bonifacematoke1501
    @bonifacematoke1501 5 лет назад +24

    chezesha moyo na kichwa kidogo huitaji nguvu nyingi simple and clear. #Kings Music

  • @jacksonmisack6080
    @jacksonmisack6080 5 лет назад +49

    team kiba tujuane plz gonga like hapa 🇹🇿

  • @kubrymtutala1736
    @kubrymtutala1736 5 лет назад +54

    Waliorudia hili Goma zaidi ya mara moja gonga like hapa

  • @calvinnelly2898
    @calvinnelly2898 5 лет назад +30

    Na mm mnipe likes zang kwa ngoma kaliiiiii hii

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 лет назад +119

    Why not even 5 million viewers??😡😡😡😡😡this song is 🔥

  • @dominicmakamba4259
    @dominicmakamba4259 5 лет назад +24

    Wakuache tu King, ngoma Kali mistari yenye vina inasikilizika. Wimbo wa chumbani kabisa hatupendi fujo. Kama umeikubali ngoma Team furaha no majivuno Gonga like mingi mingi....

  • @Patricestyle1997
    @Patricestyle1997 5 лет назад +20

    One million fasta fasta🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @aliraeeq
    @aliraeeq 5 лет назад +49

    Team kiba tuwe na umoja jama .hivi ni vizuri shabiki mwenzenu nakosa like ata mia?napenda KIBA sana

  • @salumramaa4569
    @salumramaa4569 5 лет назад +22

    killy kafanya ukiller wake king kafanya u king 👑 wake mambo yaxhakua makubwa the GOAT kiba

  • @dicksontimotheo7617
    @dicksontimotheo7617 5 лет назад +22

    pumbavu zenuuuuu woooote mpaka wanaokomentiii..... mziki mzuri upo kings pekee kwingine koteeee makelele
    alikiba huna mpinzani
    killy utakuwa bonge la msanii afica
    pumbavu zenuuuu........weka like hapo

  • @catrinahcavoo1130
    @catrinahcavoo1130 5 лет назад +4

    Beat Kali wimbo mkali melody yenye kuleta radha ya muziki penda sana King's music

  • @raymondisack5316
    @raymondisack5316 5 лет назад +23

    Haya madini huyapati mgodi wowote zaidi ya kings music ,,,,,,wapi wa Ku like?

  • @crazyfoxgamer9347
    @crazyfoxgamer9347 5 лет назад +30

    Izo vocal sio poa mnajua eeh 💥 kings empire

    • @paulebby1552
      @paulebby1552 5 лет назад

      Alex Jasson wanaua kinoma hawatumii nguvu

  • @levinamitty6722
    @levinamitty6722 5 лет назад +21

    Ebwana eee ni nooma kings' music balaa!!

  • @aliraeeq
    @aliraeeq 5 лет назад +23

    Alikiba my guy mungu akujalie .mzuki mzuri.gubuu oyeee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hassanmweta7244
    @hassanmweta7244 5 лет назад +53

    Mi naombeni like 4 tuu tosha sana kwa ajili ya mfalme

  • @katore1982
    @katore1982 5 лет назад +11

    kings music nyinyi ndio mafundi mafundi wa mziki mzuri tanzania .......wengine nikelele tu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 лет назад +90

    Sijaja kuomba like ila mki nipa like za #kiba itapendeza zaidi.
    🏃🏾

  • @nassorojnr8713
    @nassorojnr8713 5 лет назад +25

    Hii ni moto ile wapi likes za mziki mtamu East Africa kma ww uko na kings music mwaga likes tujuane

  • @ambaneentertainment2043
    @ambaneentertainment2043 4 года назад +18

    I do repeat this song all the time ❤️🌹
    Team kiba
    Australia 🇦🇺

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 5 лет назад +17

    Wallah wabillah jinsi ninavyoipend king music xijapata ona, haya uxhaap apo welewk usiach like yak muogope mung wew usije ukapita

  • @pendomulikuawaponyieeembaw480
    @pendomulikuawaponyieeembaw480 5 лет назад +52

    Ambae naona king kiba ni mtu anasaut nzuri na kuimba hodari gonga like hp

  • @davidluwondo5839
    @davidluwondo5839 4 года назад +23

    I am from South Africa, I real like this song, Big up King Music that means: Killy & Alikiba..

    • @tinnahonesphoro4184
      @tinnahonesphoro4184 3 года назад

      Ali nampenda san nan kam kiba dunis nzima bdo san watasubir

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 лет назад +23

    Alikiba mungu awabaliki pamojanatimu yakonzima🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @gmr174
    @gmr174 5 лет назад +16

    N iwazi kipande cha MATATIZO anachoimba KING kimenisisimua sana, GIFTED ONE

    • @adamhashimu4462
      @adamhashimu4462 5 лет назад

      uyu jamaa ni extraordinary na yuko very talented

  • @laurentnestory4019
    @laurentnestory4019 2 года назад +1

    Wazzee ya masautiiii

  • @mashaomar4692
    @mashaomar4692 5 лет назад +24

    Kutoka +254 kama Mimi team kiba nisong of the year wapi like zenu wakali

  • @kihogomwanisi1066
    @kihogomwanisi1066 5 лет назад +35

    like nyingi kwa King Music kama umeielewa ngoma🔥🔥🔥

  • @moulyidabdallah7223
    @moulyidabdallah7223 5 лет назад +12

    Daaah killy alikiba wameimba kwa isia
    Nyimbo nzur sana schoki kuixkiliza....lik kama imekuguxa kumutima hii ngoma..😀😀

  • @brahmachowdary6784
    @brahmachowdary6784 5 лет назад +45

    India love's you alikiba ❤

  • @adamhashimu4462
    @adamhashimu4462 5 лет назад +16

    Jaman tuache masihara Alikiba anasaut tamu sana duhuu sjui anafanyaje yaani,thank u king of bongoflava kwa melody tamu yaaani sichoki

  • @ramadhaniarmand620
    @ramadhaniarmand620 5 лет назад +154

    Mimi niko Burundi.kings music kila music ni hit.team kiba damu.piga Like kama weye team kiba

  • @salimubuxhir5754
    @salimubuxhir5754 5 лет назад +169

    Kama verse ya king imekukosha, kama Mm gonga like twende Sawa!!!

  • @shutabwoy7202
    @shutabwoy7202 5 лет назад +235

    Tulio achana na mahusiano tuliyo yapenda tujuane kwalike#GUBU

    • @elmasroj9712
      @elmasroj9712 5 лет назад +5

      Tena mi nacoment kabisa sitaki ishia ku like nimeachana kwa gubu khaaa wadada mnatabu sana

    • @marvotv
      @marvotv 5 лет назад +2

      Shuta bwoy If you are a real true African click on this link
      Let’s share love ❤️ through music
      East Africans we are one continent
      Tu pendane
      ruclips.net/video/jHGKM1JyqY0/видео.html

    • @saedaabdalla9456
      @saedaabdalla9456 5 лет назад +2

      Yebabaa full kusinywa

  • @teamkiba6548
    @teamkiba6548 5 лет назад +22

    Km unakubaliana na mm kuwa ngoma hii ni kali sana gonga like twende sawa

  • @rashlymnyama35
    @rashlymnyama35 5 лет назад +29

    Killy da killer X king 👑 kiba#GUBU#💥💥💥wana kings naombeni likes kaa 💯 tu 🤣😂😅

  • @alimasud6964
    @alimasud6964 5 лет назад +38

    Na mi naomba like

  • @axiommirgab882
    @axiommirgab882 5 лет назад +31

    fanyen nguvu bas Team king leo siku yangapi🙆‍♀️🙆‍♀️😭

    • @hassansaid9925
      @hassansaid9925 5 лет назад

      Axiom Mirgab tuwe wapole mwanang si unajua akount mpyaaa

  • @venniendowoo5623
    @venniendowoo5623 5 лет назад +36

    Kaliiiiii king music tuuunyoosheee mwaka 2019 hadiiii uombee poooo

  • @savege-zh8yk
    @savege-zh8yk 5 лет назад +16

    Apo ni sawa kabisa itabi ata zengine 2 mbele ya mwisho wa mwaka kama una kubali Gonga Like

  • @SandraSalomeAngolorctr
    @SandraSalomeAngolorctr 5 лет назад +10

    The true taste original Tanzanian rhythm. Not infiltrated by Nigerian or West African beats or copied style. Thank King Kiba!

  • @salmaathumani8562
    @salmaathumani8562 5 лет назад +13

    Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka gonga like kwa killy # king Music for life

  • @hilwasaufa8596
    @hilwasaufa8596 5 лет назад +42

    Yani kama niko lushoto vile gonga like apa twende sawaaa Rockstar forever

  • @jamesisaya5448
    @jamesisaya5448 4 года назад +2

    nimesikikiza hi nyimbo mpaka bac love you so much king kiba

  • @lucienbahati1231
    @lucienbahati1231 5 лет назад +19

    Kama una mkubali killy like toka Congo kin

  • @kofimasudikofi7018
    @kofimasudikofi7018 5 лет назад +12

    King's mtatumaliza sisi wa fan's lol bonge la ngoma I love it

  • @salviusmgedzi7672
    @salviusmgedzi7672 3 года назад +1

    Dah killy ni hatar sanaaaa salute

  • @swedish_james
    @swedish_james 5 лет назад +181

    Huku KENYA tushaukubali huu wimbo wapi likes za Wakenya pamoja na Watanzania. ,,,

  • @barikibariki4602
    @barikibariki4602 5 лет назад +138

    Team kiba like tusonge

  • @kirenenkochristopher1828
    @kirenenkochristopher1828 4 года назад +4

    Hili kenge ndio limetoka nendaaaa tuache na King 👑 wetu

  • @sixbertkigomakwetu7742
    @sixbertkigomakwetu7742 5 лет назад +13

    Nimekua wa nimewahi 🔥 fire like kwa killy 🏃🏃🏃🏃🏃

  • @husseinally7052
    @husseinally7052 5 лет назад +17

    Kweli kimya kingi kina mshindo ndio mana ulikaaa sana kimya ili uachie kitu kikali eeenh.Team kings music juu zaidi.

  • @aljunijohn5395
    @aljunijohn5395 5 лет назад +85

    Jaman team kiba WAP tujuane kwa like gonga tusonge mbele

  • @marydiaz4948
    @marydiaz4948 5 лет назад +37

    Kam. We ni king kiba dam gonga like 💪💪

  • @rajabulipongo133
    @rajabulipongo133 5 лет назад +32

    King music for life........ That song is very incredible

  • @canny255
    @canny255 5 лет назад +16

    More than a song!! Congratulations Killy on your Kings Music debut!! I really enjoy the song!! ❤

  • @ANONYMOU101
    @ANONYMOU101 5 лет назад +44

    Team kiba show some love tupia like yako .

  • @iddyclassichb1
    @iddyclassichb1 5 лет назад +164

    Kings forever nitakuwa nyuma yenu#buja Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @rayzonevic4041
    @rayzonevic4041 2 года назад +6

    This is why(less viewers) some people do think that someone else is on top and not kiba. Kiba's songs don't need milions of views and likes to validate the fact that it's one kind of the best ..the music itself testifies he is the best, otherwise it deserves over 30 million vews...amazing vocals❣️

  • @randyjoe3874
    @randyjoe3874 5 лет назад +58

    The fast to watch team king music nipe like tukisonga jameni song iende mbali more support

  • @orediflavour
    @orediflavour 5 лет назад +49

    Kama wewe ni TEAM kings music wadamu kweli basi gonga like twende zetu alafu comment KINGS MUSIC 4 LIFE

  • @chrisskibaking8184
    @chrisskibaking8184 4 года назад +12

    Niko apa mpaka nishuhudie 1M views inafika
    Kama tuko pamoja gonga like mwanetu wa King's Music

  • @multartsmodels4022
    @multartsmodels4022 5 лет назад +14

    Aminii amna kama KING`S MUSIC...🇹🇿

  • @chrisbreezy8386
    @chrisbreezy8386 5 лет назад +56

    Nomaaa Killly ft King Kibaa Yeeeeebabah yooo pop it n gooood music 2019

  • @mosionkiller2954
    @mosionkiller2954 5 лет назад +7

    King's college

  • @kpspalmer3364
    @kpspalmer3364 5 лет назад +128

    Nipo uingereza Nasikia gubu by KILLY ndugu zangu wa Eastafrica nipeni izo like basi kwa upendo wenu

  • @hamisimakka3216
    @hamisimakka3216 5 лет назад +25

    ngoma kalisana kamaunaelewa mzk mzur gonga like twende sawaa

  • @shabaniekyoci8628
    @shabaniekyoci8628 5 лет назад +7

    Nyimbo mzuli sana tena sana da! Alikiba king

  • @derricknjenga4160
    @derricknjenga4160 5 лет назад +65

    There is only one king in tanzania music that's Alikiba hit after hit 🤙🤙🤙🤙

  • @khamisally7550
    @khamisally7550 5 лет назад +48

    I have never commented any where because I don't speak Swahili but hii ngoma kali sana.😄😆😅😘😘
    Congrats to these killers.

    • @zemwanzozefirst
      @zemwanzozefirst 5 лет назад

      Umeua sana mnyama😀

    • @RashidRashid-nc8hq
      @RashidRashid-nc8hq 5 лет назад +1

      Me too I don't understand the language lakini hili dude kali sana

    • @venniendowoo5623
      @venniendowoo5623 5 лет назад

      Likewise I don't understood Swahili but this piece of music is too hot

  • @FranklinMwalungo
    @FranklinMwalungo 9 месяцев назад +11

    Kama bado wasikiliza hii ngoma 2024 gonga like

  • @bernicewairimu1521
    @bernicewairimu1521 5 лет назад +13

    Team kiba forever, mambo ya mjitimuo wachia wale wazee wetu wa kiki

  • @jamali0017
    @jamali0017 5 лет назад +25

    Kutoka wcb kuacha tofauti za mziki wetu wa tz kusonga mbele Leo Niko kwa mwanangu kiba 😆😆😆wapi like zake mfalme jamani🤣😆👇👇

  • @barakarobert7003
    @barakarobert7003 5 лет назад +10

    Yaaan hli song lina RADHA ya KBONGO FLEVA....sio BONGONIGERIA ...😀😀
    kama hao wanaojiita Baba lao

  • @silvakannmathew4424
    @silvakannmathew4424 5 лет назад +24

    Nyimbo nikali sana na ni nzuri kisikiliza wala huchoki, ila naona watu wanaomba like na mimi nipeni basi huo mchongo wa like.

  • @zatexbillgang1928
    @zatexbillgang1928 5 лет назад +13

    Yebaba kings music 4life kama ni kwel like zinanihusu

  • @halimakondo1230
    @halimakondo1230 4 года назад +2

    Uwiiii bonge la njitiiii😃😃😃😃

  • @barakasinkala9638
    @barakasinkala9638 5 лет назад +25

    this is og bongo flavour # PURE BONGO FLAVOUR

  • @lucasjames2102
    @lucasjames2102 5 лет назад +60

    Kumamamae aise hiv ndo nyimbo zinavyoimbw yan mpk raha duh bgp wote mmeua san

  • @mudinachpzo2910
    @mudinachpzo2910 5 лет назад +1

    🔥🔥🔥daaaah king music sihami kabisa ebu tujuane wote king mudic wataalam wa sauti

  • @khamicholo116
    @khamicholo116 5 лет назад +152

    Gubu limeingia Town
    👑 Music nishule kweli
    Sitaki like jaman

  • @chidigocomedian5334
    @chidigocomedian5334 5 лет назад +46

    Motooo gonga like

  • @rehemalushinge5674
    @rehemalushinge5674 4 года назад +2

    Anayependa ....hadharan kmbe Bado unamshika mkono ambye baba nanii naeee anajilia agonge like apaa😍😍nawapenda kiba na killy

  • @nizzomtz5178
    @nizzomtz5178 5 лет назад +52

    we jalibu2 kufatilia utagundua bongo mziki mzur upo kings music pekee gonga like yako apa kama unakubaliana na mm

  • @salmaathumani8562
    @salmaathumani8562 5 лет назад +11

    Kama ww umirudia hii ngoma zaidi ya mara 10 gonga like balaaaa killly

  • @abdulrahim-gf4sm
    @abdulrahim-gf4sm 5 лет назад +1

    Adhabuuu killy jinc alivyonichanganyaaa
    Sioni sisikii nmejaribu nmekwamaa
    Hata juzijuzi alilewa sana
    Akalala baa vilevlee
    Kiba next level

  • @kingwanyama2609
    @kingwanyama2609 5 лет назад +50

    KINGS MUSIC,,,WE ARE RISING YANI TUNAKUJA,,,,SWEET VOICE,,,RESPECTFUL SINGER'S,,,🤴

  • @williamniragira1257
    @williamniragira1257 5 лет назад +163

    Let’s go team kiba like na comments apa kama tuko sambamba 🔥🔥💪🏻

  • @julianaphanuel4256
    @julianaphanuel4256 4 года назад +2

    Killy your killing it
    Kuimba unajua Toka Shule Kipaji Kilikuwepo Inshallah Mwenyezi Mungu Azidi Kukupa Maujuzi Ulimwengu mzima ukujue upeperushe bendera ya TZ

  • @seiphajalomba7456
    @seiphajalomba7456 5 лет назад +118

    Jaman mm sijawah pata likes 10 king kiba...

  • @frankchibago833
    @frankchibago833 5 лет назад +29

    Anaejua🔥anajua2🙏fundi🎶wa music🎹classic💯fundi🎤wa mashahili✍️sisi👨‍👦‍👦tunakuita mfalume🎁team🎄king🇹🇿wote tuseme🌍mfalume🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @asinatjuma8088
      @asinatjuma8088 5 лет назад +1

      Kabisa wengine ni wapita njia tu good king kiba 🔥💪💪💪

    • @frankchibago833
      @frankchibago833 5 лет назад

      @@asinatjuma8088 hakujita mufalume bali sisi ndio tulimuita mufalume huyu ndio king good good yebaba

  • @aishaingabire99
    @aishaingabire99 5 лет назад +20

    Team Kiba from Rwanda 🇷🇼

  • @manssouramor8496
    @manssouramor8496 5 лет назад +47

    kama unakubali sauti , urembo
    na ujuzi wa ali kiba naomba naomba like zako kwa wingi tafadhali