Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 3,6 тыс.

  • @OfficialNandy
    @OfficialNandy Месяц назад +1541

    kubwa hii kaka zangu

    • @mjungudeartist_
      @mjungudeartist_ Месяц назад +66

      No body realized, it's a comment from the African princess

    • @Stanley_basigwa
      @Stanley_basigwa Месяц назад +33

      Nandyyyyyy❤️🌹💕aky #Mlete😂😂unipe ady like😅😫

    • @Regina-f5m5m
      @Regina-f5m5m Месяц назад +30

      Hongera kiba mshukuru mungu kwa ulichonacho

    • @Manumwarome001
      @Manumwarome001 Месяц назад +23

      De African princess

    • @AdamGome-f6x
      @AdamGome-f6x Месяц назад +14

      🔥

  • @Tiger4rever123
    @Tiger4rever123 Месяц назад +333

    Dahhh Alikiba atatuuwa na burudani kila akitoa n chuma
    Nipen like zangu KIBA fan's

  • @AsajileMichael
    @AsajileMichael Месяц назад +103

    Watu wanaimba na Husikii matusi na wimbo ni motoooo....saluteeeee

    • @mustafamatata3795
      @mustafamatata3795 Месяц назад +3

      ....kwa sababu sio watoto wa zinaa

    • @AziziRashid-x8f
      @AziziRashid-x8f 12 дней назад

      😂😂😂​@@mustafamatata3795

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 12 дней назад +1

      Mshaanza Umbea Sikilizen Song Bana..😂😂😂

  • @alikibaOfficial
    @alikibaOfficial Месяц назад +276

    🔥🔥🔥🔥

  • @MohamediJaziry
    @MohamediJaziry Месяц назад +371

    Bora ata tumepata kiburudisho cha kweli mana tulimic vtu kama ivi tumechoshwa na magoma magoma ya mapiano asanteni sana wazee kazi nzuri.

    • @nikkitokke8162
      @nikkitokke8162 Месяц назад +6

      Walibore kweli na mapiano yao, afadhali tumerudi nyumbani🎉

    • @LeonardBadili
      @LeonardBadili Месяц назад +2

      Lakini hizi hazihit sasa watu wanaenda na upepo we endelea kukariri sasa

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 Месяц назад +4

      ​@@LeonardBadilinani kakudanganya eti piano zinahit wapi na kwa muda gani tuache ushamba eti kuenda na wakati

    • @MosesMalale-kn2lz
      @MosesMalale-kn2lz Месяц назад +5

      Utasikia gurungungunguu

    • @AmisaMsewa-fd7ji
      @AmisaMsewa-fd7ji Месяц назад +2

      @@LeonardBadili Ila zinaishi sana ile👉zinahiti kwa mda mfupi lakini hazihishi kama hizi.

  • @BizdenAfrica
    @BizdenAfrica Месяц назад +13

    Melody kaliiiiiii sana

  • @gadaphmousolin6072
    @gadaphmousolin6072 Месяц назад +136

    Ukiimba Na Alikiba Na Ukafuata Melody Zake Mzee Lazima Utoboe ...

  • @Sadi_Tv
    @Sadi_Tv Месяц назад +340

    Hii ndo Original Bongo Flavour walio Miss Ladha ya Bongo flavour Like hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @princekassimtz
    @princekassimtz Месяц назад +7

    🎉🎉🎉Alikiba fundi

  • @IbrahimKatana-b9v
    @IbrahimKatana-b9v Месяц назад +236

    Kama unahisi kiba kafunika eka like ukisonga

  • @DannielNdambalilo
    @DannielNdambalilo Месяц назад +567

    Familia ya kings nawaomba like zangu

  • @mwanad4595
    @mwanad4595 14 дней назад +5

    Yaaaaap hit song

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 Месяц назад +529

    Weeee weeee nani kama dully skyes na alikiba gongeni likes

  • @atrashabdallah6551
    @atrashabdallah6551 Месяц назад +283

    Ila kiba anauwa sana au mnasemaj

  • @Josephnyinge
    @Josephnyinge Месяц назад +18

    Mbona Alikiba amebarikiwa ivi🎉

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu Месяц назад +164

    Watoto wa elfu mbili dully sykes ndo msanii wa kwanza duniani kuimba bongo fleva.🎉🎉

    • @Dapeopletz
      @Dapeopletz Месяц назад +2

      Dunia ipi. Maana 1816 forever young original iliimbwa huko ulaya😂😂😂😂

    • @audaxmlowa9953
      @audaxmlowa9953 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂​@@Dapeopletz

    • @jinjadarfox2906
      @jinjadarfox2906 Месяц назад

      Waeleweshe😅

    • @flova7022
      @flova7022 Месяц назад +3

      ​@@Dapeopletzkwani young forever ni bongoflava daahhh nyie walimu waongezewe mishahara😂😂😂

    • @fridandungudashla7770
      @fridandungudashla7770 Месяц назад +2

      Kasongo yee mumbali nangai😂😂,

  • @bekademwaba
    @bekademwaba Месяц назад +75

    Hili kiba lichawi la mziki bhana...linaimba kinoma aisee...afu dully ukajiheshimisha bro...bongo fleva imerudi upya sasa

    • @michaelmagow
      @michaelmagow Месяц назад +5

      Dully kama kaandikiwa na kiba

    • @ombenimilinga3638
      @ombenimilinga3638 Месяц назад +2

      kiba ni noma sana
      anajua had anajua tena

    • @FabiDthree-ro1ms
      @FabiDthree-ro1ms 19 дней назад

      @@michaelmagowwe utakuwa dully umjuh vizr fund nae uyo

  • @DMpauko
    @DMpauko Месяц назад +64

    Hapa TANZANIA 🇹🇿 tunae KING wa maana sana na haitaji mambo mengi kuamini kama ALIKIBA ndiye KING mwenyewe..🔥🔥🔥🔥

  • @stivertz7014
    @stivertz7014 Месяц назад +99

    Asee meleody tulizimiss sana hizi. Amapiano zilishachafua ubongo ila nmegundua bongoflava ni genre kali sana 🔥🔥🔥🔥

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 Месяц назад +7

    Kweli ng'ombe azeeki main big up duly syks

  • @BensonMgimba-p6i
    @BensonMgimba-p6i 6 дней назад +1

    Fire 🔥 sana vanillah

  • @LETICIAJeremia
    @LETICIAJeremia Месяц назад +38

    wangapi wanasema hii ngoma kalii🤸

  • @deniskalangari9226
    @deniskalangari9226 Месяц назад +30

    This is pure bongo flavor 100%🙌
    achana na wale wanochafua game

  • @sheddyyoung5620
    @sheddyyoung5620 Месяц назад +4

    Bratha Dully..legend!!

  • @MiriamRoberts_5050
    @MiriamRoberts_5050 Месяц назад +74

    Nmefika toka Kenya 🇰🇪 kumsapoti King Kiba 👑.

  • @DanielLugwe
    @DanielLugwe Месяц назад +43

    Weweeee kingkiba👑👑 ni moto🔥🔥 natokea 🇰🇪 254 Mombasa uku.Ndio hio ngoma kalii ya kufungia mwaka..Dully sykes and Kingkiba kwa hii wameua.

  • @MhashaHassan
    @MhashaHassan Месяц назад +23

    Sijawahi kuona KING KIBA akifeli siku zote amekuwa fire, kwangu huyu ndio msanii wangu bora wa muda wote hapa East Africa

  • @MohamediArry
    @MohamediArry Месяц назад +28

    Namkubali sana Alikiba ndio msanii wangu bora kila mwaka respect brother

  • @evancemwanasenga8200
    @evancemwanasenga8200 Месяц назад +8

    Hii ngoma ni shidaaaaa

  • @danpool5816
    @danpool5816 6 дней назад +1

    Femi uunooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gloshyjm2375
    @gloshyjm2375 Месяц назад +25

    Kiba unajua sana🔥🔥🔥Dully Sykes bado upo vizuri🙌🏼🙌🏼

  • @OshamFelesiano
    @OshamFelesiano Месяц назад +19

    Oya team kiba tuvamie hili dude daaah ngoma kali kishenziii

  • @omarmajanga6788
    @omarmajanga6788 5 дней назад +2

    Hii ngoma kwangu kama chai yani 👏

  • @starlexmerlex
    @starlexmerlex Месяц назад +20

    King kiba kaua humu
    #mziki mzuri❤❤❤❤
    @alikiba

  • @HashimuJuma-yz8ke
    @HashimuJuma-yz8ke Месяц назад +36

    Watoto wa kariakoo oyooooooo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JosephDonald-eg2mi
    @JosephDonald-eg2mi Месяц назад +3

    Nimeirudia hii ngoma zaid ya mara 10 nice one❤

  • @kulwapeter5807
    @kulwapeter5807 Месяц назад +21

    Noma sana endelea kulinga linga wenzako wana nitakaa

  • @Davidthestardavidthestar
    @Davidthestardavidthestar Месяц назад +9

    Kwa hit hii dully Sykes 🎉🎉🙌

  • @BeautyMwakibinga
    @BeautyMwakibinga Месяц назад +5

    Da umeweza sana yaan

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h Месяц назад +9

    Dully uku sasa ndo kuimba kaka --- big up sana--

  • @GarikaBenoit-t8x
    @GarikaBenoit-t8x Месяц назад +9

    ibraah one shakipaji we 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ngowestanley2535
    @ngowestanley2535 Месяц назад +9

    Goma la kwenda kabisa❤❤❤

  • @nzikubossco9517
    @nzikubossco9517 Месяц назад +23

    KING.....👑 Umeua🔥🔥

  • @KipyegoCevin
    @KipyegoCevin Месяц назад +7

    Shwarlii kabisa yeo baba na kazi safi kwa dully dykes

  • @davidochieng4479
    @davidochieng4479 Месяц назад +5

    King of lines yani fuuundiii❤❤❤❤❤ papapiraaaaa pampam noma saanaaa i say from kenya we love you 🎉🎉🎉 we areexpecting more from crown station salute🎉

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 Месяц назад +20

    Namba 1 king kibaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @sifaortence
    @sifaortence Месяц назад +12

    Hii sauti ya Kiba itatumalizia ujumba jameni...This guy siku ataacha mziki basi sitosikia mziki wowote tena❤

  • @JasminiErasto
    @JasminiErasto Месяц назад +5

    Nyimbo nzuri sanaaa❤

  • @Ngugy_Samwel
    @Ngugy_Samwel Месяц назад +19

    Mafundi hawa 🔥🔥🚒🚒🚒🚒

  • @nasmasaid9361
    @nasmasaid9361 Месяц назад +22

    Weeeee,dully waniuaaaa huku mtoto wa watu humu umetuliaaa sanaaa❤,,,,nyieeee mwaka tunafunga na hii

  • @dicksontimotheo7617
    @dicksontimotheo7617 Месяц назад +4

    Kimalaaa temboni mbaliii
    Ilala nnanyumba kaliiiii hatari sanaaaa

  • @officialsbjovea5822
    @officialsbjovea5822 Месяц назад +96

    waliokuja baada ya kuingia na 1 trending

  • @YuzoPro
    @YuzoPro Месяц назад +25

    Kweli nipo Zambia namukubali sana dully pamoja na king

  • @MohmmadAwadh-t2w
    @MohmmadAwadh-t2w Месяц назад +2

    Kali sana❤❤❤❤❤❤

  • @DavidMarash-su6eu
    @DavidMarash-su6eu Месяц назад +37

    We duli niskunyingi ulikua hutambi kwenye muziki 🇧🇮

  • @FlorenceOtane
    @FlorenceOtane Месяц назад +9

    Moto tena kali weeeee, hii naingia nayo ho.e

  • @YussufDenje-d2e
    @YussufDenje-d2e 6 дней назад +1

    seniors will never be like the freshers big up for the team work

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 Месяц назад +18

    Ukijua njia za muziki huwezi kupotea ndo sababu awa jamaa awanaga pressure na Bongo flavor ❤❤

  • @GiftTarimo-i4m
    @GiftTarimo-i4m Месяц назад +19

    Bonge la ngomaaaa

  • @BoniphaceDonald
    @BoniphaceDonald Месяц назад +9

    Kings kwenye Ngoma moja kali sana hii itakuw wimbo bora wa nwaka

  • @linussamson5213
    @linussamson5213 Месяц назад +7

    heeee 2po no 1

  • @NeemaHarun
    @NeemaHarun Месяц назад +15

    Alienileta uku ni nina wangu jmnn❤❤ proudly🎉

  • @gwessomagesa1920
    @gwessomagesa1920 Месяц назад +6

    Ngoma kali sana mzee baba

  • @Iamolaba
    @Iamolaba Месяц назад +22

    Brother dully hii sound ulikua wap kaka shikilia hapa hapa umekua mpya kaka 🔥🙌

  • @IdrisBigDrix255
    @IdrisBigDrix255 5 дней назад +1

    Legends wawil in one song, ni firee 🔥🔥

  • @RmoShamte-h9f
    @RmoShamte-h9f Месяц назад +10

    🎉🎉🎉🎉 unyama mwingi mafundi wakali wa music wamekaas set moyaaa ❤❤❤❤

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Месяц назад +8

    Bonge la Ngoma 🔥🔥🔥
    Pale wakongwe wanapokutana
    Humu tu💃🕺
    Tim kiba ☝️☝️☝️☝️

  • @Voiceofpeopleotz
    @Voiceofpeopleotz Месяц назад +2

    Hili limepitishwa nimoja ya dude la kufungia mwaka🎉🎉

  • @TerryFlorence-d8h
    @TerryFlorence-d8h Месяц назад +26

    Nyimbo nimeangalia toka asubuhi jamani king wewe ni fire

  • @Kiulaini
    @Kiulaini Месяц назад +21

    Wenye Bongo Flava Yao katika ubora Wao ….🔥🔥🔥

  • @FatmaAlly-y1h
    @FatmaAlly-y1h 3 дня назад +1

    Nakupendaga sana kakaangu alikiba mungu akuongoze zaidi inshaallah 🫂🥰🥰🥰🥰

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah Месяц назад +69

    King 👑👑👑👑
    Dully
    Naombeni like zenu leo nmekuwa wakwanza

  • @Cyper255
    @Cyper255 Месяц назад +11

    Dully Sykes umeua braza

  • @AziziRashid-x8f
    @AziziRashid-x8f 12 дней назад +2

    Kali..🎉

  • @badshahmarzouq9814
    @badshahmarzouq9814 Месяц назад +24

    Badshah_photographer King kiba huo unjano mwilini umekaa powa sanaaaaaa

  • @redinbrown2296
    @redinbrown2296 Месяц назад +9

    ❤hiii mzigo ni Kali hot 🔥 Kenya twaikubali kiba vocals ❤ Dully legend...

  • @collinskenya3630
    @collinskenya3630 9 дней назад +2

    Hapa kutoka 254🇰🇪, vocals zimeenda group of schools.King kiba bila shaka ni mfalme 🔥🔥🔥

  • @titusbrower8568
    @titusbrower8568 Месяц назад +13

    Dogo wangu Kiba mwenyewe ...The King wacha nifunge mwaka nahii.

  • @MirajAbdallah-f7o
    @MirajAbdallah-f7o Месяц назад +11

    Ngoma Kari sanaaà❤ hongera san my bro kwazi nzuri sana

  • @hermanynoni4613
    @hermanynoni4613 11 дней назад +1

    King kama King
    Nakukubali kaka Dully mmetisha sana

  • @NKESHIMANABarton
    @NKESHIMANABarton Месяц назад +402

    Wanaofurahia hii Ngoma kuwa one drending gonga like twende sawa

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 Месяц назад +26

    Kumbe Kiba alikua anasema kweli kwenye ile interview, kwamba tunaimba baada ya apa 🎉🎉🎉 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @mohamudmohamed9049
    @mohamudmohamed9049 4 дня назад +1

    Zali kali. Dully gwiji.

  • @WingoAsake
    @WingoAsake Месяц назад +34

    Nashika número 21 Kwa kutazama

  • @abdulmutwi
    @abdulmutwi Месяц назад +36

    Tuache fitina Alikiba hata nikabaki pekee
    nitazidi kuwa shabiki yake kweli nyie muondoke
    nitabaki nae mne❤🎉🎉💞🙈😫

  • @RegisNduwimana-s3s
    @RegisNduwimana-s3s 12 дней назад +2

    Another banger for u king go ahead

  • @jimmysenioronetz9074
    @jimmysenioronetz9074 Месяц назад +13

    Wakongwe kazini 🔥🔥

  • @MeshackJerry12
    @MeshackJerry12 Месяц назад +7

    Wooow, hii imenibariki sana

  • @JayndevuNgare
    @JayndevuNgare Месяц назад +2

    Bongo flavour is back......fire wakubwa.....

  • @Offtegbrands
    @Offtegbrands Месяц назад +7

    Ngoma kaliiiiii

  • @godfreymartin4065
    @godfreymartin4065 Месяц назад +6

    Tunataka hii ngoma ikae 1 mpk mwakan🎉🎉❤❤

  • @mustafamatata3795
    @mustafamatata3795 Месяц назад +17

    Wazee wenzangu ......mmefunga 2024 na kukaribisha 2025 ....kwa hits song kali sana......KIBA THE 🤴

  • @piusmureri4811
    @piusmureri4811 Месяц назад +45

    Dulllyyu na Kinggg🎉🎉🎉🎉..
    Twaupokea Mzigo huu Vyema kabisa hapa Kenya +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rashidymussa1320
    @rashidymussa1320 Месяц назад +22

    Kiukweli ngoma qari sana na video qari sana hongeren sana watu wa Mungu kwa burudani nzuri mliotipatia.🙏🙏

  • @IRENEKIMARO-j5r
    @IRENEKIMARO-j5r Месяц назад +3

    Kali sana

  • @mwakisogocpiliano1793
    @mwakisogocpiliano1793 Месяц назад +9

    SHE SOUNDS LIKE PAPAMPILAAH! PA PAPAMPILAAH! PAPAAAH ENDELEA KULINGA WENZAKO WANANITAKAA. Oyiiiiii🙌🙌🔥

  • @denissembuche9538
    @denissembuche9538 Месяц назад +21

    Duuuuh no mokoooo Bado mpawaseme

  • @swimmergrapher_africa1
    @swimmergrapher_africa1 Месяц назад +7

    Iseee Unyama ni mwingi Sanaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @officialdesigner5556
    @officialdesigner5556 Месяц назад +22

    Wamekutana mafundi watupu 🔥🔥

  • @daudimalusu3142
    @daudimalusu3142 Месяц назад +47

    Nyimbo kali san, burudan ya kumalizia mwaka..mliorudia kutazam tujuane